Mimi ni BERNARD nikiwa MAREKANI ushauri kwa wanyarwanda vita vinavyo piganwa congo wanyarwanda wanafurahiya ila mjuwe kwama usicheke mamba kabla haujavuka mtoni furaha sikumoja hugehuka kiliyo
Mheshimiwa Bernardo, hakuna Mnyarwanda hata mmoja anaefurahia vita vya kipumbavu vya DRC. Ufahamu kwamba nchi Jirani ikipata mgogoro wa kisiasa inakuzuru au inakuharibia kwa njia moja au yingine.umenipata? Sasa hivi biashara na usafiri Katikati ya Rwanda na DRC vimeyumba sana , kwa hiyo sasa, ukiona Mnyarwanda anakemea vita sio kuceka au kusheherekea. Ni vya kipumbavu kwa sababu : Viongozi wa DRC ( NYANKALAGATA) Ni Wajinga/mapumbavu sana, tena sana kabisa. Inakuwaje kiongozi/ Raisi muzima, mwenye Akili Timamu, ashindwe kutambuwa RAIA NA URAIA WAO? pumbavu
sio kufurahiya vita nikufurahia ulinzi wawatu wanayouliwa eti watusi kutoka Rwanda tena wamezaliwacongo mipaka ilikatwawakiwacongo mbo hujaongelea watu wanyo comwa nakula nyama zao