Тёмный

Bony Mwaitege - Jinsi ya kuwa mwimbaji bora 

Bony Mwaitege Official
Подписаться 192 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
MUNGU AKUBARIKI SANA.

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 104   
@PrinceKabeya-us4xj
@PrinceKabeya-us4xj 7 месяцев назад
asante Sana, tu nakufata kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩
@chombomwaikambo1445
@chombomwaikambo1445 6 месяцев назад
Asante kwakunitia moyo baba mwaitege,nitakuja kuabudu kanisan,kwako nipokee baraka zako zauimbaji by chombo mwaikambo.
@goodluckkigwenenge8953
@goodluckkigwenenge8953 7 месяцев назад
hiyo nikweli kabisaaa hata mimi nilikua napenda penda kuimbaimba nyimbo zako nilijikuta natunga wimbo wangu kupitia b t zako zamwishoni mwishon ambapo unakua hauimbi ilaivi duh naishia kusikiliza2 maisha yalisha nivuluga mpaka kipaji chagu kikapoa chakuimba ubalikiwe mtumisho nipo geita kwasasa ndipo navulugikia namaisha
@user-jg7ni9qp3r
@user-jg7ni9qp3r 7 месяцев назад
Kweli kabisaa mtumishi wa mungu much love from Kenya❤❤❤❤
@Frankmtulivu.
@Frankmtulivu. 2 месяца назад
Asante sana mtumishi nakufatilia sana .mimi pia huimba ila naomba unishike mkono, niko kenya .napenda nyimbo zako sana sana .ndoto yangu natamani one day niimbe tu pamoja nawe na mungu akubariki sana
@malimajr8708
@malimajr8708 7 месяцев назад
Yaah kwel mie ni Mwanakwaya SDA,Miongoni mwa Changamoto nakutana nayo ni kuimba nyumbani na Mtaani.Maana nipo Mwanza Mjin.Asanteh Kwa Kunitia Moyo
@pastoremanuelmdoe2213
@pastoremanuelmdoe2213 7 месяцев назад
BARIKIWA SANA BABA WEWE NI BARAKA KUBWA SANA KATIKA TAIFA BARIKIWA SANA ❤❤❤❤❤❤❤
@modestkonga9318
@modestkonga9318 7 месяцев назад
Mimi ni mmoja wa wanufaika wa mafundisho yako baba,since I was in zero,Ila Sasa kwa sehemu Fulani naweza fanya kitu watu wakaelewa, thanks Dad,no me without you,be much blessed
@celestineivayo1343
@celestineivayo1343 7 месяцев назад
Wow nimesoma sana mtumishi . Na Mungu akubariki sana kwa mawaidha mazuri
@danielmzae8005
@danielmzae8005 6 месяцев назад
Asante xanah mtumishi wa Mungu,,, kwa maneno yakutujenga kiimani,,, na Mungu wa mbinguni akuzidishie neema hiyo,,, am great full man of God
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 6 месяцев назад
amen
@danielmzae8005
@danielmzae8005 6 месяцев назад
Amen to
@reubenngeno4218
@reubenngeno4218 7 месяцев назад
Now I know. Barikiwa Sana mtumishi Wa Mungu
@zainaburuthzainaburuth3376
@zainaburuthzainaburuth3376 7 месяцев назад
Amen 🙏🙏🙏🙏.Ihave that Viation.
@damarisnjerunjeru399
@damarisnjerunjeru399 7 месяцев назад
Namwaminia huyu mtumishi wa mungu,,,ni mwimbaji wa kwanza kabisa kupatana naye yani life,,nikiwa bado mdogo .Nina heshimu mafuta yake
@JackieMajuma
@JackieMajuma 7 месяцев назад
Am following from Saudi Arabia 🇸🇦 nakuelewa vile
@djthankskofficiel
@djthankskofficiel 7 месяцев назад
Hi Tz ❤❤❤❤ musisaoho Congo mpia tuna wasikiliza wakati yote baba
@ndagijimanawinjoness933
@ndagijimanawinjoness933 7 месяцев назад
Amin mungu akubarik sana mtumishi🙏🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲✅
@user-fp4dd2px2u
@user-fp4dd2px2u 7 месяцев назад
Asante sana mtumishi ❤
@tumainilong135
@tumainilong135 7 месяцев назад
❤❤❤❤ amen mtumishi wa Mungu nimejifunza jambo kama muimbaji mdogo
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 6 месяцев назад
Asante sana
@aaronmailuofficial251
@aaronmailuofficial251 7 месяцев назад
Amina..mimi hapa ujumbe umeuleta kwangu
@user-li1fs6nn7v
@user-li1fs6nn7v 6 месяцев назад
HASANTE mtumishi ND Tabia yang hiyo moka wat wananishangaa naisha vyomb nikuambie KLA Kaz nafany huk naimbaa ila Kuna baaz ya wat, majirani, wanasema sjui kuimba mara saut yang mbya navunjw Moy sana makin skat tamaa najua nitavuka, uzur nawez kutunga mashairi vzur, amina kunijaz nguvu mpya 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@carolynewerunga9112
@carolynewerunga9112 7 месяцев назад
Sana kama mimi hapa
@ThomasibahatiMapigi
@ThomasibahatiMapigi 6 месяцев назад
Amina sana mtumishi nataman niwe mwimbaji,, milivutiwa sana hasa nilipokuona itanana mwaka jana,
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 6 месяцев назад
amen
@henrysempoli409
@henrysempoli409 7 месяцев назад
Amina
@EliakimuCharles
@EliakimuCharles 7 месяцев назад
Tangu nikiwa mdogo nilitokea kukupenda sana Mtumishi kulingana na jinsi ulivyokuwa ukinibariki kwa nyimbo zako tangu Mke Mwema hadi sasa! Ombi langu kwa Mungu ni siku moja anipe kibali nifanye nyimbo japo moja tu na wewe hakika nitamshukuru sana Mungu maana wewe ndiye ulinifanya nipende kuimba na hiyo ni moja kati ya ndoto zangu kufanya kazi na wewe japo moja tu, Barikiwa sana 🙏
@kevinchimasia7533
@kevinchimasia7533 7 месяцев назад
My long time inspirer♥️🙏👍👍
@MicksonwiliamMafuko
@MicksonwiliamMafuko 6 месяцев назад
Nakufatilia sana kaka bon nataman kuwa viwango vya juu
@samrobert3115
@samrobert3115 7 месяцев назад
Kazi nzuri mtumishi
@jeanettegloria6244
@jeanettegloria6244 7 месяцев назад
Wow asante daddy
@Saramutinda673
@Saramutinda673 7 месяцев назад
Nimesaidika baba yangu🙏 Maneno ya hekima kabisa🙏
@PM_Music-production
@PM_Music-production 7 месяцев назад
Uko sawa mkuu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EliasdottoBugumba
@EliasdottoBugumba 7 месяцев назад
Mungu akubariki sana baba angu nimepokea sana by ELIAS DOTTO from Geita ❤❤
@giftyjackson2461
@giftyjackson2461 7 месяцев назад
Natamani sana kuimba wimbo unakuja unapotea
@Godfrey_lusekelo
@Godfrey_lusekelo 5 месяцев назад
Amina BABA angu nashukur Sanaa nami pia ni mmoja wapo wa kuwa mwimbaji kama wewe Na nabarikiwa sana na uwimbaji wako
@user-hh2pt9xd5n
@user-hh2pt9xd5n 7 месяцев назад
Amazing
@marthalubunga7150
@marthalubunga7150 7 месяцев назад
Amen
@positivitymotivationalCH9
@positivitymotivationalCH9 7 месяцев назад
Asante sana kwa mafunzo mema. God bless you!
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 7 месяцев назад
amen
@GRACENyanda-cn3pg
@GRACENyanda-cn3pg 6 месяцев назад
Amina baba, Mungu akubariki sana 🎉
@MujingaElie-xl6xb
@MujingaElie-xl6xb 7 месяцев назад
Bonsoir papa bonne je suis au 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@MujingaElie-xl6xb
@MujingaElie-xl6xb 7 месяцев назад
Papa Bony mwaitenge 👏👏📖
@RichardMuteke
@RichardMuteke 7 месяцев назад
Nakupenda sana❤
@NzirubusaGrodien
@NzirubusaGrodien 7 месяцев назад
Nami niko hapa muimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchi Zambia
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 7 месяцев назад
Asante ndugu yangu
@Joshuasontheeassignmentmin755
@Joshuasontheeassignmentmin755 7 месяцев назад
@@BonyMwaitegeOfficial praise God
@ianikada7330
@ianikada7330 6 месяцев назад
Thanks,so much Dad for your word of encouragement
@bahatijeanclaude3905
@bahatijeanclaude3905 7 месяцев назад
God bless you brother I love you so much 🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 7 месяцев назад
thanks
@bahatijeanclaude3905
@bahatijeanclaude3905 7 месяцев назад
You too ​@@BonyMwaitegeOfficial
@carolineouma8660
@carolineouma8660 7 месяцев назад
Asante kwa ushauri mzuri mtishi was mungu
@AdhiamboJosephine
@AdhiamboJosephine 2 месяца назад
Akika wimbo za mtumishi wa mungu sinanifuza sana nisikia tu mahali popote lazima ni simame nisikilise
@carolineouma8660
@carolineouma8660 7 месяцев назад
Asante kwa ushauri mzuri mtumishi wamingu
@LilianKeya-ci3ex
@LilianKeya-ci3ex 6 месяцев назад
Tunakupenda sana mutumishi wa MUNGU
@MiriamKuloba
@MiriamKuloba 7 месяцев назад
Nice 👍 be blessed 🙏
@user-vz9be4pw5d
@user-vz9be4pw5d 6 месяцев назад
Bony mwaitege godbless u
@sylvanosalumu5840
@sylvanosalumu5840 6 месяцев назад
Pamoja sana God's servant.
@officialhopestarmusic959
@officialhopestarmusic959 7 месяцев назад
Baraka mtumishi 🔥
@Joshuasontheeassignmentmin755
@Joshuasontheeassignmentmin755 7 месяцев назад
Thanks for inspiration papa🇰🇪
@Joshuasontheeassignmentmin755
@Joshuasontheeassignmentmin755 7 месяцев назад
Thanks
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 6 месяцев назад
God bless you and protect you brother bony watching from saudi arabia
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 6 месяцев назад
thanks my
@pacifiqueabedi3887
@pacifiqueabedi3887 6 месяцев назад
Na naitaji malezi Yako maana Mimi ni mwanawe ambaye naitaji kulelewa na wewe
@goodluckkigwenenge8953
@goodluckkigwenenge8953 7 месяцев назад
Siku moja nilikuona geita ukiwa kwamiguu nikakuita kumbe ulikua unawahi ibada seem moja inatwa magogo ilipita mitaa ya bever
@carolynewerunga9112
@carolynewerunga9112 7 месяцев назад
Natamani kuimba nawe ndugu
@JackieMajuma
@JackieMajuma 7 месяцев назад
Come up darling he is available to sing with you if you need backup Niko hapa kwa wingi. Baraka tele
@carolynewerunga9112
@carolynewerunga9112 7 месяцев назад
@@JackieMajuma nitakupataje tafadhali nisaidie venye nitakupata
@carolynewerunga9112
@carolynewerunga9112 7 месяцев назад
@@JackieMajuma moyo wangu unaumaa sana nikiona mtu akiimba natamani na mimi niwe hapo nisaidie kwakweli nahitaji saaa
@JackieMajuma
@JackieMajuma 7 месяцев назад
@carolyne werunga may good lord hear you and fulfill your dreams of singing. Uko na bahati kubwa sana mtumishi ako hapa number yake uko hapo mtungie nangosi atakueleza kwa usaidi uelewe vizuri in fact anakuwanga Kenya mara kwa mara uki communicate na yeye atakubatia line up
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 7 месяцев назад
karibu sana.
@-lameckvitalis
@-lameckvitalis 7 месяцев назад
Amin baba🎉🎉🎉
@officialhopestarmusic959
@officialhopestarmusic959 7 месяцев назад
👏👏👏🔥🔥🔥
@pacifiqueabedi3887
@pacifiqueabedi3887 6 месяцев назад
Baba mimi natamani niwe kama wewe
@AnnyKaveza
@AnnyKaveza 7 месяцев назад
Amina, asante sana kwa haya mafunzo
@bugramsafi9873
@bugramsafi9873 6 месяцев назад
Iyi kweli unasema our legendary
@RoseNjau-fe1fv
@RoseNjau-fe1fv Месяц назад
Asante MTUMISHI wa MUNGU
@nadiellanshimirimana9133
@nadiellanshimirimana9133 7 месяцев назад
Amen ❤🇧🇮
@James-Jabari
@James-Jabari 3 месяца назад
Asante sana Bonny Mwaitege
@malimajr8708
@malimajr8708 7 месяцев назад
Asahiv ni Mchungaji?
@danielwwahai8664
@danielwwahai8664 5 месяцев назад
Sawa sawa mtumishi
@Pasconthetrack
@Pasconthetrack 6 месяцев назад
Babab mimi ni muimbaji mdogo naomba unisaidie
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial 6 месяцев назад
asante
@user-pf2mz3bn9k
@user-pf2mz3bn9k 7 месяцев назад
May the God bless you ❤❤❤
@MaryTapalu
@MaryTapalu 4 месяца назад
Mungu akubarik
@bakundukizetz3880
@bakundukizetz3880 6 месяцев назад
Barikiwa sana baba
@emmanuelmwanjala7574
@emmanuelmwanjala7574 7 месяцев назад
Amina mtumishi
@nyamburagachagu8317
@nyamburagachagu8317 7 месяцев назад
Amen 🙏
@mwaupinailejeyetu
@mwaupinailejeyetu 7 месяцев назад
kuna kitu nilitaka kujua mimi naimba ila nashindwa kucheza je naweza niwe nafanyeje?
@emanulmwaitege5531
@emanulmwaitege5531 Месяц назад
Mimi nimmoja washabiki wako
@user-eg7ex4zp8y
@user-eg7ex4zp8y 6 месяцев назад
@kakatito4651
@kakatito4651 6 месяцев назад
Amen 🙏🙏🙏🔥🔥
@NGOSHA
@NGOSHA 18 дней назад
🙌🙌
@GeorgekupetaSiame
@GeorgekupetaSiame 4 месяца назад
Nikweli muchungaji
@mercyndoli5296
@mercyndoli5296 7 месяцев назад
Si nikutafuta aki bro plz
@VictorOsonyo-jt5nl
@VictorOsonyo-jt5nl 6 месяцев назад
❤❤😂🎉😢😢😮😅😊
@user-lx5jy9gw6w
@user-lx5jy9gw6w Месяц назад
Amina
@alfalusambo7107
@alfalusambo7107 6 месяцев назад
Amen
@LaurianneKapombe
@LaurianneKapombe 5 месяцев назад
Amen
Далее
Эконом такси в твоем городе 😂
00:59
a hornet bit me on the nose 👃😂
00:16
Просмотров 2,2 млн
NGUVU YA KIBALI  - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:35
Просмотров 18 тыс.
SIRI NYUMA YA UTIMILIFU WA MANENO YA UNABII
22:23
KUSHUGHULIKIA ROHO YA KUCHELEWESHWA I  Mwl. Aaron Ulaya
1:22:21
SIKILIZA KWA MAKINI  MANENO MAZITO ALIOONGEA MASANJA
6:47
Эконом такси в твоем городе 😂
00:59