Hiyo niuchokozi Baba aibie watu kwa ushuru na mwengine Kesho yy akuje kuhangaisha watu kwa biashara zoo watu wengine nao sijui akili zao zikoji MTU anasema eti achangamyike na watu wa chi hiyo niujinga
Yani watoto wa Zakayo vile Zakayo aliingia state house wanadhani dunia ni yao na state house ni nyumba Yao . Hii nyumba ya Zakayo Kila mtu kichwa imeenda kombo😢
Hi kenya yetu tume kua na kinyata na watoto wake tume kua na moi na watoto wake tume kua na kibaki na watoto wake tume kuwa na uhuru na watoto wake lakini atujawai Ona tabia kama hiizi za ruto na watoto wake tabia zaa ajabu saana ukiangalia Joge ruto ukuje shaline ruto yani tabia zakushangaza sijui wana onyesha nini watu MUNGU INGILIA KATI UTUONDOLE JANGA HILI Kenya Yetu Iko Najanga kubwa Saana
Hiyo matatu ya George Ruto haifwati utaratibu kama vile Mr. Ruto haifwati katiba ya Kenya. Itakuwa sawa kusema mtoto wa nyoka ni nyoka? La hasha. Kenya ni yetu sote.