Kwa kumbukumbu tulizonazo hivi sasa usomaji wa pumzi moja kwa dakika moja na sekunde arobaini na mbili (23:40-25:22) pengine ndio mrefu zaidi duniani. Mungu akuweke Sheikh wetu Iddi Shaaban, akupe umri mrefu, maisha ya furaha, afya njema na riziki halali na ya kutosha. Amin.
23:40 up to 25:22 in one breath ful sura AdDuha + part of sura al'Alag. Amazing! Subhan Allah alAzim! Let Allah bless him. And let Mighty Allah bless mach more people like hagi Shaban. Amin!