After everything I was going through in kenya, I was the talk of town 😢😢Today I can testify I have Seen the hand of God here in Dubai! Thank you Lord Jesus!
mtumishi bwana hasifiwe mimi niko mombasa natamani nikuone Mtumishi naomba nikuwe nawe pamoja tupinge kazi ya Mungu hiyo ndiyo ombi langu mtumishi 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎵🎵🎵
Huu wimbo umenikumbusha mbali sana 😭😭🙆,maali mungu amenitoa sina la kusema,na ww mtumishi wa mungu,mungu akupariki milele na milele ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 👈❤❤
Hakika ni mkono wa Mungu uliotufikisha tulipo ,,,, Mungu akubariki mtumishi wa Mungu bonny mwaitege na azidi kukuinua kiwango hadi kiwango ,,,,much love from kenya
ila bony wewe ubalikiwe sana unanifanya nalia nikisikiliza nyimbo zako hua zinanigusa moyoni ndani kabisaaa kama hapo ananiwazia mema duh mpaka nafunguka moyoni nakutamani niwe muibaji namimi❤❤❤sana bony
umbali amenitoa pia nami nashukuru,ameniketisha na wafalme mimi niliekua nadharauliwa.hakika nimeuona mkono wako...kutoka kenya twakupenda mtumishi wa Mungu🙏