Тёмный

BIASHARA YA BISKUTI TAMUU/BIASHARA ZENYE MTAJI MDOGO 

Ika Malle
Подписаться 477 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

#biasharandogondogo

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 144   
@ShufaaSalumu
@ShufaaSalumu 3 месяца назад
Asante kwa mafunzo mazuri nimeipenda mungu akuongoze
@richardogalo1949
@richardogalo1949 Год назад
Very beautiful work. I have learned a lot. Thanks for sharing
@presespeter779
@presespeter779 Год назад
We dada Huwa nakufuatilia sana,mungu akubariki,,,,,,!!! Nilikuwa nahutaji msaada zaidi wa vipimo kwenye kuchangana plz
@sharifsaid1481
@sharifsaid1481 3 месяца назад
Hongera sana ndugu nimependa sana mapishi yako
@itz-ritkor1256
@itz-ritkor1256 Год назад
Mashaallah nakupenda sana ningependa sana ufanye za biashara tufaiduke
@ElizabethMsuya-m4h
@ElizabethMsuya-m4h 2 месяца назад
Nimependa sana nahitaji kujifunza hiyo❤
@est1030
@est1030 11 месяцев назад
Ahsant sana dada kwa somo la biashara Mungu akubaliki
@ashakawia2265
@ashakawia2265 Год назад
Asante sana dear!! You're the best!!
@ikamalle
@ikamalle Год назад
Asante sana
@sabinamajembe151
@sabinamajembe151 8 месяцев назад
Haika asante sana Mimi napenda sana vitu ambavyo unatufundisha Mungu akubali nalifanyia kazi
@Suzanapaskali
@Suzanapaskali 6 месяцев назад
Asante kwa darasa vp nikihitaji hivo vifaa ntavipataje dada ili na Mimi ni fanye biashara❤
@tcme.7125
@tcme.7125 Год назад
Asante saana dada haika kwa elimu ya bure ya Biashara..... Me binafsi nafurahia sana izi videos za biashara..... Ubarikiwe sanaaaa
@EsperanceKinya
@EsperanceKinya Месяц назад
Asante sana ubarikiwe
@AgnessLaurence
@AgnessLaurence 3 месяца назад
Shoga angu naomba niulize unauza shingapi Moja
@Marys_delicacies
@Marys_delicacies Год назад
Asante sana dear tunapenda more videos za biashara
@ikamalle
@ikamalle Год назад
Sawa ❤️❤️
@joycemughenyi
@joycemughenyi Год назад
waooo kaz nzuri dad
@ikamalle
@ikamalle Год назад
Asante
@ElizabethMsuya-m4h
@ElizabethMsuya-m4h 2 месяца назад
Nimependa sana napenda kujifunza hiyo plz❤
@gabriellagregoreite4609
@gabriellagregoreite4609 Год назад
Nzuri sana. Endelea kitufundisha biashara dear
@ikamalle
@ikamalle Год назад
❤️❤️
@salmaazary92
@salmaazary92 Год назад
Asante sana Kwa upendo wako ,naomba unielekeze bei ya kuzia maana nashindwa niuze vipi
@selinamwakiluma7968
@selinamwakiluma7968 Год назад
Shukran, tuongezee za biashara tupate ujuzi
@Sadedimples
@Sadedimples Год назад
Asante dear kwa receip🌹
@ikamalle
@ikamalle Год назад
Karibu
@divinemushi1417
@divinemushi1417 Год назад
Uko vxr sana my dear ❤️❤️❤️
@ikamalle
@ikamalle Год назад
Asante
@user-eq6cl5xr7w
@user-eq6cl5xr7w 23 дня назад
Nimeipenda dada huduma Yako.
@judithalex5057
@judithalex5057 Год назад
Napenda kazi zako mpendwa naomba unifundishe hii biashara
@caritasmushi9372
@caritasmushi9372 Год назад
Hongera sana dear kazi zako nazipenda sana
@saraphinamtegwa9128
@saraphinamtegwa9128 Год назад
Ni nzuri Sanaa,hongera nami nitajifunza
@ikamalle
@ikamalle Год назад
Asante na Karibu
@monicalaizer7596
@monicalaizer7596 Год назад
Nzuri sana ntajaribu kutemgeza Asante
@siphifahashimu9723
@siphifahashimu9723 День назад
mashaalah
@ZuhuraKapulilo-uo3lb
@ZuhuraKapulilo-uo3lb Год назад
Nimependa Sana barikiwa
@janethmugusi8451
@janethmugusi8451 Год назад
Unaweza kutumia cornflower badala ya custurd power
@evelinaemilius5656
@evelinaemilius5656 Год назад
Dada hongera sana kwakweli nimekupenda bure
@tausikayonga8649
@tausikayonga8649 Год назад
Nzuli Santa napenda kua kama wewe nakupenda Santa na Asante izo kati nazipata vipi tafadhali nielekeze
@neemaminja6539
@neemaminja6539 Год назад
Asante kipenzi 🥰🥰 Wait for more videos mungu abariki kazi ya mikono yako
@ikamalle
@ikamalle Год назад
Amen
@evalineemmanuel8178
@evalineemmanuel8178 Год назад
@@ikamalle my naomba namba yako
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Maa shaa Allah
@fredykennedy8357
@fredykennedy8357 4 месяца назад
Upo vizuri kabisa ❤
@josephinewilliam3481
@josephinewilliam3481 Год назад
Ni nzuri sana hongera, naomba kujua kuna biscuit zingine hapo hazijatobolewa maana naona upande wa pili haujatobolewa
@ikamalle
@ikamalle Год назад
Ndio za china hazijatobolewa
@mariampolle1850
@mariampolle1850 Год назад
Sana kifaa chakukatia vinapatikana wapi
@user-jc4ny7zi5s
@user-jc4ny7zi5s 10 месяцев назад
Sijaelewa siag kwalug nzul nifafanulie
@user-mf8gh3zr3j
@user-mf8gh3zr3j 10 месяцев назад
Nimependa,nzuri
@WinfridaKimati
@WinfridaKimati 4 месяца назад
Nimependa sna kama hyo unauza shingapi na vikontena vinapatikana kwa bei gani nahitaji nifanye biashara
@zuhuraa9342
@zuhuraa9342 Год назад
Asante dada nimependa na mimi nitafanya biashara hii
@HamidKhan-sb2xk
@HamidKhan-sb2xk 9 месяцев назад
Shukurani kwa mafunzo mazuri na mfano safi sana. J uko wapi hapo ? Na nina hitaji msada wako.
@salmaazary92
@salmaazary92 Год назад
Darasa nimelielewa vzr kabisa na nimelifanyia kazi
@mamatwins9099
@mamatwins9099 11 месяцев назад
Napenda sana jamn
@MerryChediel-rn2qp
@MerryChediel-rn2qp Год назад
Hongera Sana
@annaleonce3398
@annaleonce3398 6 месяцев назад
Asante kwa somo
@Peterkasanga-fp6hd
@Peterkasanga-fp6hd Год назад
Hongera dada kazi zuri.
@ikamalle
@ikamalle Год назад
Asante sanaa
@jamaldindizla31
@jamaldindizla31 Год назад
KAZI nzurie
@MariamYusuf-mi6xo
@MariamYusuf-mi6xo Год назад
Upo vzr kwa kazi mashaallah, he ukipikia kwenye jiko la mkaa unafanyaje maana wengine oven hatuna?
@ikamalle
@ikamalle Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-xM-EuRW7Hag.html
@PeninaWayoga-ot2hk
@PeninaWayoga-ot2hk Год назад
Big up
@rafikiemmanuel2770
@rafikiemmanuel2770 9 месяцев назад
Kazi nzuri dada
@warqigb9924
@warqigb9924 Год назад
Kazi nzuri
@ikamalle
@ikamalle Год назад
Asante
@user-vk4ff9we9k
@user-vk4ff9we9k 6 месяцев назад
Habari!Naomba nisaidie hiyo siagi umesema robo 3 umetumia kipimo gani sijaelewa?Asante
@martinaamos8387
@martinaamos8387 10 месяцев назад
Waooo nimeipenda
@ZuhuraMalenda
@ZuhuraMalenda 5 месяцев назад
Ivyo vifaa vya kushepia vinapatikana wap
@suzzymussa89
@suzzymussa89 Год назад
Eeeh safi sana dada ujasiliamari
@HarriethNgombale-n7r
@HarriethNgombale-n7r 10 месяцев назад
Asante Kwa mafunzo
@edwinkatunda6859
@edwinkatunda6859 11 месяцев назад
Asante mpenzi
@user-mn4um5qu3d
@user-mn4um5qu3d Год назад
Very well🎉
@user-vu1sm7ii2p
@user-vu1sm7ii2p 8 месяцев назад
Hbr hizo cuts naweza pata wapi
@japhetkaihula6515
@japhetkaihula6515 Год назад
Ndg hongera,tusaudie namba ya simu
@REGULARBONIFACE-ex6fy
@REGULARBONIFACE-ex6fy Год назад
Naomba KUJUA jinsi ya kutengeneza biscuit za unga WA mfano na unga WA corn flower je inakuaje? Kuhusu vipimo kamili? Asante
@KhairatIssac
@KhairatIssac 8 месяцев назад
Nimependa sana dada
@mdmahammed2852
@mdmahammed2852 Год назад
Nzur mamy nimependa sn
@aminakhamis4143
@aminakhamis4143 Год назад
Maa shaa Allah Vipimo hivyo zinatoka ngapi? Nitauzaje nipate faida? Gharama umetumia shs ngapi?
@AshimNassor
@AshimNassor 7 месяцев назад
Shukran unauza bei gan contena
@RoseSamwel-pr2ou
@RoseSamwel-pr2ou 10 месяцев назад
Nimependa Sana nakupataje?
@Mariamshearer
@Mariamshearer 8 месяцев назад
@ika mallee je kama sina custard powder naweza tumia cornflour
@user-od9jz9df1c
@user-od9jz9df1c Год назад
Napenda kujifunza
@muhamadikhamis
@muhamadikhamis 9 месяцев назад
Nmependa
@wickleyrobert4260
@wickleyrobert4260 Год назад
Hongera unauzaje kwa contena
@AgnessMowel
@AgnessMowel 5 месяцев назад
Ukiweka hivio unauza Bei gan
@ShamShamsy-w5m
@ShamShamsy-w5m 7 месяцев назад
Hi ika hiyo siagi sijafahamu je robo tatu wamaanisha robo kilo tatu ama 3/4 cup?
@AnnahFerd-ox5sh
@AnnahFerd-ox5sh 8 месяцев назад
Nimependa hiyo
@PendoMallya-uf7nm
@PendoMallya-uf7nm Год назад
Nzur san
@ummuabu-bakar5657
@ummuabu-bakar5657 Год назад
Shukran sana
@agnessahia415
@agnessahia415 Год назад
Barikiwa mno
@AffectionateCheckeredFla-qh8yb
@AffectionateCheckeredFla-qh8yb 6 месяцев назад
Dada naitaji hicho kimashine nitakipataje
@arafakiloli749
@arafakiloli749 Год назад
Mashaa Allah...sorry mamy naomba no, zako
@saracandy4165
@saracandy4165 Год назад
Woww! Thanks a lot and be blessed always
@neemakusenha2540
@neemakusenha2540 6 месяцев назад
Ika hvo unauzaje kikontena
@user-sj1gg4kl9b
@user-sj1gg4kl9b 8 месяцев назад
Nimependa
@suhailaidarousahmed2879
@suhailaidarousahmed2879 9 месяцев назад
Kama hio parcel moja bei gani dear vizuri mno
@ZulfaAbdallah-lz5lz
@ZulfaAbdallah-lz5lz Год назад
Butter umeweka kias gan
@magrethwayesu4306
@magrethwayesu4306 Год назад
Nimependa hili darasa ila kwa ambao hatuna oven inakuaje
@schoollife5813
@schoollife5813 Год назад
Zinaonekana tamu na unauza bei gn
@EvaJohn-oq7ds
@EvaJohn-oq7ds Год назад
Ki ukweli zinavutia. Sasa je Kama Sina oven nafanyaje? Naweza kupika kwenye mkaa?
@khadijaabeid9039
@khadijaabeid9039 Год назад
Badala ya chocolate unaweza kupaka jam Yaan unaamisha jam ile ya mikate
@RoseMNYOKANYOKA
@RoseMNYOKANYOKA 8 месяцев назад
Nimependa sama hii
@atfartwahir6410
@atfartwahir6410 Год назад
Nimependa, unauzaje hizo biskuti Kwa container
@sarahsarah-si7fc
@sarahsarah-si7fc Год назад
Iooo ya kwanza ni siagi ama blue band?? Na je kama huna ovener unaweza tumia jiko??
@violethwalter1570
@violethwalter1570 Год назад
🔥😋 kama hiyo container unauza sh ngapi?
@mlawatvonline3720
@mlawatvonline3720 Год назад
Mashaallah
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 12 дней назад
Hizo zakukata napata wap mm lkn😢
@ANNAMALAKI-lp6ln
@ANNAMALAKI-lp6ln Год назад
Castani pounder ndonn kwajina jingine
@evadanielgunze977
@evadanielgunze977 Год назад
Asante Ika. Je unauzaje packet 1? Naomba uwe unatuwekea gharama zake na faida
@catherinebarn1493
@catherinebarn1493 Год назад
Na mimi.nilikuwa.naomba njue hiyo packet ya biscuits 6 unauzaje ili upate faida
@fat-hiyarashid4605
@fat-hiyarashid4605 Год назад
Bei gani kikontina 1
@selinamwakiluma7968
@selinamwakiluma7968 Год назад
Banking poweder ulitumia ile ya zesta au hii ya chapa ya maandazi
@ZawadielyGabriel
@ZawadielyGabriel 22 дня назад
Kama mtu hatumii mayai inakuwaje
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
😍😍❤️
@christabcakes
@christabcakes Год назад
Package kama hiyo unauzaje?
@dianeuwamahoro7568
@dianeuwamahoro7568 Год назад
Nataka udufundishe gutumikisha oven
@shinunamnyamani4321
@shinunamnyamani4321 Год назад
Chiclets napatq wapi
@salmajarufu3292
@salmajarufu3292 Год назад
Robo tatu yani ¾ of a cup au grams?
Далее
Тарковский - гений
00:48
Просмотров 513 тыс.
MKATE LAINI WA MAZIWA 🍞 SOFT MILK BREAK (2021)
8:01
Cookies za Biashara/Cookies za Mafuta/Lastborncakes
4:55
Тарковский - гений
00:48
Просмотров 513 тыс.