Tafadhali @ Sylvester. Hizi nyimbo zinanikumbusha mbali zaidi na nimezitafuta sana ,tafadhali si utengeneza mix ingine pasipo na vicheke vya watoto na hizo dj churuchuruchuru za dj tafadhali juju imagine vile umezama kwa maombi alafu vicheko vinalialia hapo it's like a mockery to GOD please.
These songs are very powerful and have a very serious message ,I thank you for the compilation but kindly please I humbly request that you do another one withought those funny funny mixes please.
Hizi nyimbo nimezitafuta sana. Nilikua nazisikiza nikiwa mdogo zilinibariki sana. Tafadhali naomba tu kama unaeza tengeneza mix yenye haina hizo vicheko na mix mix juu zinashusha hadhi na upako uliomo katika nyimbo hizi. Asante sana
The songs by Gospel music legend are very good and inspiring. They should have garnered more than 3 million viewers unfortunately in Kenya everything is put as comedy and jokes za upuzi. Why is that laughing at the background
Please please please 🙏 😢 😭 😔 😞 Dj slyver,help us get this songs, just creat a wattsup group then share the link, Wacha MUNGU aitwe MUNGU please 🙏 please 🙏 please 🙏