Huyu kijana atakuwa mkubwa sana maana mziki wake ni mwendo walingala kweli kafanya mabadikiko ndio maana ya mziki kabisa,amekutana na Queen wa sauti Zuuu hit that sh****t congratulations 🎉
Mambo vp ndugu zangu hiiii imekua official account ya BOB GM kitu ninavhoomba ni sapoti yenu naku niamini bila nyiee siwezi kufika mbali nguvu yenu ndo Ina nipa energy ya kazi Bila kusau kuwaambia kuwa tofauti zote zilizo tokea apo nyuma tuachane nazo Asanteni sana🙏🙏🙏🙏