Тёмный

Bony Mwaitege - Hakuna mwingine'' (Official Music Audio) 

Bony Mwaitege Official
Подписаться 192 тыс.
Просмотров 179 тыс.
50% 1

Hakuna mwingine ni wimbo wangu mpya wa kumsifu Mungu kwa matendo yake makuu anayotutendea kila kukicha, Hakuna mwingine kama Mungu katikata yote tunayopitia ,karibu uungane nami katika kumsifu Bwana kuwa matendo yake makuu....Hakika Hakuna kama yeye
Bony Mwaitege - Hakuna mwingine
Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
MUNGU AKUBARIKI SANA.

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 211   
@ernestmwakasenga1603
@ernestmwakasenga1603 Год назад
Nyimbo hii inanifariji sana , kila pito nikisikiliza wimbo napata amani na utulivu wa subira ya kunisaidia changamoto zinazonizunguka
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Год назад
Umetisha sana mtumishi huwa napenda sana nyimbo zako yaan toka niko form one mwaka 2013 mpk sasa 2023 nakuskiliza tu...maua yako tafadhar 🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
@emmanuelmwansasu6839
@emmanuelmwansasu6839 Год назад
Ameeeeen Imeeendaaa hii
@benmwa8214
@benmwa8214 Год назад
Hakika hakuna mwingine kote
@sylvestercharles3585
@sylvestercharles3585 Год назад
Hizi ndo zenyewe sasa, zinanikumbusha mbali, enzi za moto wa injili.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Год назад
Hakuna mwingne ni Mungu ktk jina la YESUKRISTO
@AjuaLupembe-px2rb
@AjuaLupembe-px2rb Год назад
Duniani kote wa kutukuzwa ni wewe Bwana Yesu. Ubarikiwe mtumish wa Mungu mwaitege kwa kazi njema na bora wakati wote
@bonimwaitege4073
@bonimwaitege4073 Год назад
Asante sana ndugu yangu
@AjuaLupembe-px2rb
@AjuaLupembe-px2rb Год назад
@@bonimwaitege4073 Amen
@user-ub9fv1ih3m
@user-ub9fv1ih3m Год назад
Heri wanayo mtumikiya kwa ukweri na kwa haki. Boni nakupenda enderea mbere. Ni mungu too wa kupewa sifa.
@papatomaso4874
@papatomaso4874 Год назад
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU Wacha niwe wa kwanza
@rod.mupunga481
@rod.mupunga481 Год назад
Ashukuriwe Mungu wetu kwa yote ame fanya maishani mwetu.
@bonimwaitege4073
@bonimwaitege4073 Год назад
Amen
@BABAGIFTBOY
@BABAGIFTBOY Год назад
Amen, amen. , Amen wimbo mzuri sana,,,, hakuna mwengine kama wewe bwana🙏🙏🙏
@rizikinaftary8105
@rizikinaftary8105 Год назад
Hakika ni Mungu hakuna mwingine kama yeye❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@marydavinembeki9482
@marydavinembeki9482 Год назад
Funny wangu tangu mke mwema anatoka kwa bwana❤❤❤❤❤
@marydavinembeki9482
@marydavinembeki9482 Год назад
All the way from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I salute you
@KimboyTz5473
@KimboyTz5473 Год назад
2:02 🎉🎉🎉❤❤
@kceepaul2275
@kceepaul2275 Год назад
Nipeni likes zangu
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Год назад
Chukuwaa🤣🤣
@boscoj5642
@boscoj5642 Год назад
Mungu akupe kibali siku nyingi Kenya 🇰🇪 Nairobi tunazikiliza nyimbo zako .
@ElizabethOmary-lt4ei
@ElizabethOmary-lt4ei Год назад
Amen na tz tuna sikiliza kwa sanaa
@clementtshibala6472
@clementtshibala6472 Год назад
Barikiwe mutumishi wa bwana, ni mimi Doctary Clément apa. Congo RDC
@winniefuraha
@winniefuraha Год назад
Glory be to God, MUNGU akuinue .zaidi ya kiwango usicho tarajia mchungaji.much ❤❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@bonimwaitege4073
@bonimwaitege4073 Год назад
Asante sana ndugu yangu
@Phoebenafula
@Phoebenafula Год назад
Hakika ni yeye tu hakuna mwingine kama yeye. God bless u man of God na azidi kukubariki milele na milele amen 🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤
@bonimwaitege4073
@bonimwaitege4073 Год назад
Asante sana ndugu yangu
@Phoebenafula
@Phoebenafula Год назад
Amen 🙏🙏
@user-mx6lw8bf4f
@user-mx6lw8bf4f Год назад
Mungu ndiye wakusifiwa na kuabudiwa. Tunasubiri video
@kandimwatela9294
@kandimwatela9294 Год назад
Amen, barikiwa zaidi ya sana mtumishi kwa kazi nzuri, kwa kweli hakuna mungu mwingine
@RichardMuteke
@RichardMuteke Год назад
Kama uko pamoja na Sisi kwakumsikiliza mtumishi wa Mungu leta bendera Yako hapa yangu ndo hii 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@user-tc2xj4ce5d
@user-tc2xj4ce5d 8 месяцев назад
T890
@josphatthuomain2809
@josphatthuomain2809 Год назад
Ooh my. . napenda Nyimbo Zako Mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
@pamelaolango2849
@pamelaolango2849 Год назад
Nice song sifa ni kwa Yehova Abarikiwe milele
@user-vq3hx7ce6c
@user-vq3hx7ce6c Год назад
Kama unatutumiya tuna barikiwa mungu wa mbingu akubariki kama ivi
@bonimwaitege4073
@bonimwaitege4073 Год назад
Asante sana
@MwakaziJanet-qq2be
@MwakaziJanet-qq2be Год назад
Wewe mungu ni mueza wa yote
@user-sn7pr6wr3c
@user-sn7pr6wr3c Год назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Mimi Getrude kutoka Nakuru kenya
@FRIDAHMUTUNGA
@FRIDAHMUTUNGA Год назад
🎉good music.since I was young till now you bls me so much.
@mropeamadeus54
@mropeamadeus54 Год назад
Mungu akujalie kila jema , Mtumishi
@josephndambuki4329
@josephndambuki4329 Год назад
Kenya in the house 🇰🇪🇰🇪🏡
@rachaeljumba1943
@rachaeljumba1943 Год назад
Amenii. Tupo
@philipmaambo2552
@philipmaambo2552 Год назад
❤❤❤❤❤love the song be blessed bonny zambia 🇿🇲zambia 🇿🇲 zambia 🇿🇲 is with you❤
@eliyakiza9327
@eliyakiza9327 Год назад
Nakuku bali kaziyako nzulisa, mngu akubaliki, nakuelewasana
@freddyfota-km8qz
@freddyfota-km8qz Год назад
Amen akuna mwingine kama yeye! Mungu asifiwe sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@moureenlydia1688
@moureenlydia1688 11 месяцев назад
Naipe saaana 🙏 Mungu akubariki Bonny
@Jonathankaghese
@Jonathankaghese Год назад
Courage pour votre message nawafata toka 🇨🇩
@corneilleababa729
@corneilleababa729 Год назад
Ongera baba bony. Mungu akuzidishie ekima. Bunia 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@bonimwaitege4073
@bonimwaitege4073 Год назад
Asante sana Papaa
@Fabianfideltz
@Fabianfideltz Год назад
Waooooooo Nime enjoy 🎉🎉🎉
@margaretkanini696
@margaretkanini696 Год назад
Keep up dad nice song to encourage us changamoto zikija tunajua wa kukimbililia God be with you ❤❤❤
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 Год назад
Jamani Mungu akutunze bro, maana nikikuona huwa naona mjomba wangu let him continue resting peace 🙏niliamini dunia watu hufanana kabisa 🇰🇪🇰🇪🇸🇦
@unshakablegal1316
@unshakablegal1316 Год назад
Hallelujah 🙌 👏👏unaweza yote Mungu wa mbinguni💃💃💃💃💃💃💃💃
@millicentmmbone5562
@millicentmmbone5562 Год назад
Hi level 🙏 in Jesus name much love from 🇰🇪🇰🇪
@obedishimwela
@obedishimwela Год назад
Daah bonge ngoma
@carolineouma8660
@carolineouma8660 Год назад
Ubarikiwe Sana nyimbo zinako zinanibariki sana
@GodsonMbise-o8y
@GodsonMbise-o8y Год назад
Amina mtumishi Mungu aendelee kukuinua juu zaidi
@samgift9233
@samgift9233 Год назад
Mchungaji❤
@jonasharagirimana128
@jonasharagirimana128 Год назад
Ubalikiwe
@falesbanda7520
@falesbanda7520 Год назад
Bon ndagukunda cane ndakwibuka mukijiji ibuholo hezagigwe nuko utakinyibuka
@keminainen5921
@keminainen5921 Год назад
Hapa Finland nakusikiriza on ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mwitamwita4796
@mwitamwita4796 Год назад
song on loop hapana tambua, God loves me
@romwardpius7610
@romwardpius7610 Год назад
Hakuna mwengine, hakuna mwengine Kama wewe
@moseslaiza6755
@moseslaiza6755 Год назад
nikweli kbs hakuna mwingine kama wewe mungu wetu
@judithjoelly6295
@judithjoelly6295 11 месяцев назад
No one is like our God.
@paulmsemwa1268
@paulmsemwa1268 Год назад
Jamani ubarikiwe Sana nimebarikiwa kwa uimbaji wako BM
@user-hw5hh6rp8t
@user-hw5hh6rp8t Год назад
Love you song
@derickboniphace-ci9jn
@derickboniphace-ci9jn Год назад
Amina baba hakuna Kama jehova
@aumatoto4239
@aumatoto4239 Год назад
Unaweza yote hakuna mwingine kama wewe❤
@naomifaustini6411
@naomifaustini6411 Год назад
Nimebarikiwa sana huu wimbo Bwana akubariki
@StellaLukal
@StellaLukal Год назад
Umenibariki sana mtumishi wa Mungu
@caridahcarrie9908
@caridahcarrie9908 Год назад
Acheni Mungu aitwe Mungu tu
@johnsonmwatuka
@johnsonmwatuka Год назад
Ameni Duniani kote unaye abudiwa n wewe
@thomasomechi1407
@thomasomechi1407 Год назад
My brother all along you are ablessing to many
@CheronoEdnah-ii6hz
@CheronoEdnah-ii6hz 11 месяцев назад
Congratulations gud song with great message
@SAMUELMUNISHI
@SAMUELMUNISHI Год назад
Wow mtumishi Bony baraka tele
@freddyfota-km8qz
@freddyfota-km8qz Год назад
Akuna mwingine kama yéyé.
@cecilenday1485
@cecilenday1485 Год назад
Safi sana
@danyboytz2744
@danyboytz2744 Год назад
Bless song , akuna mwingi kama mungu
@yoshiexplores1284
@yoshiexplores1284 Год назад
Shukran bro bwana apewesifa sifa👏👏
@aaronmailuofficial251
@aaronmailuofficial251 Год назад
Hakuna kama mungu wetu 🎉🎉🎉
@EvaWolfgani
@EvaWolfgani Год назад
God bless you I listen from kenya
@PeterKamau-sb8jo
@PeterKamau-sb8jo Год назад
Hakuna mwingiene kabisaaa
@mwandoabel3410
@mwandoabel3410 Год назад
Nikweli kabisa akunamwingine kazinjema
@haikamkubwa9559
@haikamkubwa9559 11 месяцев назад
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@oscaroscar1394
@oscaroscar1394 Год назад
Mmmmh,,, mtumishi wa Bwana,,, umenibarki,,,
@jennifermbevi5093
@jennifermbevi5093 10 месяцев назад
Hakika hakuna Mungu kama wewe
@Man_Freja
@Man_Freja Год назад
Hongera sana kaka
@BenadethaSamila-gv7pj
@BenadethaSamila-gv7pj Год назад
Wow ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
@BenadethaSamila-gv7pj
@BenadethaSamila-gv7pj Год назад
Anaweza yote🙅
@ezekielmbithi9818
@ezekielmbithi9818 Год назад
Ni Mungu tu sifa nj ❤
@hellenrichard187
@hellenrichard187 9 месяцев назад
Hakika hakuna kama Mungu
@beatricepaseka
@beatricepaseka Год назад
O yes! Only Jesus Christ
@polite_fc
@polite_fc 11 месяцев назад
Alfa na omega ni wewe tu MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA
@danielvidzo5523
@danielvidzo5523 11 месяцев назад
Nice song,bonny uko juu
@user-rk9tt7yq7c
@user-rk9tt7yq7c Год назад
Ameen and amen God bless you sir ❤❤❤❤
@shiruannie-ue4xl
@shiruannie-ue4xl Год назад
In the whole of the world their is none it is only our Jesus our mighty man of war our consuming fire be blessed man of God and let's all of us praise him and glory be to him always
@emmanuelsmihulu725
@emmanuelsmihulu725 Год назад
Congr my broo, kitu cha moto sana
@anointedsonhomeforchristje7
Awesome song.
@freddyfota-km8qz
@freddyfota-km8qz Год назад
Je ne sais comment je peux tressaillir de joie à propos de cette chanson !!! que le seigneur soit loué à jamais !! God bless you for all you do!!!! 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 (RDC).
@chombosamoo7958
@chombosamoo7958 Год назад
Amen...be blessed of God 🙏
@RichardMuteke
@RichardMuteke Год назад
Très juste vraiment
@SimonWaweru-ux3lj
@SimonWaweru-ux3lj Год назад
Iffera
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc Год назад
Hakika hakuna mwingine kama wewe Mungu🙏🙏, barikiwa sana baba kazi nzuri .
@stephenmbinya
@stephenmbinya Год назад
watching from kenya
@aminajuma2387
@aminajuma2387 7 месяцев назад
Glory to God....hallelujah
@davidsimiyuopiyo8998
@davidsimiyuopiyo8998 Год назад
Kazi nzuri baba
@mnyazigunichiristini
@mnyazigunichiristini Год назад
You are God again, there is no one else like you, I am very blessed, may God bless you too ❤❤❤❤
@patrickpastory791
@patrickpastory791 Год назад
GOD bless you my PASTOR
@FedrickSanga-ur1zh
@FedrickSanga-ur1zh Год назад
Nuniani kote wakuabudiwa ni wewe mngu wangu
@LucresherGerald
@LucresherGerald Год назад
Hakika hakuna kama MUNGU anaweza🙏 Glory to GOD 🙏
@user-fl9fe6ru4i
@user-fl9fe6ru4i Год назад
God bless you brother well done❤
@joshuabonny
@joshuabonny Год назад
Glory to God,,,,, Kweli hakuna MUNGU mwingine kama wewe.🙏🙏
@shillawanyama7323
@shillawanyama7323 Год назад
Hallelujah 🙏 there's no one like God🥰🥰🥰🥰
@bonimwaitege4073
@bonimwaitege4073 Год назад
Amen
@shillawanyama7323
@shillawanyama7323 Год назад
@@bonimwaitege4073 🙏🙏🙏
@MlokoziAudax-co7lp
@MlokoziAudax-co7lp 11 месяцев назад
Kabisa🔥👍🙏
@RichardMuteke
@RichardMuteke Год назад
hongera sana baba
@dominictune4043
@dominictune4043 Год назад
Big tune 🎉🥳🥳🥳bony
@mebokabugho7166
@mebokabugho7166 Год назад
Uganda at top glory be to God
Далее
Utanitambuaje
7:36
Просмотров 150 тыс.
Christina Shusho - Wa kuabudiwa (Official Video)
10:10
THE HITS SONGS OF BONY MWAITEGE  2023
1:00:49
Просмотров 200 тыс.
THE BEST SONGS OF BONY MWAITEGE 2023 2024
1:09:11
Просмотров 93 тыс.