Maa Shaa Allah...Mungu awalipe sana na kwa barka ya mtume huyu mwema(Muhammad Bin Abdillah-Swalawaatuhu wa salamuhu 3alayhi wa 3alaa aalih wa Aswhaabih)..Allah audumishe huu muungano wenu....Much love kwenu brothers cant waiit kuona the official video , Rusma kutoka Tanzania.
Masha allah,subhannallah umenikumbusha mbal pind nko madrassa ni mlango nlousoma katka mahafar yetu,allah akbar allah akuongoze katka kher zake uendelee kukumbusha ummat Muhammad.
Ma sha Allaah taala ndugu zangu mtoto wangu yuwafa nayo hi ma sha Allaah taala kila asubuhi lazima nimtuliye ameipenda ma sha Allaah taala ni miyaka mmoga lakini ma sha Allaah taala ame hifadi heeh ma nangogeya part 2 yake in sha Allaah taala