Тёмный
No video :(

Bonge Lanyau Ft Khadija Kopa - Nipe Matamu (Official Video) 

BongeLaNyau
Подписаться 32 тыс.
Просмотров 250 тыс.
50% 1

#NipeMatamu

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 300   
@samuelsscjtv1178
@samuelsscjtv1178 5 лет назад
Hapa mjini hakuna mzee, Sisi sote ni Baby..... Baby nipe matamu.... Ndani ya Kisauni gonga likes...
@abuusaidimsigwa9654
@abuusaidimsigwa9654 5 лет назад
Kama ulimmissi boge LA nyau twenda sawa kwa like na comment
@athumanali7787
@athumanali7787 2 года назад
#Khadija kopa umefinika hiii nyimbo aki
@shemsasaid7869
@shemsasaid7869 2 года назад
Nzuri nimeipenda
@fatmasaeed8691
@fatmasaeed8691 2 года назад
Nyimbo poa sanaaa...
@faidadaudmmanga9819
@faidadaudmmanga9819 5 лет назад
nzuri cn
@zuhurarajabu1527
@zuhurarajabu1527 3 года назад
Jmn naomba unipende utamu wa moyo ......baby nipe mataam mmh nymbo naipendaga
@cutehamida3420
@cutehamida3420 5 лет назад
Naomba unipende utamu wa moyo usiende kwa mwengine
@bugalee3324
@bugalee3324 5 лет назад
safiiiii mambo ya pwaniiiiii
@allyissasaiddykumbota5304
@allyissasaiddykumbota5304 4 года назад
Rosso noma sana shukran ziende kwake baraka daprensse
@a.v.gautoworksmafundimagar359
@a.v.gautoworksmafundimagar359 5 лет назад
Dada khadija we mkali unajua kwasauti2
@ibramangi8878
@ibramangi8878 5 лет назад
Sauti nzuuur.aah! Hongera Koppa.
@ruyatally5188
@ruyatally5188 5 лет назад
Ngoma nimeielewa nzuri
@sanurapaulo7037
@sanurapaulo7037 4 года назад
Ngoma kali xan nimeilew
@muridiomarynauja7976
@muridiomarynauja7976 5 лет назад
Watatu hpa km umekubal hii ngoma gonga like hapa.
@edwardcharles8380
@edwardcharles8380 5 лет назад
Muridi omary Nauja
@abassmohamed3901
@abassmohamed3901 5 лет назад
Iko sawa
@mammym4185
@mammym4185 5 лет назад
Lovely baby nipe matamu unipoze moyo wow
@allyaseid5752
@allyaseid5752 3 года назад
Nice one mlezi wa wana
@lestermtweve5990
@lestermtweve5990 5 лет назад
Bi mkubwa #kopa umeua knm nm
@mtasma1994
@mtasma1994 5 лет назад
daaaaaa bonge la nyau bonge la ngoma
@mwajayshekallaghe568
@mwajayshekallaghe568 5 лет назад
Nyimbo nzur xaana
@mubamaabadi1213
@mubamaabadi1213 5 лет назад
Daaaaah we khadija kopa weweeee
@alexanderson1805
@alexanderson1805 5 лет назад
Hili song naikubali sna,,,,,gonga like hapa kma unapenda na ww,,naomba unipende✍️
@mustymusty2216
@mustymusty2216 5 лет назад
bonge lanyau umefunikwa babaa
@privinusdecroshan135
@privinusdecroshan135 5 лет назад
Ngomaa kaliiiii mzeeee wa hanzaaaa mtoto kariakooo
@bulakeke8362
@bulakeke8362 4 года назад
Anae sikiliza ngoma hiii 2020 like apa
@saidabud3219
@saidabud3219 5 лет назад
Mamaa nimekujubaliii aiseeee nyimboo kaliii walaaai
@aishakambenga6191
@aishakambenga6191 3 месяца назад
Bonge la nyau 🔥🔥
@jaffarmressa4248
@jaffarmressa4248 5 лет назад
Mapenzi bila pesa ni vichekesho, kama girlfriend wangu wa kiethiopia mix with tanzania wangu anavyo penda pesa 😁😁😁😁 gonga likes hapo chini...🇪🇹🇹🇿
@dempa2546
@dempa2546 5 лет назад
hii moto. ka ni moto piga like apo
@isayakatuwa4626
@isayakatuwa4626 5 лет назад
Uko vzr adam salamba
@Shaquille4037
@Shaquille4037 5 лет назад
Gonga "like" hapo #teamHadijaKopa kutoka Somalia..... sauti rahma 😍😍
@sylvanusinjomango2169
@sylvanusinjomango2169 5 лет назад
Kama umemkabali uyo jamaa gonga like apaaaa
@aymanali2
@aymanali2 5 лет назад
Upo juu yummaaa
@shameemrashid5219
@shameemrashid5219 5 лет назад
Ila huyu kaka anaimba vzr ety dahhhh msapotin jamn
@stevenshonza76
@stevenshonza76 5 лет назад
Mapenzi bila pesa ni vichekesho kama imeisikia iyo vase gonga like hapa
@agnessamuel8514
@agnessamuel8514 4 года назад
Zaid ya kichekesho🙌🙌🙌🙌
@ommansur2735
@ommansur2735 5 лет назад
Mama adija kopa akuna Zaid yako mamaangu kaz nzuri saut maashallah
@saidomari5909
@saidomari5909 5 лет назад
Maza kupa mashalla uko juu tu sana
@daddykibrysin503
@daddykibrysin503 5 лет назад
khadija omary kopa kaimba chorus qali sana ila song ni konki konnki mistress
@dominicadominica4976
@dominicadominica4976 5 лет назад
My lovely lovely mama nakubali Mungu akuzidishie
@charitykenya5571
@charitykenya5571 5 лет назад
Bonge la nyau🐈🐈
@wandanitv8805
@wandanitv8805 5 лет назад
sawa sana bonge la nyaaaaaaau umekosha nasfi yangu nilifikiri hiii kabla
@sammyabel8585
@sammyabel8585 5 лет назад
Yap nakubal kz nzr ila bro bonge la nyau unazingua kukaa kimya sana kwny kuachia ngoma
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 5 лет назад
Khadija kop ni konk konk konk wa sauti mamy hongera sanaa
@fatinaabdul2392
@fatinaabdul2392 5 лет назад
Kweli kbs
@lutfiamwaka744
@lutfiamwaka744 5 лет назад
Beatrice Kamenge kamenge
@christinewanje6407
@christinewanje6407 5 лет назад
Kweli yy ndio amefanya hii song iwe nnzuri
@halimapatricia5882
@halimapatricia5882 5 лет назад
Naomba unipende utamu wa moyo usiende qw mwingine napenda hiyo part sauti mashallah
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 5 лет назад
Ngoma Kali saana
@annayuda1710
@annayuda1710 5 лет назад
Wawoo wimbo mzr, khadija kopa saut nzr kwa kwel
@allysalim8892
@allysalim8892 5 лет назад
unajua sana broo
@imeldakapembe4438
@imeldakapembe4438 3 года назад
Tamu sanaaa
@zulachama1067
@zulachama1067 5 лет назад
Nakukubali mother wewe ni wewe na utabaki kuwa wewe superstar East Africa melody wengine wote photocopy
@abdalarashidi559
@abdalarashidi559 5 лет назад
wanaume tumezaliwa mateso mapenzi bila pesa ni vichekesho good music broo
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 5 лет назад
Kuzaliwa mwanaume Mateso Mapenzi bila pesa Vichekesho Daaah nimekubali and nime subscriber
@paulcosmas2969
@paulcosmas2969 5 лет назад
Mtoto mwali mwali kwako nipaki gari hapo pamenikosha sana kama uko pamoja nami twende sawa
@ligmmohd8112
@ligmmohd8112 5 лет назад
Dah huyu mama hazeeki, sauti tamu SANA,ongera sana #Khadija Kopa!!
@hiribaeomara917
@hiribaeomara917 3 года назад
Utaaza ww
@inspireasoulchangealife6198
@inspireasoulchangealife6198 5 лет назад
Daaah izo vocals za Khadija moto Sana I saaaay
@saidr380
@saidr380 5 лет назад
Kweli ni malkia wa mipasho ya pwani
@shalimasaid7983
@shalimasaid7983 5 лет назад
Ma ma naipenda sana sauti kila ninapoisikia yanikumbusha nyumbani .watch it in Qatar
@racheljaphetic9260
@racheljaphetic9260 5 лет назад
Mwamwaaaa hadija kopa wangu na bonge la nyau
@mudrickbarton8911
@mudrickbarton8911 5 лет назад
Sema huyu mama anajua sana
@abdillahishaban913
@abdillahishaban913 5 лет назад
Maa uko juu
@maimunaathman4664
@maimunaathman4664 5 лет назад
Safi sanaaa
@zakumbabinladen4273
@zakumbabinladen4273 5 лет назад
broo wewe mkalisana sema hujijuitu
@abdillahishaban913
@abdillahishaban913 5 лет назад
Napenda sauti yko mum
@sopymoney5900
@sopymoney5900 5 лет назад
Imekaa njema et konk konk konk!!!!!★★★★★
@fadhilimyefu3125
@fadhilimyefu3125 5 лет назад
Inapendeza
@mosesnyamhanga449
@mosesnyamhanga449 5 лет назад
khadija kopa kanogesha hili ngoma! like kama unakubaliana na mose the one and only!
@sogimbachamgongo2025
@sogimbachamgongo2025 5 лет назад
Ngoma kali big up ka mkubwa nakukubali mnoo
@paulnalami6
@paulnalami6 4 месяца назад
Listening 🎧 2024. ❤❤❤❤
@reymakessy213
@reymakessy213 5 лет назад
unaweza kaka,,,big up
@lawrencemwenda3156
@lawrencemwenda3156 3 года назад
khadija sauti yako tamu
@abrahmansleiman9743
@abrahmansleiman9743 5 лет назад
Bonge la nyau umetisha
@stephanozibe2740
@stephanozibe2740 5 лет назад
Tusiachane twende wote iringa umwaaa bonge la mm umeua na malkia wa mipaahoo ahaa!! ahaa!! Babake tupo live na maisha
@abwibwimwinyi9279
@abwibwimwinyi9279 5 лет назад
Aisee bonge la ngoma
@shaibahkkidavanga7948
@shaibahkkidavanga7948 5 лет назад
penda sana mimi hii nyimbo. lanyau nyau. upo juu.
@ashaswaleh3281
@ashaswaleh3281 5 лет назад
Ngoma moja ajab sana vocals km zote sate bi khadija na bonge la nyau big up
@devothamalugumalugu7593
@devothamalugumalugu7593 5 лет назад
Mama la mama konk konk Mrs watoto wanazeeka mama yuko fit tu
@Idri7
@Idri7 5 лет назад
Bonge La Nyau kubali sana mzee wa Ommy Kapareeee
@maryamrajabu4582
@maryamrajabu4582 5 лет назад
wanakushawishi oooh hujawahi kuniangusha hawakutakii mema
@rahmamteri5592
@rahmamteri5592 5 лет назад
Noma
@MarcoPolo-vo2on
@MarcoPolo-vo2on Год назад
Bonge la Ngoma
@mohamedsuleiman1222
@mohamedsuleiman1222 4 года назад
My favourite song from bonge lao
@youngsouijapyoungsouijap472
@youngsouijapyoungsouijap472 5 лет назад
Iko.Poa sana ii ngoma
@fatinaabdul2392
@fatinaabdul2392 5 лет назад
Wimbo mzur sn. Nilikumiss sn bonge la nyau
@rahmakazimil1841
@rahmakazimil1841 5 лет назад
manshallah mama yetu
@azizabdallah8177
@azizabdallah8177 5 лет назад
Ahsante sana bonge la nyau mziki mzuri sana
@jacklinenthambi4712
@jacklinenthambi4712 5 лет назад
dahh khadija ujawai niangushaa nakubaliii gonga like kaaa uko na mm
@saidhamad5294
@saidhamad5294 5 лет назад
Kila siku unanikosha na ngoma zako!! Bado haujaniangusha unajua na style yako ya kipekee!!
@lilhomies2541
@lilhomies2541 5 лет назад
Dah!! bi khadija kauwa hatari sana...goma zuri la kufungia mwaka
@abdallasalehe7520
@abdallasalehe7520 5 лет назад
bonge la ngoma
@DeejayJulius254
@DeejayJulius254 5 лет назад
Wow, mapenzi yamepanda kichwani na hakika hili Ziki kali hutoeza kosa au goma kulisikiza. Napenda sana
@allypeter3673
@allypeter3673 5 лет назад
King'@ling'@li woohuu nic song
@hassansamli2671
@hassansamli2671 5 лет назад
Hio coras duh ng’ombe hazeeki main
@mohdsaid2335
@mohdsaid2335 5 лет назад
ukweli daima haujifichi, mithili ya mafuta na maji, kimoja kitaonekana sana. khadija kopa ameweza kuitendea haki hii kolabo kwani amewezesha kuung'arisha huu wimbo kiasi ambacho amemfunika Bonge la nyau. (Mwenye wimbo) uzuri wa wimbo huu umependezwa zaid na khadija kopa ,sio kama namfagilia Bali ukiusikiliza kwa umakini utaona kuna ladha Fulani imeweza kunogeshwa na kuleta utamu na thamani ya wimbo. hongera sana Bonge la nyau hakika haujakosea kumtumia khadija kopa . kingine umri wa khadija kopa na sauti yake ni vitu viwili tofauti, sauti yake Kali iliyomzuri sana ,utazania ni saut ya bint mdogo kabisa ,kumbe ni mama mtu mzima kabisa tena ni mkongwe sana kwenye fani hii ya sana ya muziki .Kopa ameimba Tarab nathubutu kusema tangia sisi hatujazaliwa ,mpaka tumekuwa watu wazima bado anaendelea na sanaa ya muziki. maisha yake ya sanaa alianzia nyumbani kwao Zanzibar na baadae kuhamia Tanzania bara kuliendeleza kurudumu hili la sanaa ya muziki sifa na pongezi ziende kwake. Hongera sana Bonge la nyau Hongera Bi khadija kopa. pongezi kwenu kwa kazi nzuri. ahsante.
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 лет назад
Jitahid kufupisha comments utupe urahis wAsomaji😋😋🤗
@makobadismas4013
@makobadismas4013 Год назад
Waoo
@ommansur2735
@ommansur2735 5 лет назад
Bonge la nyau napenda unavoimba whallah 😘
@venancecharles4583
@venancecharles4583 5 лет назад
Mixing safi sana bonge la nyau
@marcomtengeti3596
@marcomtengeti3596 4 года назад
Duh hii nyimbo yangu nakubal sana cello bizzo bado nasikiliza 2020 ndio hit yangu!!!
@Simpleswag254
@Simpleswag254 Год назад
Bi Khadija ako fiti vocals zko safi
@jaizaniimamu3880
@jaizaniimamu3880 5 лет назад
Kali ila wanabana
@petromwinyi4955
@petromwinyi4955 5 лет назад
Ng'ombe hazeeki maini. hadija kopa sauti haizeeki mama la mama
@lovemonjemonje5777
@lovemonjemonje5777 5 лет назад
Mwanauma mashini yoo😍😍hongera mama top in town
@sumaiyaomari3240
@sumaiyaomari3240 4 года назад
Mashallah
@tunjekombora3182
@tunjekombora3182 5 лет назад
good musik frm bonge la nyau ft mama kopa big up.... hala frm +254 # 002 county
@priskapaulo2625
@priskapaulo2625 5 лет назад
saut tamu Kam zote Mwaaaaa😍💑💏💞
@misangasongolo1224
@misangasongolo1224 5 лет назад
kopa kamfunika mwenye nyimbo hahahahaha
Далее
Raymoo  Ft Khadija Kopa Shushushu Official Music Video
4:48
ДО ВСТРЕЧИ НА РАЗГОНЕ
52:11
Просмотров 438 тыс.
BALAA LA KHADIJA KOPA NI HATARI:ANYANYUA UKUMBI MZIMA
16:29
WILLY PAUL AND NANDY - NJIWA (Official Video)
4:19
Просмотров 24 млн
Unanitafuta Sana
14:19
Просмотров 3,6 тыс.
Bonge La Nyau - Tusiachane (Official Video)
3:34
Просмотров 199 тыс.
Khadija Kopa - Kubali Matokeo
17:05
Просмотров 286 тыс.