Тёмный

BERNADETHA MAGUMBA JINA LA YESU Official Video 

Bernadetha Magumba
Подписаться 38
Просмотров 77
50% 1

"Basi Petro na Yohana walikuwa wakikwea pamoja kwenda hekaluni, saa ya kusali, saa tisa. Na mtu mmoja aliyekuwa kiwete toka tumboni mwa mamaye alichukuliwa na watu, ambaye walimweka kila siku katika mlango wa hekalu uitwao mzuri, ili aombe sadaka kwa watu waingiao ndani ya hekalu. Mtu huyo akiwaona Petro na Yohana wakiingia hekaluni aliomba apewe sadaka. Na Petro, akamkazia macho, pamoja na Yohana, akasema, tutazame sisi. Akawaangalia, akitarajia kupata kitu kwao. Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende. Akamshika mkono wa kuume, akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vyake vikatiwa nguvu. Akaondoka upesi akasimama, akaanza kwenda; akaingia ndani ya hekalu pamoja nao, akienda, akiruka ruka na kumsifu Mungu" (Matendo 3:1-8)
"Maana umri wake yule mtu aliyefanyiwa ishara hii ya kuponya ulipita miaka arobaini."(Matendo 4:22)

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2   
@constantkhaemba2674
@constantkhaemba2674 10 дней назад
Hallelujah hallelujah Glory be to God mum.... baraka teletele
@DavidRobert-e5w
@DavidRobert-e5w 10 дней назад
Mungu akubariki kwa wimbo mzuri
Далее
GREAT idea for Camping #bushcraft #survival #lifehacks
00:24
Customer Care Sn2 Ep 68B
20:51
Просмотров 58 тыс.
Evangelist Gwatidzo || Duduzile (bridal shower)
32:37
Просмотров 1,1 тыс.
EBENEZER
24:21
Просмотров 5 млн