Тёмный

Bomoabomoa vibanda vya wamachinga Vingunguti 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu wamachinga katika eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam, wamebomolewa vibanda vyao huku kazi ya kubomoa vibanda hivyo ikiwa imefanyika usiku wa kuamkia leo.
Hiyo imetokea mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kufanya ziara jimbo kwa jimbo kutoa elimu kwa wamachinga waofanya biashara zao katika maeneo yasiyo rasmi na kuhamia maeneo yaliyo rasmi.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@OmanOman-mc2bl
@OmanOman-mc2bl 3 года назад
Kaundime kitwana tutamkumbuka magufuri sana hata mwaka bado mungu wangu mambo yameanza mungu akulaze mahari pemapeponi magufuri mtetezi wa wanyonge kilio chetu twampelekea nani mttezi kaondoka kumbe roho zilikuwa zinawauma magufuri alipokuwa anaawachia wadanya biashara wa kando kando mwa barabar jmani mungu yupo ataenda muulija yake kma mama samia haoni vilio vya wananchi wake wanavyofanyiwa kalifumbia macho tu wala wsws hana angekuwa baba yetu magufuri hai mbona mambo madogo huyo aliotowa ruhusa wakavunjiwe vibada na hao waliotenda kazi hawana magufuri tutakukumbuka sana na sana uliotutendea wananchi wako mungu akulaze mahari pema peponi amina👏👏👏👏👏👏
@lucykebacho3446
@lucykebacho3446 3 года назад
Poleni watanzania wenzetu
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 года назад
Allah akurehem Rais Magufuli hakika tunateseka wananchi wako . Jimama lagombanishwa na wananchi lakubali halijui kuw wao ndio wanampea kura yaan nalichukia hili jimama bc tu
@mussathomasdossa4687
@mussathomasdossa4687 3 года назад
Kazi iendelee uchaguzi ukifika mtabembelezwa
@antonyvallerian1718
@antonyvallerian1718 3 года назад
Yaan mzee amosi sikuelewagi hata kidogo. Unazingua yote ni kwa sababu hujui hali ya maisha ya watu. Uwizi, ukahaba ulupungua sana dar es salaam ila unachokifanya ni kuongeza balaa.
@elinapouljensen9244
@elinapouljensen9244 3 года назад
Wamefanya vibaya Sana
@issufomussa7689
@issufomussa7689 3 года назад
Mungu yupo nanyinyi police kumamazenu
@snegalkassim7316
@snegalkassim7316 3 года назад
Nyama kg moja elfu kumi.
@gaspalmwaifweya2724
@gaspalmwaifweya2724 3 года назад
Mungu anawaona
@gaspalmwaifweya2724
@gaspalmwaifweya2724 3 года назад
Mungu anawaona wote waloshiliki tukio hilo
@rehemashaban6858
@rehemashaban6858 3 года назад
Baba Magu, magu, magu nakuita mara 3 watu wako wanateseka tukimbilie wapi baba tukapate msaada moyo unavuja damu tuna kukumbuka sana ulituonyesha njia ya kuingia mji wa ahadi natulikua tunaelekea huko leo baba tunageuzwa tulipo toka eee mungu tusaidie
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 3 года назад
Wewe Nini muekekee Allah ndio kimbilio wacha kumtegemea kiumbe mwisho utamkufuru Mungu.
@sonchuwa8865
@sonchuwa8865 3 года назад
Dah vichaa na wazima atuna tofauti maana wote tunavaa nguo zilizochanika🤔🤔🤔
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 3 года назад
1 knock out, wamachinga chini
@chumachilala4841
@chumachilala4841 3 года назад
Kiuchumi ni mbaya sana sababu mzunguko wa pesa wanaukwamisha kila mahali ..it's bad coz circulation of money is every thing
@mjubachuga7560
@mjubachuga7560 3 года назад
iyo ni ili kutisha wengine popote walipo, popote walipo kitanuka mda wowote , we unakaa chamazi banda lipo feri, ndugu yangu tegemea chochote kuanzia sasa
@ludoviclimo4153
@ludoviclimo4153 3 года назад
Serekali iliopo sasa
@jidahayamasanja6354
@jidahayamasanja6354 3 года назад
Sio Hali walivyowafanyia.
@jidahayamasanja6354
@jidahayamasanja6354 3 года назад
Sio haki
@kamagazamussa5117
@kamagazamussa5117 3 года назад
Gd
@kasimdada1039
@kasimdada1039 3 года назад
Unasema tunatoa kodi ,kodi hio ya 20000 kwa mwaka sio kodi dada ,jiangalie
@natafutapesa9678
@natafutapesa9678 3 года назад
Pumzika kwa amani jemedali wetu mfalme wetu kipnz cha watu wengi rais magufuli
@fredyfile623
@fredyfile623 3 года назад
Hivi habari za kiintelijensiaa hamnaaga hapaa yaani wezi kweli wavunjee alaf wasionekanee duuuuuu ndo bongoo hiiii
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 3 года назад
tz tunanyanyasika sn wananch wahari yachini mungu tu atusaidie sisi maskini
@ochumkale3904
@ochumkale3904 3 года назад
Mjiandae tu namatukio maana vibaka ndio watakuwa weng sna watu mnawavunjia ofs zao mnategemea waishije Kama si ndo kuaza kuviziana na visu
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 3 года назад
Uhuru uko wapi je viongozi wetu wamefikia hapo?
@adambakari9276
@adambakari9276 3 года назад
Naona jez ya mwananchi sasa imekuwaje mwananchi nae kavunjiwa
@ramadhanimongi3095
@ramadhanimongi3095 3 года назад
Shee uko kuviziwa kweri
@mbogosodebella8907
@mbogosodebella8907 3 года назад
Raisi hafai jamani amalize muda wake tu
@losulalamayi4957
@losulalamayi4957 3 года назад
Magufuli fufuka baba ujinga imeaxa
@rehemaathuman6669
@rehemaathuman6669 3 года назад
Raisi anajialibia cv zake ,,,inabidi awalipe awo watu uko ni kutiana umaskini tuu
@ibrahibrah9943
@ibrahibrah9943 3 года назад
Africa nikwaajili yawaafrica wenyewe!!
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 3 года назад
Mambo aya msumbiji tu uwez kufanya kesho tu kinawaka
@gracemima5234
@gracemima5234 3 года назад
Magufuli baba ulisema tutakukumbuka. Tumebaki kuwa wanasesele.
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 3 года назад
Mama Samia tunakupenda san tunajua kuna ambao wapo kwa ajiri ya kukuharibia
@mangalilikilawe6788
@mangalilikilawe6788 3 года назад
Unakopa hela unaenda kujenga barabarani huo si utumbo
@aidanjonathani2438
@aidanjonathani2438 3 года назад
Uhalisia halisi tunauona tusisahau kila tunachofanyiwa tukutane 2520
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 3 года назад
Waende Kariakoo
@mrishomrisho5349
@mrishomrisho5349 3 года назад
dhulma hiyo
@mussakasela1937
@mussakasela1937 3 года назад
Hao wamachinga niwaongo hao wametengezena. Mchogo wakuvunja wao wenyewe kwamadhumuni ya kukwamisha zoezi la kuwaondoa maeneo yasiyo lasimi
@gaspalmwaifweya2724
@gaspalmwaifweya2724 3 года назад
Unaonge nn ww
@gaspalmwaifweya2724
@gaspalmwaifweya2724 3 года назад
Kua uyaone
@mbogosodebella8907
@mbogosodebella8907 3 года назад
Pumbavu
Далее
CDF JENERALI MABEYO AFIKA IKULU KUMUAGA RAIS SAMIA
2:14
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 387 тыс.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн