Mmefanya vyema kumpa ulinzi na pia anaitajika ushauri wa matumizi asitumie vibaya mana wenye macho manne wanamtizama Sasa namna watakavyomtumia ila Mwenyezi Mungu atamlinda naatamuelekeza namna ya kutumia kama alivyo mpa Mwenyezi Mungu akulinde kabisa Mashaa llah
Ni kiongozi gani Afrika anaweza kufanya kama mpendwa raisi wetu alivyofanya Mungu akufunike kwa Damu ya Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo you are extra ordinary we proud of you be blessed
Mambo ya mbinguni waachie wataramu Wa mambo ya rohoni wewe elezea mambo ya Madini usimwambie mtu ataingia mbinguni kwakuwa amesema serikali ichukue kodi yake yote hicho sio kigezo cha kupima MTU kwenda mbinguni maana neno la Mungu linasema kwamba ni vigumu tajiri kuingia mbinguni ni vyepesi ngamia kupenya katika tundu la sindano