Тёмный

BREAKING: IRAN yaishambulia ISRAEL kwa MVUA ya Makombora! Inatisha! 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 653   
@ZubedaKapolo
@ZubedaKapolo 4 часа назад
Nafurahi mungu awape nguvu nduguzangu wa islam
@aishabakary2145
@aishabakary2145 4 часа назад
inshallah 🙏
@ImanSaid-q4i
@ImanSaid-q4i 4 часа назад
Allhahumma aamin ❤🎉
@ZUWENADELLOW
@ZUWENADELLOW 4 часа назад
🎉🎉🎉
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 4 часа назад
Nasrallah mzima😂😂😂
@OscarKasalile
@OscarKasalile 4 часа назад
Kwani hii Vita ni ya kidini?
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 часов назад
Weka namba yako nikutumie vocha ya jero Team Brics
@LuluAquai
@LuluAquai 4 часа назад
Nipo hapa
@harmonize_tz774
@harmonize_tz774 4 часа назад
Marekani itawamaliza we ngoja 😂😂😂😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 часа назад
@@LuluAquai nitaaminije sasa kama uwenda unataka jero langu ukawape wanajeshi walio enda rebanon wafanye nauli yakurudi kwao.wakasaidie hapakaliki 😂😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 часа назад
@@harmonize_tz774 unaijua dude urusi au bdo unaisoma kwenye magazeti na vitabu vya kizayuni kaisome kwenye Bible ya hitrel utaielewa 😂
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 3 часа назад
😂😂😂😂😂​@@AFRICA_D669
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani 3 часа назад
Takbir Allahu Akbar ✌️✌️
@hanifa9153
@hanifa9153 3 часа назад
Allahu akbar❤❤❤❤❤
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 3 часа назад
ALLAH akbarrr
@mohamedshaban745
@mohamedshaban745 3 часа назад
❤❤❤❤❤
@zahornassor5420
@zahornassor5420 Час назад
Allahu Akbar ,jihaad❤ God bless Iran and all Muslims around the world we unite to gather in any situations
@MussaAlawiMohd
@MussaAlawiMohd 4 часа назад
Safi Sana Iran endelea kuwanyooosha hao mafarau
@touristmorgan4090
@touristmorgan4090 4 часа назад
Sasa makombora elfu moja bila kuua sasa apo kuna ukali gani
@franklinisaya4796
@franklinisaya4796 3 часа назад
Iran hawez toboa hapo
@woah.africa99
@woah.africa99 2 часа назад
​@@franklinisaya4796Frank kalale uote unabudu mizungu wa musanam wa mababu wa wazungu ndio mkaitwa miskwe hujaona Mandela hujaona africa wazungu wakichukua kwa mabavu ku basi na ubinadam burina faso wanataka kua ili wachukue ardhi huoni myiyi wafricq lini.mtacha udini hv hao mashetani wa kizungu mmungu au yesu anawabariki ni kukosa akili huo ni mji kabla hata ya na bee ibrahim na hao zionist walikuja juzi kutokana na marecani kutaks ardhi zote walikuja kua soo kwa amani
@MohamedOmari-y1t
@MohamedOmari-y1t Час назад
Makombora 1000 bila kuuwa😂​@@touristmorgan4090
@edgaredwin171
@edgaredwin171 24 минуты назад
Nachosikita ni kwamba muslims wanataka kupingana na unabii wa maagizo ya mwenyezi Mungu.. Kila utawala na zama zake, huyo muisrael amekua utumwani millennia kadhaa huko nyuma katika mataifa jamii hizo za kiislam tangu hata uislam hujaanza.. IMEANDIKWA na cha kusikitisha ni kwamba mimi, wewe na yeyote yule anayesoma ujumbe huu mpaka vizazi vyetu vya NNE hakuna atakayeshuhudia ISRAEL kushindwa na vita hivi japo amezingukwa na maadui kila kona ya mipaka yake kijiografia na kihistoria... Hivyo acheni upuuzi huo mpaka mwisho wa dunia utimie ndiyo ISRAEL ashindwe na maadui kama YESU MASIHI alivyoililia YERUSALEM miaka 2000 iliyopita....
@ahmadmasunda9892
@ahmadmasunda9892 3 часа назад
ONGEZENI SAUTI BADO HAITOSHI MPAKA TUFIKE MAHALI MKUBWA AMUHESHIMU MDOGO
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 4 часа назад
Bdo kuna wanamgambo toka iraq,sriya,yemen.wanakwenda kuungana na wahizibullah
@JoshuaMwamala
@JoshuaMwamala 4 часа назад
😭😭😭hao wanaenda kufa wala hawarudi.
@saidmatola8015
@saidmatola8015 4 часа назад
​@@JoshuaMwamala Nyooo.
@kassioothemiracle1688
@kassioothemiracle1688 4 часа назад
😂😂😂😂
@KikwaleRashid
@KikwaleRashid 4 часа назад
Wapelekee motooo
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 4 часа назад
​@@JoshuaMwamalana badoo mbwaa wa wajingaa atapigwaa tu 😂😂😂
@POLITICS_WAR_DIPLOMACY
@POLITICS_WAR_DIPLOMACY 4 часа назад
Dah tunataka GPS ya dharura kaka sky Muite DJ sma ,Henry na Ally haraka. Mnafanya kazi nzuri na mtafika mbali
@ramagwama
@ramagwama 3 часа назад
Umegongelea nyundo haswaa
@MartineJoseph-u6i
@MartineJoseph-u6i Час назад
Mtaitana vizuri tulieni,c mlikuwa kimya subirini mtarufi mafichoni tu.ibarikiwe israel milele
@kilimanjarotv255
@kilimanjarotv255 4 часа назад
MUNGU IBARIKI DUNIA IWE NA AMANI IEPUSHE NA VITA YA 3 YA DUNIA
@JudithTwibonisye
@JudithTwibonisye 2 часа назад
@@kilimanjarotv255 ndugu hiyo vita ipo maana kwenye Biblia ilishasemwa. Irani,Urusi,China,Uturuki,Ethiopia wataungana pamoja kuishambulia Israel
@mansoursiulapwa8624
@mansoursiulapwa8624 Час назад
..wakiona wanapigika basi wanataka Amani.. kwa hatua iliyofikia hakuna tena amani.. piga Mashoga hao, haiwezekani kila kukicha tunashuhudia wakifanya mauwaji alafu dunia imekaa kimya..
@salimsaleh9354
@salimsaleh9354 4 часа назад
Makombora yametua vizuri bila ya kuzuiliwa
@MsAggie5
@MsAggie5 Час назад
Yameua wangapi?
@salimsaleh9354
@salimsaleh9354 Час назад
@@MsAggie5 yameuwa wengi tu ila Israel hua wanaficha taarifa
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 Час назад
​@@MsAggie5Wanaficha hao
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 16 минут назад
Rudini shule
@MsAggie5
@MsAggie5 12 минут назад
@@salimsaleh9354 hamna Siri tutasikia kesho. Nimesikia kama America wamesaidia kudungua baadhi ya makombola
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 3 часа назад
Sijaona mfumo wa ulinzi kuzuia hapo naona makombora yanashuka dirrect😂😂😂
@ce-08
@ce-08 3 часа назад
Mfumo lazma umefanya Kaz sema utakuwa tu umezidiwa
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 3 часа назад
@@ce-08 na inaonesha haya makombora yana speed
@ce-08
@ce-08 3 часа назад
@@AliNassor-qt6fm hiyo lazma yatakuwa Bora coz Hilo ni Taifa tofaut na rocket zilzokuwa znarushwa na vikundi kama Hezbollah Hamas na wahouthi
@chainbre275
@chainbre275 2 часа назад
True juu hawakawiinkusema zilizuuliwa aganii🙌🤣🤣🤣
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 часа назад
IMEZAMA YOTE MAMMAEE 😂😂😂
@abuubaya7614
@abuubaya7614 4 часа назад
HAMTAKAA KWA AMANI KATIKA ARDHI ZA WAPALESTINA HADI KIYAMA KITAKAPOSIMAMA
@noeldesderius
@noeldesderius 3 часа назад
Nenda kasome historia vizuri utajua, hiyo ardhi ilianza kukaliwa kwanza na Waisraeli, sio wapalestina (Waarabu)
@C7Simulizi
@C7Simulizi 3 часа назад
Kiama kipi unacho subiri mwanangu.
@ramakeido3330
@ramakeido3330 2 часа назад
Unataka kutuambia kuwa mzung asili yake mashariki ya kati
@J4UPro
@J4UPro 2 часа назад
Wee ndiye hujui historia ya Mashariki ya Kati ​@@noeldesderius
@ephraimwadaudi2867
@ephraimwadaudi2867 2 часа назад
Muisrael sio mzungu acha ushamba na maadui wa Israel watapigwa vibaya sana
@MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz
@MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz 3 часа назад
Yani moyo wangu umeridhika sana na makombora ya lran Mungu awape nguvu ndugu zetu mujahidina insha Allahu waislam tutashinda kwa ldhini ya Allahu.
@mohamedshaban745
@mohamedshaban745 3 часа назад
Aamiiina ❤
@khatibumasudi
@khatibumasudi 3 часа назад
Amiin yarabii
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 3 часа назад
@@MuhammadsalmudadMuhammad-rq2qz AMEEN. YAARAB
@yonamathias8764
@yonamathias8764 3 часа назад
Soon mtaanza pray for iran😅😅😅😅
@juliusdominic-uk4bu
@juliusdominic-uk4bu 3 часа назад
Hao sio ndugu zako ni we tu ndio unajipendekeza kwao hata mke hawawezi kukuoza wew wanakuchukulia kama mtumwa
@jumaciza461
@jumaciza461 4 часа назад
Hizo zilivyo onekana ni hypersonic kwasasa nyingi naona zimepenya
@cidewashington670
@cidewashington670 3 часа назад
Dunia inaendelea kuchangamka
@KhamisFeysal
@KhamisFeysal 3 часа назад
😂😂😂😢
@mshambaused3840
@mshambaused3840 4 часа назад
Mashaallah 😅😅😅😅😅
@SalumMasengwa-b9s
@SalumMasengwa-b9s 3 часа назад
Msije mkatuambia uongo Makombora yote yameingi Mfumo wa ulinzi umeshindwa KUFANYA kazi
@stevemafjj
@stevemafjj 2 часа назад
Yani wew jamaa nimsenge sana unaoenda upand
@jacksonjudicate9388
@jacksonjudicate9388 4 часа назад
Sasa picha ndo Kwanza linaanza, Tukumbuke KUWA wanayo video ya geographical area ya ISRAEL
@ce-08
@ce-08 3 часа назад
Hapo Kila mtu anayo ya mwenzake
@abuubaya7614
@abuubaya7614 4 часа назад
Damu za wapalestina wasio na hatia vtawakumba had cku ya kiyama h
@ce-08
@ce-08 3 часа назад
Unashindwa kukumbuka ndugu zako wakongo na rwanda mauaji ya kimbari cc wote tupo bze kutetea Hawa weupe wawili wanaona uana acha wauane tu maana cc kwetu yakutolea Huwa hawana hata msaada
@woah.africa99
@woah.africa99 2 часа назад
​@@ce-08ww una roho mbaya kwani wakongo haaaogelewi zote ni chuki kwa ajili ya udini ujue ubinadam na haki ndio kipao mbele ingekua ww mpalestina ungeuliwa ndugu zako ungejisikiaje na kudhulumiw ardhi yako hao ni wazungu wa marecani mfaransa anaitaks burkina faso kwa nguvu je kwake ndoo uone hapo
@Gulfnas1
@Gulfnas1 4 часа назад
Utaambiwa yote hayo yalikua intercepted
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 4 часа назад
Sasa si wanamifumo ya kuzuia na marekani alijua mdaa mpaka saa na inasemekana mifumo ya marekani walisha ituma Israel wazungu wajanja sana.
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 4 часа назад
Uwongo uwoo 😂😂​@@FredMwamgogwa-td6ni
@AbdallahOmary-e9z
@AbdallahOmary-e9z 4 часа назад
😢c​@@FredMwamgogwa-td6niucjidanganye huwa wanapotosha yapo huwa yanapenyaa
@jumaseif7514
@jumaseif7514 4 часа назад
Sasa kushaanza kuchangamka
@juliusdonard933
@juliusdonard933 4 часа назад
U.s.a walaumiwee ndo chanzo cha yotee
@hassanisaidi5422
@hassanisaidi5422 3 часа назад
Kweli kbsa,USA wahuni sana
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 2 часа назад
Sehemu atakazo pigà Israel Vinu vya nyuklia.gala za siraha,viwanja vya ndege.mfumo wa mawasíliano na rada.kambi za jeshi...viwanda.visima vya mafuta....NB.NYUKLIA NDO 6AKWANZA...HAPO KETE ZILISHA CHANGWA
@nizarrama225
@nizarrama225 Час назад
Kwavile Iran hawana akili ..?😂
@Bizzy176
@Bizzy176 Час назад
Na Kwa mamaaaako
@AronMassawe
@AronMassawe 5 минут назад
​@@nizarrama225iran hawana akili kama nyie mnavoshangilia mnasema makombora yametua bila tatizo hata hamjuo kombora lililodunguliwa hewn linakuaja na ambalo zimetua zima zima linzkuaje hivyo mnavyoona angan ni vipande vya makombora vyenye moto ambavyo vinatua chin na kama likitua zima utaona mwanga mkubwa sana angani mbona wafuasi wa iran mnakua washamba hivi kama iran yenyewe😂😂😂😂😂 poleniiiiii
@mosescharles1921
@mosescharles1921 4 часа назад
Niko nyuma ya irani
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 4 часа назад
Nipo live ajazeera. Makombora yanashuka mfururizo.ngoja waonje joto la jiwe israel naomba watandikwe mpaka washike adabu zao.
@MAILAGUN
@MAILAGUN 4 часа назад
@@azzaalhabsi1505 kabisa wamezd
@SarhaSaid
@SarhaSaid 3 часа назад
Haswaa 👌
@salummassoud9876
@salummassoud9876 3 часа назад
Ucombee ivo cc wenzako tupo uku wwe tuombee dua tuwe salama tu maana dah nooma mm ctaki ata kuchat coz leo wanafatilia kila cm inayoingia na kutoka so ncje kuonekana natoa information cm yangu icje kuripuliwa
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 3 часа назад
Nilipokuwa natazama Al jazeera nimeona mengine yametua hayakunaswa na mifumo ya ulinzi wa anga wa Israel
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 3 часа назад
@@salimfaraj5509 kwa hiyo unafurahia ugaidi wa Iran?!
@YOUSUFHUGUGU
@YOUSUFHUGUGU Час назад
We kafir kafie huko kwa mashoga wenzako nyie ndiyo magaid wakubwa mjukuu wa p didy​@@MzeeKigogo_
@SaidKhamis-q4b
@SaidKhamis-q4b 4 часа назад
allah akbar
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 3 часа назад
daah tumejikuta marekani nawashilika wake wametuingiza kwenye vita ya tatu ya dunia asee
@saidharbinie-dl4dd
@saidharbinie-dl4dd 4 часа назад
Sns huwa na comment sna... Israel haina chochote isipokuwa marekani tu😂
@SarhaSaid
@SarhaSaid 3 часа назад
Kabisa
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 3 часа назад
Wamarekani wengi ni waisrael
@USDisdoomed
@USDisdoomed 3 часа назад
Hapo Israel walikalia dole 😂😂
@SarhaSaid
@SarhaSaid 3 часа назад
@@USDisdoomed 😂😂🤭
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 3 часа назад
MashaAllah
@SamweliJacob-bm2ij
@SamweliJacob-bm2ij 4 часа назад
DAAAAH BWANA WW INCH ZINGINE MISIKAI ATAKAMA NIAMBIWE NILIPWE ELA ZABURE SIKAI KAMA TAIFA TEULE LENYEWE NDO HIV DUH AISEE UNAITAJ UFINYU WAAKILI SANA ILI KUAMINI HILO NITAIFA LA MUNGU
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 3 часа назад
😂😂😂taifa la Vita
@SarhaSaid
@SarhaSaid 3 часа назад
@@SamweliJacob-bm2ij nahawatakaa kwaaman hadi kiama
@Salumu-gs6rk
@Salumu-gs6rk 4 часа назад
Yaaani natamani wangekuwaa na nuclear bomb wangepiga tuuu mashoga haoo
@brunoh_bx
@brunoh_bx 3 часа назад
Wanayo mengi tu ila ndo hivyo ni hatari sana kuyatumiaa
@ephraimwadaudi2867
@ephraimwadaudi2867 Час назад
Iran inaenda kupigwa vibaya sana na Israel na maadui wote wa Israel wanaenda kupigwa na Mungu ngoja uone ni muda tu
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 3 часа назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SadickAbdalah
@SadickAbdalah 4 часа назад
Kesho mapema tunaomba mwandish usilale utupe idad ya maafa wa kiyaudi uko wangap
@Amoudy
@Amoudy 5 часов назад
Walisema iron dome 😅😅😅
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 часов назад
Mimi nipo hapa na mama samia tunaiangalia Tel Aviv, 😊😊😊😊😊😊😊😊😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂NACHINJA KUKU LEO
@papamukulu1045
@papamukulu1045 4 часа назад
Kesho Iran watapokea zawadi yao 😂😂
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 4 часа назад
Israel ana mjua Iran vzr kama akili zake sio nzuri kwaiyo akilipa anajua kinacho tokea zitarushwa drones milion 8 apo maana jmaa ndio bingwa wa drones kwenye hii dunia
@davemalekela
@davemalekela 3 часа назад
Itaanza kusikia stand for
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 3 часа назад
Israel ameambiwa asijibu na bwana wake anajua kitachomkuta ni dozens of 🚀🚀🚀🚀
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 3 часа назад
Iran na Israel hawawezi kupigana ni kutunishia misuli tu
@NadjmaMurekatete
@NadjmaMurekatete 4 часа назад
Eeee munguwangu tunaomba na wenyewe wapoteze watu wawapendao kama wanavyo fanya kwa wengine shenzi ao
@RayMayai
@RayMayai 3 часа назад
Allah akbar ua wote makafiri hao
@ruhigomayala443
@ruhigomayala443 3 часа назад
Acha uupuzi ww huna akili ata kidogo
@mohamedshaban745
@mohamedshaban745 3 часа назад
Taakbirr
@Zilizopendwa_60s
@Zilizopendwa_60s 2 часа назад
Bahati mbaya sana binadamu tunafundishwa chuki na si upendo...si kwa dini wala nini!!? Ni chuki tu tunafundishwa ukisoma comment utaona chuki tu..."" Mtu hajawahi fika hata uganda..." Amezaliwa 90s lakini alivyo na uhakika na anachokiongea unaweza hisi ni mmoja kati ya walio weka misingi ya dunia..."" Kweli dini zimetupotosha..." Waislamu wanaamini ardhi ya waIsrael ni ya wapelestina na wakristo wanaamini ardhi ni ya waisrael..." Na matokeo yake waislamu wanaona hicho ni sawa na wakristo comment zao zinasema Israel haijawahi shindwa...means wanaombea iran nayo ishambuliwe...CHUKI CHUKI CHUKI...hakuna upendo..."" So sad😢
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 2 часа назад
Mwanangu una Akili sana wewe, Ubarikiwe aisee ni Waafrica wachache sana wana upeo kama wako🎉🎉
@kingmsanya3524
@kingmsanya3524 2 часа назад
Wew ni muislam safi kabisa hizi dini ukizifuatilia unaona kabsa tunakoelekea itakuwa changamoto kubwa zaidi​@@jumaamohamed2815
@ziigochannel1541
@ziigochannel1541 Час назад
Kuna waakati niliamua kubaki kikusanya vitabu na kuamua kusoma kwa zaidi ya wiki mbili ili nijipatie elimu na taarifa hizi 1. Chimbuko la Israel nje ya vitabu vya dini 2. Mfumo wa kiutawala wa Uswiss 3. Chanzo cha uhasama kati ya Palestine na Israel ni nini? @zilipendwa_60s, nenda kasome kitabu kinachoitwa Encyclopedia Britannica heru "I" na herufi "P " bila shaka kuna jambo utajifunza kuhusu Israel na Palestine na utajua kwanini USA anakumbatia madhaifu na unyama wa Israel. Naomba kuwakilisha
@mugishankongoro8655
@mugishankongoro8655 5 часов назад
❤❤❤❤ nice job
@mudriqahmed3666
@mudriqahmed3666 3 часа назад
Apo ilikua hezbolla nawao waunge msafara na wahosi waunge msafara yani usiku kucha esrael kuanguke mabomu
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er Час назад
Wewe unafkiri hisbuallah wamelala, kuna vita vikali vya ardhi anapigana na Zionist
@mussamabawa2973
@mussamabawa2973 3 часа назад
IRAN WANENIFURAHISHA SANA, EE MEENYEEZI MUNGU LINDA TAIFA LAKO TUKUFU LA IRAN DHID YA MAGAID YA MAREKANI NA ISLAER
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani 3 часа назад
Amiin
@Sandra39823
@Sandra39823 3 часа назад
Amin Yarab Inshallah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mohamedshaban745
@mohamedshaban745 3 часа назад
Allahumma amiina❤ rabb wazidishie nguvu
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 3 часа назад
Kesho Israel ikitoa majibu usilie ukae kimya😂😂
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 3 часа назад
Amin
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 часов назад
Iran ina mkataba na urusi wa ulinzi wa anga maana Iran imeisadia sana urusi kuipa makombora, ni mkataba kwahyo wajichanganye tayar hyo mifumo ilisha pelekwa kule mda kipindi cha alipo uwawa mkuu wa Hamas, ALLAH 🙏🙏🙏AKBAR
@MAILAGUN
@MAILAGUN 4 часа назад
Irani ndio baba yaoo
@raymrash
@raymrash 4 часа назад
😂😂😂😂....Mfumo ulioshindwa kumlinda Ismail Haniyeh
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 4 часа назад
@@raymrashtumia akili shoga wewe huo mfumo ulikuwa haujafikisha iran wakati huo.
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 часа назад
@@MAILAGUN ndio
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 часа назад
@@raymrash walipeleka baada ya kuuwawa wakahisi wenda ila itakiwasha ila sio kwamba walipeleka kabla walipeleka baada
@Gerardirankunda2885
@Gerardirankunda2885 5 часов назад
Eee Mungu wangu🙏🙏🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🤲🤲
@DismasMaturine
@DismasMaturine 4 часа назад
Netanyahu walijipa moyo kuwaitisha Iran
@tekashisixtynin9threewithd727
Wiki hii ama kesho IRAN utasikia raisi wao hayupo dunian yuko na kiongozi wa hazbolaaa
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 4 часа назад
Maaaashallah
@YussufMohd-fc1dj
@YussufMohd-fc1dj 4 часа назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mizigo imefka kwa usahihi tunamkatb wa ulizi wa anga na Russia💪💪💪💪💪💪
@lakasid3860
@lakasid3860 2 часа назад
wameuwawa wangapi?
@tekashisixtynin9threewithd727
Lakin workdone =0 😂😂😂😂
@tekashisixtynin9threewithd727
Siku so nyingi raisi wa IRANN anakatwa kichwa kama nyoka unacheza na mwanaume ISRAEL😂😂😂
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua 5 часов назад
Mwisho mtuletee habari kuwa wamepewa ruksa na America washambulie
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 4 часа назад
Na kweli bila marekani Israel haiwezi kufanya kitu.
@Hawa-qc9fo
@Hawa-qc9fo 5 часов назад
Safi saana nahpo bado siwalikuwa wanamtaka Iran kashakuja sasa
@LuluAquai
@LuluAquai 4 часа назад
Nakwambia huu mnyukano sio mchezo
@raymrash
@raymrash 4 часа назад
@@Hawa-qc9fo mwali wetu keshakuja😂😂😂
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 4 часа назад
Israel itashinda vita hii kirahisi sana..Hawa majamaa hawashindwi vita​@@raymrash
@JoshuaMwamala
@JoshuaMwamala 4 часа назад
Mungu wa israel yupo juu ya yote iran anajua kifuatacho.
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 4 часа назад
​@@JoshuaMwamala😅😅taifa la Mungu halina amani si bora tz yetu jaman
@SaumuGodfrey-ph3ly
@SaumuGodfrey-ph3ly 2 часа назад
🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱 hakuna taifa lolote la kiislamu linaloiweza Israel acheni kujidanganya watoto wa mama mdogo nyiee
@Maymuna-wc8lz
@Maymuna-wc8lz Час назад
Usiwaunge Mkono ukiwa kwenye Comment Nenda Kapigane
@حليمةزنجبار
@حليمةزنجبار 4 часа назад
Mungu ajalie moja limpate netanyahu la kichwa😢
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu 4 часа назад
Tukumbuke wao ndio walio anza uko lofi
@YussufMohd-fc1dj
@YussufMohd-fc1dj 4 часа назад
🤣🤣🤣🤣🤣Amiin
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 3 часа назад
😅😅😅😅 kabisa
@Tahir-x3m
@Tahir-x3m 2 часа назад
Amiin 😂😂😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 23 минуты назад
Amiina 😂😂😂
@SidBrand
@SidBrand 3 часа назад
We still have colonized mindset, people are happy for these wars for religious base... It doesn't help you anything we must deal with our own things as Africans especially we, Tanzanians
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 5 часов назад
Utasikia ajakufa mtu 🤭🫢 raia wa Israel wanajuwa kukwepa makombora nyie 🙌
@marlonstudios4408
@marlonstudios4408 4 часа назад
Trina mbona siku izi simu zangu hupokei??
@raymrash
@raymrash 4 часа назад
😂😂😂😂...sasa hata kwa akili yako huoni kuwa hayo mabomu hayafiki chini!?? Wenzako Wana Air Defense Systems za kutosha
@leonidasisdori
@leonidasisdori 4 часа назад
Wakifa hawasemi
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 4 часа назад
@@marlonstudios4408 Kupiga tu, kutuma hela aaah 😏
@marlonstudios4408
@marlonstudios4408 4 часа назад
@@TrinaRoman345 nikutumie kwa namba gani?
@alphamenson3784
@alphamenson3784 4 часа назад
Damn, natumaini vita itakwisha wanakufa watu wengi wasio na hatia kwanzia Gaza, Lebanon, Iran na Israel pia. Ubinadamu kwanza ndo kikubwa kuliko dini.
@ev.eliezangiruketv8902
@ev.eliezangiruketv8902 4 часа назад
I stand with ISRAEL,
@mohamedmarijani
@mohamedmarijani 5 часов назад
Allahu akbar
@DaudiHamisi-un2uu
@DaudiHamisi-un2uu 4 часа назад
Allah Akbal
@NadjmaMurekatete
@NadjmaMurekatete 4 часа назад
Wauwawe mbwa hawo washenzi
@qassimkc5898
@qassimkc5898 4 часа назад
Marekani atataka kumgusa muirani, lkn akifanya hivyo Urusi anaingia kati kumtetea mshirika wake, na hivi ndivyo vita vya tatu vya dunia vinavyoanza, Mola tusaidie
@khadi-z4o
@khadi-z4o 4 часа назад
SIYO MAJERUHITU KATIKA UFYATULIWAJI WA RISASI TEL AVIVU BALI WATU 8WAMEUWAWA KWA RISASI.
@geoufo2858
@geoufo2858 2 часа назад
Nimefurah sana kuona hiii mashallah kwakweli
@mashibatoursafari4670
@mashibatoursafari4670 5 часов назад
Safi sanaa
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 3 часа назад
Nikweli nimefrahiii
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 2 часа назад
Mnafurahia sasa ila mtaomboleza muda c mrefu, tena itakua maombolezo makuu!!
@AhmedAhmed-gf1rd
@AhmedAhmed-gf1rd 5 часов назад
Allah akbar
@fathers19991
@fathers19991 4 часа назад
Kila Islam ni terrorism
@ramadhaniathumani7107
@ramadhaniathumani7107 2 часа назад
Nchi teule imepigwa 😂😂😂😂mbona dunia aiishi daadeki au ndio vitabu viongo? Vitabu viongo hakuna ukweli walisema nchi teule ikiguswa dunia inaisha 😂😂😂😂
@tekashisixtynin9threewithd727
Tutaona wik hii raisi wa IRAN kafa na upepo 😂😂😂😂
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 5 часов назад
Mungu ibarik iran
@MAILAGUN
@MAILAGUN 5 часов назад
Aamin
@LuluAquai
@LuluAquai 4 часа назад
Aamin
@jamesvmusic2677
@jamesvmusic2677 4 часа назад
😢😢😢
@SaudiSalman-f1g
@SaudiSalman-f1g 4 часа назад
Ayatollah seyd haminei ❤❤❤ irGs
@YussufMohd-fc1dj
@YussufMohd-fc1dj 4 часа назад
Amiin
@GodwinDaudi
@GodwinDaudi 4 часа назад
Allah Akbar
@SaumuGodfrey-ph3ly
@SaumuGodfrey-ph3ly 2 часа назад
Hakika iran watajutia hiki nami naungana na Benjamin netanyahu kwa kusema no substitute for victory,, we as chosen nation 🇮🇱🇮🇱🇮🇱 ushindi lazima mungu ibariki Tanzania 🇹🇿🇹🇿 mungu ibariki Israel 🇮🇱🇮🇱
@amourhassan7075
@amourhassan7075 Час назад
utaanza kujuta wee
@SaumuGodfrey-ph3ly
@SaumuGodfrey-ph3ly Час назад
Wamtegemeao bwana hatujuti watajuta watoto wa mama mdogo wanaomaliza nguvu zao kuimulika Israeli wakati wao wanapigwa
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 5 часов назад
Hatimaye iron Dome imezidiwa noma sana na ndoo maana marekani hataki hivi vita iran apigane na israel anajua watakaoumia ni israel..
@JeremiahElfadhili
@JeremiahElfadhili 5 часов назад
😂😂😂😂😂uyu gaidi bhana wamekwambia imezidiwa😂😂
@georgehajji9790
@georgehajji9790 5 часов назад
Gaidi ni anae ongea ukweli? Si bure akili za wengine zimelala
@raymrash
@raymrash 4 часа назад
Hatimaye lini !??? Wamekwambia kuwa imezidiwa😂😂 😂
@familylove5417
@familylove5417 4 часа назад
Wapigane na nchi tatu sasa tutajua Kama mawao noma
@veeJesus
@veeJesus 4 часа назад
wamezidiwa wapi
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 3 часа назад
Kuna mtu kajaa kwenye mfumo
@GIRIKIARSENAL
@GIRIKIARSENAL 3 часа назад
We kariri tu
@barackcanc7954
@barackcanc7954 3 часа назад
Hata mm naona😂
@tekashisixtynin9threewithd727
Mda so mrefu utasikia free for IRAN 😂😂😂😂
@shammhagama2527
@shammhagama2527 3 часа назад
Ushindi bado upo kwa Israel 🇮🇱 tu. Viva Israel, Mungu wetu ni Mungu mwenye uweza mwingi
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp 3 часа назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Sema watu wote ni wa Mungu
@AbdallahShaabani
@AbdallahShaabani 2 часа назад
Piga hayo makafiri yanatuletea ushoga duniani makafiri makubwa😂😂😂😂
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 Час назад
Hii imeenda halaf hatutaki habari eti hakuna madhra yaliyo jitokeza kwenye mabomu thubutuu yupo rafki yang yupo telaviv amerikodi kwa cm yake jinsi magorofa yalivyo angushwa naviongoz wao walivyo uwawa wasilete siasa kesho eti oooh yote tumeyalipua juu kwa juu si yote mengi yameingia jua limechomoza usiku leo telaviv
@zebedemirambi3067
@zebedemirambi3067 44 минуты назад
Kwanini ISRAËL NA UMAREKANI WASIPIGE VIBAYA IRAN? WANASUBIRIYA NINI?
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 3 часа назад
😢😢😢kesho msela nafunga kuiombea Israeli tu
@DatiusExavely
@DatiusExavely 2 часа назад
Mkono wa Mungu hiko hapo Mungu wa Israel asinzii wala Alali.
@MarckMasaki
@MarckMasaki 3 часа назад
Sasa tusikie BBC na dww vyombo Vya habari Vya mashoga wanasemaje,mpaka mpangiwe taarifa za kusema naona mzigo umefika salama TelAviv,utasikia kesho mashoga wanasema wameziiya makombora yote aslimia99
@SAYMOEKARIM
@SAYMOEKARIM 4 часа назад
hizi nazo watatudanganya kuwa hazijafika chini 😂😂😂😂😂
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 3 часа назад
Nilipokuwa natazama Al jazeera nimeona mengine yametua hayakunaswa na mifumo ya ulinzi wa anga wa Israel
@EricSafari-i7l
@EricSafari-i7l 5 часов назад
Niatari kabisa😢😢😢
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 2 часа назад
NAIBARIKI na IBARIKIWE ISRAEL 🇮🇱 ❤ MILELE yote 1 WAKORINTO 1:9🙏🙌
@idrissaomba8803
@idrissaomba8803 Час назад
Ila sasa japo siungi mkono haya mashambulizi sbb vita itazidi kupamba moto, hivi kweli kwa macho watasema kua hakuna byeny bimefik chini?
@AronMassawe
@AronMassawe 13 минут назад
Mmmh Mungu niwaajabu sana hawa jamaa wamepiga mda mwafaka kwa maana kesho tarehe tatu ndio majira mapya ambayo israel yote wanakumbuka kutok utumwani misri na hua wanapuliza pembe za wnyama kuashiria vita na hawa iran sasa wamepiga muda mwafaka sasa hapa wengi mmefurahia ila naomba israel na yeye atakapomjibu iran naombeni mlioshangilia smilalamike muendelee kufurahi hivyo hivyo ili muendelee kujifunza na kumjuazaidi Mungu wa israel kama ni wa rangi gan😂😂
@alawimohd
@alawimohd Час назад
Hichi ndicho nilichotamani kukiona muda mrefu ila sijapenda kiwango kidogo kilichorishwa
@BrightBautSoldierMhone
@BrightBautSoldierMhone 4 часа назад
Apo Sasa safi sana
@RamadanPaul
@RamadanPaul Час назад
Hawatatoa taarifa sahihi za vifo😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@uwimana6533
@uwimana6533 Час назад
Mechelewa kutoa tarifa, tumezipata toka asubuhi mapema 😂😂
@HeboniBabu
@HeboniBabu 2 часа назад
Mbona mnatowonyesha picha za SIM nawakati israer wakipiga mnatowonyesha picha yote Sasa vipi au kunavita ya kimtandao nn
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 2 часа назад
Kipindikile walishambulia ck chache akafa raisi wao ngoja tuone saivi nani anafata kufa😂😂😂
@kenyzach9124
@kenyzach9124 58 минут назад
wa Iran wangetulia tu. Israel kuna raia wachache ndio maana wamekufa watu wachache. lkn Israel akirusha upande wa pili , anapiga raia kibao. wanaoteseka ni wananchi
@yonamathias8764
@yonamathias8764 3 часа назад
Haya ngoja tusubiri majibu ya israel😅😅😅 harafu tusikie mbwa zinasema pray for iran
@Tahir-x3m
@Tahir-x3m 3 часа назад
Wewe ndie mbwa firauni mmoja wewe
@YOUSUFHUGUGU
@YOUSUFHUGUGU Час назад
Wewe ni zaid ya mbwa yaani kiufup wewe ni shoga na mjukuu wa p didy kama unabisha kamuulize baba yako kafir wewe
@exodusezekielkaitira6238
@exodusezekielkaitira6238 3 часа назад
Wao wanachojua ni kurusha makombora tu vingine vyote ni zero
@riosteven2406
@riosteven2406 2 часа назад
Tuko kwenye dunia ya mwisho na vita ya Iran na Israel inaweza kuwa mbaya kuliko mnavyofikria
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 часов назад
Wamegeuza Safari ya rebanon wamerudi Tel Aviv kutega makombora
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 4 часа назад
😂😂😂😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 часа назад
@@thelonewolf4429 😂😂
@RynoFire-w8k
@RynoFire-w8k 2 часа назад
Vita ni kupambana sio kupigwa, ila kwa akili ya Netanyahu mh ngoja tusubiri, yule kichaa hanaga dogo
@WadySaidi
@WadySaidi 2 часа назад
Kila kombora limepiga kwa usahihi tunangoja uongo wenu et ion mavi mnajua kombora nyinyi na mtasema lazma
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 2 часа назад
Mungu iongoze Irani iwafundishe adabu hawa mayahudi
@SeifMassoud
@SeifMassoud 3 часа назад
Angalieni IRNA ndio mtaona mvua ilianguka juu ya paa au ardhini kwa so called Taifa teule
@RamadhaniMohamedi-de2vc
@RamadhaniMohamedi-de2vc Час назад
Watudanganye hapo waseme walidaka pumbavu miaka ya sasa akuna mjinga
@hanifa9153
@hanifa9153 3 часа назад
Mungu wangu saidia na wao wakione chamtema kuni wamezidiii go go go 🇮🇷 🇮🇷 🇮🇷
@MsangoDiesel
@MsangoDiesel 4 часа назад
Nchi zilizo zuia makombora mara ya Kwanza Leo hawajasidia mazayuni italeta shida kesho utasikia kamanda mwingine wamelipua
Далее
▼ КАПИТАН НАШЁЛ НЕФТЬ В 🍑
33:40
Просмотров 473 тыс.
Benjamin Netanyahu: Iran made a ‘major mistake’
1:57