Тёмный

CCM WAMKATAA KWA HASIRA DC ALIYEROPOKA KWAMBA ANAHUSIKA KUPELEKA WATU MAPORINI 

KUSAGA TV
Подписаться 167 тыс.
Просмотров 1,3 тыс.
50% 1

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
RU-vid : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@jamesrobare522
@jamesrobare522 12 дней назад
Ukweli unauma na mumeumbuliwa sn mbwakoko ccm
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 12 дней назад
Ukweli na uwongo hujitenga hayo maneno ni matahira tu ndo wanakubaliana nao
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 12 дней назад
Family zenu ndio watawapigia kura sio sisi wananchi tunajitambua sasa hivi tunawasubilia 2025 mtasema tuu.
@georgewambura7695
@georgewambura7695 12 дней назад
Tushakuwa na Akili siku iz
@emanuelymichael9759
@emanuelymichael9759 12 дней назад
Mmejaa wizi, mnatuandaa kutupanga?
@user-pj7cu4my6s
@user-pj7cu4my6s 12 дней назад
Bahati nzuri watanzania siyo wajinga wanajua kila kitu.
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian 12 дней назад
Utasema mengi kwani watz tunajua mengi na mengine mnajivua nguo lakini mkuu wa wilaya anakuzidi elimu na akili Unautubia watu wajinsi yako mwenye akili atukushangaa na anyamaze
@leahnzali4933
@leahnzali4933 12 дней назад
Mmmmmh!!!!!!!!
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 11 дней назад
Ndo ashayakoroga DC wetu lbd tumwajibishe kwa kumfungulia mashtaka
@FrankasamisyeMwaiswasu
@FrankasamisyeMwaiswasu 12 дней назад
Kishindo cha wizi
@christophersimoni1434
@christophersimoni1434 12 дней назад
nyie wapuuzi tu😅😅😅😅
@user-pd8hu3ox8h
@user-pd8hu3ox8h 10 дней назад
Ww ni nyumbu ktk manyumbu mtarauka sana
@DavidKagulu
@DavidKagulu 12 дней назад
Yanashangilia kama mazuzu kwani ni chama gani kimeunda serikali,hamuwezi kushinda majizi wa rasilimali za wananchi
@zeelamipango
@zeelamipango 12 дней назад
Upuuzi mtupu
@andrewmaiga4331
@andrewmaiga4331 12 дней назад
Picha la kihindi, tungepotezea tu.
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m 12 дней назад
Mmmeumbuka kama yule DC aliishiwa maneno Nape nauye je alichosema kule bukoba nayeye alikosa maneno?nyie ni wezi wa Kura miaka yote na polisi ndio mbeleko yenu. Lakini wananchi walishawakataaa
@LwipaNicholaus-n8e
@LwipaNicholaus-n8e 12 дней назад
Amtutanganyi tena
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 12 дней назад
Kwani siukweri
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 12 дней назад
Ccm hamna lolote hizo ndo zenu kukamusha ni ujinga
@MathiasLima-b7v
@MathiasLima-b7v 12 дней назад
Wewe kawaambie wajinga maneno hayo unaongea ujinga unakana nini unajisafisha nenda kawadanganye kama hao wanao kushanvifia
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 12 дней назад
Hata mabibi wazee waliokuwa wakituhumiwa kwa uchawi VIJIJIINI walivyozeeka walitoka hadharani na kutaja majina ya waliowauwa bila kuulizwa NA MTU ... na CCM NDIKO WANAKOELEKEA WASIPOANGALIA .maombi yaendelee
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 12 дней назад
Hapana niukweri
Далее
Какой звук фальшивый?
00:32
Просмотров 348 тыс.
Добрая весть 😂
00:21
Просмотров 307 тыс.
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08
Msukuma acharuka Bungeni #Efatha #kiboko ya wachawi
8:02
Какой звук фальшивый?
00:32
Просмотров 348 тыс.