Тёмный

Bishop Assenga Mzee wa Final Touch hakuwaacha vijana CGM Jimbo la kilosa, asisitiza nidhamu ya pesa. 

Bishop Anthony Assenga
Подписаться 829
Просмотров 461
50% 1

Hakika kambi la vijana wa CGM Jimbo la Kilosa lililofanyika Mji wa Makimbilio lilikuwa la baraka tele. Mbali na mafunzo mengi waliyoyapata vijana kutoka kwa walimu mbalimbali Askofu Mstaafu nae amepata wasaa mzuri wa kuwajenga vijana namna nzuri ya kutunza pesa na kujiwekea akiba kwa maendeleo katika maisha yao.
E.A.G.T Mji wa makimbilio Ruaha Kilombero.
Follow Bishop Anthony Assenga on;
Instagram: / bishopantho. .
Facebook: / bishopanthon. .
Whatsapp & Telegram; +255 784 407 362
Offerings (sadaka); +255 784 407 362
NMB Account No; 21702502411
Imani chanzo chake ni kusikia Neno la Mungu.

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 6   
@AmonNgoila
@AmonNgoila Месяц назад
Ubarikiwe sana
@user-up1sc3kw8r
@user-up1sc3kw8r Месяц назад
Nimejifunza kitu kikubwa sana MUNGU akutunze babaangu
@maulidihaji4979
@maulidihaji4979 Месяц назад
Ubalikiwe mtumishi nakupenda sanaaaa
@anthonyassenga2365
@anthonyassenga2365 Месяц назад
Amina
@erickmarefu8127
@erickmarefu8127 Месяц назад
Mtumishi upo vizuri sana
@anthonyassenga2365
@anthonyassenga2365 Месяц назад
🙏🙏❤
Далее
Bacon на громкость
00:47
Просмотров 112 тыс.
Презентация iPhone 16 за 4 минуты
04:00
Growing fruit art
00:33
Просмотров 1 млн
Vita kati ya Vijana na Nguvu za Giza Part 1
20:46
SUNDAY MAIN SERVICE 25/8/2024
50:59
Просмотров 22
Bacon на громкость
00:47
Просмотров 112 тыс.