Wasee wangu wa KYU,, Bruce big up,, wamsoo nilikuwa nayee pool tuu sikujua ni content creator... Hii ndo real content 😂😂😂inafaa muweke till number wadau
Aisee kila siku naingia youtube masaaa mawili nikiwa kazini nakuwa navaa headphones tu naangalia Haya majamaa na Vinnie Baite, hua nacheka sana. wanajua mno