Тёмный

BASATA WAMFUNGULIA MASHTAKA MANNE NAY WA MITEGO/ADAIWA KUFANYA UCHOCHEZI/ 

JAMBO TV
Подписаться 932 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

26 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 208   
@edwinmakingi3631
@edwinmakingi3631 2 часа назад
Ney Congratulations Wimbo umebeba message nzuri Sana Sana.
@SaudaShabani-b6c
@SaudaShabani-b6c 2 часа назад
Nyimbo za matusi awazifungii wapumbavu kabisa hao Machawa wakubwaa
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Час назад
Za zuchu zimaejaa matusi tupo ndo kwanza wanazishangilia na kumpongeza, hovyo kabisa
@BorchertWilliam
@BorchertWilliam 2 часа назад
Safi sana wakili msomi mpenda haki,, hao walevi wa madaraka hawana ubunifu lakini pia hawapendi watu wa aina ya ney kusemakweli juu ya hiki kinacho tupata ss wananchi mungu atakua mbele yenu..
@AmanLaizer-rb5rt
@AmanLaizer-rb5rt 2 часа назад
Usijali kamanda Giza halijawahi kuishinda Nuru.
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 2 часа назад
Giza kina wakati wake kama vile mwangaza
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Час назад
Hakika
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 2 часа назад
CCM NA POLISI WANAIOGOPA CHADEMA NA NEY WAMEMUINEA ,ANGEIMBA CCM MBELE KWA MBELE WANGEMUITA JUKWAANI KWAO!SAMIA MUST GO!SAMIA LAZIMA AENDE
@YacintaJames
@YacintaJames 2 часа назад
Nashangaa nyimbo za matusi nyie BASATA huwa hamhangaiki nazo, watu wasanii wengine wanavheza matusi kwenye halaiki mbona hamchukui hatua yo yote
@RichardKunambi-e5v
@RichardKunambi-e5v 2 часа назад
Hongera sana ney wamitego ukwel mm mwenyewe ni WA chama tawala lkn napenda sana haki
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 часа назад
Haki huinua taifa
@Rumishael
@Rumishael Час назад
Sina chama lkn nimefurahi umesimama na Ney ktk haki yake ya kujieleza.
@josephjulio6112
@josephjulio6112 Час назад
Waimba nyimbo za matusi ndio maana pididi anabomoa matako
@romanilyimo
@romanilyimo 18 минут назад
​@@josephjulio6112jifunze kuandika kwanza
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 2 часа назад
Mungu yupo atakusimamia ney inshaallah ukweli unauma usijali
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 2 часа назад
Nchi hii lazima ujikoshe kwa mkubwa ndo uonekane unafanya kazi,kuna nyimbo nyingi hazina maadili hawahangaiki nazo wanahangaika na upuuzi tu,nchi hii kila ukiamka inakuwa ya kishenzi
@sadamissa5687
@sadamissa5687 2 часа назад
Tutachanga wakikufunga 😂😂suala likiisha toa ingine Kali zaidi mpka wakuuee tujue anaeua ni nani
@godwinmandary5116
@godwinmandary5116 2 часа назад
😂😂😂😂 umetisha
@frankmichael411
@frankmichael411 53 минуты назад
Noma sana​@@godwinmandary5116
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 2 часа назад
Hawataki mtu aimbe ukwel! Mama must go
@TrustElbashil
@TrustElbashil 2 часа назад
Ccm waoga sana hawajiamini mkiwaponda kidogo tu wanakimbilia police apa wamekimbilia basata duuuu ney we kaza kamba tuuu
@binseif2216
@binseif2216 2 часа назад
Hapo anayoyapitia we upo wapi???siungeomba ukakaenae polisi acheni unafki
@romanilyimo
@romanilyimo 19 минут назад
We nae ni walewale wasiojulikana pumbavu​@@binseif2216
@nyucletkikonamaluhe2274
@nyucletkikonamaluhe2274 2 часа назад
Namkubali sana Ney wa Mitego. Ni Bora tusiwe na basata lakini tuwe na Ney
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Час назад
Tumechoka sasa na ccm,mwisho wa siku tutaambiwa tuanze kulipia pumzi
@BuiKishkOnlineTv
@BuiKishkOnlineTv 2 часа назад
😀Mwanasheria Msomi, nimefurahi hapo wengine wanaandika nyimbo za ngono
@DAVIDJOSEPH-u8r
@DAVIDJOSEPH-u8r 2 часа назад
Hivi basata. Wamesomea .musc kweli???.au wapo kwaajiri ya kula kodi za wanamusc bila tija yyt. Musc wa uchi na maneno yasiyofaa kwajamii. Wanarubusu ila musc wakuwakumbusha. Viongozi. Nakueleza kilio cha wananchi kupitia mashaili wanaona ni kosa hii nchi sijuiagi wanapeana. Nafac bla taaluma au mtoto waa uncle ndio wanawekwa kwenye vitengo
@ErastoMsumary
@ErastoMsumary Час назад
usikatee tamaa brother piga na song nyingine wachanganyikiwe
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani Час назад
Ccm imeshamaliza kutawala nchi yetu chukueni hiyo
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 часа назад
Kuwa makini president wasije kukuteka hawa serikali wakakuuwa maana hawatakagi kuambiwa ukweli hawa wenye uchu wa madaraka kazi yao kupoteza watu wanao tusemea
@isacklaizer6776
@isacklaizer6776 Час назад
Wakili "Ni kama vile wengine walivyoamua kuimba nyimbo za ngono...Ni hivyo tu" BASATA nao ni binadamu, wanalinda ugali wao.
@JemeslaizerJemeslaizer
@JemeslaizerJemeslaizer 2 часа назад
Mbona nyimbo nyingine, za ngono mnaziruhusu sisizo na sitaha kwa jamii.. Ila kwa hii enye Ina gusa maeneo ya serikali, mko mto kuzuia... Wakati Hali halisi iko hivyo kwa jamii.
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 2 часа назад
Rais wa kitaa tunakukubali
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 часа назад
Sio wa kitaa pekeake niwatanzania nzima
@MonicaTimotheo
@MonicaTimotheo 2 часа назад
Nchi imepoteza uelekeo
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 часа назад
Hawataki kuskia ukweli
@trendings1293
@trendings1293 2 часа назад
Kachochea nn kwa mfano,tuna viongozi wapuuzi sanaa
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Час назад
Mie cjachocheka.
@romanilyimo
@romanilyimo 12 минут назад
​@hamadsheni8😂😂😂 we nae😂😂😂997
@AmbakisyeMbwaga
@AmbakisyeMbwaga 2 часа назад
Nyimbo za matusi kila kona hawaoni
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 50 минут назад
Kama wakoloni waliondoka wenyewe ninyi mtakua nani ipo siku mtaondoka tu serikali kama hii yani ni serikali inayotaka isemwe vizuri tu yawapi hiyo !!? Hata Issa bin Mariam watu walimpinga, MTUME MUHAMAD SWS alipingwa na wote wawili walipigwa lakini kweli ukweli wao ambao walitumwa kwatoka kwa mungu ulitufikia na tunajivunia Leo nyinyi msio penda kukosolewa mnajiona ni zaidi ya mitume mungu awalaani ,na Hao basatawenu
@musa-v3f
@musa-v3f Час назад
Tunakuelewa sana Nay kuimba against injustice ikiwemo watu kutekwa na mauaji ndio kazi ya msanii anayejielwa Mashtaka ni ya kipumbavu BASATA ni machawa wa Samia wanataka kujipendekeza kwa Bibi Chinja Chinja akiwemo huyo mwandishi aliyekuoji.
@AlphonceKomba-go3xu
@AlphonceKomba-go3xu 2 часа назад
Ubaya wake nini mimi nliposkia niliucheki chap ukweli mtupu
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 2 часа назад
Basata maadili mnayo simamia ni yapi Ili Hali wasanii wengi wanaimba matusi mtu akiimba ukweli mnafungia nyimbo nyie vipi
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Час назад
Mbona mitusi hawasemi? Ccm hawanasela
@ULUMBIADAM
@ULUMBIADAM Час назад
Wakili wakumbushe viongozi kila ck wanatoa mfano wa nchi jirani kuhusu amani yao je nao wanakashifu nchi hizo?
@clementmgongolwa8316
@clementmgongolwa8316 52 минуты назад
Matusi ya wasani wengine nyimbo hamzifungii ila msani anayesema ukweli wa mambo ya kila siku kuhusu utekaji mnamwita aje eti kuna kesi acheni mitego iwanase
@zungushakimbute8654
@zungushakimbute8654 2 часа назад
Mbona wapo wasanii wanatengeza nyimbo za matusi na hatujawahi ona waitwa basata ila kutetea binadamu wenzake mnamuita basata tuwaeleweje hapo viongozi wetu
@zashiyzashiy7922
@zashiyzashiy7922 2 часа назад
Wasanii Wavaa chupi shaga hadharani lkn hamsemi lkn huyo kasema ukweli mnamfungulia mastaka nyie Samia must go
@KhalidMbole-b7n
@KhalidMbole-b7n Час назад
Wapumbavuu hawaa nyimboo znazotusii hawafngii znazoelza ukwelii atii wanazfngiaa huoo n upuuz
@kirungekirunge5920
@kirungekirunge5920 2 часа назад
kwani basata onawausu Nini nyimbo za mitandaoni
@meckgodfrey7334
@meckgodfrey7334 2 часа назад
Raisi wa kitaa
@nichoojr.6747
@nichoojr.6747 Час назад
Nicky wa Pili saivi Toka apewe Sukari Anajifanya haya hayamuusu tena kwaongelea wananchi
@husseinmtima6106
@husseinmtima6106 23 минуты назад
Tena aliwahi kuimba hataki kazi Leo kazi anaitaka!😂
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 2 часа назад
Hapo jaji Kawa shahidi.basata mlalamishi basata ,mtafsiri basata mfungiaji.
@MadibilaJustone
@MadibilaJustone Час назад
Tunakupenda San ney tutakuombea uishi miaka mingi😅😅😅😅
@bahatimellita6619
@bahatimellita6619 Час назад
Tushaipata hiii kitaniiii tumeipokea nyiee ndioo wachocheziiii basata
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Час назад
gombea ubunge Ney watanzania tutakupigia kura zote za ✅
@AmmarSadik-x5u
@AmmarSadik-x5u 2 часа назад
Basata niwapuuzi wakamate wanaoimba uchi na matus mbwa hawa,
@GodfreySospeter-f7r
@GodfreySospeter-f7r Час назад
Uchochezi upi? Mbona nyimbo nyingi zinazo chochea ngono na uvunjifu wa maadili hatusikii zikifungiwa na kushtak wasanii? Basata machado tu. Wajue selekali inabadilika wananchi hatubadiliki. Waiheshim kaz yao waache uchawa.
@isihakaog8355
@isihakaog8355 2 часа назад
2025 mwaka kesho
@allmunass45
@allmunass45 2 часа назад
Waandish wasenge kwl ss mmb ya P d yamehusikaj apo 🙄
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 Час назад
BASATA wanatumikia Serikali ya CCM. Mtumikie kafiri upate ujira wako. Ni aibu kubwa sana.
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 Час назад
Jmn timu kumchangia Ney mko wap
@GodfreyMwendawila-ff7on
@GodfreyMwendawila-ff7on Час назад
Ziko nyimbo nyingi zinazo potosha jamii na mpaka viongoz wanaziomba zipigwe ila wimbo wa ney kutetea jamii ni mbaya hakika selikali yetu isiaibishwe na viongoz uchwara
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 Час назад
Tuko huru ila bado mambo ya kikoloni yanaendelea,uko wapi uhuru wa kutoa maoni au kukosoa kama hata kutoa nyimbo inayowakosoa ni kosa...Ngoja tumuachie Mungu
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 48 минут назад
Mnaua watu halafu mnataka kuwanyamazisha watu
@godsson5954
@godsson5954 Минуту назад
Wanaojiihita wanahiphop wa bongo hawamfikii ney kwa kuwa mwanaume kamili na jasiri hata mara moja kaz yai kujiita wana hiphop wakat hawajui misingi ya hiphop xaid ya kunywa pombe bangi na kunywa kahawa
@WigesaNyerere
@WigesaNyerere 2 часа назад
Hahaha Kambole hyo kesi haikuhitaji ww mwana sheria msomi,hata me nilie ishia darasa la 3 F nashinda hiyo kesi,kifupi kama mwanasheria drs la 3F jb n moja tu,alicho mansha rais wa kitaa ndicho alicho manisha yy,hizo maana zao wamemanisha wao kwsha
@alexbujenja2750
@alexbujenja2750 Час назад
Basi tu Nchi hii kwa sasa hivi imejaa Vituko kweli kuna Wasanii wanaimba Matusi na wengine wamevaa utupu wao Ruksa ila wimbo ka huu ety uchochezi
@GodfreySospeter-f7r
@GodfreySospeter-f7r Час назад
Huu wimbo umekiuka nini? Ni wimbo uko sawa na una ujumbe ulio nyooka. Mtu mkweli mbona anapitia magumu jamani? Na Basata ni machwa wa selikari na wenye pesa?
@KabnasNyangi
@KabnasNyangi 2 часа назад
Hats kama sijui kama kweli kila wimbo unatakiwa kipata kibali cha basata ndio utoke mbona wimbo wa nyegez ulipigwa marufuku baada ya kutoka au sheria hii ilitungwa baadae
@NemessSkawa
@NemessSkawa 44 минуты назад
Waufungie tyu lakn ujumbe washaupata,,viva ney Viva 💪💪💪
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 22 минуты назад
Hatujaina taarifa hii kwa Milard Ayo
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Час назад
Hii ndiyo Tanzania baada ya kushitaki wanaosema watateka watu baada yahapo munawashitaki wanao ongea matendo yenu mabaya ya kuiba nakujilimbikizia mali huku watanzania ni masikini wakutupwa
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 2 часа назад
Nakuombea Ney tuko pamoja Inchi inakwenda kijinga sana. Wanataka kusifiwa na ujinga sad
@samsonsengi7574
@samsonsengi7574 Час назад
Hawana kazi ya kufanya hao basata.
@evanckanyika5812
@evanckanyika5812 Час назад
Halafu basata ndo nn msiojua mziki huu ni uhalisia umeimbwa yote yanatendeka tuna yaona mnasema anachochea nn hakuna kilaza kwa miaka hiii mjue
@asteriashios1852
@asteriashios1852 58 минут назад
Hongera ney msg cent nimeupenda sana unatuelimisha vena tuko pamoja na ney mungu akutetee
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 часа назад
Mbona basatari mnakuwa machawa hivi so hamtaki mtu aseme ukweli wajinga sana basata pumbavu zenu
@gastonjohn537
@gastonjohn537 29 минут назад
Nyinyi basata kwa nini hmzifungii nyimbo wanazoimba matusi?
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 48 минут назад
Rais ambae hakuchaguliwa anakua kibri kiasi hiki je angechaguliwa
@SaidIssa-tq3yv
@SaidIssa-tq3yv 13 минут назад
Samahani , yassin Nakusahihisha kidogo anpofariki Raisi wa jamhuri basi nafasi yake huwa anashika makamo wa Raisi , Hahitaji kupigiwa kura Kwa muda ule Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Tanzania. Tuwe na subra juu ya hili. Mwenye zimngu Akubariki, Amin.
@AmbakisyeMbwaga
@AmbakisyeMbwaga 2 часа назад
Hv hawa basata wanafikilia nn au ni ccm b maana naona vichwa vyao nimzigo kwashingo
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 Час назад
Basata mbn kihelehele?Wakulalamika ni Polisi na si ninyi Basata
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Час назад
Waliochochewa waliitwa kuulizwa kama wamechocheka?
@faridaamenye8405
@faridaamenye8405 57 минут назад
😂
@romanilyimo
@romanilyimo 13 минут назад
Duh!!😂😂😂😂
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Час назад
Nyimbo za "NITONGOZE" zina HIT tu mtaani ila mtu akiimba nyimbo ya kiharakati kukosoa ccm unafungiwa
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv Час назад
Basata n makuma tu hatujali wimbo tunao tayar hapo mtafanya Atoe wimbo mwingine
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 2 часа назад
Ney you're really street prezdaa! Yuo represent citizens
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Час назад
Yani Mungu atawashangaza atashinda kesi vizuri sana
@godlovemrosso5973
@godlovemrosso5973 Час назад
Embu ngoja niusikilize Tena
@FestoLalata
@FestoLalata Час назад
Pls naomba namba hiyo ya kuchangia
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 32 минуты назад
Wana wanachanga wanakukubali sana 👊
@muddyausi8470
@muddyausi8470 2 часа назад
Fungen tu. ujumbe. ushafika
@jamesbalama9892
@jamesbalama9892 Час назад
NEY WA MITEGO NI MMOJA TU DUNIANII
@khadijathani9064
@khadijathani9064 2 часа назад
Basata kwani kazi yao ni ipi jamani
@HamisiSamweli
@HamisiSamweli Час назад
Hii serikali tumeichoka
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 35 минут назад
Hongeraaa ney nitasema🎉
@StephenMpallange
@StephenMpallange Час назад
BASATA Wana kigezo gani Cha kuthibitisha Huo Uchochezi.Nini maana ya uhuru wa kutoa mawazo na kujieleza!Big up Sana Ney wa Mitego uko vizuri Sana kwa tungo zake kwani zimesheheni Ujumbe kuntu,Ney huimbi Matusi,mbona wanaotukana na kuimbs Matusi hawaitwi,kwani nyimbo zao hawazipitii mashairi yake.?BASATA mmechemka kwa Hilo hamna point.
@josephmilandononi1096
@josephmilandononi1096 53 минуты назад
Basata Wamechemsha hivi away sikilizi ziara za viongozi wakuu,wakilalamika miradi mingi inakwamishwa na watendaji na Serikali kuwafukuza.waache kulazimisha vitu ambavyo havipo.Namshauri Nay wa Mitego baada ya hili awapereke mahakamani kudai fidia maana wanatumia jina lake kupata Kick dawa NI HIYO.
@AhmadIdd-rv2rg
@AhmadIdd-rv2rg Час назад
hiii sio nchi kabisaaaa
@jahhloveyou4462
@jahhloveyou4462 34 минуты назад
Police walitakiwa wawapeleke chadema kama bassata na Nmitego,alafu mbele watajua haki!😂 Hapo Tanzania tujifunze (Sanaa na Haki)
@healingclinic698
@healingclinic698 Час назад
Wajinga TU BASATA
@rogersiddy
@rogersiddy 45 минут назад
Muandishi wa Global rudi shule uisomee Habari upyaaaa watu wapo msibani unaulizia harusi unafunga lini?habari ya P.DIDY wapi wapi hapo?
@JastinOmds
@JastinOmds Час назад
Yani viongozi wa africa wamekua wapumbavu sana . Sasa nini cha uongo hapo. Kwani aliyo yasema kuusu Congo buruni rwanda niuongo? Ndiomana africa atuendelei unawezaje kukataa ukweli .
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 34 минуты назад
Ney n mwanaume
@BraviusBenedicto
@BraviusBenedicto Час назад
Ccm acha ujinga
@johnmabula88
@johnmabula88 55 минут назад
Raisi wakitaa
@MatridaGodfrey-xf1zn
@MatridaGodfrey-xf1zn 2 часа назад
Hawa sio tu machawa ni makunguni wa mama
@Titusstaphanie
@Titusstaphanie 2 часа назад
wameshindwa
@DAVIDJOSEPH-u8r
@DAVIDJOSEPH-u8r 2 часа назад
Kama hawa ui serikari inatakiwa ifungue mashitaka. Kwawatu wengi maana tumeona posti nyingi. Watu wakiituhumu.serikari kuhusu watu wanao potea. Mwigine. Amepostowa. Ameuaawa na police arusha.
@abednego3876
@abednego3876 2 часа назад
Unatafutia Haki wafu linda Ugali wako brooo. Usipoteze muda kumtetea mtanganyika.
@antidiusalfred4686
@antidiusalfred4686 45 минут назад
Mwiguru aliposema tuamie burundi je iyo sio kashfa?????
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo Час назад
Ofisi za Basata zimechoka kama madarasa ya shule za awali, bila shaka hata watendaji ni wachovu kama hadhi ya ofisi zao! Ney ni sauti ya yeyote anayeguswa na ujumbe katika nyimbo zake, chanya au hasi. Kusemana na kukosoana ni sehemu ya utamaduni wa maisha katika jamii!
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 Час назад
Inashangaza sana nikama wanaongoza punda la kubebea magunia yani likigoma haijalishi linaumwa au laa linaweza kula mjeledi mpaka likate moto sasa kwakua kwao pametulia wanadhani mtaani kuna usingizi mzito pia hawajui kama tunajua hata kabla ya wimbo wa Dogo kutoka ila tunangoja 2025 kura ziseme na ikiwezekana hatutaki usimamizi wa ndani tunataka watu wasiohongeka watakaochunga haki sahihi kati ya chama cha Giza na chama cha Nuru ya taifa
@Explore_Trucklife
@Explore_Trucklife 2 часа назад
Njaa tu
@AllyUliza
@AllyUliza Час назад
Ujinga haufungiwi wa aujadiliwi nyimbo za kizalenda na watu kuambiwa ukweli ndio zinashobokewa. Dawa ni kubadilika tu uchawa haufai kwny yakitaifa.
@dignakanje4508
@dignakanje4508 15 минут назад
Tuko kwenye nchi Fulani yenye amani lkni kunawatu 2achache sana hawaitakii nchi hii amani Wala uhuru wakujieleza
@Mosmwampa
@Mosmwampa Час назад
Ukiona nchi ambayo wasanii/waandishi wanaosema ukweli wanapitia haya, ujue hiyo nchi ishaoza kitambo inafanya kunyamazisha wasema ukweli
Далее
Kenji's Sushi Shop Showdown - Brawl Stars Animation
01:55