I love how mature he is,,if Kerubo can come back then that cld be my happiness,everyone messes and one mistake can be forgiven,,,kosa ni kurudia jamani
Thy use to be single nashangaa tena nampata huku akisema ako single aii kwani wich single is this waliniboingi tu i remember wakiwa pregnant naona wakizaa huyo mtoi miaka zingine tano this people though
My favorite couple mnaachana why??can you make things up and come back together please hakuna mtu perfect streets are dirty and it's raining everywhere, Remember better the devil you know than the angel you don't know please I'll be happy to see you together again
Sam kuja ( DCI Kamau)🤣hii ni kama ni ukweli lakini si ukweli ama n mm pekeyangu naona hivyo watarudiana tu watu walishare bed Moja achana nao 🤣🤣good job Ali we love u baba 🥰🥰🥰
Hakai serious hataa,he is so proud to say ameachwa,time will tell,few days watakua pomoja,but all in all maisha ni Yao na they are still young there's a loooong way to go🙏
There was an interview walifanyiwa about a month ago afu I scrolled through the comments and people were like the love ain't balanced bla bla haitalast
Mi niseme kenyan prince uko mature...lakini wueeeh😂😂one of you was not in love ....I have dated for over five years the same guy ....na issues lazima tuh zitakua I have ever caught him cheating but nlishindwa kumwacha...juu ni ngumu....if she loved you angekua na hard time kukuambia mkue ma arif... anyway..mwenye ako na issues about my comment 😌 am just here for fun😂😂😂😂
Soo ukiulizwa mbona ulicheat na kitu ako nayo madem wengine wako nayo then if the girl is not satisfying you why can't you make a talk na murekebishe ..cheating is not an option jameni