Тёмный

Bony Mwaitege - Kazi ya Mungu'' (Official Music Lyrics) 

Bony Mwaitege Official
Подписаться 199 тыс.
Просмотров 80 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 124   
@victoramwamumusic5609
@victoramwamumusic5609 Год назад
Kama we ni Mkenya gonga like
@carolineouma8660
@carolineouma8660 Год назад
Asante Sana kwa ushauri mzuri mungu was amani akufulie zaidi
@jeanakilimali4300
@jeanakilimali4300 Год назад
Love from Drc
@james008BOND7
@james008BOND7 Год назад
wapendwa ndani ya kristo njooni tumpe pongezi Mtumishi wa MUNGU@Bony mwaitege pongezi kwa wimbo uliojawa na ushauri kwa kila mmoja kupitia kumimina likes kwa wingi 🙏🙏🙏 SHALOM 🙏
@noelangalika7686
@noelangalika7686 Год назад
safari Badu by bony
@james008BOND7
@james008BOND7 Год назад
@@noelangalika7686 kabiisa 🙏🙏 neema imbebe Mtumishi wa MUNGU@bony mwaitege🙏
@ChrispusWambua-j3q
@ChrispusWambua-j3q Год назад
Hii ngoma ni mo 🔥🔥🔥
@james008BOND7
@james008BOND7 Год назад
@@ChrispusWambua-j3q kabiisa 🙏🙏🙏 may God bless Mtumishi wake@bony mwaitege 🙏🙏🙏
@yousuphilunga6314
@yousuphilunga6314 Год назад
Amina baba Mungu azidi kukulinda
@albertopiyo3361
@albertopiyo3361 Год назад
Nice massage my brothers.injili ya bwana inatamanika Kila sehemu .hongera ndugu Bony
@johnhanga-dp9ck
@johnhanga-dp9ck Год назад
Kwel inabidi tuseme Asante tu mungu wetu
@mwahangaliadavid-qm8ul
@mwahangaliadavid-qm8ul Год назад
Sante sn
@kisiimilka2063
@kisiimilka2063 Год назад
Nyimbo za bonny nimaandiko nyimbo zake za barikiwa na kutia moyo uwende viwango vya juu zaidi
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
ASANTE SANA NDUGU YANGU
@georgemiriti6719
@georgemiriti6719 Год назад
Ngoma Kali sana wapi like jamani
@MRJ1308
@MRJ1308 Год назад
Ngoma kali
@FarajaMawazo
@FarajaMawazo Год назад
kazi ya Mungu 🙏✌🏻 gonga like kama umekuswa ❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏
@janetfrancis7180
@janetfrancis7180 Год назад
Mungu ni mwema Asante kaka Mungu akutunze
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
Amen
@ashelyvenance
@ashelyvenance Год назад
Barikwa baba askofu
@Jonathankaghese
@Jonathankaghese Год назад
Amina
@MariPaulin-h7m
@MariPaulin-h7m Год назад
Laïc anotre ?
@legendarymmwamba4136
@legendarymmwamba4136 Год назад
AMINA
@derickboniphace-ci9jn
@derickboniphace-ci9jn Год назад
Kazi nzuri baba amina
@davidsimeo67
@davidsimeo67 Год назад
Hongera mtumishi wa Mungu kazi nzuri sana
@muthamiabby7104
@muthamiabby7104 Год назад
Ni kweli kabisa,,,,Tumshukuru Mungu kw Kila jambo
@jeniphaisraeltz5569
@jeniphaisraeltz5569 Год назад
Mungu azid kukutumia mtumish wake tunapitia meng hatuna budi kushukur
@mary-lx3hr
@mary-lx3hr Год назад
❤❤❤❤ be blessed babaa nyimbo zako zaniinua
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
ASANTE SANA Maty
@kisubigedeon558
@kisubigedeon558 Год назад
Uwa ninampenda naku kubali sana KAZI za mtumishi BONY. Mungu azidi kumuongezea...zaidi na zaidi...
@noahmwakalomba3849
@noahmwakalomba3849 Год назад
Hakika Hukosei
@jumannesimkoko1486
@jumannesimkoko1486 Год назад
Nikwel Mtumishi wa mungu. Mungu ndiye anaye panga. Mungu akubariki Sana.
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
Amen
@titusmutungi9407
@titusmutungi9407 Год назад
New hit yaani moto MUNGU hakuogoze too Bonnie ❤❤❤❤ napenda nyimbo
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
ASANTE SANA NDUGU YANGU
@mathewsmwambazi8527
@mathewsmwambazi8527 Год назад
Mungu akubalike 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@bridgidmumbi1685
@bridgidmumbi1685 Год назад
Kazi nzuri mtumishi wa Mungu, barikiwa
@pendaelimolell3510
@pendaelimolell3510 Год назад
Ubarikiwe sana ❤
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 Год назад
Barikiwa sana mtumishiii
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
Amen
@gibogb5637
@gibogb5637 Год назад
Wimbo umetoka wakati nimempoteza baba yangu pumzika kwa amani baba yangu thobias chengula daima tunakupendaa
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
Pole ndugu yangu MUNGU akutie Nguvu
@gibogb5637
@gibogb5637 Год назад
@@BonyMwaitegeOfficial aminaaa
@kirua21abraham93
@kirua21abraham93 Год назад
Asante sana mtumishi wa Mungu Kwa hiki kipande🤝ubarikiwe siku zote na Mungu akuongoze Kwa Kila ukifanyacho🙏
@NehemiaG.Lupola-je3nr
@NehemiaG.Lupola-je3nr Год назад
Salute Sana, Baba Yangu Mlezi, Kwa Nyimbo Nzuri Yenye Baraka Kila Uisikilizapo!
@ObadiaKadege-rz9wq
@ObadiaKadege-rz9wq Год назад
Bonne mwaitege Natamani siku moja nikuone Tufanye kazi pamoja uko vzuri mtumishi Mimi nipo kigoma Aise nakupataje
@jeniphaisraeltz5569
@jeniphaisraeltz5569 Год назад
Hakika kazi ya Mungu haina makosa Asante Mung🙏🙏❤️❤️❤️
@janetbiyoze
@janetbiyoze Год назад
Amen 🙏🙏 Asante umenifuza mengi mungu ndiye Kila kitu lazima tumusukuru uyu God ubarikiwa san
@margaretkanini696
@margaretkanini696 Год назад
Amen wapendwa tushukuru mungu
@naemah8359
@naemah8359 Год назад
Kweli kazi ya Mungu Haina makosa ،asante Mungu kwa ukuu wako 🙏🙏🤲🏽🤲🏽
@MarthaKastom
@MarthaKastom Год назад
Hakika tumshukuru Mungu kwa kila jambo maana hayo ndiyo mapenzi yake kwetu.
@bernardlaughter7600
@bernardlaughter7600 Год назад
Nimebarikiwa sana na Huu wimbo, barikiwa sana mtumishi wa Mungu🙏🏼
@agreykabume8979
@agreykabume8979 Год назад
Nasikiliza zaidi ya mala 5Kwa siku🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢
@elizabethkibona9289
@elizabethkibona9289 Год назад
AMEN
@denniskhaemba3803
@denniskhaemba3803 Год назад
MFALUME WA BEATS
@masterkey536
@masterkey536 Год назад
Barikiwa sanaaaaa lazima nifanye kolabo nawe pastor
@samsonbenardmpinga7950
@samsonbenardmpinga7950 Год назад
Wimbo mzuri sana Mtumishi wa Mungu, Mungu akubariki ❤muziki pia nimeuelewa please naomba Mawasiliano na wanamzki
@rosemawia870
@rosemawia870 Год назад
Nice song🇰🇪🇸🇦
@floridaalega7387
@floridaalega7387 Год назад
Kazi ya Mungu ni dhabiti haina makosa 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼Mwaitege barikiwa sana
@kyleclarice
@kyleclarice Год назад
Thanks for your motivation is amazing song
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 Год назад
Nimekuswa sana na huu wimbo,,bony never disappoint
@FredylukasKaguo-gm2um
@FredylukasKaguo-gm2um Год назад
Huwa ana nibaliki sana huyu mtumishi
@maureenmuhenje916
@maureenmuhenje916 Год назад
hallelujah hakika Muamzi n Mungu hakika hii wimbo inamafunzo Mutumish wa Mungu barikiwa sana pamoja na jamii yako nabarikiwa sana from Dubai
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
ASANTE SANA NDUGU YANGU
@nancynyaboke397
@nancynyaboke397 Год назад
Wow God bless you my brother and let God continue using you to spread his gospel 🙏 wow so amazing from kenya 🇰🇪 we love you so much 💗 💓 ❤️ 😊
@richiekisukuli
@richiekisukuli Год назад
🙌🙌🙌🦅
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 Год назад
amen mtumishi wa Mungu tena mwimbaji mwezangu nimebarikiwa sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
ASANTE SANA NDUGU YANGU
@carolineandisi6094
@carolineandisi6094 Год назад
Kweli kazi ya mungu Haina makosa, Asante Sana mtumishi wa mungu umenitia moyo na huo wimbo barikiwa sana
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
ASANTE
@janemumbua4683
@janemumbua4683 Год назад
Kazi ya mungu kweli tunamshukuru kwa kila jambo
@jonathanmwakai2821
@jonathanmwakai2821 Год назад
Amen kazi ya Mungu haina makosa GREAT
@rwa877
@rwa877 Год назад
God bless love gospels
@collateatieno1643
@collateatieno1643 Год назад
This song just came, when I lost my contract, wacha nishukuru mungu Kwa kuwa Kazi yake haina makosa
@BrianObonyo-gd2is
@BrianObonyo-gd2is Год назад
❤❤❤🎉 l love it mtumish be blessed hallelujah glory be to God
@esthermuthuita7924
@esthermuthuita7924 Год назад
My brother, your heart truly loves God. Oh yeah ni shwari kwa maana yote ni Mungu kayapanga , ndio maana twashukuru ❤❤❤. Asante.
@farajakayuki
@farajakayuki Год назад
Mawazo ya Mungu ni mema kwetu❤ kwa kila jambo tunalopitia liwe zuri au baya bado Mungu ni mwema. 🎉
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
Amen
@robertkilaa
@robertkilaa Год назад
Natafuta number yake mtumishi Bony Mwaitege
@farajakayuki
@farajakayuki Год назад
@@robertkilaa sina namba yake lakini unaweza kuipata kwenye matangazo yake
@PeterGekonge
@PeterGekonge Год назад
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@ForesterForester-g4x
@ForesterForester-g4x Год назад
God bless you bonny mwaitenge
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
Amen
@didacebigirimana7350
@didacebigirimana7350 Год назад
Endelea mbele mtumishi,Mungu akubariki saana,akukomaze saana❤
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
ASANTE
@b3falampendwa758
@b3falampendwa758 Год назад
Nice one bony,thanks for continued spiritual support...Be blessed always.
@DoriceMbilo
@DoriceMbilo Год назад
Amina barikiwa mtumishi
@TheOptimisticOne
@TheOptimisticOne Год назад
Kwa hakika kazi ya Mungu haina makosa kamwe
@demuretv-10
@demuretv-10 Год назад
I love this man.His music gives serenity to my soul.
@YoungBabalao
@YoungBabalao Год назад
Boni mwaitege baba umenikosha moyo
@ZaphenathPaneah-by9nr
@ZaphenathPaneah-by9nr Год назад
Powerful song thank u
@josephinepamella8810
@josephinepamella8810 Год назад
😤😤😥😥😥🙏🏾🙏🏾
@njkayembeyoutube7331
@njkayembeyoutube7331 Год назад
god bless you daddy 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉💥🎉🎉🎉🎉🙏🙏✔️🙏🙏🙏🙏✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️🇹🇿🇨🇩🇺🇸✅
@danzewayesu2559
@danzewayesu2559 Год назад
Kazi ya mungu haina makosa❤
@KING-maria
@KING-maria Год назад
I like you Jesus
@NoelaAlain
@NoelaAlain Год назад
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@fideleharerimana8534
@fideleharerimana8534 Год назад
Endelea kazi ya mungu hata bujumbura tunagufuata vizuli
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
ASANTE SANA
@oscanyakunga
@oscanyakunga Год назад
AMEN AMEN AMEN
@ericktito2623
@ericktito2623 Год назад
Ubarikiwe baba
@millicentmmbone5562
@millicentmmbone5562 Год назад
More blessings bonny 🙏
@wandy_tz
@wandy_tz Год назад
Asnt kwa kutoka tofaut tofaut nakubali mtumishi tunawapenda Sana kwakweli tuna kuarika uje uku kwetu usibaki jijini tu ndg
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
ASANTE SANA NDUGU YANGU
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 Год назад
Amen Amen ❤❤
@davidadorwa258
@davidadorwa258 Год назад
Brother be blessed and let God continue using you to spread his gospel to the nation, very touching and inspiring.
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
Thank you very much
@elishadai_daniford
@elishadai_daniford Год назад
Hongera Sanaa kaka
@frankchibago3206
@frankchibago3206 Год назад
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🤹🤹🤹🤹🤹🤹🤹👑👑👑👑👑👑👑👑👑👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿💚💚💚💚💚💚
@timothykengere2535
@timothykengere2535 Год назад
Keep up the good work my Gospel Star 🌟✨✨ of Spreading the Gospel 🎙️ 🙏
@favoureddoughterofchrist1238
Powerful song, have got anew song yo add in my playlist
@philimonsinkamba6072
@philimonsinkamba6072 Год назад
Ongera sana baba nyimbo nzuri sana
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Год назад
SINKAMBA ASANTE
@vanessa-vavandikumwenayo2757
Nice song🥰🥰🥰🥰
@milymulumbu
@milymulumbu Год назад
Nice song
@ruthkhalayi5097
@ruthkhalayi5097 Год назад
Thank you Jesus for everything 🙏🙏
@onelovedjonlinetz5989
@onelovedjonlinetz5989 Год назад
Barkiwa
@joely22
@joely22 Год назад
Bless you 🙏🙏🙏
@AllanSalim-l9y
@AllanSalim-l9y Год назад
Be blessed 🙏❤
@Peteredwin56
@Peteredwin56 Год назад
Be blessed
@richardpatrick8305
@richardpatrick8305 Год назад
Hujawai kosea
@Hellenah_Sufii
@Hellenah_Sufii Год назад
Wow. This is amazing
@rafaelrafaelludovick2256
@rafaelrafaelludovick2256 Год назад
comment kazi yangu
@sibajenesimatanga8570
@sibajenesimatanga8570 Год назад
I love this song especially that I can understand in english ❤️
@VenanceBiraza
@VenanceBiraza Год назад
Nimekua wakwanza jamani
Далее
I LOVE MY TEACHER | 3 |
20:24
Просмотров 107 тыс.
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
Njoo Ufanyiwe Maombi
9:01
Просмотров 88 тыс.
Bony Mwaitege - Acha Nizaliwe (Official Music Video)
6:58
THE BEST SONGS OF BONY MWAITEGE 2023 2024
1:09:11
Просмотров 163 тыс.
Maisha Ni Foleni
8:05
Просмотров 221 тыс.