Ooooh hallelujah Shukurani nami nashukulu sana Kwa mengi kama upo pamoja na mtumishi wa Mungu Bonny mwaitege weka zako like tushukuru pamoja naye mimi wa kwanza 💪🔥🔥🔥
Brother mm ni shabiki wako na nakufatilia kwa karibu sana,bado tunakiu na kazi zako tunataka kazi kubwa zaidi ya Ile ya arubam ya mama ni mama,bado tuna Imani na wewe.🙏
Nafurahi kuona wimbo mwingine maana nilikosa jibu wakati niliingia RU-vid channel yake bonny eti chenesa nilishidwa maana nilitaka wimbo wake sisi site sisi sore ni kazi ya mikono yake tangu siku hiyo ndio Leo nimeona wimbo mkono sifa na utukufu zimrudie mungu emeni 😢
Amen,,true say,,God never fear the temptations when all they left He is there for us,,,amen,, without Him nothing will happen,,lakini kwa mkono wake Bwana twazidi kubarikiwa,,may God bless you mtumishi❤