Тёмный

Boaz Danken - Wanadamu wote wameshindwa (official video)  

BOAZ DANKEN
Подписаться 279 тыс.
Просмотров 408 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 557   
@newbornhaule1635
@newbornhaule1635 2 года назад
Kaka Danken nakupendauna kazi njema mno mshikilie wingu hili lilikua South Afrika leo Duniani 🇹🇿 tanzania imeonekana kimsingi hali bado ni njema ila msikosee yafuatayo:- 1.kwenye mavazi na mitindo ya Dunia hii 2.Mziki wetu muupate kwenye maombi 3.msifanye kama kwa wadamu bali kama kwa Bwana
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 2 года назад
Wewe ni Mungu wa wote wenye mwili🙌🙌🙌 umebarikiwa kaka yangu🙌🙌
@boazdanken
@boazdanken 2 года назад
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante Rehema
@mkingavunjabei8520
@mkingavunjabei8520 2 года назад
Ubalikiwe nawewe dada angu
@calvinmsemwa8961
@calvinmsemwa8961 Год назад
👏👏👏mungu azid muongeza zaidi na zaidi
@naomioloo6158
@naomioloo6158 Год назад
​@@calvinmsemwa8961 ❤❤❤p
@josephatimamwanja783
@josephatimamwanja783 Год назад
@fotonatusijoely7219
@fotonatusijoely7219 2 года назад
Hakika YESU kristo 🙏🔥 anawatu anao watumia Sana kwenye kazi yake hongera Sana mtumishi balikiwa kwaujumbe mzuli Sana mm nimebalikiw ata mm niseme nn ww endelea kunyenyekea tu nakupenda Sana
@berthflorence3580
@berthflorence3580 2 года назад
Mungu akupe miaka mingi
@mangiruben
@mangiruben 8 месяцев назад
Back here agai! Safi saaana
@sarahsanga6767
@sarahsanga6767 2 года назад
Tulio wategea wote wameshindwaaa🙌🙌nani kama wewe YESU
@frankmwamlimainjili2071
@frankmwamlimainjili2071 2 года назад
Nilichopenda zaidi ni mavazi ya wadada wa pale nyuma yake BOAZ WEWE NI MTUMISH KABISA WA PEKEE!!♥️♥️♥️
@davymagessa
@davymagessa Месяц назад
Hakika wewe ni Mungu wa wote wenye mwili.....Hallelujah..
@boazdanken
@boazdanken Год назад
Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel
@kubasulewis5250
@kubasulewis5250 9 месяцев назад
11:02 this song is on the dot wewe ni mungu wa wote wenye mwili. God of all flesh
@emmahazengaemmahazenga6531
@emmahazengaemmahazenga6531 2 года назад
Wewe nimeona tu notification nikajua another boom 💥 imefika asante mtumishi wa Mungu Boaz unajua kutufurahisha na kutubariki mob love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️wakenya wezangu lets show love 💘...
@augustine547
@augustine547 8 часов назад
Mungu wetu anaweza 😢😮wote wameshindwa YESU WANGU UNAWEZA
@mamasamia6884
@mamasamia6884 2 года назад
ubarkiwe sana mtumishi... kupitia wewe mataifa wanamjua MUNGU acha YESU ajitwalie utukufu kupitia wewe... GLORY ALL TO GOD
@greatnesstuswegeabraham9868
Hallelujah.. Mungu atukuzwe. Hongera sana kaka. Nabarikiwa sana.
@sarahmwitah
@sarahmwitah Год назад
Hakuna Jambo usiloliweza. Hallelujah utukufu na sifa upewe Mungu.
@tumainisanga6966
@tumainisanga6966 2 года назад
Yes wewe ni Mungu hakuna jambo usiloliweza...Powerful God u a real no one like u ....ukuu wako hauelekezi.
@anetboaz8783
@anetboaz8783 2 года назад
Wewe Yesu unaweza
@leonidangimbwa1526
@leonidangimbwa1526 2 года назад
Yaani !!!👏👏, Mtumishi, MUNGU Peke yake azidi kukuinua na akutunze jamani, nikisikilizaga nyimbo zako nahisi Kama niko Paradiso!!!
@academia_wealth
@academia_wealth 2 года назад
Amina kubwa sana,,, halleluhya,,,,,,Wewe ni Mungu,,,,kwa wote wenye mwili
@dativamacha-rp2eg
@dativamacha-rp2eg Год назад
Hakika Mungu ni mkuu anaweza kila kitu...Dah sijui niseme nini nielezee ukui wako Mungu ... Nakupenda sana
@lamerckmsuya5513
@lamerckmsuya5513 2 года назад
Halleluya,, uyu jamaa anajua
@triza78
@triza78 2 года назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya loves you and we thank God for you are a gift to this generation continue downloading melodies from realms of Zion, I really love the chorus of the song
@boazdanken
@boazdanken 2 года назад
Glory and Honor to Jesus Asante sana
@willymwakasege8148
@willymwakasege8148 2 года назад
Kweli Mungu anaweza haleluya
@janechipeta6231
@janechipeta6231 3 месяца назад
Leo mtumishi umeamua seben barikiwa
@eliusobadia8683
@eliusobadia8683 2 года назад
Mungu akubarika kaka.. mimi na familia yangu tunakupenda ,Umekuwa ukitubali sana, haiwezi pita siku hatujasikiliza wimbo wako , Mungu akubarika sana
@stephenmalilo9833
@stephenmalilo9833 2 года назад
Nguvu iliyopo ndani ya wimbo......🔥🔥🔥🔥🔥....it's not about the melody au vocals. The msg aiseeee.......🔥🔥🔥🔥. Boaz is the best in this generation for God's glory......🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Год назад
Hakika huu wimbo nimeusikia Leo sokon hd nimeomba jina l wimbo hakika ubarikiwe mtumishi wa Mungu Boaz 🙏
@EliasLucass
@EliasLucass 4 месяца назад
Hongelasana mtumishi MUNGU akubaliki sana 😢
@daniellushanga5576
@daniellushanga5576 Год назад
Amen wimbo huu unanibariki sana nikiusikiliza boazi ubarikiwe sana kwa huu wimbo
@igniuslewela6876
@igniuslewela6876 2 месяца назад
Dunia yote imeshindwa yesu wee pekee unaeza niokoa n famiia angu
@barakamlili7783
@barakamlili7783 Год назад
Kaka wew ni mtumishi wa madhabahun 👋👋👋👋
@victoriamadusa-4014
@victoriamadusa-4014 Год назад
Wewe ni Mungu wa wote wenye mwili hakuna jambo usiloliweza Mungu wa mbingun akuinue zaid
@eliusobadia8683
@eliusobadia8683 2 года назад
Wewe ni Mungu wa wote wenye Mwili,,,,,,oooo haleluya Haleluya Nguvu za Mungu zinashuka zinatuhudumia
@ellymwasalemba4874
@ellymwasalemba4874 2 года назад
🔥🔥🔥nimebarikiwa mnooo....ila kaka gwamaka anifunze kuchezaaa😀
@witnessmlyuka7334
@witnessmlyuka7334 2 года назад
Wewe ni MUNGU wa WOTE wenye mwili..hakuna jambo usiloliweza💪💪💪💪💪💪
@corbymedia01
@corbymedia01 2 года назад
Watching from 🇰🇪 Kenya Barikiwa Boaz
@joymakena4336
@joymakena4336 2 года назад
Uuuuuuwiiiiiiiih wafungii👏👏👏👏👏👏👏alaf sasa tukuje hapa,waganga wameshindwa,wazazi wameshindwa,marafiki wameshindwa,wote wameshindwa,wanapanga vikao,aiyaaaahiiiyaaaah,wewe mungu unaweza.the beats🔥🔥❤❤
@josephwarioba5203
@josephwarioba5203 Год назад
Hakika ni wimbo wa kinabii na Mungu azidi kukubariki Boaz(Imo Nguvu ya Mungu ndani yako) na team yako
@mercyjumaofficial1943
@mercyjumaofficial1943 2 года назад
Uiiiii tushashika the melody and the message is above words.....NOTHING IS IMPOSSIBLE WITH GOD...ata wazazi wameshindwa But wakiomba🎊🎊🎊🎉🎊🎉🎊🎈🎊✨🎊✨🎊✨🎊✨ANAWEZA
@joelmuoki7916
@joelmuoki7916 2 года назад
Kweli kabisaaa 💯💯
@julietnonny1060
@julietnonny1060 2 года назад
Hivyo basi tuseme nini,ila kumshukuru mungu kwa kazi nzuri hii. ubarikiwe Boaz.🇰🇪🇰🇪. Ni Mungu wa wote wenye mwili.
@manasenjuguna6550
@manasenjuguna6550 2 года назад
Hallelujah!!!..wanadamu wote wameshindwa kuyafanya yale Mungu awezaye. Mungu wetu ni Mungu mkuu, zaidi ya yote..yeye ni Mungu. Baraka tele Bro. Boaz
@tanakipaul6101
@tanakipaul6101 2 года назад
Shukuran shu shu shu shukurani eeeeeh, ubarikiwe sana mtumishi
@joskyshams4758
@joskyshams4758 Год назад
Hakuna kitu wanadamu wanaweza shinda lakini Mungu ashindwa 🇰🇪💃💃
@clarissenziza88
@clarissenziza88 2 года назад
Mungu azidi kukubariki mpedwa katita christo.karama yako MUNGU ainuwe juuu zahidi
@ZakiaAbdury
@ZakiaAbdury 3 месяца назад
Wewe ni mungu mwaka 2024
@vumiliarwiza3334
@vumiliarwiza3334 2 года назад
Sure bro no one like mighty JESUS.wanadam wameshindwa
@innocenciabinamungu8576
@innocenciabinamungu8576 2 года назад
Hakika HAKUNA JAMBO usiloliweza wewe NI MUNGU WA wote wenye mwili.😭🙌🙌🙌🙌 Stay blessed
@novotechenterprises8747
@novotechenterprises8747 2 года назад
Hongera mtumishi Boaz. Mimi nimpenzi wa nyimbo zako na zinanibariki mno. Nimeusikiliza huu mziki na bado sichoki. Hakika unaunyanyua mziki wa Injili kwenye viwango vingine. Mungu akubariki.
@JoelKechegwa
@JoelKechegwa Год назад
James Mdoe,,,,,,,,nimebarikiwa Sana ndugu yangu naelewa Kazi yako
@scholasticakiputa516
@scholasticakiputa516 2 года назад
Utukufu kwa Mungu wimbo huu umefanyika baraka sana kwangu
@boazdanken
@boazdanken 2 года назад
Glory and Honor to Jesus Asante sana
@beatricesheyo3466
@beatricesheyo3466 2 года назад
Unaweza Yesu hakuna ngumu kwako,ukiamini tu kwako yote yanawezekana
@beatriceminja2148
@beatriceminja2148 2 года назад
Ghaiii 💃💃💃 MUNGU akubariki Mtumishi hunaga show mbovu 💃
@shangwedani6801
@shangwedani6801 2 года назад
Kazi nzuri sana kwakweli yaani Mungu akuhifadhi sana kaka
@felisterkisendi835
@felisterkisendi835 2 года назад
Hakika Bwana Yesu anaweza,ubarikiwe mtumishi wa Bwana
@lynnpesa3744
@lynnpesa3744 2 года назад
Wewe ni Mungu..hakuna jambo usiloliweza Amina
@janejulius1382
@janejulius1382 2 года назад
Oooh haleluyaa..Wanadamu wote wameshindwa lakini wewe Yesu unaweza.
@fatnasaid4301
@fatnasaid4301 2 месяца назад
Wewe ni Mungu unaweza hakuna jambo usililoliweza
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
Hakika Yeye ni MUNGU Kweli, anayaweza mambo yote hakuna limshindalo Kabisa.
@noreenhashimu4966
@noreenhashimu4966 2 года назад
big up brother huna kazi mbovu💪
@ndaindahaze6453
@ndaindahaze6453 2 года назад
So blessing song😇😇mungu na akubariki mtumishi wa mungu🙌🙌
@pulikisia7963
@pulikisia7963 2 года назад
Nimeurudia huu wimbo zaidi ya mara ngapi sijui!!
@ayumahshillahmeta9193
@ayumahshillahmeta9193 2 года назад
Wa kwanza kubarikiwa na huu wimbo 🙏🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@lillianmusembi8666
@lillianmusembi8666 2 года назад
Amen 🙏 🙏 🙏 wewe ni mungu, kwa wote wenye mwili hakuna jambo usiloliwezaaaaa
@NPTv89
@NPTv89 Год назад
Najifunza kwako kaka Umekuwa mfano wa kuigwa.
@alphalivifile2753
@alphalivifile2753 2 года назад
Be blessed sana mtumishi wa Mungu kazi yako ni njema sana
@stevenmjema510
@stevenmjema510 2 года назад
Hongera sana kaka yangu Boazi..Hakika YEYE ni Mungu kwa wote wenye mwili na hakuna asiloliweza.
@joshuakabasi170
@joshuakabasi170 2 года назад
Ubalikiwe na MUNGU kwa kutumia karama yako kwa utukufu wake YESU halleluya atukuzwe BWANA
@mwlesterntambala1713
@mwlesterntambala1713 2 года назад
Jamani wapigaji wananibariki ukiongeza na wimbo ndio kabisaaa
@mariammbwaga8463
@mariammbwaga8463 2 года назад
Hakika anaweza hongera sana kaka nimekuelewa
@mwaxally8040
@mwaxally8040 2 года назад
Napenda kujiunga nakikundi chako
@mwaxally8040
@mwaxally8040 2 года назад
Dada
@raymond4075
@raymond4075 2 года назад
Kwa kweli, YESU Unaweza wewe ni MUNGU, ni BWANA na tena ni BABA yetu MKUU kupita yote!
@barakasteven5481
@barakasteven5481 2 года назад
Shu...shu....shukurani za kucheza 🕺 🔥
@meshackmuendo9026
@meshackmuendo9026 2 года назад
Wimbo mzuri.mungu akuinue zaidi
@mccornelrigha
@mccornelrigha 2 года назад
Hakika Mungu anaweza. Mungu akuinue zaidi. Unagusa miyoyo ya Wengi
@bundalakomba9037
@bundalakomba9037 2 года назад
Ameen ubarikiwe mwana wa MUNGU, kwa huduma njema.
@beatricedalius5186
@beatricedalius5186 2 года назад
Ukiwa na YESU raha sana mungu akubariku kwa huduma nzur 🥰💕💕💯
@Josh-mr8fp
@Josh-mr8fp 2 года назад
Namwona ndugu Gwamaka apo 🔥🔥
@lightnessvicent8672
@lightnessvicent8672 2 года назад
Ubalikiwe sana my brother
@rachaeldiocles3859
@rachaeldiocles3859 2 года назад
Nabarikiwa sana na wewe mtumishi
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 Год назад
Amen, Amen, Amen! Barikiwa sana
@ruthmwasomola655
@ruthmwasomola655 2 года назад
Wewe Nii Mungu wawote Wenye mwili wote wameshinda wewe unaweza barikiwa mtumishi
@ruthmargaret7494
@ruthmargaret7494 2 года назад
Utukufu wote kwa Mungu,huku wimbo wanibariki kweli kweli
@rizickmshiko7286
@rizickmshiko7286 2 года назад
ubarikiwe kk. watu wanajawa na roho kupitia ww. hakika mungu wa mbinguni anakutumia vema
@avelinakaroli
@avelinakaroli 2 года назад
Amen wewe YESU unaweza hakika😭🙏🙏🙏
@innodafinest8214
@innodafinest8214 2 года назад
kuna mwanaume juu ya wanaume thats deep
@barakajanko5044
@barakajanko5044 2 года назад
Haki nimebarkiwa sana Mbeya Liko wap kanisa
@magdalenapeter9822
@magdalenapeter9822 2 года назад
Hakika hakuna Jambo Mungu usiloliweza🙏
@magdalenakabuje2015
@magdalenakabuje2015 2 года назад
Aminaaa wewe Mungu wa wote wenye mwili hakuna jambo usiloliweza
@alembicbrian
@alembicbrian 2 года назад
wameshindwa
@zahiradanda
@zahiradanda 2 года назад
Barikiwa mtumishi kwa huduma.
@adventnyella1672
@adventnyella1672 2 года назад
barikiwa mtumishi wa Mungu boaz
@juliethkemugisha7904
@juliethkemugisha7904 2 года назад
Ubarikiwe sana kaka danken nazidi kubarikiwa na huduma yako.....aise wakulete tena kwenye mkesha wa wanachuo kijitonyama
@waliibmhesh6048
@waliibmhesh6048 2 года назад
Undugu wako Boaz na Gwamaka was essence of worship wapendeza
@mwanzanicholusmalului7937
@mwanzanicholusmalului7937 2 года назад
🥺🥺nahisi Kubarikiwa..nimeganda hapa nikireplay huu wimbo 🥺🥺oh my such annointing man of God 🙏🏻.. barikiwa na uzidishiwe kibali 🤗
@farajaluvinga6867
@farajaluvinga6867 Год назад
Hadi Raha jmn kwa Yesu inalipa
@lightnessnasolwa8036
@lightnessnasolwa8036 2 года назад
Woooh Mungu akubarikii saana kaka
@theresialubida161
@theresialubida161 Год назад
Wanadam Wote wameshindwa kutibu korona 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@NeemaJulius-qo2xz
@NeemaJulius-qo2xz Год назад
Amen!! Yesu wetu ni mkuu sana
@paulwaru7665
@paulwaru7665 2 года назад
Wewe yesu Unaweza.......
@boazdanken
@boazdanken 2 года назад
Utukufu na Heshima Kwa YESU Asante sana kwa Maombi Mtu wa MUNGU
@agapetimothy2664
@agapetimothy2664 2 года назад
Jamani this Song has come with my miracle...huu ni wimbo wa moyo wangu jmn umekuja kwa wakati kabisa... Barikiwa Mtumishi wa Mungu...May God lift u higher in Jesus name.
Далее
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Просмотров 2,7 млн
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,3 млн
HAUFANANISHWI OFFICIAL   BOAZ DUNKEN WITH LYRICS
15:00
PAUL MWANGOSI:  Nani kama wewe/worship songs
16:51
Просмотров 187 тыс.
Prayers and Worship WEWE ni MUNGU WANGU
17:35
Просмотров 7 тыс.
Nikurejeshee
12:42
Просмотров 491 тыс.
Boaz Danken_ WAKUFANANA
8:40
Просмотров 302 тыс.
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Просмотров 2,7 млн