Тёмный

Cedars Family Tz_NENO LAKO_(Official Video HD 4k) 

CEDARS FAMILY TZ
Подписаться 3 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Composer: kissmark
Audio: pro mahona
Video: RJ studio
Vocal Arrangement: kissmark
Choir Master: kissmark
email: familytzcedars@gmail.com
Instagram: @cedarsfamilytz
Facebook page: @cedarsfamilyTz
Contact: +255 743 629 282
Other Contact: +255 754 338 155
........................................................................................................
Biblia inasema katika Zaburi 119:105 “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.” Hivyo Neno la Mungu ni Taa! Haijarishi unapitia nyakati Gani katika maisha lakini Neno la Mungu litakufariji,litakutia nguvu hata ukianguka utasimama tena,usihofu usiogope atakulinda!! Barikiwa na wimbo huu🙏🙏

Опубликовано:

 

22 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 88   
@ntuzuone5600
@ntuzuone5600 Год назад
Nani ambaye sija like
@eliakimujoseph7014
@eliakimujoseph7014 Год назад
Kwangu mm huu wimbo ni wimbi ninaoupa asilimia 100%, yaan kama umenielewa weka like za kutosha hapo.
@janethstevene8977
@janethstevene8977 Год назад
Aisee hii kitu imeiva🔥🔥nabarikiwa sana
@edinatabonwa3155
@edinatabonwa3155 Год назад
Barikiweni sana aiseeee 👏👏
@barakamusso7971
@barakamusso7971 Год назад
Mungu awatunze
@shukuranelias1080
@shukuranelias1080 Год назад
Neno lako liangaze pale palipo na giza Ujumbe Mzur sana mbarikiwe kwa kazi nzuri yakutangaza neno la MUNGU kwa njia ya uimbaj
@abigaeljoseph1781
@abigaeljoseph1781 Год назад
Amina Mungu azd kuwasimamia na mkawe mibaraka Kwa Mungu na mkawainue watu kutoka gizani na tukamtukuze bwana Kwa vipaji vyetu na watu wapate kuokolewa
@sultanenock
@sultanenock Год назад
Kazi nzuri, endeleeni kumtumikia bwana nae hatawaacha!!!!
@danielmniko2288
@danielmniko2288 Год назад
Bwana awabariki sana kwa kazi nzur hii tunawaombea mfike mbali 🙏
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Karibu mtumishi
@erastorjondego6148
@erastorjondego6148 Год назад
Mbarikiwe sana watumishi wa baba nawapenda
@japhethmkacha1331
@japhethmkacha1331 Год назад
Amen 🙏
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Aminaaa
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Aminaaa
@meckypaul-zk8it
@meckypaul-zk8it Год назад
Nabarikiwa Sana na huu wimbo
@minnahstanley5788
@minnahstanley5788 Год назад
Wow🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Barikiwa binti sayuni
@meckypaul-zk8it
@meckypaul-zk8it Год назад
Wa kwanza mm hapa like zangu jamani
@Dabidahezron
@Dabidahezron Год назад
Wow barikiweni
@joycethomas5414
@joycethomas5414 Год назад
Barikiwa
@joanpeter9121
@joanpeter9121 Год назад
Ubarikiwe
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Mungu awe nawe mkuu
@shadrackelias3496
@shadrackelias3496 Год назад
❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥
@daudipius-zo5pc
@daudipius-zo5pc Год назад
"nikafike salama nikiwa nawe" Nimebarikiwa sana na hii qout BABA WA Mbinguni Atukuzwe Kwa ajili yenu,Barikiweni
@teddyedwin5873
@teddyedwin5873 Год назад
Wimbo mzuri nimefurahi kuwaona mama Judy na Kelvin
@marcomalima2433
@marcomalima2433 Год назад
Ni wimbo mzuri sana nimeguswa nao
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Barikiwa mtu wa baba
@ralgmtv5438
@ralgmtv5438 Год назад
Amen
@eliaspopola1985
@eliaspopola1985 Год назад
Haleluyaaaaaaaaaa, Neno lako ni tamu sana kulisikiliza
@edinatabonwa3155
@edinatabonwa3155 Год назад
Mheshimiwa naomba namba ya Sophia
@kelleydispensary-cb1lh
@kelleydispensary-cb1lh Год назад
Mbarikiwe sana watu wa MUNGU kwa kutangaza neno la MUNGU kwa njia ya uimbaj
@joanpeter9121
@joanpeter9121 Год назад
Amina Mtu Wa Mungu
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Asante mtu wa Mungu
@DottoMtesigwa
@DottoMtesigwa 9 месяцев назад
Faith is our victory through God nothing can be done
@michaelkalile5054
@michaelkalile5054 Год назад
Mbarikiwe watumishi wa Bwana
@barikiyesaya8582
@barikiyesaya8582 Год назад
Aminaa kwel Bwana atuvushe katika Giza 🙏🏻🙏🏻
@EliaKirambo-gm9bh
@EliaKirambo-gm9bh Год назад
Nimependa sana mbalikiwe mnapoimba na kumtukuza mungu katika roho na kweli
@swaumuiddy-sv8tn
@swaumuiddy-sv8tn Год назад
Mnaimba vizuri sana wajamani
@daudipius-zo5pc
@daudipius-zo5pc Год назад
AMINA! Mbarikiwe sana watumishi wimbo umenigusa
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Barikiwa nawe mtu wa baba
@bahatimalima4450
@bahatimalima4450 Год назад
Kazi safi ,MUNGU awabariki wapendwa
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Aminaaa
@carolineomori1032
@carolineomori1032 Год назад
Ooooooh, leo nimewagundua. Mungu awabariki wapendwa. Powerful messages in your songs, powerfully delivered
@deogerald3592
@deogerald3592 Год назад
Nyimbo zenu ni nzuri binafsi nabarikiwa Mungu awape nguvu mfike mbali
@gideonkasese9244
@gideonkasese9244 Год назад
Mbarikiwe
@abigaeljoseph1781
@abigaeljoseph1781 Год назад
Mungu awabariki wapendwa na azidi kuwainua na kuwapatia hekima za kumtumikia
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Aminaaa
@kokotacharles2858
@kokotacharles2858 9 месяцев назад
You are a blessing.... sweet quality music...
@kowinohjunior
@kowinohjunior Год назад
Kazi Safi sana wadau
@farajannko-xx6md
@farajannko-xx6md Год назад
Nimefarijika sana
@EmmanulSiddy-t2v
@EmmanulSiddy-t2v Месяц назад
MUNGU azidi kuwajalia hiyo hiyo karma na mzidii kusonga mbelee kwa kazi ya BWANA🎉🎉❤❤
@rosemaryjuma2901
@rosemaryjuma2901 Год назад
Waaaoh jamani mungu awabariki sana nice song
@friendsforevervoices
@friendsforevervoices Год назад
Kazi yenu ni njema sana wapendwa
@agnesmajura6102
@agnesmajura6102 Год назад
Wimbo mzuri mungu azidi kuwainua nawaombea sana hakika tumebarikiwa na wimbo mzuri huu
@murakaramadeo-gv5ln
@murakaramadeo-gv5ln Год назад
Ninzuri san
@meckypaul-zk8it
@meckypaul-zk8it Год назад
👏🏼👏🏼❤️❤️
@brightonkabeja6548
@brightonkabeja6548 Год назад
Ujumbe mzuri,mafundisho mazuri, melody nzuri,mwomekano mzuri na location nzuri. Mungu azidi kupewa sifa na mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri.
@joanpeter9121
@joanpeter9121 Год назад
Amina brother Brighton, ubarikiwe pia sana
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Asante mkuu
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Mkuu barikiwa sana
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
@@joanpeter9121 Aminaaa
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Barikiwa sana
@abiahjumanne4638
@abiahjumanne4638 Год назад
Ujumbe mzuri sana nabarikiwa na huu wimbo🙏
@hyptunes
@hyptunes Год назад
Aaamen
@notbulgamnenuka1766
@notbulgamnenuka1766 10 месяцев назад
Barikiwa sana vijana wa Yesu.❤❤❤❤
@marejeotv9346
@marejeotv9346 Год назад
Kazi nzuri
@VesianaElisha-qc9sf
@VesianaElisha-qc9sf Год назад
Amina watumishi
@PS-ev5gc
@PS-ev5gc Год назад
Nyimbo inaujumbe mzuri ila mavazi hayana mvuto natamani mbadili stail yakuvaa Emein
@elimuathuman4609
@elimuathuman4609 Год назад
💥
@SuzanaJoseph-y9v
@SuzanaJoseph-y9v 9 месяцев назад
Nice song
@kenokerosi
@kenokerosi Год назад
God bless the choir
@PendostaManase-ze6kt
@PendostaManase-ze6kt Год назад
Jafeth mkacha, nakuona
@StellaAntony-kh8be
@StellaAntony-kh8be Год назад
Barikiwa
@joanpeter9121
@joanpeter9121 Год назад
Amina, natumaini huu wimbo utakuwa faraja kwa watu wengi waliovinjika moyo. Mungu awabariki sana familia ya Cedars
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Kweli
@barakamusso7971
@barakamusso7971 11 месяцев назад
❤❤
@DatifaMakunja
@DatifaMakunja Месяц назад
@WancharaHadson
@WancharaHadson 4 месяца назад
Mbarikiwe sana
@theheavenlysingers-kenya1996
Amen 🙏🔥🔥
@abdikarimally2729
@abdikarimally2729 Год назад
Let's lift up the name of Our Almighty God
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Aminaaa
@MartiniLusindiko-zh2ny
@MartiniLusindiko-zh2ny Год назад
Appreciate this family very incredible songs you sing 🎉😊 God bless you
@shadrackelias3496
@shadrackelias3496 Год назад
Amen
@erwinannan9074
@erwinannan9074 Год назад
This is a very nice song, I like the Harmony, melody, and most importantly the message. Be blessed
@shadrackelias3496
@shadrackelias3496 Год назад
Amen
@teddyedwin5873
@teddyedwin5873 Год назад
Wimbo mzuri nimefurahi kuwaona mama Judy na Kelvin
@cedarsfamilytz
@cedarsfamilytz Год назад
Amiaaaa
@Janeth-f6v
@Janeth-f6v Год назад
Amen
Далее
NYOTA - The Light Bearers Tz, OFFICIAL VIDEO 2023
4:43
People Cling To Trees As Typhoon Slams Into Shanghai
00:34
Cedars Family Tz -JIJI LILE- (official Video HD 4k)
4:12
Jomireso Voices - Mwali #WEDDING HIGHLIGHTS
4:18
Просмотров 10 тыс.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Просмотров 27 млн
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
People Cling To Trees As Typhoon Slams Into Shanghai
00:34