Тёмный

BONNY MWAITEGE AKANUSHA UVUMI UNAO ENDELEA 

Bony Mwaitege Official
Подписаться 192 тыс.
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 716   
@annewanjiru818
@annewanjiru818 Месяц назад
Kwanini mtu akuwekelee jambo nzito hivyo Bonny. Mimi nazipenda nyimbo zako sana kutoka huku 🇰🇪
@oswardfenias9270
@oswardfenias9270 Месяц назад
Majibu zaidi yako kwenye wimbo wako "tafuta amani- by bonny Mwaitege" Kuishi na watu Kazi, Mama nipe radhi". Mungu ni mkuu zaidi kwa Uhai, injili isonge mbele, "Limebaki Jiwe". Ubarikiwe sana sana mtumishi wa aliye hai 🙏
@Emmankoyai-xh1ld
@Emmankoyai-xh1ld Месяц назад
Autakufa utaishi milele na milele in Jesus name amen amen 🙏🙏🙏 tunakipenda sana kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ❤❤❤❤❤
@mwendwa9127
@mwendwa9127 Месяц назад
Watu aki wako na mambo ,wanauwa mtu na ufumi akiwa mzima wa afya? MUNGU wasamehe Sana mnaofanya hipo nawaelemishe mahana hamjui mkifanyacho,,,barikiwa bone mwaitenge twakupenda Sana hapa kenya
@StephenKasolo
@StephenKasolo Месяц назад
Pole sana baba Yetu.
@maggynyawi253
@maggynyawi253 Месяц назад
Waaaoooh ishi sana Ndungu yangu Bonny tunakupenda zaidi nyimbo zako za injili hutubariki sana huku inchini kenya n wlkm here wewe ni mti mwenye matunda mengi lazima utapatana na mawe kila wakati lakini mungu atakubeba juu na kukutia mafazi mpya kila kuchao ,live long our brother Bonny❤🙏🙏
@nancynjeri151
@nancynjeri151 Месяц назад
Utaishi mpaka ushangae nakupenda from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@linetchebeni1372
@linetchebeni1372 Месяц назад
Amen
@edwarmisik
@edwarmisik Месяц назад
Niliingiwa na hofu mwengi sana niliona mwenye mtando kua umepata ajali kumbe ilikua uzushi, roho yangu imetulia sasa kwamba Bado uko huai , barikiwa sana mtumishi
@user-xi1bu4vt1n
@user-xi1bu4vt1n Месяц назад
Though I don't understand your language let me just say that nakupenda sana together with bahati bukuku your songs heals my heart
@everlynemutua5897
@everlynemutua5897 Месяц назад
Tangu nizaliwe nimejifunza neno LA mungu kupitia nyimbo zako Baba na nimebarikiwa sana Kwa huduma yako Your my father 💗 nakupenda sana papa Na mungu akulinde Kenya tunakupendaa❤🎉
@rexe9651
@rexe9651 Месяц назад
May God grant you long life man of God 🙏🙏🙏 wanaokutakia maovu Mungu apigane nao,,much ❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hellenrichard187
@hellenrichard187 Месяц назад
Ahsante Mungu uko hai niliumia moyo sana mimi Ahsante Mungu❤
@haronwanyama
@haronwanyama Месяц назад
I was really shocked nashukuru Mungu Kwa kuweka wazi,,,hao wa kueneza uvumi wachukuliwe hatua much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MiriamMir-uf5wv
@MiriamMir-uf5wv Месяц назад
I believe that God is keeping you up and u doing is work we are bless we your songs 🎵 🙏 ❤❤🎉🎉🎉Ameeeeeen 🇺🇬
@bemsinvestment3781
@bemsinvestment3781 Месяц назад
Mulungu akuike,amuhase mwenehu....Mungu akueke, akubariki nduguyangu😂😂😂😂...amen
@EvangelistyohanaLyimo
@EvangelistyohanaLyimo Месяц назад
kweli kaka Mungu akupe maisha marefu sana sana akupe maisha marefu kwa kweli hautakufa mpaka umalize kazi ile uliyo itwa na Mungu Nakupenda sana sana❤❤w❤❤❤❤❤❤❤❤❤hakika Mungu hatakuacha
@janetnasimiyu8646
@janetnasimiyu8646 Месяц назад
Hizo n vita bt mungu amekushindia life Long bro much love from kenya
@SarahShisia-us7iw
@SarahShisia-us7iw Месяц назад
Glory be to God 🙏 watu wamefanya tukalia sana Wacha mungu akulinde na akupe maisha marefu ili uzidi kutubariki 🙏🙏🙏🙏
@geoffreyochieng-py8kc
@geoffreyochieng-py8kc Месяц назад
We Love you so so much brother. Mungu na akulinde hata zaidi. Blessed
@belindasimiyu2142
@belindasimiyu2142 Месяц назад
Sifa zimrudie mungu siku zote kama bado uko mzima na hautokufa Baba utaishi milele kushuhudia matendo mema ya mungu. Nazimependa nyimbo zako Mimi na familia yetu nzima tunakuombea siku zote 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@mejuboy9448
@mejuboy9448 Месяц назад
Wote walioleta uzushi huu na mkono wa bwana ukabiliane nao....twakupenda sana huku 🇰🇪 kenya +254
@joycekamendu6400
@joycekamendu6400 Месяц назад
Kaka yangu Mimi nashukuru Mungu Sana maana tumeshituswa Mungu akupe maisha marefu ❤❤❤❤
@freddyplaniddy4571
@freddyplaniddy4571 Месяц назад
Asante sana tuli ofia kbs
@rodgerssituma
@rodgerssituma Месяц назад
Utaishi brother Anaekutakia mabaya na yampate mwenywe.Mungu akubarirki sana sana muchungaji
@KevinLubutse
@KevinLubutse Месяц назад
bony mwaitege,ujambo. nakupenda sana napenda nyimbo zako . 'wapendwa nisaidie' nitakusaidia kwa maombi. nakutakia Kila la heri mola akawe nawe siku sote.
@ronaldnyabuto4923
@ronaldnyabuto4923 Месяц назад
Mungu akupe maisha marefu,,nimeshutuka sana kuona ujumbe rip from kwa friend wangu,,,shetani ashindwe
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 Месяц назад
Ogopa wanadamu Yani watakuzika ukiwa hai 😅 nimeingia Facebook nikakuta na na rip duuuh Yesu akutunze ndg yangu Mungu bado ana haja nawe na wewe Sio mnyonge tunafanywa jasiri katika Kristo much love from Kenya ❤ but
@linetchebeni1372
@linetchebeni1372 Месяц назад
Nilisita kukubali, imani yangu ilikataa... Live long mtumishi wa Mungu
@reubenkipkorirkosgei5756
@reubenkipkorirkosgei5756 Месяц назад
Thanks to almighty God you are still alive my brother! I had cried so much, I thought you were gone. Pole sana ndugu yangu. Whatever they are thinking about you, will never prosper
@PatrickNdeva
@PatrickNdeva Месяц назад
God bless you man of God. Watu wameja maovu sana. Barikiwa sana .
@everlyneombogo-io1vz
@everlyneombogo-io1vz Месяц назад
Kwangu mm kama mkenya nakutakia mema kakangu, Glory be to GOD, Hallelujah ❤❤
@JanuariesNzioka
@JanuariesNzioka Месяц назад
Let's the Lord fight for you my brother achia Mungu vita
@BarakaEdna
@BarakaEdna Месяц назад
Ahsante sana kwa kutwambia ukweli hao wazushi washindwe na walegee Mwenyezi Mungu azidi kukulinda akupe maisha marefu tunakupenda sana
@leahshisia1235
@leahshisia1235 Месяц назад
I was shocked, may God protect you bonny mwaitege watching from Kenya
@RachelWakochwe-nu9tx
@RachelWakochwe-nu9tx Месяц назад
May you live long man of God.much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jkimwamwele2606
@jkimwamwele2606 Месяц назад
NA MIMI HUJIULIZA NI NANI UANZA NI WACHAWI AMA MARAFIKI WA MTU. SABABU SIJAWAI KUELEWA.🤔🤔😳😳MKENYA MWENZIO MSANII wa NYIMBO za INJILI. 👍👏🙏
@Tilavi
@Tilavi Месяц назад
Great👍, that uvumi spoiled my morning moods..
@Lucykinuthia-ds3ts
@Lucykinuthia-ds3ts Месяц назад
Mungu akupe.miaka mingi yenya baraka na hao maadui zako waishi kushuhudia wema wa mungu kwako
@EdnahOtieno
@EdnahOtieno Месяц назад
Alojuu akuhifadhi na akukirimie neema na siha njema, pamoja na uzao wako wote twaomba 🙌🙌
@ArubinaChimuli
@ArubinaChimuli Месяц назад
Aki mm nimelia sana nilopo ona hizo video watuwaki post nilistuka sana..bonne mwaitenge God bless. Uishi maisha marefu.☦🙏☦🙏☦🙏
@holyjoemusiq2202
@holyjoemusiq2202 Месяц назад
We love you minister of God....Mungu yupo nawe. Shetani na mipango yake hatofaulu. Live long mtumishi to testify the goodness of the Lord 🙏
@user-ex3ju1zc9f
@user-ex3ju1zc9f Месяц назад
Wambea hao mtumishi wa Mungu athanasius nao endelea na kazi nzuri hiyo
@user-sk7hh6uq6j
@user-sk7hh6uq6j Месяц назад
Asante my brother sasa mwoyo wangu umetulia uko hai mungu wa mbinguni akulinde siku xote amini ❤❤
@titusmweu9845
@titusmweu9845 Месяц назад
Mtumishi, Mungu akuzidishie maisha marefu. Mie shabiki wako nilikwazika zaidi nakufuatilia Kila kuchao na Kwa hakika nilishtuka tu sana.
@anitaauma5664
@anitaauma5664 Месяц назад
Ahsante Mungu uko hai 🙏🏽🙌🏽 nilikuwa nimehuzunika. Mungu akulinde na akupe maisha marefu mtumishi.
@RhodaMwende-k7d
@RhodaMwende-k7d Месяц назад
Mungu akulinde utaishi,,much love from kenya❤❤
@PhoebeAchiengOdhiambo-sb4qs
@PhoebeAchiengOdhiambo-sb4qs Месяц назад
Thank God u'r alive.. may the almighty God continue to bless you and many more years of happiness
@RukiaDzombo-uf7wp
@RukiaDzombo-uf7wp Месяц назад
Aky Ata naambiwa xx hvi,,, surely,ndio nkaja Kwa channel Yako Tyr baba,,, May you live long life baba Bonny
@user-ec8gm5go9w
@user-ec8gm5go9w Месяц назад
Mungu akulinde mtumishi na akuzidishie zaidi na abariki kazi ya mikono yako
@ZainabZen-lx1dq
@ZainabZen-lx1dq Месяц назад
hautakufa mungu awe na wee from kenya nkpenda saanaa❤🙏🙏
@patrickoyaro5982
@patrickoyaro5982 Месяц назад
Asante Rafiki. It has been a long tangu tuhudumu pamoja Migori. God bless you
@FrankMalagho-vk3qn
@FrankMalagho-vk3qn Месяц назад
Bony mwaitege haki mungu akulinde Jana nimetokwa na machozi sana
@evansjuma1916
@evansjuma1916 Месяц назад
Nashukuru sana kuskia uko hai ilinishtua bro ..may you live long to spread the gospel
@Bekita-nz7bq
@Bekita-nz7bq Месяц назад
Mungu akupee maisha mrefu katika Jina la YESU kristo Amen 🙏
@barrehotel-q5t
@barrehotel-q5t Месяц назад
Mungu akupee umrii mkubwa baba angu ❤❤ Na mwenyezi mungu akujalie afya njema
@princerobert3202
@princerobert3202 Месяц назад
Now my heart is at peace glory to God may God keep u save for his own glory
@TumainiMkemwa-ee1rz
@TumainiMkemwa-ee1rz Месяц назад
Pole mtumishi, kwa yote Mungu akutunze nakuudhidisha umriwako kwajinalaYesu
@mercycheptoo2002
@mercycheptoo2002 Месяц назад
Live long brother 🙏 tunakupenda Sana hapa Kenya
@anneanji4818
@anneanji4818 Месяц назад
To God be the glory ,,You will live long the devil is afraid of your ministry ..God loves you 🇰🇪🇰🇪
@dicksonrigha7588
@dicksonrigha7588 Месяц назад
Live long life full of Gods blessings, ilishtua sana yenyewe. Thanks and God be with you always.
@rosemakena8267
@rosemakena8267 Месяц назад
I'm so relieved, glory to God . Wewe ni wa baraka mtumishi Bony❤
@hadassahkimatu8942
@hadassahkimatu8942 Месяц назад
Namshukuru mungu Sana bonny ungali Hai na nakuombea maisha marefu kwa Jina la yesu
@user-Ambani
@user-Ambani Месяц назад
Nilikua nimestuka sanaa watu wachunge midomo Kwa watumishi wamungu😢😢 barikiwa mtumishi🎉🎉 many more years
@keyofkingdomtv9570
@keyofkingdomtv9570 Месяц назад
Amen tunakupenda sana from Rwanda
@user-jw2gt2se5b
@user-jw2gt2se5b Месяц назад
Hadi mimi ilinishtua sana,,pole sana mwaitege,,utaishi sana mimi naitwa john kutoka kenya
@JamesKikezi
@JamesKikezi Месяц назад
Tuta fanyaa hv kaka mungu nimwema huu uzushii utaishaa
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p Месяц назад
n🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hapa tunakupenda na fani xako kwa muzki wa injili tulikuwa tunashangaaa sana karibu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JACINTAEREMON
@JACINTAEREMON Месяц назад
Amen 🙏 mtumishi wa Mungu bwana aendelee kukuifadhi sana maana bwana anasema hautakufa bali utaishi ili uyasimulie makuu ya bwana.zaburi 118:17.asante.
@lilianchepleting3700
@lilianchepleting3700 Месяц назад
Asante uko hai.. kweli nimelia sana mtumishi wa mungu...mungu akulinde
@hessaalrumaih7919
@hessaalrumaih7919 Месяц назад
Mwanadamu amejalibu kutusika tukiwa hai wee ninaezikia nyimbo zako zinanitoa mali nimekwama tena nina zimama tena , nami natapili katika jina la yesu hautakufa kwani mungu unaemtumikia amelala yesu wetu alimaliza kifo msalabani ,❤❤
@MwatuNTTI
@MwatuNTTI Месяц назад
Mungu akulide sana ❤❤ you deserve more years of blessings ♥️♥️
@enockbryson8167
@enockbryson8167 Месяц назад
NIMEFURAHI SANA kukuona ukiwa unaafya njema mungu AENDELEE kukutunza
@vals8920
@vals8920 Месяц назад
I was like kama Bonny ameamua kufa akuje aombe msamaha😂 Leave long man of God.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MarymueniMusembi
@MarymueniMusembi Месяц назад
Mungu akubariki sana, hatufi tutaishi tusimulie wema wa Bwana katika nchi ya walio hai
@viking24
@viking24 Месяц назад
Shalom Shalom brother. Asante kwa kujitokeza na kutuambia ukweri. Balikiwa sana na Mungu akulinde kila ajali yoyote.
@iorinefridah1284
@iorinefridah1284 Месяц назад
Kwanza nimeshangaa sana, adi nikakumbuka wimbo wa Dunia dunia duniaa kila kunapokucha inabadilika mambo yanayotokea duniani yanatisha... Ona sasa unazikwa ukiwa hai, watu hamufanyi poa Mungu anawaona, na utaishi kwa neema ya mwenyezi Mungu 🙏🏼🙏🏼🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@onesmusopuko6974
@onesmusopuko6974 Месяц назад
Watakufa wao...wanaokutakia kifo wao ndo watatangulia kaburini. Mungu akulinde mtumishi wa Mungu.
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Месяц назад
Safi sana tena iwe fundisho tumeshituka mno watumia vibaya sana matusi ,vifo hebu serikali itoe fundisho
@denniskyoko3475
@denniskyoko3475 Месяц назад
Why would someone do such a wicked thing 😢Man of God, this shows the impact you're making, don't worry, God bless you.
@Jimmie_MJ
@Jimmie_MJ Месяц назад
Oh God of Marcy ...Thank God.😢🙏🙏🙏🙏🙏🙏 .Mzee wewe unapendwa.Jua TU Hilo Ukiwa Hai..Utakua wa kwanza kujua maana Yako ya Duniani Ukiwa Hai...Mungu Akulinde.❤❤ .Kwana Niimbe Samahani Kutoka Kenya 🇰🇪🙏
@karembokitsao3090
@karembokitsao3090 Месяц назад
Mungu azidi kukupa Maisha marefu ,from kenya kilifi (giriama)
@jaminaallana5529
@jaminaallana5529 Месяц назад
Nlishtuka sana.mungu akulinde mtumishi wa mungu🙏🙏
@njokinjuguna2271
@njokinjuguna2271 Месяц назад
Washindwe katika jina la Yesu Kristu,wanaokusudia kifo Bonnie Mimi shambiki wako kutoka humu Kenya nakutakia maisha marefu!
@ZawadiRimba-gy4dn
@ZawadiRimba-gy4dn Месяц назад
Pole sana baba mtumishi tunakupenda sana hauta kufa bali utaishi ❤❤❤❤❤
@NiragiraAnita
@NiragiraAnita Месяц назад
Asante bwana Pastor Bony Mwaitege presha imeshuka sote Huku BURUNDI TULIKUwa pamoja nakukaa pamoja Huku ndani ya week mbili Mungu apewe sifa tuta kufa lakini Bado kazi ya Mungu inatuitaji ❤
@user-mc4yk5iv6j
@user-mc4yk5iv6j Месяц назад
Wooye God intervine from kenya we loves you
@AnnNzisa-mi2wg
@AnnNzisa-mi2wg Месяц назад
Nilikua nimeanza kumie anyway kama uko uai mungu ni mwema mungu akulinde kila wakata kila simu ❤
@tonnymuema1612
@tonnymuema1612 Месяц назад
Pole sana bonny,,,,,, I really follow you and your songs really bless me,,, Hautakufa Bali utaishi kutanganza neno la bwana ,,,,, nakutambua kutoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@mercywangithi4561
@mercywangithi4561 Месяц назад
Many more years i love ur songs
@jacksonsimiyu6492
@jacksonsimiyu6492 Месяц назад
Waaaaaau, long live mtumishi, God bless you brother
@judithabuko6006
@judithabuko6006 Месяц назад
Mungu akutetee sana na akufunike kwa damu ya mwanawe Yesu Kristo aliye hai
@SalumubinlwambaMaurice
@SalumubinlwambaMaurice Месяц назад
Asante Sana mwimbaji wetu, tunashukuru kwaku ona vile uko mzima.
@user-lt2jz1fk7g
@user-lt2jz1fk7g Месяц назад
Amen dadie uishi siku nyingi nakupenda sanaa❤
@josephinesimiyu960
@josephinesimiyu960 Месяц назад
Will love you so much from W.V.C in Kenya.🎉❤❤ brother.
@robertjoseph8968
@robertjoseph8968 Месяц назад
Mimi ninaitwa miller au Joshua kutoka Dodoma . Pole sana mtumishi wa mungu .Mungu atakuinua
@jacklinemwikali5045lina
@jacklinemwikali5045lina Месяц назад
Pole sana mtumishi wa Mungu ❤❤ utaishi mpaka washangaee
@user-ji7sy2wi7b
@user-ji7sy2wi7b Месяц назад
Ahsante 🙏🙏, kweli nilikuwa nisha changanyikiwa 😢
@martinngowa9071
@martinngowa9071 Месяц назад
Pole sana Bonny natunaskia story yako sana . pole Natunakupenda sana
@RoselineKerubo-v9k
@RoselineKerubo-v9k Месяц назад
Brother live longer we were shocked but let God protect you so longer, we are happy to had your voice brother
@amoskamuti4822
@amoskamuti4822 Месяц назад
Pole kaka.Mungu akuhifadhi Na akufiche. Kama Mimi ilinihimiza Sana..
@kalokikasee2430
@kalokikasee2430 Месяц назад
Bona mtu akuuwe ukiwa hai surely Mungu akupe Nguvu na akupiganie
Далее
THE HITS SONGS OF BONY MWAITEGE  2023
1:00:49
Просмотров 200 тыс.
Bony Mwaitege - MWALIMU (Official Music Video)
6:34
Просмотров 196 тыс.
THE BEST SONGS OF BONY MWAITEGE 2023 2024
1:09:11
Просмотров 93 тыс.
Bony Mwaitege - Tumekombolewa (Official Music Video)
6:48