Тёмный

CAPCUT:Jinsi Ya Kutumia Capcut Kuedit Video 

Wantedlife Marketing
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 58
50% 1

Capcut ni Application inayotumiwa na watu wengi ulimwenguni kwa sasa kuedit video zao. Hii ni kwa sababu Capcut ina vitu vingi sana amazing ndani yake ambavyo vitakufanya video yako ipendwe na kila mtu. Kwenye video hii nimekufundisha jinsi gani Unaweza ukatumia Capcut kutengeneza na Kuedit Video Mbalimbali kwa kutumia simu yako
Tazama kisha share kwa marafiki zako
UNAWEZA TAZAMA PIA;
1.Jinsi Ya Kutengeneza Video Zinazotrend kwa kutumia Capcut👇
• Jinsi Ya Kutengeneza V...
2.Jinsi ya Kuweka Subscribe button kwenye Video zako kwa kutumia Capcut👇
• Jinsi Ya kuweka Subscr...
3.Video mbalimbali zinazohusu Kutengeneza na kuedit videos👇
• Video Creation&Editing
_____________________________________________________
_____________________________________________________
SUPPORT BIASHARA YANGU🥰
I hope unajifunza vingi kupitia Channel hii Tena BURE kabisa...😊
Naomba Support yako Katika Biashara yangu Ya Printing ili niendelee kutoa elimu bila kuchoka ktk channel hii.👇
1.Naprint Picha Mbao Na kutuma mikoani.
A5-7000
A4-12000
A3-25000
A2-45000
A1-85000
2.Pia Naprint picha Saa, Matshirt, Jezi, Vikombe, Kofia
Unaweza Tembelea Akaunti Yangu Instagram kisha ukanifollow👇
www.instagram....
Au ukaja WhatsApp Moja Kwa Moja kupitia Namba +255656781501 au kupitia link hii👇
wa.me/message/...
______________________________________________________
______________________________________________________
COURSES NA HUDUMA ZANGU
1.Naset Matangazo Ya sponsored ads Instagram na Facebook kwa shilingi 30000(mara ya kwanza), na 10000 mara ya pili na kuendelea..
2.Natatua Tatizo la Akaunti kufungwa na Matatizo mengine kwa 50,000/=
3.Nafundisha Course ya Sponsored ads masterclass kwa usimamizi wa mwaka mzima Pamoja na kutatua matatizo yote ya sponsored ads wewe mwenyewe kama akaunti kufungwa, kukwepa madeni nk.
(Video zipo 44, Bei ya course ni 50,000/=
4.Nafundisha jinsi ya kutengeneza na kuedit video aina zote kama vile Lyrics, matangazo, Video za RU-vid kwa kutumia smartphone
Bei ya course 60,000/=
5.Nafundisha RU-vid Marketing. Jinsi gani unaweza kulipwa kwa kuupload videos kwenye channel yako. Gharama Ya Course ni 70,000/=
6.Natengeneza Matangazo proffesional Ya Videos Bei ni 150,000/= kwa Tangazo moja
KUJIFUNZA COURSE HIZI Na KUPATA HUDUMA HIZI, wasiliana nami whatsApp Kupitia link👇
wa.me/message/...
NOTE⚠️(RU-vid jifunze Bure, ila whatsapp Sina huduma ya Bure)
----------------------------
----------------------------
MAWASILIANO:
Hello, Naitwa Ezrah Mhonda, Ni mjasiriamali wa mambo ya Mitandao.
Nasaidia Wafanyabiashara na Wajasiriamali kukuza biashara zao kupitia Mitandao ya kijamii. Pia nafanya Biashara ya Printing.
INSTAGRAM A.👇
/ wantedlifemarketing
INSTAGRAM B👇
www.instagram....
WHATSAPP:👇
wa.me/message/... au +255656781501
EMAIL:👇 wantedlifemarketing@gmail.com
au
mhondaezrah@gmail.com

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
10 INSANE Capcut Editing Tricks 🤯
12:30
Просмотров 813 тыс.
How to Make an Animated Cartoon Video Using Al
16:40
Просмотров 888 тыс.
Unbelievable AI Movie: Create ENTIRE FILM with AI!
12:54
10 AI Animation Tools You Won’t Believe are Free
16:02