Ohhh my God!! pastor God bless you so much,I feel blessed.That word has really blessed my heart.wema na neema ya mungu ikatembee nawe siku zote za maisha yako.Amen
Aki mimi nakataga tamaa lakini nikikusikiliza unanitia nguvu kila kuchao baba wa mbinguni akubariki na akutangulie kwa kuifathi mioyo ya wengi pata kibali popote utakapo enda kama yesu popote utakapo pita mtumishi wa MUNGU tenda mema