Тёмный

BI MWAJUMA MTAALAMU WA KUPIKA CHAPATI MNYAMBUKO NA NAMNA YA UANDAAJI WAKE AONGEA NA UHONDO WA EFM 

Dina Marios tv
Подписаться 284 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 года назад
Mashallha yani mpaka nimemkumbuka marehemu mama yangu miaka hiyo mtaani chapati kwa mama sia tu chapati ikipikwa leo kesho bado iko vile vile lakini akuna aliye majuzi kama mama yetu katika watt wakike watano angarau mm kidogo sikuizi najitaidi
@sylviaoum2943
@sylviaoum2943 3 года назад
Hongera sana mama mpiganaji..Mwenyezi Mungu aibariki kazi yako .
@hadiyamussa5824
@hadiyamussa5824 2 года назад
Mashallah na mimi kwenye mashindano nimo maana naitambua vizuri Alhamdulillah
@munahmahmoudjira6973
@munahmahmoudjira6973 3 года назад
MaashaAllah hongera sana dada mwajuma
@muznahmuznah8601
@muznahmuznah8601 3 года назад
Mashaallah nataman ningekua mjuzi sana wa kipika
@ashayummy2299
@ashayummy2299 3 года назад
nakupenda dina
@sikitujuma4866
@sikitujuma4866 2 года назад
Nipo marekani naomba ujuzi wachapti
@marygaspar6429
@marygaspar6429 3 года назад
Dada Mwajuma naomba nije unifundishe!
@annasilayo1405
@annasilayo1405 3 года назад
Sababu mandazi nimepika Sana nayalikuwa yanatoka sema Tu haliya ujauzito nikaacha
@lonelyparent
@lonelyparent Год назад
Sasa ushawafundisha watu Siri ya chapati yako,si watakushida
@MaryamMaryam-gi9zw
@MaryamMaryam-gi9zw 3 года назад
Hamfikii sophi
@saidasaid5855
@saidasaid5855 3 года назад
Jamani nyie chapati inaleta Sura ya wabaya wako😂😂😂😂😂😂😂😂
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
Duh
@munamohd963
@munamohd963 3 года назад
Na mimi mpemba pianapika vizuri chapati tamu sana.tu
@dazuujuma1211
@dazuujuma1211 3 года назад
Ila mupunguze kuringa kutafuta uko mwaka mzima veepe
@khadijahmadua4811
@khadijahmadua4811 3 года назад
❤💞
@MohammedAli-vq2dk
@MohammedAli-vq2dk 3 года назад
🤣🤣🤣🤣Eti zinabadilika km sura za wabaya wako
@اويمااويمااا
@اويمااويمااا 3 года назад
Chapati zinalipa ukizijulia
@maryamdullazy3276
@maryamdullazy3276 3 года назад
Mawasiliano yake
@zawadikasim6679
@zawadikasim6679 3 года назад
Kumbuka Saudia chapatizao pembe nne
@zuwenagadaph4217
@zuwenagadaph4217 3 года назад
Shukuran sana watangazaji na mie naomba kushiliki shindano la chapati
@annasilayo1405
@annasilayo1405 3 года назад
Yn nimepata wazo nitaanza kupika chapati mimwenyewe mtaalamu
@aminaally270
@aminaally270 3 года назад
Uko sehemu gani tuungane
@flikleyskitchen6813
@flikleyskitchen6813 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
Далее
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Просмотров 3,5 млн
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
Просмотров 877 тыс.
Design Business Card Kwa Kutumia Photoshop
28:38
Просмотров 6 тыс.
Biashara ya Mama Ntilie
11:48
Просмотров 15 тыс.
FAHAMU UKWELI KUHUSU PUMU YA NGOZI  -  JIONI YA LEO
30:43
JIFUNZE KUHUSU BIASHARA YA CHAPATI
22:55
Просмотров 14 тыс.