Тёмный

Bongo Star Search 2021 Audition Mwanza Ep2 FULL SHOW 

BongoStarSearch
Подписаться 410 тыс.
Просмотров 212 тыс.
50% 1

Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 12 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 265   
@Mercie579
@Mercie579 2 года назад
Jamaa wa guiter ako vizuri sana never giver up
@mwangiakila8020
@mwangiakila8020 2 года назад
Sijui bona chuki
@loyceleeyohana145
@loyceleeyohana145 Год назад
Salama jifunze basi kuwa unackiliza watu basi kah hadi unaudhi ujue😙😙😙
@OmmyDseven
@OmmyDseven 11 месяцев назад
RITA MNGU AKUJALIE wewe unajua Sanaa yaan unamsikiliza mtuu nimekufatilia Sanaa yaan uko SAWA Sanaa ❤
@catherinekemunto8826
@catherinekemunto8826 2 года назад
😂😂😂😂wakenya let's gather here,,,,watanzania wamefanya tena ile mambo yao,
@kmtormi6408
@kmtormi6408 2 года назад
😂😂😂😂itabid tukae humo humo
@jedidahgeipel5316
@jedidahgeipel5316 2 года назад
😂😂😂
@mishelmaimuna9758
@mishelmaimuna9758 2 года назад
😂😂😂🤣naisha
@wilkisteratieno2745
@wilkisteratieno2745 2 года назад
Wanacheza kiwao😂😂😂😂
@mwangiakila8020
@mwangiakila8020 2 года назад
Hii ni stand up comedy!!!
@kowech2626
@kowech2626 2 года назад
23:00 to 24:09 was my best part of this video. That's talent.
@ramalugogo7671
@ramalugogo7671 2 года назад
Good job posting for us tunaotegemea youtube kufatilia BSS. I'm a fan and I'm happy
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@mniraharuna989
@mniraharuna989 2 года назад
Aloo tupo wengi wenye TV mkononi
@marymutua9222
@marymutua9222 2 года назад
Napenda ommy sana my best judge Much love from kenya
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 2 года назад
Salama unaharibu punguza chuki hii kazi inahitaji roho nzuri katika kutoa haki mapepo ya nini? Huyo jamaa yuko vizuri asante master J
@dhddudg507
@dhddudg507 2 года назад
Fact 👏
@Zawadi-1
@Zawadi-1 2 года назад
Haendani na jina lake huo dada, anakiburi sanaaa
@iam_millstone4421
@iam_millstone4421 2 года назад
Am Fred_millstone a RU-vidr, watching from Nairobi Kenya, nimeishi kufatilia bss tangia kitambo na napenda Sana kitengo hiki cha kuibua vipaji, mnafanya kazi nzuri, keep it up wahusika wa bss, madam Rita, master Jay, salama na ommy, nawapenda saaana na pia Nairobi twawapenda saana
@stanofamboy343
@stanofamboy343 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-AVXpLxVCXhM.html
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@Zawadi-1
@Zawadi-1 2 года назад
justice kwa yule jamaa wa guitar please!
@haroldmathias6923
@haroldmathias6923 2 года назад
Nmetimiza comments 10 yote ni kutoa hongera kwa startimes kwa kuandaa hiki kipindi but tupo pamoja
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@errolwato7636
@errolwato7636 2 года назад
Alokuja na wazo la Bss Mungu ambariki.Mkali wenu waniumiza mbavu.Salama hamia kazi ya mahakama juu uko na uwezo.Big up Bss am from Kenya
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@Amhimfrr
@Amhimfrr 2 года назад
watching from Kenya.....the judges need to stop thinking that they are superior to the performers just cause they got it...we are all equal..kila mtu apewe heshima yake
@sabaisteven9640
@sabaisteven9640 2 года назад
Una
@memoryngambi3758
@memoryngambi3758 2 года назад
What I know is that nobody knows all,you can see that today you are somebody, tomorrow you can be nobody,and the one who is nobody today can be somebody tomorrow, advice and encouragement was needed because they are just starting.
@augustusmati3196
@augustusmati3196 2 года назад
Welcome to Tanzania where everyone believes in music
@chrisstokosboyofficiel0172
@chrisstokosboyofficiel0172 2 года назад
😂😂
@selinakubo7984
@selinakubo7984 2 года назад
🤣🤣🤣
@chefabby3800
@chefabby3800 2 года назад
😂😂
@lajnumzplatnumz2342
@lajnumzplatnumz2342 2 года назад
😏
@mwangiakila8020
@mwangiakila8020 2 года назад
😭😭😭😭
@ritasimon1329
@ritasimon1329 2 года назад
I have been watching bongo star search for a while now..came to realize salama judges people by their cover (not to all though🙌🏾)..she is so okay to low level classes and the pleasing ones..kinda makes me think she’s the kind of woman who likes to be listened to..and she also hates the much knows ones and the show off ones😁...I like her though but didn’t like the way she treated the guitar guy
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 года назад
Yeah,you’re right
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 2 года назад
Salama Nakukubali Sana Lakini Huyu Jamaa Wa Gitaa Ambae Ameitiwa Security Anajua Aiseeee Ulikuwa Hujamsikiliza Vzr Tu
@victorboneventure586
@victorboneventure586 2 года назад
Yaani huyu jamaa wa gitaaa kaitiwa security wakati anajua ... Kuna usela nao ukipitiliza unakuwa ushamba na una haribu mambo
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 2 года назад
Una ubabe salama
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 2 года назад
@@victorboneventure586 kweli
@zubedaramadhani1289
@zubedaramadhani1289 2 года назад
Kajichetua kishenzii kwann asimsikilize Kaka was watu
@zakirgokez9678
@zakirgokez9678 2 года назад
All the way from Kenya will like you judges atlest to listen and be like real people no human being is perfect Plz stop being rood instead advice and giving better Comment may atlest gives hope to someone
@alhajikenya6335
@alhajikenya6335 2 года назад
Tanzania are never serious 😂
@rishkamunge
@rishkamunge 2 года назад
This is underated comedy
@jumannechapembe8280
@jumannechapembe8280 2 года назад
Hii nchi inavijana wa ovyooo Sana
@lajnumzplatnumz2342
@lajnumzplatnumz2342 2 года назад
😁😁
@Zawadi-1
@Zawadi-1 2 года назад
nimependa mtangazaji
@catherinemattage7797
@catherinemattage7797 2 года назад
Ukitaka kujua bongo watu Wana wazimu angalia Bas😂
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@tabithadaniel7364
@tabithadaniel7364 2 года назад
Salama mbona una una panic sana ....kijana wa watu anajua kuimba kabisa huyo unamkunjia mwenyewe unajiona ww ndio mgawa ridhiki....ameomba nafasi 1 umemvimbia sio sawa
@sayeedmash6928
@sayeedmash6928 2 года назад
Salama I think ana jiona the best sana by the way sio poa ata vile ana Cheka Cheka watu na kudharau u watu kuwa na utu Dada love and respect no one was born to be perfect but people do try things
@tashaochun4651
@tashaochun4651 2 года назад
I agree,,the guitar guy was not even that bad,,I wish he had a chance...i really felt bad for him.... Hes a real definition of ’never give Up' like Master Jay Said....
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@janethjoseph604
@janethjoseph604 2 года назад
Up sawa kaka
@annathomas784
@annathomas784 11 месяцев назад
Hivi mnakujaga tanga kweli 😅😅😅😅Ommy ❤❤❤❤
@saidahmed9688
@saidahmed9688 7 месяцев назад
meena ally uko vizuri
@blessedboni6955
@blessedboni6955 2 года назад
You should expand BSS to East Africa.
@elysetv1107
@elysetv1107 2 года назад
Daaah huyu namba 10 anajuwa sana ila salama mjinga sanaaa
@elizabethmwikali7341
@elizabethmwikali7341 2 года назад
Jamani ommy
@official2kbill650
@official2kbill650 2 года назад
Mmezeeka kweli ndio mana hamuoni vizuri talanta
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@nginirasaire5876
@nginirasaire5876 2 года назад
Salama why did you have to do what you did to that guy with a guitar? One fan lost
@RUFUS_97
@RUFUS_97 2 года назад
jaman yule kaka wa guitar aliozinguliwa na salama mbona anajua sanaaaaa dahhh
@achilva
@achilva 2 года назад
Sema wanaume tunazinguwa sana aise 😂😂😂😂
@paulshibhiti9584
@paulshibhiti9584 2 года назад
Salama is so complicated 😫 I think they have their out conflict in all I apriciate a man he didn't give up till master j gave out his passionate choice
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 2 года назад
Ila Nchi Ina Vijana Wa Hovyo Sana😂😂😂😂😂 Eti Hisabati Hisabati😂😂😂
@mniraharuna989
@mniraharuna989 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@mwangiakila8020
@mwangiakila8020 2 года назад
Teacher konde !! Amezigua na ajalibu comedy
@lgdnce3052
@lgdnce3052 2 года назад
hello guys mm nimesha muchunguza salama .hana roho mbaya hata hila anataka kuwa hivyo hila watu wakuwe na bidii
@upendomorris7140
@upendomorris7140 2 года назад
I agree with u, sema watu hawajaelewa tu afu kingine anaona bora mtu utoke mapema kuliko kupekekwa round ya pili afu unatolewa. Huwa inauma
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@rgsdeodatusdeodatus2055
@rgsdeodatusdeodatus2055 2 года назад
Love you meena very talented
@oscaroscaroscar7974
@oscaroscaroscar7974 2 года назад
Omdipoz kakutana na omyydopzyy jamanii why whyyy😂😂😂😂
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@sumatanjunior231
@sumatanjunior231 2 года назад
Ila salama amekuwa rude sana kwa yule jamaa wa guitar. Siyo poa kabisa. Ameleta hate na amekuwa na ego hata hakutaka kumsikiliza. Labda aliamka vibaya.
@janethjoseph604
@janethjoseph604 2 года назад
Anaroho mbaya tu
@patrisiaandrea4208
@patrisiaandrea4208 2 года назад
Salama punguza roho mbaya
@credo7837
@credo7837 2 года назад
Madam kalizako sio nzuri mchawi amekurogea babaako
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@deborahthobias7724
@deborahthobias7724 2 года назад
Natamani nimuone ommy live ananifurahisha sana
@briantelulu2793
@briantelulu2793 2 года назад
Toweni hivo vipindi vingine vya kitoto vya mabata madogo yanaogelea
@isunga1964
@isunga1964 2 года назад
BSS inatoga sana stress za mwarabu asanteni sana 🤣🤣🤣🤣
@jasminealmasy9666
@jasminealmasy9666 2 года назад
😂😂😂KUMBE TUPE WENG
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 2 года назад
We acha tu
@mashamasha2854
@mashamasha2854 2 года назад
nílídhαn pєkєαngu
@damusafimgsh230
@damusafimgsh230 2 года назад
Bongo touch kuna vituko
@aj3422
@aj3422 2 года назад
Idris made me smile
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@immanuelmasuba464
@immanuelmasuba464 2 года назад
Masuba
@nancykalimba6967
@nancykalimba6967 2 года назад
😂😂😂 Wengine kama vichaaa
@winnermariah
@winnermariah 2 года назад
Dada Mwenye Gauni Jeusi Unaimbaaaaaaa
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@ydtv9167
@ydtv9167 2 года назад
Me yes
@ernestinaernesti3916
@ernestinaernesti3916 2 года назад
Huyu kaka no. 6 aliye rap aiseee ni miaka kidg huyu jamaa (Jina kama Charlse hv kama sijakosea) alikuwa anasoma Chuo cha Utumishi wa Umma - Tabora na alikuwa ana chana ile mbaya kulikuwa na mashindano ya hap na pale free style kama zote
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 2 года назад
Lkn hawa wakaanga sumu sasakuna mmoja kafunika uso utadhani jumba la kobe
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 года назад
13:55 Salama ana chuki,hakumbuki Majani kamukataa studioni,Zuki za nini?eti huendi Dar?ndo maana ni kama mwanaume 🧠 zero…why they bring her back???
@ezekielodanga1196
@ezekielodanga1196 2 года назад
I'm from kenya i real like BSS kept up tz
@asiambogo627
@asiambogo627 2 года назад
Salama kusema kweli una roho bayaa ajabu,bona huyo mkaka anaimba vizuri
@shootershilcon8307
@shootershilcon8307 2 года назад
Big up sana bongo star #mkali wenu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂💪
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 2 года назад
Ila salama una ubinafsi flan wallah sasa chuki y nn kwa mkaka wa watu aiseee unazingua kinyamaaaa
@salminasalim5630
@salminasalim5630 2 года назад
BSS nzuri sana asante Madam Rita MMungu azid kukupigania ila jamani wambie majaji wengine watumie luggage rafiki sio hivyo. Mfano gata American Got talent kina Simon Cowell hawatoi lugha hizo please you have to empathise with your client not to use abusive language I am sorry to say that.
@mariamthomas3902
@mariamthomas3902 2 года назад
Salama Ana roho mbaya hadi anachefua
@irenemmasy79
@irenemmasy79 2 года назад
Salama kakosa adabu siyo sawa anavyofanya
@selinakubo7984
@selinakubo7984 2 года назад
What is wrong with salama the guiter guy knows how to sing 🤔🤔
@letsgrowwithm4620
@letsgrowwithm4620 2 года назад
Mwambie huyo
@mwangiakila8020
@mwangiakila8020 2 года назад
The nigga was soo good
@saimonikosimasi9181
@saimonikosimasi9181 2 года назад
Kali ya mwaka
@patrickfelly1809
@patrickfelly1809 2 года назад
Idris we mis you brooh!
@mrlomasi4745
@mrlomasi4745 2 года назад
Hivi kwann kigoma hamfiki
@azdinabubakar1391
@azdinabubakar1391 2 года назад
Mpaka kuwa jaji unatakiwa kuwa na qualifications gani?
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 2 года назад
Wakaanga sumu nyiye tu hasa salama Jabir walikuroga kdg wangekupofusha macho usione abadan
@esterfundi7014
@esterfundi7014 2 года назад
Bongo sihami
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@mustafatsomba6178
@mustafatsomba6178 Год назад
Mkali wenu uyu fala kabisa 😂😂😂😂😂
@janethjoseph604
@janethjoseph604 2 года назад
Salama unaroho mby Sana uyo kka kakosanini paka umuitie security sio kitu kizr
@yangjazz3033
@yangjazz3033 2 года назад
Nime Shangaa pia jameni
@singidaprincetz1883
@singidaprincetz1883 2 года назад
0281 uyu jamaaaa anajuaaaaa saaaaanaaaa jmn
@catherinekemunto8826
@catherinekemunto8826 2 года назад
😂😂😂😂😂enyewe watanzania mna mambo
@mishelmaimuna9758
@mishelmaimuna9758 2 года назад
😂🤣🤣🤣 uweeeh kabisa
@bbwaymahega4487
@bbwaymahega4487 2 года назад
Wanajitahd
@johnbernad3990
@johnbernad3990 2 года назад
Mkali wenu🤣🤣🤣🤣
@barbiemdoo6598
@barbiemdoo6598 2 года назад
Mama ndege
@cejomatv1572
@cejomatv1572 2 года назад
Were is sultun
@relaxingstressrelief1954
@relaxingstressrelief1954 2 года назад
Eti karibu candy 🍭 😂😂
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 2 года назад
Mkali ww
@bianarashidi1488
@bianarashidi1488 2 года назад
salama sasa duh, hayo maisha2
@abdulrahmanjuma6805
@abdulrahmanjuma6805 2 года назад
Nakubali xn tunasubiria kwa ham Ep3
@abimaelkilasi2946
@abimaelkilasi2946 2 года назад
Njooni Kigoma vipaji kibao
@frebokalinga6995
@frebokalinga6995 2 года назад
Salama mavi yake
@OmmyDseven
@OmmyDseven 11 месяцев назад
Salama kama unakua na hasila malizia kwako hpo nikwenye maisha ya watu unakela japo nakukubali lkn umezingua😳
@winnermariah
@winnermariah 2 года назад
Salama Utarogwaaa😂😂😂😂😂
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@hammedfatma8727
@hammedfatma8727 2 года назад
Wamrudishe Idriss na Christian bella uyu Salama ana dharau sana
@sharonkeya8090
@sharonkeya8090 2 года назад
Huuuu ni msiba kweli🤣🤣🤣🤣🤣
@nurathassan4023
@nurathassan4023 Год назад
Siyo poa m2 awezi mwambieni 2 bado ujafikia ila pambana siyo kumkatisha ivyo so poa wala nini 😞😞😞😞😞😞😞😞
@Beibemercy1961
@Beibemercy1961 2 года назад
Mkali wetu ameshinda😂😂😹😹
@najma1450
@najma1450 2 года назад
Hhahh madam Rita acha izo
@yangjazz3033
@yangjazz3033 2 года назад
Jamaa wa guitar ana sauti mbona kamfanya matharau
@godwinloburu8646
@godwinloburu8646 2 года назад
Jamaa wa shat jekundu katisha alieimba kikongo anajua ommy kzngua
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@ammotv5787
@ammotv5787 2 года назад
Salama lini aka jua music kuweni serious huyo jmaa mlio mpokonya gitaa lake ana jua huyoo tena fundi
@johnbernad3990
@johnbernad3990 2 года назад
Jamani Bss kunawatu wamepinda🤣🤣🤣🤣
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 2 года назад
Huyu mkali wenu amefata nini apa😂😂😂😂😂ebu toka apa
@queenurio7043
@queenurio7043 2 года назад
Haahahaaa jmny wanaume mbona masialaa yanazid kuliko ata wadada😀😀😀
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@angelopeterson579
@angelopeterson579 2 года назад
Salama unazidisha usela, jamaa unaemuitia security na akati yuko vizur, ulikua unanynyuk kwend kumfnyaje asa😂.. Tungeomba ukitulize
@joyjilien5432
@joyjilien5432 2 года назад
🤣🤣🤣eti akitulize 🤣🤣🤣🤣 Nchi ngumu hii duuh 🤣🤣🤣
@SpizesMuzik
@SpizesMuzik 2 года назад
Huyu salama ana roho mbaya sana
@hammedfatma8727
@hammedfatma8727 2 года назад
Tena nyeusi
@SpizesMuzik
@SpizesMuzik 2 года назад
@@hammedfatma8727 mi nahisi hata mambo mengine anayoyafanya hata hajakaa na kuyachunguza kwanza,anakurupuka tu,nkt,namchukia sana. Ana ushamba mwingi sana sijui ndio aonekane mkali au,nkt😡😡😡
@hassanmustaphalmlila5383
@hassanmustaphalmlila5383 2 года назад
Ila kwel wanaume wanazngua sana comedy nying!!! Useng*** huu
@Michaeldanny_214
@Michaeldanny_214 2 года назад
#MWANZA hamna kitu kabisa.Bure vipaji hewa for a Big City ni drama
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 2 года назад
Majaji wabongo kwakweli hv hamuangaliagi wenzenu wa marekani hata mtu kafanya vibaya lkn hawamkati kauli hawamkatishi tamaa hawamvunji moyo zaidi humwambia amejitahidi lkn jmn wabongoukipata hiyo bahati kukaa pale mbele mnakuwaga na nyodo mnasahau mko Duniani mnadhani peponi mmeingia
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 года назад
Nimemuona mtukufu
@sayeedmash6928
@sayeedmash6928 2 года назад
Mtukufu ni nani😂😂😂😂😂
@philbertkaiza8716
@philbertkaiza8716 2 года назад
that's Wow . ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SAhxTrXxaZs.html..
@ahlamverynice.3605
@ahlamverynice.3605 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 #Ahlamverynice♨️♨️✌🙏
@betrackjasson6698
@betrackjasson6698 2 года назад
Nani kamuona mkaliwenu
@mwl_bennehemiah
@mwl_bennehemiah 2 года назад
Msela wa Gitaa wamemwonea
@azizaaziza9113
@azizaaziza9113 2 года назад
Wapumbavu sn hawa
Далее
Bongo Star Search 2021 Episode 03 Mbeya
1:05:38
Просмотров 238 тыс.
Bongo Star Search 2021 Audition Arusha Ep1 FULL SHOW
1:04:14
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28
Это было очень близко...
00:10
Просмотров 1,3 млн
Bongo star search 2015 Final
1:33:27
Просмотров 1,2 млн
zijue aina za UTUNZI WA NYIMBO✍️
28:01
Просмотров 4,1 тыс.
BSS 2023 SN 14   EPISODE 06 DAR PART 2
1:14:46
Просмотров 37 тыс.
BSS 2022 SE13EP08 FULL SHOW
1:01:51
Просмотров 188 тыс.
Bongo Star Search 2021 Ep 9 Love WEEK
1:29:22
Просмотров 232 тыс.
BSS 2023 SN 14   EPISODE 13 TOP 9
1:34:45
Просмотров 13 тыс.
Bongo Star Search 2012 EP 5 DAR ES SALAAM
1:02:19
Просмотров 166 тыс.
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28