Тёмный

BILIONI 1,163,800,000 KUBORESHA MADARASA NA VYOO - Ngara 

JIMBO LA NGARA TV
Подписаться 4,5 тыс.
Просмотров 466
50% 1

Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh Ndaisaba George Ruhoro, ameomba fedha za kujenga miundombinu ya vyumba Vya Madarasa na vyoo kwenye jimbo la Ngara.
Video hii inaeleza maeneo ambayo yamepelekewa fedha.

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@khalfanjohn1129
@khalfanjohn1129 Год назад
unajitaid sana mbunge nakupa hongera mimi kama mkazi wa benaco ngara
@restituthabinambi632
@restituthabinambi632 Год назад
👏👏👏👏.... shukrani nyingi saana zifike kwako ndg Mh Ndaisaba Ruhoro.... Tunajivunia kuwa na kiongozi anayejari Wananchi wake.... HATUTAKUANGUSHA
@brightonchizamuzungu9724
@brightonchizamuzungu9724 Год назад
Ruhoro Ndaisaba hongera sana kwa kuchapa kazi.
@joviangeofrey7212
@joviangeofrey7212 Год назад
Kazi yako inaonekana. Big up. Hata mti wenye matunda ndiyo unaorushiwa mawe mengi. Ila bado msimu ukifika unaweka matunda mengine. Una utofauti mkubwa na watangulizi wako big up
@KENETH-PETRO
@KENETH-PETRO Год назад
Shule yangu ya Nyarukubala imesahaulika mbunge tuombee huko
@brightonchizamuzungu9724
@brightonchizamuzungu9724 Год назад
Mh. Ndaisaba tatizo la maji Kata ya Mugoma ni critical. Mito imekauka hususani Kata ya shanga vitongiji vya Mumigereka , Chobongo, Muruvyagira ninakotoka Mabawe, Murugina wanashida kwa kuwa mto Induruma unakauka shauri ya kilimo ikiwemo mpunga. Nafurahi sana mkuu kuona waraka wako pamoja na kupata taarifa. Huu ni uwakilishi wa kisayansi na 2025 tuko na wewe. Urakoze c'ane.
@sultanaljabri5109
@sultanaljabri5109 Год назад
Madawati vipi, vyumba vya madarasa tu, havitakua na muhimu bila madawati, vyoo na maji pamoja na nyumba za walimu
@justinkihongo7254
@justinkihongo7254 Год назад
Kuna namna tarafa ya MURUSAGAMBA mnaitenga kwenye kila kila kitu 1 tangu ukoloni askari polisi hawana nyumba, ni mambo mengi sana
Далее
How to win a argument
9:28
Просмотров 526 тыс.