Leo nimejifunza vitu vingi sana mtumishi ASA Kwa habari ya sanduku la agano japo umegusia kidogo Tu ILA nimegundua kitu kikubwa mno pale uliposema vitu vya duniani ni copy ya vitu vya mbinguni na ukafafanua Kwa mfano juu ya Yule MTU aliekuuliza swali kua lile sanduku LILILOKUA hekaluni ndo lile ambalo liko mbinguni