Neno ndoa linaweza kuwa na herufi Chache sana .... lakini ukubwa na maana halisi ya Ndoa upo tofauti na uchache wa herufi zake. Jifunze kuheshimu kitu kinachoitwa ndoa hiwe ya kwako au ya Mwenzako.
🤣🤣🤣🤣😎ety umenogewa ,, nikweli mtu anaweza kubadilika kutokana na watu weigine ,pia ni vizuri kutafakali jambo kabla ya kuchukua uamuzi ,, KAZI nzuri sana bro Dee
Mashallah natoa shukrn kwa wte walioshirik Allah awalinde n kila shari y alichokiumba n awafanyie wepesi katika kaz zenu hongeren sana nawapenda sana kwakweli
Uyu kidunda Zi mwaa mwaa c aliwasunganisha mwenyewe ssa mbn yuwashukuru sna🤣🤣🤣🤣🙌sauda jina la binty yangu lkn tabia tofauti samples imeenda swa na vitendo🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Kufa usifiwe ishi ulaumiwe atimae kidunda yuwasifiwa kwa kifo chake cha kishujaa🤣🤣🤣🤣🙌zamani nlikua nkitizama izi movie ikifikia mahala pa msiba mm nalia kwl kumbe namaliza machozi yangu na amufi kwl🤣🤣🤣🤣🙌