Kenyans thought and said million times that ruto should be impeached. Sasa ruto has done it the other way round and Gachagua is out. In short ruto want to show Kenyans he is ABOVE the law
Asante sana wakenya wezangu,nawasalimu katika jina la yesu,cha pili kama Kuna kosa lililopo Kati ya raisi wetu na naibu raisi ,ni kidogo tu, lakini kutokea kwake kwaonekana kuwa kubwa,asheni ni waambie yakwamba wakati raisi wetu alipokuwa naibu raisi,kuanzia kipindi cha kwanza aliazisha kampeni pole pole, kipindi cha pili wakati raisi wetu mstaafu Huru Kenyatta waliposhikana na muheshimiwa Raila omolo ,naibu raisi wakati huo alimwasha raisi na kuendelea na kampeni , ndipo kwa kutokuwepo kwake raisi ,ilimbidi muheshimiwa raisi kumshukua muheshimiwa matiangi ,kuhudu upande wake naibu raisi ,"lakini"muheshimiwa raisi Huru hakumwodoa naibu raisi ruto na kumfanya matiangi naibu raisi,bali naibu raisi pamoja Na hayo kuwa alikaa akiwa naibu raisi adi akachanguliwa kuwa raisi wa jamuhuri yetu ya kenya
By the way Uhuru never impeached Ruto.. Swali ni kwa nini Ruto amefanyia Gachagwa ili kufurahisha watu wengine? This spells out that opposition ilimezwa na kukumya.
@@GraceOngera Rigathi alijiondoa mwenyewe na mdomo yake na matendo...Ile Press conference yake Fake ya Mombasa after President amefanya yake na Pia kuonekana Ni Kama anacelebrate Gen zii Protests.Alifaa kusimama na govt alioko ndani sio kufanya opposite..that was gross
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉we kenyansssss we will voteeee for h E kalonzo musyokaaaa in 2o27 year rrrr for presidential candidate electionsssss in gods willllll he will succeed and penetrateeee in godssss mercy of Jesus Christ he will get 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤it Amen 💖💖💖💖💖💖💖💖😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤in gods willllll pity power ful respect trust pity power ful of almighty God he will get 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢it ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 amen 💖🙏🙏💖💖💖💖💖💖 amen
The ICC should follow Ruto this time or we send Ruto to Hague, and now we see how he is killing Kenyans like he did in 2007/8 in kiambaa church and some parts of rift valley
Basi pamoja Na hayo , system inayo fuatiwa ni ya wakati wa uongonzi wake raisi mstaafu Huru Kenyatta,lakini wakakosea kidogo tu,ninacho mwomba raisi wetu ni,kumshukua muheshimiwa kithure si makosa lakini hakufai kumuondoa muheshimiwa naibu raisi kachangua, kachangua angekaa akiwa naibu raisi adi 2027,kwa sababu wote walichanguliwa na mwanainch