Тёмный

BILIONEA MPYA TANZANIA AONGEA A TO Z ALIVYOPATA TANZANITE "NINA MGODI,NI BILLION 7" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 414 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 697   
@rosekaiza2716
@rosekaiza2716 4 года назад
Hongera Sana kaka mungu na mimi niguse! kama unavyogusa wengine!
@kkkkftbbhgft9118
@kkkkftbbhgft9118 4 года назад
Insha Allah Amen tena na mm asinisahau nitoke ku deki coo za warabu😭😭
@irenesalali2211
@irenesalali2211 4 года назад
Umenena kweli
@swesschao3095
@swesschao3095 3 года назад
AMEEEEEN!!!
@oxygen9603
@oxygen9603 4 года назад
oyaaa kama unamini na ww siku mola atakufanyia wepes basi pita na like kama alama ya kuitikia "..ameen.."
@carofatma8110
@carofatma8110 4 года назад
Ameeeeeeeen
@ladislausishengoma8363
@ladislausishengoma8363 4 года назад
Ameen
@dayanandege8200
@dayanandege8200 4 года назад
Ameen
@anordsakaya9852
@anordsakaya9852 4 года назад
Amen
@salmuhassansalmu4040
@salmuhassansalmu4040 4 года назад
Amin Yaa'Rabil'Alamin
@clarajapheth8804
@clarajapheth8804 4 года назад
Mungu wetu hachelewi wala hawai anakupa kwa wakati. Tusikate tamaa
@annarobson2866
@annarobson2866 4 года назад
Kwel mungu muaminifu
@teddyrichard4589
@teddyrichard4589 4 года назад
Amina
@nyacherimramba595
@nyacherimramba595 4 года назад
Huyu jamaa Laizer, ni wa mda sana ni tajari wa mifugo. Kiufupi tayar alishakuwa ni tajiri ila sasa amekuwa bilionea. Ndo maana anaonekana hata presha na hizo pesa
@magiehermess9949
@magiehermess9949 4 года назад
Kweli ata muonekano wake si kama wengine.Na Kiswahili chake kizuri
@bjzee1981
@bjzee1981 4 года назад
Tajiri wa mifugo kutoka jamii ya wafugaji ndio maskini wa kubwa. Unakuta mtu ana ng'ombe zaidi ya 300 lakini ana lala kwenye nyumba mfano wa nyumba ya njiwa mwitu. Watoto wana maradhi ya utopia mlo, mbali na hapo hawasomeshwi, wengi wao ndio wanao athirika kwa njaa kila mara ndio wanao pelekewa vyakula vya misaada. Utajiri wake ndio huu sasa. Sema masai ataenda kuongeza wake wengine Kama 17 hivi na ng'ombe kibao halafu wakaishi mbugani wakichunga ng'ombe.
@amenyemwansile631
@amenyemwansile631 4 года назад
Siku zote mwenye nacho huongezewa ndugu yangu
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 4 года назад
@@bjzee1981 🙋, walai na hilo ndio tatizo lao ao wa masai 😏
@slayingtee6044
@slayingtee6044 4 года назад
Duuh
@kingkiya6640
@kingkiya6640 4 года назад
Allahu Akbar,,,Ashukuriwe muumba wa mbingu na ardhi...Haya Masai kaongeze ng'ombe nyumban
@bjzee1981
@bjzee1981 4 года назад
Na wake wengine
@dorislema1814
@dorislema1814 4 года назад
@@bjzee1981 akuna namna itabd nijipeleke mwenyew ata nikiwa wa6 aina shida
@joramkimario2666
@joramkimario2666 4 года назад
Na tair za kukata viatu
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 года назад
@@joramkimario2666 😃😃😃😃😃
@mussajackson783
@mussajackson783 4 года назад
Akisema anakubariki hakuna atakaye zuia manq yeye ndiye mungu mwenye baraka zoteee
@bjzee1981
@bjzee1981 4 года назад
Watembelea miguu hata baiskeli huna akisema ata kubariki hata Muso utaendesha
@sweetmama6885
@sweetmama6885 4 года назад
Ameeeeen. 🙏🙏🙏
@nicedavid8536
@nicedavid8536 4 года назад
Ameen
@eliahedward7490
@eliahedward7490 4 года назад
Ingekuw enz zile saiv hayo madini yangekiwa yashafika Kenya au India bila kodi ya serikali kulipwa
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 4 года назад
Hakika waliosema ukuta Mererani Haina maana Sasa leo mumemuelewa mh raisi wetu
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 4 года назад
😂😂😂😂😂
@hamisisha
@hamisisha 4 года назад
Umesomeka 5/5
@mudetsimercy3733
@mudetsimercy3733 4 года назад
Ilikuwa ni lazima utulinganishe na china😂
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 4 года назад
Sio kwenda India tu hata aliyechimba asingelipewa hela hiyo. Ina maana madini yalikuwa yanapatikana ila yanatoroshwa kinyemela
@mariabora1358
@mariabora1358 4 года назад
Hongera hiyo ndo MUNGU akitaka kukupa hakuandikii barua,
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 4 года назад
Maria Bora, awo wa Masai wanakuwaga na dini ? mi sijuwi 🤷 😏
@AkramTz-f7r
@AkramTz-f7r 4 года назад
Ongera
@mariabora1358
@mariabora1358 4 года назад
@@cestlaviecestlavie4073 ndiyo wanadin
@fainesmrindoko3440
@fainesmrindoko3440 4 года назад
Umeonae
@juliusandrea8756
@juliusandrea8756 4 года назад
Hongera xana laizer maan mungu anawexa xana ni lazima umrudishie mungu shukrani yake
@saadakiyungi6437
@saadakiyungi6437 4 года назад
Unalala masikini unaamka tajiri
@emmanuelimushi7413
@emmanuelimushi7413 4 года назад
Kwan alikua maskini?
@damg4332
@damg4332 4 года назад
Nakwabia🤭anaitwa Mungu,akisema nikubariki hakuna wakupinga🙏
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 4 года назад
Huyu alikua na hela ww
@ashleyibrahim5757
@ashleyibrahim5757 4 года назад
Thank God for my Nation❤️ I Believe local workers are always trustful than educated one. My president thank you so much popote ulipo MUNGU akubalik kwa mawazo yako mema kwetu. Lakn pia tuwaajili watumishi Hawa na tupeleke machine zetu zchimbe. kama kwa mchimabji mdogo katoa Mali hii Africa nzma kwa vifaa vya kawaida ingekuwa vipj kwa vifaa vya kisasa, Honor to u President tunaomba uboreshe Zaid miundo binu kwa wachimbaji wadogo, ikiwemo na machine mpya za kisasa ztakazo simamiwa na shirika la madin Tz, Tanzania tunaweza. Zaid Sana mwaka huu unazdi kuwa Safi na jina letu Tanzania linasikika kwa mataifa asante MUNGU 🥰
@rehemaaithumani3076
@rehemaaithumani3076 4 года назад
Hongera mungu akuongezee bidii upate zaidi ya hilo Tz yetu oyeeeeeee raisi alisema tz matajiri kweli matajiri❤💪🙏🙏
@kissarungereuwalemuuya1715
@kissarungereuwalemuuya1715 4 года назад
Hongera sana Mh Laither Mungu akutie nguvu Mungu ibariki Tanzania yetu.
@annachales9623
@annachales9623 4 года назад
Aiseee siiii mchezooo waweza lala masikini ukaamka tajiri ndiyo hivii. Aiseee yawezekana alivumilia sana kwa muda mrefu leo ameibukaaa.
@hellenjustin6623
@hellenjustin6623 4 года назад
Si masikini huyu alikuwa na pesa tu,ila kwa sasa ni bilionea
@kawawamamaya8543
@kawawamamaya8543 4 года назад
Wala laizer ni tajir sana watu Ndio mnajua sasa ivi kwa sababu Ya media, uyu Baba ni tajir mnoo
@kawawamamaya8543
@kawawamamaya8543 4 года назад
@@hellenjustin6623 ni kweli kabisa
@wisperfect1960
@wisperfect1960 4 года назад
Hasa ukiwa mhangaikaji
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 4 года назад
Ni juhudi pia!
@josephmwanda4561
@josephmwanda4561 4 года назад
Hongera sana mzee kwanza uko vizuri kweli pamoja na rais yetu magu kumbe ndyo maana amepiga hukuta ndyo tunaanza kuona mafanikio na matunda ya rais magu kwakweli
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 4 года назад
Jinsi Gani Mungu Anajiziilisha Kwetu Kua Nchi Ni Tajili Hi Napia Unapokua Mtu Mwema Uwezi Kukosa Faida Duniani Na Mbinguni Kwasababu Watu Niwengi Lakini Binadamu Wachache Kwaivo Watu Wajue Kua Ukiwa Mwema Kwa Watu Wako Autabaki Mashakani Ukiwa Raisi Wapende Wananchi Wako Ukiwa Mbunge Wapende Watu Wa Jimbo Lako Na Wengine Wape Eshima Ukiwa Mwenyeketi Wa Mtaa Wapende Wanakijijj Wako Wengine Wape Eshima Ukiwa Mjumbe Wa Nyumba Kumi Wapende Watu Wako Wa Nyumba Kumi Na Wengine Wape Eshima Ukiwa Unamiliki Nyumba Yenye Watu Ndani Yake Nawewe Ndie Baba Wa Familia Au Wewe Ni Mama Wa Nyumba Nzima Basi Wapende Watu Wa Malangoni Mwako Watu Wa Inje Ya Nyumba Wape Eshima Unapofanya Ivo Kwenye Maisha Yako Autapoteza Kitu Chochote Zaidi Ya Balaka Juu Yako Faida Yake Ukiwapenda Watu Wako Utapendwa Daima Na Awatakua Tayali Kukuacha Utoke Kwenye Cheo Chako Uwe Raisi Mbunge Mwenyekiti Mjumbe Tukija Uku Kwenye Familia Mungu Aliisema Ndani Ya Amli Kumi Zake Kua Usimtamani Mke Wa Jilani Yako Wala Watoto Wake Mtumwa Wake Kijakazi Wake Au Ng'ombe Wake Wala Kilichoko Ndani Yake Apo Mungu Amempa Utawala Mwenye Nyumba Na Familia Yake Ilio Ndani Yake Je Iyo Familia Aina Maumivu Juu Yake Watoto Watumwa Wake Yani Wanaomfanyia Kazi Zake Je Anaishi Nao Vipi Kubali Ku Ukumiwa Kwa Wema Kuliko Kwa Ubaya Hata Mungu Atokupokea Kwasababu Watu Waovu Utupwa Motoni Uyu Alikua Mwema Na Mwema Nandio Mana Mungu Alimpa Utajili Ukiwa Mwema Ndani Ya Nyumba Yako Hata Ukitoka Kwenda Mbali Watu Wako Watabaki Na Mawazo Juu Yako Wakiomba Uludi Salama Na Pindi Ukiludi Nao Uludisha Fulaa Mioyoni Mwao Baada Ya Kukuona Iko Ni Kibali Kizuli Cha Wema Wako Wema Auozi Ubaya Unaoza Kwakua Uishia Motoni Wema Uishi Mbinguni Imani Yako Kwa Mungu Iwe Ndani Yako Akika Raisi Ni Mwema Na Mungu Anaonesha Mambo Pia Kupitia Watu Wema Pia Jina Lamungu Liko Na Nguvu Ya Dunia Nzima
@dominicsimon4322
@dominicsimon4322 4 года назад
New baby in town
@bjzee1981
@bjzee1981 4 года назад
Aisee kesho ana amka na ana miaka 20
@sweetmama6885
@sweetmama6885 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
@dorislema1814
@dorislema1814 4 года назад
hahahahahahahahah atareeeeee
@slayingtee6044
@slayingtee6044 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@fatmahchambo3131
@fatmahchambo3131 4 года назад
🤣🤣🤣
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 4 года назад
Shukuru mungu umekutiliza uongozi wa magufuli ni Imara bila ivo ungeuliwa au kudhulumiwa haki yako mungu nijarie nyota yang ionekane ndani ya utawala wa huyu mzee..
@humphreysangito3099
@humphreysangito3099 4 года назад
Mimi Private nambariki Mungu kwa kumbariki Mr Laizer na mawe yenye thamani ya kilo9 .. Namuombea Mungu amuongoze katika matumizi ya fedha hizo. Nimefurahi Mheshimiwa Rais Magufuli kulinda Rasilimali za watanzania wote
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 4 года назад
Bilioni 7,milioni 700 na laki 4 na arobaini na vijisenti fulani. Nchi hii ni tajiri sana maana ina madini ya kila aina. Mr Laizer kula jasho lako maana Mungu akitaka kumpa mtu humpa kama jinsi yeye apendavyo.
@georgeasalla6967
@georgeasalla6967 4 года назад
YES we Can
@ibel4lf
@ibel4lf 4 года назад
Asante Mungu🙏🏽
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 4 года назад
Nani kasikia mtangazaji anasema" ienuliwe juu na mtu mwengine kasema kwa sauti kubwa shusha chiniii"😁😁??
@aroldcharles7753
@aroldcharles7753 4 года назад
Yaaani jamaa kaongea kwa tone fulani hivi kama hajui anamwambia bilionea..😂😂😂
@damg4332
@damg4332 4 года назад
@@aroldcharles7753 🙄😂😂😂😂😂😂
@naryanbhai7969
@naryanbhai7969 4 года назад
Hahhahaha
@hamisimjaka8185
@hamisimjaka8185 4 года назад
AJALI
@jacklinedaniel5682
@jacklinedaniel5682 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@siriyangu4724
@siriyangu4724 4 года назад
Mashaallah kweli serikali yenu inawaokowa kutokomeza umackini apo mzee tumia upewa wakili kuna pesa ya sadaka kama shukurani kwa alye kubariki pesa inatembea na shetani mungu akucmamie amen
@papadimayo1chanel.747
@papadimayo1chanel.747 4 года назад
Kama brother Magu asingeweka utaratibu mzuri katika machimbo ya tanzanite Hilo jiwe tusingelipata. Safiiiii Sana my president.
@maryammct3967
@maryammct3967 4 года назад
Mashallah halali yako kaka❤❤
@gracemwaipopo3209
@gracemwaipopo3209 4 года назад
Hiyo inaitwa una lala masikini una amka tajiri
@manaseelias2351
@manaseelias2351 4 года назад
Tanzania sio maskini
@mankarichard5851
@mankarichard5851 4 года назад
Alikua tajiri milionea ila sasa ni billionea
@dr.kamugishabyabato5139
@dr.kamugishabyabato5139 4 года назад
Hongera sana. Nasikia unataka kutumia pesa yako kuanzisha duka (shopping mall). Mimi nakushauri kwa mapato hayo anzisha kitu ccha kudumu nakusaidia jumuiya huku ukijipatia pesa. Nina maana ya kitu kama shule au hospitali binafsi. Tafuta ushauri zaidi toka wizara husika yaani wizara ya elimu au afya au tamisemi
@habibamusa1520
@habibamusa1520 4 года назад
He is gonna so so rich good for him and tanzania
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 4 года назад
Ashukuriwe Mungu🙏Kwa kumshauri pesa atakayo iweka kwa ajili ya mgodi asizidishe mipiaka yake maana huwenda ikaishia huko,na nampa hongera sana sana kwa kuwa na bahati njema kwa niaba yake nimefarijika.
@shafiimpilika41
@shafiimpilika41 4 года назад
Chamsingi apo ni kujenga nyumba ya Allah
@arinatsynkush7325
@arinatsynkush7325 4 года назад
Ajenge nyumba ya Alla waumini wakachafue.let him do his thing.
@georgemapalala7379
@georgemapalala7379 4 года назад
Arina Tsynkush nashangaa et ajenge nyumba ya Allah kwamba hana majukumu ya ukoo mzima wa alikotokea au??
@sankofaman4112
@sankofaman4112 4 года назад
Yatima kibao wanalala nje, na wajane lakini hiyo allah nyumba yuataka yeye tu? Mbona huyo Mungu wenu waislamu ana tamaa sana na munadai riziki anatoa yeye?
@alexchungu9505
@alexchungu9505 4 года назад
Allah kwani hana nyumba yake?
@sharifaabdul2391
@sharifaabdul2391 4 года назад
Acheni kufuru allah hachezewi ba makono ya kejeli hamjui nn maana ya mungu ndio huyu aliewapa nyinyi pumzi mpk mda huu tena bure
@sagudarobertrobertntobi9223
@sagudarobertrobertntobi9223 4 года назад
God is good, it's a good workout our friend Masai
@elisantewawa5824
@elisantewawa5824 4 года назад
MUNGU huikumbuka nchi na kuibariki pale watu wanapo yenye kea na kutumbu ana iponya na aridhi pia itatoa mazao kwawakati wake pia MUNGU anaangalia sana viongozi au watawala wanafanya nini kwa ajili ya watu wengine hasa wajane na yatima pia wayonge kupata haki zao amini usiamini hii Tanzania tukiedelea na Utawala weyehofu ya MUNGU MUNGU ataikumbuka Tanzania ataitajirisha sana MUNGU ibariki Tanzania MUNGU wa Bariki viongozi wetu na watamzania wote amina
@krystynaha2455
@krystynaha2455 4 года назад
Watanza mushukuru Mungu kwa kuwapa good leaders.
@deniseliuter8288
@deniseliuter8288 4 года назад
Hamna watu matajiri Kama wamasai wa melelani na wanayajua mawe Kama wamesoma geology hasa Mambo ya geomology Mana nliwahi kua uko kwenye field angu ya mining engineering kwa mtu asio wajua atashtuka Sanaa lkn kwao ni kawaida tuh
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 4 года назад
Hongera Sanaa laizer Hongera Magufuli kwa kuweka utaratibu mzr kwa wachinbaji wadogo
@elizabethmangapii7477
@elizabethmangapii7477 4 года назад
One day is one day.....when it comes is just booooooooom
@hamismabula5813
@hamismabula5813 4 года назад
Jamaa na ubilionea wake yuko kawaida tu na shuka zake safi sana! Wengine naowajua angekuwa kashapiga suti toka Dubai!
@barakabahati4315
@barakabahati4315 4 года назад
Dollars
@ramlabaruani4202
@ramlabaruani4202 4 года назад
Huyu mvulana aliyepata madini ni mzuri kuliko diamond alafu Kama anamiaka ishirini mzuri Sana huyu Kaka jamani hizo hela Sasa ulizopata ndio nazidi kumuona handcham
@jasminali5921
@jasminali5921 4 года назад
Hongera
@helenamusa432
@helenamusa432 4 года назад
Masha Allah Masai kwanza toa Sadaka mshukul Mola wako ni bahati kakupatia
@lottajacob2237
@lottajacob2237 4 года назад
Mtu wa kupongezwa hapa ni Mheshimiwa sana John Joseph Pombe Magufuli (Nabii Joshua ) Mbeba Maono wa Taifa la Tanzania. Inawezekana Mawe Makubwa zaidi ya haya yalishapatikana lakini. ..........
@dottnatt7110
@dottnatt7110 4 года назад
Ningekuwa karibu hapo..mbona ningekimbia chochoro na 1 😁 nisingeogopa hata milio ya risasi harasses.😀💃💃
@amosbiseko8511
@amosbiseko8511 4 года назад
Siku hizi watu wanamshukuru mtu kuliko hata Mungu kila neno tunamshukuru mh.
@officialgivenjacksonngalla
@officialgivenjacksonngalla 4 года назад
Amos Biseko Unateseka? Kwani hajafanya? Tunamshukuru yeye na Yeye anamshukuru Mungu kila siku.
@yasintamrema7076
@yasintamrema7076 4 года назад
Tuseme asante kwa mungu kwani ni faida kwetu sote
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 4 года назад
Laiser alikua na pesa ila sasa tajiri,nimemsikia kitambo Mererani
@saadakiyungi6437
@saadakiyungi6437 4 года назад
Anaonekana tuu ona kitambi hicho na ndio maana hana hata presha
@zaituniwajeba4693
@zaituniwajeba4693 4 года назад
MIMI NATAFUTA MCHUMBA JAMANI UYU BABA AONGEZE WAKE NIKIWEMO NA MIMI😘😘
@modeemojombo5662
@modeemojombo5662 4 года назад
Ndiyo. Sio mtu mdogo kifedha Ni muwekezaji mzuri
@bindawood978
@bindawood978 4 года назад
@@zaituniwajeba4693 kwani huyo mumeo vipi?
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 года назад
@@saadakiyungi6437 ndo tatizo la watz mtu akiwa na kitambi tajiri jamani wengine wanaumwa shauri zenu
@nassordanak1415
@nassordanak1415 4 года назад
Mashallah mungu amzidishie
@iddikilavire3121
@iddikilavire3121 4 года назад
mashalla mungu akubariki
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 4 года назад
Baba uangalie usije uliwa maana majambazi wanasikilizwa hapo ujichunge sana Umeipata tabu mwenyewe halafu majambazi sasaivi wako macho na zambi zao😭😭😭😭
@rehemakitara9978
@rehemakitara9978 4 года назад
Asnt sna Mh Rais jmn kwa kutuwezesha hilo
@jydabon8279
@jydabon8279 4 года назад
Ama kweli kila kwa kila jambo kunahitajika uvumilivu.usitangaze kukata iamaa tupambane mpaka tone la mwisho.hongera kwako,lakini usisahau kumpa sofa na utukufu MWENYEZI MUNGU.
@abbyramsay3971
@abbyramsay3971 4 года назад
Masha Allah
@diamondplatnumz2950
@diamondplatnumz2950 4 года назад
MashaAllah🙏
@rosejoseph9378
@rosejoseph9378 4 года назад
Bilionea Mungu akupe nini jamani hongera kwako
@anthonymaganjo1646
@anthonymaganjo1646 4 года назад
Kenya huyo si bilionea
@althomtegah9512
@althomtegah9512 4 года назад
Mm naona pengine yalipatikana kama hayo tena zaidi ila yalikuwa yanatoroshwa sasa umuhimu wa ukuta na usimamiz imara ndio tunakuja kuona live
@getmad9908
@getmad9908 4 года назад
Wasije tuu wakamuwa tuu vibaka 😭 jichunge tuu bb
@polloz77
@polloz77 4 года назад
I like the guy yupo ktk ya hali ya kawaidfa tu na shuka yake
@fitinapaul2240
@fitinapaul2240 4 года назад
Namba nyingi kweli Kama namba yangu ya Nida hongera sana
@immamlowe7151
@immamlowe7151 4 года назад
Enzi ya Kina membe angepata milon 5 tu nngetembe au angepigw shaba kama Zote
@جيكوبنكالي
@جيكوبنكالي 4 года назад
Hakika Allah ni muweza humkunjulia riziki amtakae na kumkadilia amtakae huyo ndio Allah muweza wa kila kitu
@enocklema7213
@enocklema7213 4 года назад
Wew ungepewa bilion21 sasa vp masai mbn washamba ivyooo
@saulimwamwala5375
@saulimwamwala5375 4 года назад
Mungu hamtupi mja wake
@zainabuiddy5148
@zainabuiddy5148 4 года назад
Hongera yake
@videlialabeka4899
@videlialabeka4899 4 года назад
Itauzwa zaidi ya hiyo pesa
@dorislema1814
@dorislema1814 4 года назад
sasa ngoja nkamshtaki alisemaga me siyo mwanae wakat tumefanana ivo ad kutabasam kesho ustawi wa jamii lazma anichukue akaendelee na malez na urithi anipe
@joemaabdarha9795
@joemaabdarha9795 4 года назад
Kwani lazima kuhuza kwa SELIKALI ??? Ela ndogo Sana iyo kutokana na uzito wa madini naweza kusema kazulumiwa sana
@rozinageorge1812
@rozinageorge1812 4 года назад
Nimefikiri hivyo pia
@wazirikilasa5395
@wazirikilasa5395 4 года назад
Acha usenge ww unajua tanzanite ww au unaongea tu
@jokhanassor8600
@jokhanassor8600 4 года назад
Na mie nataka kuchimba nafikaje?
@richardpaulmngarwe6322
@richardpaulmngarwe6322 4 года назад
🙏🙏
@sonialand2646
@sonialand2646 4 года назад
Jamani mie nilikuwa natafuta mume mwenye wake wengi! Sasa huyu anao anaweza kuniowa?
@muscatoman2083
@muscatoman2083 4 года назад
Shamsa
@luqash_luqman9744
@luqash_luqman9744 4 года назад
Wlh ingekua ni Kenya dah hatuoniiii kitu Kama hyo dah Allah awabariki Tanzania wlh likes za wabongo plz
@vayokhamakhama4081
@vayokhamakhama4081 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@francismwimbe6750
@francismwimbe6750 4 года назад
Asante kwa kujali na kupenda Tanzania. Tunawapenda sana ndugu zetu wakenya. Mungu awabariki
@shemsiayawelshemsiayawel871
@shemsiayawelshemsiayawel871 4 года назад
Kweli kabisa hapo nakubaliana nawe haswa hicho kipande chenye madini kingeuziwa wachina pasipo wachimbaji kuelewa kinacho endelea,mungu ambariki magufuli ni rais wa kipekee mwenye msimamo wake
@luqash_luqman9744
@luqash_luqman9744 4 года назад
@@shemsiayawelshemsiayawel871 kabisa wlh dah
@abdifarah1152
@abdifarah1152 4 года назад
@@luqash_luqman9744 ,ni kweli kabisa brother.
@najma3268
@najma3268 4 года назад
Mungu akuongoze namna ya kuitumia, katoe sadaka kwanza kisha uanze kuitumia
@adelinajohn6347
@adelinajohn6347 4 года назад
Aaaamen
@mlokaferdinand
@mlokaferdinand 4 года назад
Sadaka akatoe wapi?
@harunilibangite7205
@harunilibangite7205 4 года назад
Sadaka ya wap???
@innocentssamuel4110
@innocentssamuel4110 4 года назад
Kama unaamin tulishawah kupata mawe makubwa kama hayo na zaid lakin utawala wa jamaa ukayapiga chin yakakwea ndege ✈watz tukabaki hatujui hlo gonga like hapa👍
@eyumededu2948
@eyumededu2948 4 года назад
Mungu ni mwema sasa mtu anaona jasho lake ingekua zaman labd angepewa milion kadhaa tuu tena kimya hii inahamasisha wachimbaji wengine... Mungu ibariki Tanzania
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 4 года назад
Ni kweli kabisa. Miaka iliyopita unaporwa haki yako ukiwa unaona kweupe. Lkn kwa awamu hii ikiwa ni riziki yako utaipata tu. Asante Mungu kwa kutujaliwa kiongozi mkuu mzalendo na mpenda wanyonge, JPM. Na ningependa mji wa serikali dodoma uitwe JPM City ili vizazi vijavyo vijue kuwa kuna kiongozi aliyewahi kujitoa mhanga kwa ajili ya taifa la Tanzania na ndio maana tumefika tulipo. God bless you our beloved Baba Magufuli.
@fatumahassan8212
@fatumahassan8212 4 года назад
Hakika ni utawala wa khaki
@hamisisha
@hamisisha 4 года назад
Amiina🙏🏼
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Exactly my dear, nimefurahi sana.
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 года назад
@@saumuhassan6365 mzm ww
@hajikishuwa1078
@hajikishuwa1078 4 года назад
Kila jema linamaumivu naamini ulipitia kipindi kigumu sana mungu akusimamie uwakumbuke na wafanya kazi wako na jamii kwa jumla
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 4 года назад
Pa kujifunza imani na utendaji hapa.
@bjzee1981
@bjzee1981 4 года назад
Ingekua enzi zetu sisi. Unge ambiwa nenda urudi baada ya Siku tano ndio upimaji utakua tayari. Ukienda urudi una ambiwa tulipima ni lilikua jiwe tu tuka li Saga saga angalau ipatikane hata Kama unga huo unaweza kufaa katika mapambo lakini bado haukua na ubora wowote. Kwa hivyo unga wako huu hapa. Saa hiyo unakabidhiwa chupa iliyo sagwa
@momadeatibo6729
@momadeatibo6729 4 года назад
viongozi wenye laana wameisha mungu mkubwa
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 года назад
😂😂😂😂Nimecheka
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 4 года назад
Nimeheka sana jamaa du umetuchekesha sana
@bakariyusufujuma
@bakariyusufujuma 4 года назад
Hahahahahahahaaa dah
@niaanthony9588
@niaanthony9588 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@lightmashauri1725
@lightmashauri1725 4 года назад
Haaaaa aise serikali mpeni ulinzi hyo tajiri wetu wa kimasai
@esterelias8189
@esterelias8189 4 года назад
Ww unazani hadi kutangazwa hana ulinzi? Kwanza izo pesa ziko Bank saivi
@rehemaswalehe6423
@rehemaswalehe6423 4 года назад
Pesa benkiiiii kalipwa kidigital ulinzi wa nini?au alindwe atakavyotumia?
@godykenza8286
@godykenza8286 4 года назад
Ilo jiwe lina mkanda wake ...yaani bado mzigo mkubwa tuu umenaki
@dicksonmpangala9349
@dicksonmpangala9349 4 года назад
Kachimbe lilobak
@darlinkakozi314
@darlinkakozi314 4 года назад
🤣🤣🤣
@stevekanuya111
@stevekanuya111 4 года назад
😂😂😂🤣
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 года назад
Twende tukachimbe🤸🏃🏃🏃
@mamachris6811
@mamachris6811 4 года назад
Wala rushwa wanakutolea mijicho,wanakusubiri kwenye anga zao Ha ha haaaaa
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 4 года назад
Asante sana mwenyezi MUNGU
@sweetmama6885
@sweetmama6885 4 года назад
Amen jamani. Mungu ni mwema mno.
@zawadjose5440
@zawadjose5440 4 года назад
Huyu Raisi wetu sitochoka kukuombeaaa
@mariamsimon5644
@mariamsimon5644 4 года назад
Mpendwa kweli yatupasa kuomba kwa ajili ya mamlaka. LAKINI MPENDWA KAMA HUJAPOKEA WOKOVU WA YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKO MILELE UNAJILISHA UPEPO HATA UKIOMBA MAANA HUKO ULIKO BADO UKO GIZANI NA ANAYEWAONGOZA KATIKA IMANI YENU HIYO AMBAYE NI papa au kama mnavyomtukuza kwa kumuita baba mtakatifu😢. NI AGENT WA SHETANI NA HATA YEYE ANAISUBIRUA HUKUMU YAKE ASIPOTUBU mapapa wote waliowahi kuwa viongozi wa kanisa katoliki wako kuzimu NA WANAJUTIA UPOTOFU WSLIOUFANYA NA KUSABABISHA MAMILIONI YA WATU KWENDA KUZIMU KWA KUWAPOTEZA KWA UONGO WA MFUMO MZIMA WA IBADA ZINSZOFANYIKA KATIKA kanisa hilo katoliki HIVYO MPENDWA KAMA UNA IPENDA ROHO YAKO JIEPUSHR MAPEMA.
@manem_onair
@manem_onair 4 года назад
Mungu Ni Mwema Kama Unaamini Na Wewe Mungu Atakufungulia Weka Like Yako Hapa Na Usubscribe Kwa Account yangu...kama Ishara Ya Imani .
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 года назад
Haya madini walikuwa wanaiba wahuni asante mungu kutupa JPM , ongera sana Mtanzania (Laizer ) faida kwa taifa na watanzania wote.. Mungu Ibariki Tanznia
@RioIpo
@RioIpo 4 года назад
Afu wee mzee mbona masikio yetu yamefanana ngoja niongee na mama pengine daddy wangu wewe mzee 🤣🤣
@dorislema1814
@dorislema1814 4 года назад
hahahahahahaha ushaanza bro uyo ni mjomba angu wa dam atukutambui
@joycekikoti8670
@joycekikoti8670 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 года назад
Kafanye vipimo vya DNA please 🤣🤣🙏❤️
@saladaniel9274
@saladaniel9274 4 года назад
🤣🤣🤣
@tatianamnyiamba6416
@tatianamnyiamba6416 4 года назад
🤣🤣🤣
@abdulseif4093
@abdulseif4093 4 года назад
kuna dada nimekutana nae anataka na ya huyu jamaa😂😂😂😂
@gideonkalumbu2603
@gideonkalumbu2603 4 года назад
Mungu hamtupi mja wake... Mungu akutunze sana... .
@aishahezilon2520
@aishahezilon2520 4 года назад
Allah alishaumba kila kitu na kukikadiria ndo mana akasema tusikate tamaa na rehma zake
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 4 года назад
Umenena bibie
@fatmahchambo3131
@fatmahchambo3131 4 года назад
Kwa kweli
@salumluyaya4153
@salumluyaya4153 4 года назад
Mwenye ncho huongezewa .. huyu alikua na mpunga wa kutosha kitambo yani milion 500 kwake ilikua kawaida .. watu wanadhani huyu jamaa alikua kapuku .. huyu ni alikua tajiri akaongeza na juhudi pia .. sio nyie wengne kutwa mnashinda insta ..tiktok mnasema na mm kesho ntatusua tu mungu yupo .. khaa mungu anawasaidia wanaojihangaisha pia .. imetosha au sauti niongeze kidog😂😂😂
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 года назад
Saniniu Laizer hongera zako mwenyez mungu huwa hamtup mjawake
@kautharsalat6449
@kautharsalat6449 4 года назад
Jaman ni handsome kweli
@RioIpo
@RioIpo 4 года назад
Nyooo hahaha
@zamzamndid3145
@zamzamndid3145 4 года назад
😂😂😂
@dorislema1814
@dorislema1814 4 года назад
hahahahahahahah wakumnyapia uyo
@hawaally1519
@hawaally1519 4 года назад
Kumekucha Kumekucha Kumekucha aaaah
@bakalikitambazi9215
@bakalikitambazi9215 4 года назад
@@hawaally1519 😀😀😀😀
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 года назад
Rizik ya mtu ipo mikono mwa mtu kkubwa kjtuma kwa bidii na kumuomba MUNGU 🙏 ipo cku Mimi/wewe utafanikiwa ktk maisha yako
@magicindustrytv6743
@magicindustrytv6743 4 года назад
Mungu hachagui wakumpa wala hapdelei cha msingi ni kutafuta kwa juhudi na mungu atatusaidia tuseme ameen Kama umenielewa tia LIKE
@juliasnene117
@juliasnene117 4 года назад
Wachimbaji wengine tuongeze juhudi Tanzania iende mbele pesa na Maisha bora yapo hapa nawaombea wachimbaji wadogo wadogo wote mpate kama Laidha
@mussajackson783
@mussajackson783 4 года назад
Ingekua enzi zetu zile angekula million 10 yake apite ivi.
@veronicatweve9015
@veronicatweve9015 4 года назад
mussa jackson 😁😁
@wilsonchishomi1083
@wilsonchishomi1083 4 года назад
Angetengenezewa zengwe na hata hiyo million 10 asingeipata au angeuawa
@slayingtee6044
@slayingtee6044 4 года назад
😂😂😂😂
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 4 года назад
@@wilsonchishomi1083 yani acha rais wetu mwema sana. Akiondoka hatutapata kama huyu
@esterelias8189
@esterelias8189 4 года назад
JPM hataki laana za kuzulumu mtu au watu chozi likimtoka au kukunung"unikia hiyo ni laaana tayari.
@kulthumtwalipo2952
@kulthumtwalipo2952 4 года назад
Napokea bilionea.... bariki Tanzania na bilionea wetu
@Winstonfying
@Winstonfying 4 года назад
Daah, hii pesa ya ghafla hivi, unaweza kuwa kichaa!
@salimdaffa7919
@salimdaffa7919 4 года назад
Now days kupitia magufuri tunafaidi raslimali za nchi yetu kabla ya awamu ya tano mambo mengi yalienda kisiri siri sana lakini kupitia mh, magu mambo mengi yako wazi asant mungu kutuzawadia kiongoz huyu mkwel na mwenye msimamo chanya
@mkumbosamson7981
@mkumbosamson7981 4 года назад
Tanzania imepata Masai mmoja bilionea na watz wengine.
@nyararasaitoti6111
@nyararasaitoti6111 4 года назад
PW 2
@editorfrank7471
@editorfrank7471 4 года назад
Arusha wamasai n matajiri mno ila hawana mawenge
@EStyle-xf1cb
@EStyle-xf1cb 4 года назад
KAMA NI NCHINI KENYA ANGENYANGANYWA NA SERIKALI ARUCHWE KOROKORONI WAKIDAI WANAMCHUGUZA
@paulomavado3736
@paulomavado3736 4 года назад
Huyu ndo laizer wa diamond????
@mukambi3278
@mukambi3278 4 года назад
😅😂😂
@Bagenzi4life
@Bagenzi4life 4 года назад
paulao paulo 😂😂😂😂😂😂😂😂
@paulomavado3736
@paulomavado3736 4 года назад
@@mukambi3278 noma
@paulomavado3736
@paulomavado3736 4 года назад
@@Bagenzi4life eyooo laizer
@georgegodfrey4776
@georgegodfrey4776 4 года назад
Oyooo raiser
Далее
LIVE: MAKONDA ANAZUNGUMZA MUDA HUU KANISANI
53:23
Просмотров 17 тыс.
С какого года вы со мной?
00:13
Просмотров 199 тыс.
Ip Man 2 | Initiation Fight
10:41
Просмотров 1,1 млн