Beba kib-jsanley kwa lebo yako ana imbaga kama wewe ivio ivio na sauti piya apa nyumbani kwetu ana kuwaga natuimbiya mziki zako tukiwa atuna chakula ya kula yeye ana tufariji na mziki zako naunga mwana❤❤
The return of Bongo flava 🔥🔥🔥, Bright hujawahi kutuangusha kaka. Hizi ni zile ladha tulizimiss kwa muda mrefu sana, tulishachoshwa na sounds za amapiano
hello karibu kusikiliza nyimbo mpya ya roy voice kutoka shema music. akiwa amemshirikisha BRIGHT link hiyoooooo mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥👍👇👇👇👇👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-vQ7OXo2Y3o4.htmlsi=u9eRNJLAaq_v4zY-
Niwe mkweli sijui kwa nini ikifika usiku tu napenda kuusikiliza huu wimbo kuna kafeelling flan hivi kananijia hua nakumbuka nyumban na namkumbuka x husband