Тёмный
No video :(

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania yatangaza kanuni Ngao ya Jamii 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Msikie Afisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) Karim Boimanda akizitaja kanuni zitakazotumika kwenye shindano la #NgaoYaJamii ambalo litaanza kutimua vumbi Agosti 8, 2024.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@malongonghonge1338
@malongonghonge1338 Месяц назад
Vp ikitokea aidha timu iliyoshuka dalaja ndy akawa bingwa wa fedelesheni je atacheza ngao ya jamii?
@yohanaantony5774
@yohanaantony5774 Месяц назад
Ngao ya jamii ni moja tuu kuonesha ufunguzi vp mnatuletea upuuz wenu ngao ya jamii inachezwa kimfumo wa ligi hebu badiliken tff maslah yenu tafuten sehem zngne
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza Месяц назад
Huyu kolo hana jipya mbwa tu
@VenaEliki
@VenaEliki Месяц назад
Hapo kwenye kudhamin timu zaidi ya moja ndio kutengeneza matokeo
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u Месяц назад
Tunaomba mtufafanilie hili lamdhamini mmoja kudhamini Tim zaidi ya Moja inakuwaje Hilo
@Kabeya410
@Kabeya410 Месяц назад
Hizo timu za sudani wapangeni ligi daraja la pili watapata, mazoezi huwezi kuweka timu hazikupi point watu wamegharamia mechi unacheza, hupati point unahatarisha kuumizwa, wachezaji pengine kuna mechi muhimu mbele mchezaji au wachezaji wanaumizwa kwa kutumwa na vilabu hasimu tunajuana mpira wetu hao wasijumuishwe waende zao
@KasimMaliki-mt9no
@KasimMaliki-mt9no Месяц назад
Wa kwanza apa
@IbrahimHangira
@IbrahimHangira Месяц назад
Sasa kwanini msiweke mchakato wadhamini wapewwe hata tim 2 tu, vipnmpaka timu 5
@drallan6879
@drallan6879 Месяц назад
huko tff mtatoa lini hukumu ya case ya lawi?
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Месяц назад
Sasa Azam imekufanya nini? Maanda ndiyo haina kikombe chochote.
@Kabeya410
@Kabeya410 Месяц назад
Bin zuber hao wamechemsha 1kwanza kuhusu Ngao kuna timu zinatengezezewa mchongo zishiriki kanuni zimebadilishwa kwa ajili yao pili tamaa ya pesa wanaona ndo fursa kupiga pesa, Ngao ni ishara ya ufunguzi wa msimu mpya anacheza bingwa na mshindi wa pili kama ulaya tu sasa Tanzania kinyume ati ligi ya, timu Nne upuuzi kabisa, kingine marefa wapewe semina mtu alivuruga makusudi afutwe kabisa miaka miwili maana kumfungia michezo fulani ai miezi mitatu anaona sawa kashapata kibunda anatumia tu na kuna mechi mfululizo wanapewa wanawake kwa nini mechi ya wanaume achezeshe mwanamke mbona ligi za, ulaya hakuna hiyo kitu wakachezeshe wanawake wenzao mifano ipo mingi marefa wanawake wanaharibu mechi nyingi tu.
@IbrahimHangira
@IbrahimHangira Месяц назад
Kaka iyo ya kuruka ukuta aitolee maamuzi
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza Месяц назад
Kongole wapewe vilabu vyenyew maana wanajipambania wenyew
@albertvalentino130
@albertvalentino130 Месяц назад
Ngao ya jamii ni kwa ajili ya kufungua msimu mpya au kuanza msimu mpya ---- sasa boko mlilo libutua," ni tuzo za msimu uliopita,ni kuziweka kwenye msimu mwingine" Bonge la boko mmelibutua tff na bodi ya ligi kuu.
@Baba-JJ
@Baba-JJ Месяц назад
Ujinga tu, mnatunga kanuni kwaajili kwa kuwalenga watu na timu specific. Ngao ya jamii ya mchongo. Mmeona kuna timu itapitisha miaka kadhaa bila kuchukua kikombe chochote ndio mmeamua kuweka ngao ya jamii ya timu 4. Kuchoshana tu kabla msimu haujaanza.
@barackmoses7003
@barackmoses7003 Месяц назад
Katunge na wewe kanuni zako
@abdallahmhina8718
@abdallahmhina8718 Месяц назад
Unpngn na sheria
@Baba-JJ
@Baba-JJ Месяц назад
@@abdallahmhina8718 Sheria ipi hiyo ya aliyeshika nafasi ya tatu kwenda kucheza ligi ya Ngao ya Jamii? 🤣 Tangu dunia iumbwe umesikia wapi kuna ligi ya Ngao ya Jamii? 🤣
@Baba-JJ
@Baba-JJ Месяц назад
@@barackmoses7003 Sheria gani hizo za kubebana na kulazimisha timu fulani lazima nayo ishiriki Ngao ya Jamii. 🤣🤣
@user-vy5ei1xl4p
@user-vy5ei1xl4p Месяц назад
Hujui unachoongea isipokuwa unaishi kwa kukalili
Далее
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Просмотров 760 тыс.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн
JAMBAZI SUGU LILIVYOULIWA
7:39
Просмотров 392 тыс.