Тёмный

Ben Pol - Nyumbani (Official Music Video) 

Ben Pol
Подписаться 243 тыс.
Просмотров 473 тыс.
50% 1

#BenPol #Nyumbani #slidedigital
(C)Slide Digital
SMS VCT 11035446 To 15577 Vodacom Tz
Ben Pol celebrates the feeling of home in his latest single NYUMBANI.
You will be on your feet in no time with Ben Pol's latest single which is titled NYUMBANI, which means home in Swahili
In this song, Ben Pol reminisces about home and the feelings of love, belonging, nurturing and acceptance it brings to him. Home is where ones feels seen, understood and supported by the community, in bad and good times, regardless of life circumstances and material success.
The saxophone brings brightness and intensity to the song. Powerful yet mellow, round yet complex, its sound echoes perfectly the melodious and versatile voice of the King of RnB. Most of the instruments on the track were played live which further contributes to bringing warmth and aliveness to the vision of home.
Home is much more than a place, it is a feeling. May you always find a home in your heart
Listen & Download Ben Pol Music Worldwide
Follow Ben Pol On:
/ iambenpol
/ iambenpol
/ iambenpol
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 754   
@onesmokidava3383
@onesmokidava3383 4 месяца назад
Wangapi wakisikikiza hiii Songi wanakumbukqa Home Kama Mimi gonga Like Zako Twende Pamoja....!!
@officialchidboy
@officialchidboy Год назад
Kama unamkubali huyu mwamba acha like yako hapa 🔥🔥‼️
@MichaelMartne
@MichaelMartne 3 месяца назад
Kuna sku wimbo huu ulipigw kwa bus ismilo.. ndo kwanz nafka home mwanza..nilifeel aman saaaaan🎉🎉🎉
@neemachriss2605
@neemachriss2605 27 дней назад
Siku SI nyingi nitaenda nimepakumbuka nyumbani
@farajiwanted8257
@farajiwanted8257 Год назад
Kama Unaamin Huu Wimbo Unaenda Kuwa Trending Namba 1 🔥 Muda Sio Mrefu Gonga Like please
@kadelemaone2025
@kadelemaone2025 Год назад
TUJUANE TULIO ILUDIA HII NYIMBO KWENYE PLAY LIST 🔥🔥🔥
@zulfaomari2045
@zulfaomari2045 Год назад
Tuko wengi sana wimbo mzuri sana walahi sio utani
@eliabuelisantemziray5908
@eliabuelisantemziray5908 Год назад
Tupo
@shedrackjackson8572
@shedrackjackson8572 Год назад
Yani huu wimbo nmeutafuta mbaya hd leo nmeupata nmekua nausikia kwenye mtandao yan hapa nmerudia mara kumi na bado nauweka kwenye gari yangu
@shedrackjackson8572
@shedrackjackson8572 Год назад
Wimbo mzuri sana unakumbuka mbaliiii hd basiì
@user-dl3js2xc4c
@user-dl3js2xc4c Год назад
Ata mm
@AmiryBuruhan
@AmiryBuruhan 2 месяца назад
Kweli Labia.nyimbo.yenye.maadili.ya.kitanzania.ben.kaza.mwendo.kijana.wetu
@BakariSefu
@BakariSefu 3 месяца назад
Kijana unajua sanaaa acha wengine wapige kelele zao wakijua wanaimba
@awichatv2404
@awichatv2404 Год назад
Mwamba ni fundi sana gonga likes zake hapa🙌🙌🙌
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Год назад
Yaani mimi siku zote niko nje ya Tanzania nina home sickness, yaani nyumbani kila leo nalia nakumbuka sana nyumbani 😭😭😭😭😭😭
@Gmedia_Africa
@Gmedia_Africa 4 месяца назад
Ooh pole sana uko nchi gani😢
@JohaynaAbdallah
@JohaynaAbdallah Месяц назад
Hakuna sehemu nzuri kama nyumbani kwenu home sweet home 😢❤❤
@seniormagali5580
@seniormagali5580 Год назад
Nmegundua kila mwisho wa mwaka unatoa nyimbo kama hizi merody za zaman mwaka jana mwez kama huu ikawa #sikukuu imefika sema bro asante acha turud nymbn thanks
@officialbabjayishedey6338
@officialbabjayishedey6338 Год назад
Wagwan ✊ m'y bro ben nyumbani ni nyumbani tu bro atcha turudi nyumbani sasa
@eliusjohn3242
@eliusjohn3242 Год назад
Kama umeskiliza more than once gonga like
@BenPol
@BenPol Год назад
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@honestmsigwa920
@honestmsigwa920 Год назад
Mkataa kwao ni mtumwa,safi sana Ben pol waambie wengi wamesahau nyumbani.
@liliannasimiyu4586
@liliannasimiyu4586 Год назад
Niko saudi arabia nilikuw nimesema sirudi nyumbani after kuteswa na my mum bt am going back after kuskiza huu wimbo ..thank you so much BENPOUL❤❤
@KATOPE1
@KATOPE1 Год назад
Uko Sawa chali yangu huyu ni yule ya uk🙏🏿
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 Год назад
Nyumbani nyumbani nyumbani nimekumbuka nyumbani jmn adi nimelia😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@manp.....7694
@manp.....7694 5 месяцев назад
Sure huu wimbo unatoa machozi especially km uko mbali na familia yako
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 5 месяцев назад
@@manp.....7694 Sana yaan
@hadiadaoman1981
@hadiadaoman1981 Год назад
Nimepakumbuka nyumban naenjoy huu wimbo nikiwa Oman jaman Allah atujaalie tulejee salama nyumban🤲🤲Ben keep it up bro 💪💪
@stellalagwelagwe5539
@stellalagwelagwe5539 Год назад
Ingekuwa nchi zingine wangemtafuta jamaa wakafanya wimbo hata wa nchi maana jamaa yupo vizuri sana
@Emmanuel-nx1hi
@Emmanuel-nx1hi 9 месяцев назад
Karibu kukaya kijana wetu wa dodoma 💗💗💗
@noelzakayo8693
@noelzakayo8693 Год назад
Hii inaitwa pure talent brother mpo wachache bongo nikikuacha ww yupo belle9 ni hatariii xana
@MimiMimi-bw2cl
@MimiMimi-bw2cl 3 месяца назад
wimbo maaalum kwa kipindi maalum na kwa watu maalum.....thx bro
@emmanuelerick5031
@emmanuelerick5031 Год назад
Sema yule mam tuu ndo aliye kulet down chali yangu
@jacksonmadulanga7121
@jacksonmadulanga7121 Год назад
Daah hii nyimbo ya kufungia mwaka kabisa
@frankfedrick9360
@frankfedrick9360 Год назад
Na semaje hii ndio nyimbo bora zaid kwa sasa hii ndio sanaa tunayoikosa kw mda sasa ahsante benpol kwa burudan hii.
@frankfedrick9360
@frankfedrick9360 Год назад
huu ndo ukweli
@lukashonza7269
@lukashonza7269 Год назад
Wimbo unanikumbusha kwetu mahenje Mbozi
@adambwire2551
@adambwire2551 Год назад
👊💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 hatar sana
@saurasoso1543
@saurasoso1543 Год назад
Siku narudi nyumbani hii ndo nyimbo ntaicheza siku hiyo waarabu watajua hawajui ❤😂😂
@mariamunika6239
@mariamunika6239 Год назад
Inzi ndo nyimbo Sasa unajua sana
@gamerkiler7360
@gamerkiler7360 Год назад
2:01 akikujibu vibaya mwachie ana mzaz💥
@celestinajohnmpwani3861
@celestinajohnmpwani3861 Год назад
Hakika ujumbe mzuri sna barikiwa
@immahfred2127
@immahfred2127 Год назад
Ben pol chukua saluti yako mi shabiki yako namba moja, hongera kwa wimbo mzur,
@architecturedesingphillip8966
Safi sana nimesikiliza zaid ya mala 5. ni wimbo wa kila mtu kila umri anasikiliza safi sana 💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
@zennamdachi4387
@zennamdachi4387 9 месяцев назад
Nyumba nyumbani nimepakubuka nyumbani daaa nilijuwa taenda mwaka hu lakini wapi ila inshallah ipo siku mungu ni mwema 😊❤
@raviancitygeng
@raviancitygeng Год назад
Yaani nikwambie mwanangu kafanya unyama nyumbani like zake jameni 💕
@user-sh2wj2pg6r
@user-sh2wj2pg6r 5 месяцев назад
😢
@user-sh2wj2pg6r
@user-sh2wj2pg6r 5 месяцев назад
Wimbo mtamu sana
@elikanaernesti8440
@elikanaernesti8440 10 дней назад
Kiukweli this song imenigusa Sana nimekumbuka home nimekumbuka Wana tulo soma pamoja dahhhh
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 Год назад
WASANII WA TANZANIA KWANINI MUSIONDOKE NA MAPIGO HAYA, BEAT MAKERS WAKAJITAHIDI WAKALETA UBUNIFU ZAIDI KWA STYLES HIZI HIZI. NAAMINI TUNAPASUA ANGA KIMATAIFA.. HII NDO IWE IDENTITY YETU TANZANIA, NA IWE NI BONGOFLAVA MPYA... BEN POL, KAWEZAAAAAAA
@rizikimkula7943
@rizikimkula7943 Год назад
Amenikumbusha kwetu aisee ben Paul mungu akupe maisha marefu
@neemaseverine6164
@neemaseverine6164 Год назад
Nimepakumbuka nyumbani ...... Ahsate Kwa goma Kali lakufungia mwaka .... Ulijuaje kutoa nyimbo tamu hivi mwezi huu wa kuenda majumbani Yani hapa naenda keshoo
@antonikapinga9732
@antonikapinga9732 Год назад
Wanangue huyu broo nimkali wa hizi mambo@**
@agnesmaduhu743
@agnesmaduhu743 Год назад
Kw nyimbo hii Alie toka kitambo nyumbani lazima Amis nyumbani tu ********** star wa muziki wa kumuweka mtu sawa kimawazo na kurizika kwa nyimbo nzuriiiii Kama hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii******"""";;;;
@ayubuamsonjr9437
@ayubuamsonjr9437 Год назад
Nyinbo hii jamani inanifanya nikumbuke Sanaa nyumbani bonge la nyinbo kutoka kwa msanii mkubwa🧡💎
@BenPol
@BenPol Год назад
Asante sana 🙏🏽🙏🏽
@judicasayale3353
@judicasayale3353 Год назад
Huwa nampenda ukweli
@plan_b9377
@plan_b9377 Год назад
@@BenPol my blood am here your young br.
@plan_b9377
@plan_b9377 Год назад
@plan b569 very nice song of the year
@hamadiveleji5476
@hamadiveleji5476 Год назад
@@BenPol good kka
@zayb_tz
@zayb_tz Год назад
Wachaga wote hili homa tutalitumia tukiwa njiani kuelekea NYUMBANI December hiii , like hapa Kama wewe ni Mchaga mwenzangu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@abdallahgaillah7650
@abdallahgaillah7650 Год назад
Shimboni shavooo msheku😂😂
@maryjohn5057
@maryjohn5057 Год назад
Kitu nacho kipenda kwako kaka ni unapenda nyimbo zenye ala za zamani congratulations to you maana mziki umetulia hauna kelele na unaujumbe mzur be blessed my favorite one zidi kutumbuiza zaidi 😇😘
@user-og8bx9uv9o
@user-og8bx9uv9o Год назад
❤pamojasana
@ramadhanimwalile4221
@ramadhanimwalile4221 Год назад
Baada ya moyo mashine ina fata ingoma kali Sana salute kwako brother
@BenPol
@BenPol Год назад
Asante sana 🙏🏽🙏🏽
@stuwartsosthenes1977
@stuwartsosthenes1977 Год назад
kama nimeimba mm, duuh nilipanga kwenda mwakani..... Lakn naenda leo kabisa, ben pol nakuomba kitu, tumemiss sana sauti yako na nyimbo mpya zako. hakika nitainjoy na familia yangu.
@rehemawilliam6050
@rehemawilliam6050 Год назад
Nyumbani 🇹🇿🇹🇿nimepakumbuka 😭😭😭
@SaimonSuwi
@SaimonSuwi 4 месяца назад
Agwe beni mwanakwetu nyimbo Yako chayelewa aru ujibu wafika kukaya wawaona ujibu inji
@mungamwachaga
@mungamwachaga Год назад
Nafurahia venye utamaduni wazungumziwa kwa njia ya kipekee. Mtoto ni wakila mtu.
@aloycejoseph22
@aloycejoseph22 Год назад
Ben pol + emasax ni moto wa hatar nyimbo nzr sana tenA hatar
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Год назад
Huyu kijana anajua kiukweli kuwa kumbusha wazee nyimbo za zamani kuziimba kisasa
@stephanoemmanuel6612
@stephanoemmanuel6612 Год назад
Tulimisi magoma yenye radha kama hii ben asant sana umetupa ngoma nzuri isionamatusi yenye elimu kaka
@Asmaa-nk4ef
@Asmaa-nk4ef Год назад
Rudi nyumban kwenu dodoma Ben pol love song ❤️
@pascaladloph4719
@pascaladloph4719 Год назад
Wimbo unaotokana na fleva yetu ya asili ya kiafrika. Si mpenzi wa bongo flavor kwa sababu nyimbo nyingi ni mapenzi mapenzi, uvaaji usio wa kimaadili , nyimbo zingine hazina maana kabisa. But this one is my song of the year kwa kweli. Niliusikia redioni nikaamua kuutafuta hapa. Hongera sana bro.
@eliaskiloyabulima6632
@eliaskiloyabulima6632 Год назад
Ambae hawezi kuuelewa huu wimbo na kuupa like na comment nyingi huyo labda Hana nyumbani kwao. Narudi nyumban nikawaone wazeeee.
@adventuremanmatunda22
@adventuremanmatunda22 Год назад
Jaman like zangu apa kaka ben ni mkali wa Haya magoma♥️♥️
@hafidhali4336
@hafidhali4336 Год назад
Hii ngoma kali. Kwa wakati huu km angekuwemo harmonize konde boy Kwa hii ngoma ingalikua🔥🔥 yaani kama namuona vile jeshiiiii
@beleoneo8395
@beleoneo8395 Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-U5AsYNhf8Og.html
@Suka_Dm_Guy
@Suka_Dm_Guy Год назад
Uko sahihi bro
@fatimahants1526
@fatimahants1526 Год назад
Ujumbe wenye umakhiry ❤️❤️❤️
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Год назад
@@hafidhali4336 Uhakika bro
@user-gr8nl8oy8y
@user-gr8nl8oy8y Год назад
Kwel bora kurud nyumban
@lazarogatahwa1106
@lazarogatahwa1106 Год назад
Kiufupi huwa na mkubali huyu mwamba
@sunboy6332
@sunboy6332 Год назад
tunaomba uwe unatoa nyimbo tunamisi sana mziki kama huu masikioni ......good music
@mwansasu
@mwansasu Год назад
Naomba like #nice song
@lucyantony2628
@lucyantony2628 Год назад
Yupo vizuri sana ben pol
@angelhumay991
@angelhumay991 Год назад
Hongera Ben nmekumbuka home balaa nmejua kulia
@JumaKitunga
@JumaKitunga 2 месяца назад
Bro unajua ,,respect kaka❤❤
@anithamzanje7101
@anithamzanje7101 Год назад
Sijui eeee sijuii huku Wana roho gani.? Sijui ee sijui wamezaliwa na nani?🤔 wema utakufata daima. Aaaah nyimbo swanuu gweeeeee.
@bokabecca5473
@bokabecca5473 Год назад
jinsi kile unachoshiriki kinavyoongeza thamani kwao na...Je, jukwaa unalounda linatoa burudani, maarifa, ustadi, jamii, motisha, n.k kupitia chapa yako na muziki. Kujua unachotaka kuwasilisha ndio msingi wa kujenga hadhira yako....wakati wanamuziki wengine wanafuata upepo wa amapiano na afrobeat....ben amebaki kuamini nyumbani
@luwindaalfani2660
@luwindaalfani2660 Год назад
kaka umetisha nimesikiza iii ngoma umeniliza kaka
@rabanikisusi386
@rabanikisusi386 Год назад
sema Ben hukufika nyumbn Gari lilikomea njian,,,ungefika nyumbn kabs ukiwa unapokelewa na mama au baba,,sema nn irudiee
@maiyasiraji878
@maiyasiraji878 Год назад
Benpol king wa nyimbo bora Tz👍
@user-mz2oi5ny3m
@user-mz2oi5ny3m 11 месяцев назад
nyimbo safi sana na mimi narudi kwetu lindi nyumbani nikamuone bibi
@justinkihongo7254
@justinkihongo7254 Год назад
Hongera sana brother BEN kiukweli nimesoma comment nashanga unajibu comments wengi hawajali kabisa hongera sana
@haisamseif2744
@haisamseif2744 Год назад
Ndugu yangu Ben pol hiki ulichokichagua dumu nacho Kwan ni mziki ambao wanasikiza rika zote ladha nzuri kabisa.
@Ndenza
@Ndenza Год назад
2023 Niko hapa nasikiliza mziki mzuri toka kwa Ben pol
@fatimahants1526
@fatimahants1526 Год назад
Bonge la song dodoma kwetu...ujumbe makhiry sana
@ruwaidamohd9382
@ruwaidamohd9382 Год назад
Yan hongera sn hii nyumbo niliiskia redion nilifatilia hadi medonlod
@sampianist1303
@sampianist1303 Год назад
Daah unanifanya nilie jamn
@kversetz563
@kversetz563 Год назад
Ujawahi kosea Dom nation moja hy
@user-gy8mh2wb2d
@user-gy8mh2wb2d 11 месяцев назад
Nimeikubali hii, mungu akubaliki sana Ben pol, sema tatzo weng hawielew maana wameZoea za mapenz ko wanaoona kama umewatukana, lkn kumbe ndo wimbo bora
@user-yb4xm8zz5f
@user-yb4xm8zz5f Год назад
Mwamba anajua nyimbo zake.zote nazikubali
@pascaladloph4719
@pascaladloph4719 10 месяцев назад
african music kabisa. mimi sio mpenzi wa bongofleva maana hamna zaidi ya mapenzi na kuvaa uchi uchi. huu mziki ndo wenyewe
@msochamouddy7742
@msochamouddy7742 Год назад
Burudani nzuri haijifichi,shukran kwa kazi iliyokamilika bila kubagua umri au jinsia hata na watoto tunaburudika😚🤗,
@BenPol
@BenPol Год назад
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@happydaniel5563
@happydaniel5563 Год назад
@@BenPol 🙌 good song congratulations mgogo mwenzangu
@damianmakala2913
@damianmakala2913 3 месяца назад
Ben pol huu wimbo ulimaliza kila kitu ! Yaan bonge la wimbo
@Suka_Dm_Guy
@Suka_Dm_Guy Год назад
Ben pol hajawahi kufeli
@UpendomeshackLazaro-ey7ce
@UpendomeshackLazaro-ey7ce 11 месяцев назад
Uyu mwamba ni hatar sana kwakwel huu wimb nimeupenda sana
@CharlesNtare
@CharlesNtare Год назад
Chukua maua yako brother ❤❤❤❤
@manp.....7694
@manp.....7694 5 месяцев назад
Ben pol nakupenda sana. Naona ata unavoigza pazia. Sure ww unakipaji cha pekee sana. Goog enough huna majivuno na sio mtu wa kick..
@stephensikazwe7805
@stephensikazwe7805 Год назад
Kaiba turn ya mwansasu, acheni gospel ieshimike!
@freyjdollar1908
@freyjdollar1908 Год назад
Daaaah kaka unajua sanaaaa
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 Год назад
SEMA Ben anazingua sana mkaliiii sana halafu anajikalisha kimyaaa mda mrefu acha hizo benpol
@georgejubeck7841
@georgejubeck7841 Год назад
Hii ngoma na ile ya mama aisee ziwekwe makumbusho ya taifa
@arostoboob6628
@arostoboob6628 Год назад
Daah nimefurahi Sana Ben pol kuachia ngoma big up broo
@BenPol
@BenPol Год назад
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@wazirijunior794
@wazirijunior794 Год назад
Huna baya bro Hongera kwa ngoma kali yenye ujumbe kwa kila rika
@antonymnapaaaantonymnapaa7939
Brother ahsante kawimbo haka tangu katoke huwa nakasikiliza kila siku. Ahsante sana
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Год назад
Walio toka kwenda kutafuta maisha njee tunao kumbuka vijijini kwetu tujuane
@NeziaKoroti-pb4tb
@NeziaKoroti-pb4tb Год назад
Hizi ndo nyimbo sasa unausikiliza mpk unajikuta unarudi nyumbani kweli
@hamidamkwizu5335
@hamidamkwizu5335 Год назад
Kuna watu wapo mjini hawana time na wewe lakin ajabu tukiwa nyumbani maisha yetu yalikuwa same same
@elishasdays3066
@elishasdays3066 Год назад
Allow Huyu sasa Ndo MWANAMUZIKI 💯ANAE UISHI MUZIKI
@mpandukagracempanduka3601
@mpandukagracempanduka3601 Год назад
Huwa nasema wasanii wa Sasa hawaimbi kama nyimbo za zamani Hata zipigwe Leo zina MVUTO sana na ladha ya mziki asilia Leo hii Ben pol ametupa ladha iliyo ya DHAHABU nasikia raha sana hii nyimbo ni nyimbo ya Karne ya 21 iloimbwa na kijana mdogo mwenye kutumia vyombo vya mziki mzuri keep it up ben Mimi dada Ako japo kijana lakini napenda miziki ya wazee wetu wa zamani
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 Год назад
Bonge moja la wimbo! Ni aina flani ya mziki tunaoukosa Sana! Ben pol umetisha Sana! Hongera Sana! Kazi nzuri mnooo!
@BenPol
@BenPol Год назад
Asante sana 🙏🏽🙏🏽
@jamesmumbi8424
@jamesmumbi8424 Год назад
@Ben nyimbo nzuri ila kama mshabiki wako ningeomba utuletee nyimbo ambayo ingegusa matukio yako ya kimaish hasa yakihusisha visange vya ndoa uliyopitia iwe kama movie hiviii Hopefully automatically itakuw hit song
@faudhiamalllata290
@faudhiamalllata290 Год назад
Mbona machozi yanitoka jmn hii nyimbo hakafu nipo mbali na kwetu
@fredyasante1115
@fredyasante1115 Год назад
Muda sahihi kabisa ben hujawahi kuniangusha, narudi Kilimanjaro 😊
@eddytozz644
@eddytozz644 Год назад
Hii Ngoma kali sana @benpol I love your style
@BenPol
@BenPol Год назад
Asante sana 🙏🏽
Далее
Ben Pol - SOPHIA (Official Music Video)
4:14
Просмотров 1,2 млн
🍏 Устарели ОФИЦИАЛЬНО! 🤡
00:32
Ben Pol - Nyumbani (Official Audio)
5:18
Просмотров 22 тыс.
Ben Pol X Darassa - My Life (Lyric Video)
4:46
Просмотров 202 тыс.
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
Nawashukuru Wazazi Wangu
7:10
Просмотров 1,6 млн
Diamond Platnumz - Zuwena (Official Music Video)
4:02
🍏 Устарели ОФИЦИАЛЬНО! 🤡
00:32