Тёмный
No video :(

BI KHADIJA KOPA: AFUNGUKA A-Z MAHUSIANO YA ZUCHU" AMSHUKURU SANA DIAMOND PLATNUMZ 

Vimba Media
Подписаться 681 тыс.
Просмотров 70 тыс.
50% 1

Share, Support, Subscribe!!!
Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ
RU-vid: / hzbtv
Twitter: / harakatizabongo
Facebook: / harakatizabongo
Instagram: / harakatizabongo
Google Plus: plus.google.co...

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 64   
@cassyrex2023
@cassyrex2023 2 года назад
👏👏👏👍👍👍Hongera mama na mwanao mnapendeza sana. Very nice performance sisi watu wa diaspora tunawapenda sana😍😍😍. Mwendelee kufanya juhudi, mwenyezi mungu awafungulie Milango na abariki kazi ya mikono yenu.🙌🙏🙏🙏
@milliahachenya2749
@milliahachenya2749 2 года назад
Mbona mama Hana raha,Khadijah Kopa huwa na furaha sana kwa shows ,hapa hapana
@jumajay8496
@jumajay8496 2 года назад
Mama body language she is not happy for what had happened to her doughter, to falling in love publicly with a wrong person, Mama amejikaza lkn kama mtu mzima anamuhurumia mtoto wake kanasika kwenye mtego na kuzungumzwa hadharani na mitandaoni.
@luluabdul2800
@luluabdul2800 2 года назад
Kwel kabisa
@KADALAtv255
@KADALAtv255 2 года назад
Surely
@happyjohn8370
@happyjohn8370 2 года назад
Hongereni kwa kufurahia
@aisharamadan3620
@aisharamadan3620 2 года назад
MH KAZI ipo
@husnajuma8193
@husnajuma8193 2 года назад
😁😁😁😁wewekakawewe tofautisha muolewaji na mdangaji zuchu nimdangaji yani mvuja mausiano ya watu
@devothajacob5197
@devothajacob5197 2 года назад
Huyu mama Hana furaha
@juliennenzeyimana3274
@juliennenzeyimana3274 2 года назад
Jinsi arikuwa anategemeya siyo gisi amekuta mambo shikamo khadija
@KADALAtv255
@KADALAtv255 2 года назад
Umeona eee hata mie nimeona amebadilika sura tofauti na interviews zilizopita naona hata yeye hajaelewa kilichotoke
@rajabessa3675
@rajabessa3675 2 года назад
Hana raha walai
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 года назад
Atajua hajuiiii yule ndio mondiiii
@aminaomar4073
@aminaomar4073 2 года назад
Ajieke tu kando na Kiki za wcb.. Mama alikurupuka tuzidi tu kusubiri
@kisesamwilima6952
@kisesamwilima6952 2 года назад
Ila ni vibaya sana kucheza na hisia za watu, kwa mtoto wa kike ndoa ni jambo kubwa mno, Diamond asifanye masihara anampa mateso mtoto wa watu mana viashiria vinaonesha mtoto hakuwa na furaha hasa baada ya yale mahojiano
@rahimalewe2835
@rahimalewe2835 2 года назад
mama kanuna 😆😆😆😆😆 angevalishwa pete hapa leo pangenuka angeongea na kichwa😂😂
@saudangalleni388
@saudangalleni388 2 года назад
Alikua anajua kama Amna Pete yule ni mwanae Ila ni biashara tu ili watu wajae panda ilidanganyik ww
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 2 года назад
Show ilikua ovyo sana. Aibuuuuuu. Mbaya mbaya mbaya tena. Lokole alikuwepo jamani? Maimatha mbona sikuwaona
@SophiaBakari-wh4zg
@SophiaBakari-wh4zg 4 месяца назад
Mmmhhhh
@hidrammwanga3508
@hidrammwanga3508 2 года назад
Mama alikuwa amechoka
@mkasiali6956
@mkasiali6956 2 года назад
Hadijakopo kanuna
@mintasha1732
@mintasha1732 2 года назад
Mama mjanja😁😁😁
@Blesseddaughter95
@Blesseddaughter95 2 года назад
Tena sana
@preciousbrittney2879
@preciousbrittney2879 2 года назад
😂😂🤣🤣
@TheDreamFamily0
@TheDreamFamily0 2 года назад
Hhj nyiye munajuwa kudanganya,watu.tu, Nihatari munajuwa kucanganyikisha watu, 😭😭😭 Mama dangote amekatara!!! Peta nihatari 🙂🙂
@janepherkhisa8581
@janepherkhisa8581 2 года назад
Huyu mama hana furaha kwa yale aliyotarajia sivyo
@VimbaMedia
@VimbaMedia 2 года назад
😂😂😂
@alhabsi6430
@alhabsi6430 2 года назад
Kabisa
@mamaikram7573
@mamaikram7573 2 года назад
😆😆😆😆
@didamsellem2679
@didamsellem2679 2 года назад
Hataki kuhojiwa uo
@hellenpetter4094
@hellenpetter4094 2 года назад
Aki vile hana rahaaa kajickia mkiw
@shamimu..5120
@shamimu..5120 2 года назад
Masikini zuchu kesha funguliwa but ".....
@blueberrypotatogames7950
@blueberrypotatogames7950 2 года назад
Kadidja Koppa napenda gisi unsjibiya.
@lifhonlee3427
@lifhonlee3427 2 года назад
Alaf anajikaza kutoa maneno kama hapedi io ndoa.au.hajapata kamnyweso mama etu😃😃😃
@fatmaalhabs6939
@fatmaalhabs6939 2 года назад
Kanunua kweli Hana furaha
@emilymuthoni7022
@emilymuthoni7022 2 года назад
Mama kachoka usiku mzima
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 года назад
Mbona kapoa sana nini mbaya mama? Maan interview za nyuma ulikuw mchangamfu lkn hapo ona mpoleeee au huamin kilichotokea leo???
@Mohaa4309
@Mohaa4309 2 года назад
Mama mjanja saaaana 😂😂😂😂
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 года назад
Wee umemshukuru daimond kwa kumfyampa mwanao na kukaa uchi mbele za watu hebu mama yangu badilikeni jamaa
@Mohaa4309
@Mohaa4309 2 года назад
Ulikuwa wataka avae vp, wajua usanii wewe???
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 года назад
@@Mohaa4309 aaa nilikuwa sijui kumbe usanii ni kukaa uchii ok
@fatmamatuma4073
@fatmamatuma4073 2 года назад
@@Mohaa4309 mbona mamaake maanii na hakai uchi
@mesukanku6016
@mesukanku6016 2 года назад
@@selemankishema5780 et toi tu fais le juge? Pourquoi tu as regardé ?tu éteins ta T.V et puis tu dors
@richardmweri7918
@richardmweri7918 2 года назад
@@Mohaa4309 c khadija ni mamake na ni msanii mbona havai uchi
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 2 года назад
mbona uso mdogo hivyo
@rahimahomers319
@rahimahomers319 2 года назад
Masikini mkwe wa taifa
@haddasah23
@haddasah23 2 года назад
This woman is sad! Diamond has let her down by using her daughter.
@ftyuvicghjj2611
@ftyuvicghjj2611 2 года назад
Yani vishindo vyte vile vya kuungana familia mbili🙆‍♀️ diamond nae kama alishindwa hii atawai oa tena,yani aibu Zuchu mwnywe alitarajia mengne mwenzke akamkana🤣🤣🤣🤣🤣
@ayoanite4011
@ayoanite4011 2 года назад
Inasemekana mama Diamond alikataa zuchu avalishwe pete
@tatumashauri6589
@tatumashauri6589 2 года назад
Maji yamekaba shigo
@mamaikram7573
@mamaikram7573 2 года назад
Kitu aims hili linamambo ya kitoto
@mr.telkom.4909
@mr.telkom.4909 2 года назад
Huyu ni mumbea but nimependa maji ya mama Hadijah Kopa. 🙄🙄 Amekaziwa majibu....🤣🤣🤣
@Mohaa4309
@Mohaa4309 2 года назад
Mama majibu ya bei sanaaaa 😂😂😂
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 года назад
Hasira mamaaa
@hellenpatrick3041
@hellenpatrick3041 2 года назад
YAANI ADI MANGEE KIMAMBI KAPIGWA NA KITU KIZITOOO SI ALISEMA ANAOLEWA 😂😂 ZUCHU
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 2 года назад
Kanuna hahaaaaa. Na ingekua kavishwa pete tuu basi leo tungekoma. Angejigamba huyoooo. Daimondi gaaaaaaani wahuni kwa ukoo wale. Wamezoea kuzini
@mesukanku6016
@mesukanku6016 2 года назад
Les voies de DIEU ne sont pas vos voies
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 года назад
Kimeumanaaa
@fatmaalhabs6939
@fatmaalhabs6939 2 года назад
Mbona Kama kakasitika au vile hajavisha pete
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 2 года назад
😂😂😂😂😂
@AngelAngel-sy6my
@AngelAngel-sy6my 2 года назад
😂😂
@alhabsi6430
@alhabsi6430 2 года назад
🤣🤣
Далее
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 273 тыс.
Burundi Drummers
4:28
Просмотров 108 тыс.
JIFUNZE NAMNA YA KUREKODI MUZIKI KWA CUBASE 10
0:27
Amazing rwandan kids dance
0:49
Просмотров 1,8 тыс.