Bunduki 20 zimesalimishwa Kwa maafisa wa usalama Kaunti ya Turkana kutoka Kwa vijana 20 eneo la Kakoong' Turkana Kusini.Kamishna wa Turkana Jacob Ouma na Gavana wa Turkana Jeremiah Lomorukai wakipokea silaha hizo.
10 сен 2024