Тёмный

Chanzo cha vita vya Congo ni serikali ya Rwanda/Mai Mai inatumiwa na serikali ya Rwanda. 

1 AFRICA TV.
Подписаться 26 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Shida kubwa ya Congo 🇨🇩 ni serikali ya Rwanda/Mai Mai na red tabara vinatumiwa na serikali ya Rwanda.
Mengi ambaye unatakiwa kujuwa kuhusu mauaji ya kimbali didhi ya kabila la Wanyamulenge.
Na jinsi serikali ya Rwanda ilivyo peana mafunzo kwa red tabara sikiliza kipindi chote.
Sikiliza mpango mkubwa wa serikali ya Rwanda kwa kupiganisha wakongomani.
Bonyeza subscribe na share katika 1 Africa Channel ili uwe ukipata vipindi kama hivi kila wakati.
#mulenge #congo #africa

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 167   
@sebakiyana7193
@sebakiyana7193 3 года назад
Samahani MLC ilikuwa ina ongozwa na Jean Piere Bemba.
@successfulman7032
@successfulman7032 3 года назад
Shukrani Bwana Rutikanga kwa kuandaa kipindi hiki✅✅✅👌🏿👌🏿👌🏿👌🏿
@gilbertrwiza4953
@gilbertrwiza4953 3 года назад
Bravo professor rutikanga kiswahili kizuri kwetu tena mnaongea kiswahili kizuri
@gilbertrwiza4953
@gilbertrwiza4953 3 года назад
Bravo professor rutikanga kiswahili kizuri kwetu tena mnaongea kiswahili kizuri
@1AFRICATVOFFICIAL
@1AFRICATVOFFICIAL 3 года назад
Karibu katika 1 Africa Channel, usisahau kubonyeza subscribe na kushare👏🏾
@urwibutsoesperance9603
@urwibutsoesperance9603 3 года назад
Pastor Seba na Pastor Mulongecha mume egamiya sana kwa mamboya siyasa sana murudi kwakazi ya Kanisa na kuyiombea inchisana wenye siyasa wataongeya hayo laki munasema ukweli kbsa
@mahanaimparishebenezertv4974
@mahanaimparishebenezertv4974 3 года назад
Number one to watch mumpe like
@johndismaselias5609
@johndismaselias5609 Месяц назад
Asante sana
@prukruk2237
@prukruk2237 3 года назад
Asante sana kwakutumia kiswahili. Nibyiza ko tuvuga mu ndimi abandi bumva ataribyo tuba twibwira.
@peterday7528
@peterday7528 3 года назад
Yego mukomeze mwikanire igiswahili...amaraso y'abahutu mwishe niyo abagaruka. Rpf nabo ubahe umuti ubakwiye.
@user-io4ny1nn6h
@user-io4ny1nn6h 6 месяцев назад
Acha bongo papa mweye muko wezi mweye muko wa niliotique amuna ba batu mweye muko mbeko ya wazungu ,wezi mweye 😅
@user-io4ny1nn6h
@user-io4ny1nn6h 6 месяцев назад
Papa uko mwizi wa serikali ya congo Wewe ni mu rwandais mtupu 🇨🇩 please hakuna munyamurenge wala mututsi Ile nima neno ya wongo kabisa sana
@felixmubalama7671
@felixmubalama7671 3 года назад
Courage pastor
@peterndayisenga3597
@peterndayisenga3597 3 года назад
waca weye na mandevu kama ya beberu, wanyarwanda hawana tatizo nanyinyi wenye mdomo tu, tunasukuma maisha yetu hatuna tatizo na nyinyi hata kidogo, wende kwenu upiganiye kabila yenu, kucongowa mdomo tuu unasemasema maneno kama ya ibilisi haitasaidiya wa nyamurenge.
@user-sc4vp2dm1c
@user-sc4vp2dm1c 2 месяца назад
Mutumishi wa Mungu gani utasimamiya kusema uongo
@nzeyimanaambari9754
@nzeyimanaambari9754 Год назад
Sema sisi niwa congo asili ,ya rwanda sawa leo upo mmarekani kutoka africa
@johnmccarthy6337
@johnmccarthy6337 3 года назад
Uwongo mtupu. Swali hili kwako, ukiweza kujibu hapa ni vyema jee huko kabla ya 1990 kulikuwa watu wenye ku itwa banyamulenge?uhakika nikwamba hawakuwepo. Lakini mlima unaitwa mlenge ulikutwa Kama vile milima yote ulikutwa. Swali la pili jee wenye ku itwa watusi wote wa congo ni wanyamulenge? Yaani hata wenye kuzaliwa inera kuvu na wo ni wanyamulenge.nipe jibu lakini majibu ya ko kanisa hapa ni non
@chaka11
@chaka11 3 года назад
@@aimee4083 wa nyamurenge ni watusi 150%%
@peterday7528
@peterday7528 3 года назад
@@chaka11 ni kweli, watutsi walisha gunduliwa na hivi wanaona kwamba ule Kagame na RPF yao inakua kikwazo juu aliwala njama mwenyewe.... kukikuwa faida niko MTUTSI kukikuwa kasoro niko mukongomani na munyamulenge. Mtuavuna chenye mumepanda wenzangu...
@bamwishocadet1118
@bamwishocadet1118 2 года назад
Hawa watu hawakuwaki nasema kweli hata awe pasteur ni uongo mtupu tu, sasa hizo kabila zooote ameeleza hapo kwa nini haziletake vita ni wawo tu wanyarwanda sio wanyamulenge kwani hiyo kabila haijawahi ku wepo, wanaongeyaka tu ni kinyarwanda 🤷🏽‍♂️Mungu ata wachomaka hivyo vinywa vyenu nauongo wenu mwee wanyarwanda 😏😏.
@youfledorkayumba7905
@youfledorkayumba7905 2 года назад
Achana na awa wenyerwanda Tutsi tulio wapokea kuwa wakimbizi, wamejipa jina la mlima wa nchi zetu Congo mlima Mulenge, na kujitangaza kwa nguvu kuwa wao ni wakongomani, tunawajua wao na M23 pamoja na Paul Kagame ndiyo maadui zetu sisi wakongomani wanataka kuleta génocide inchini mwetu Congo kama vile walio ifanya inchini Rwanda, tunajua plan yenu nyinyi wa Tutsi wa Nilotic, inchi yetu ya Congo ni ya wa Bantou sio ya wa Nilotic, rudieni kwenu.
@omkalo4
@omkalo4 2 года назад
Huyu jamaa kama wanyarwanda wengi, ni mwongo mkubwa: Hawezi kutoa hata document moja ya kuunga mkono uongo anao usema. Kuna nyaraka nyingi na nyaraka zinazothibitisha kwamba ninyi ni wa tutsi mlio toka Rwanda. Mfano thesis ya Depelchin, Utafiti wa G. Weis, na hata archives za wakoloni. Ili kumjibu kwa uthibitisho wa kisayansi, na wasii mujifunze kwa kuangalia: MULENGE SPEAK: ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-rB-StMG3FF8.html
@gilbertrwiza4953
@gilbertrwiza4953 3 года назад
Hivi serikali ya Rwanda haiwezi kufanya biashara na kongo bila kuua wakongoman na wanyarwanda wenyewe
@savemulenge1575
@savemulenge1575 3 года назад
Good job pastor Seba
@abdalaabdala7906
@abdalaabdala7906 2 года назад
Apona wabembe wa tanzania, zambia,Cameroon, napengine pote walitoka Congo kamamweye gisi mulitoka rwanda
@congoleseyouthnetworkc.y.n1803
@congoleseyouthnetworkc.y.n1803 2 года назад
Mai Mai cannot mix with Rwandan this is a lie, the Bembe tribe doesn’t serve anyone but Congo. Banyamulenge are Rwandan they renamed themself.
@ibalulacapierre1815
@ibalulacapierre1815 Год назад
Mbele ya kuitwa wanyamulenge mlikuwa naitwa wanani mbele amujachaguwa kuwa wanyamulenge.
@christianndegeya8473
@christianndegeya8473 3 года назад
Reka nkubwire wa Mugabo weee mumenye ibyanyu muri congo u Rwanda twavuye muri congo ubu turi gufashwa abavandimwe bacu ba Mozambique ibyo uvuga nyine urabivuga wibereye muri America nakwemera ubaye umugabo ukamanuka ukajya kuvugira wanyu muri congo ndetse waba n'umugabo ugafata imbunda ukarwanya urwo Rwanda uhoza mu kanwa.
@mugishadenny22
@mugishadenny22 3 года назад
Uyu yafashimbunda kandi byatanzumusaruro
@christianndegeya8473
@christianndegeya8473 3 года назад
@@mugishadenny22 byatanze uwuhe se kandi numva nubundi I mulenge bicika??! Mumenye ibyanyu kabisa twe mudushyire hasi RDF aho irwanye iraharwana nta mikino ijya igira kandi ntabwo turi ku rwego rumwe namwe mujye muganira izo ngabo zanyu na za mai mai
@desiremutabazi3319
@desiremutabazi3319 2 года назад
Muru gufasha been wanyu muri mozambique 😂😂😂😂😂
@byaruremafelixmandevu5541
@byaruremafelixmandevu5541 5 месяцев назад
Hakuna kabila la wanyamulenge inchini kongo
@goldensensemedia.7906
@goldensensemedia.7906 2 года назад
Pasta gani muongo hivi, hovyo kabisa.
@1AFRICATVOFFICIAL
@1AFRICATVOFFICIAL 2 года назад
Don’t call yourself Pan African. When you think like this
@kalizaphiona4930
@kalizaphiona4930 3 года назад
Muzee umepagawa nafikiri kati ya nchi zenye wanyamulenge wengi ni Rwanda harafu huyu nae anachomoka na kurusha maneno ya ajabu
@aswaasawa7997
@aswaasawa7997 3 года назад
KENYA
@kafilabulimwengu4827
@kafilabulimwengu4827 Год назад
Alina WANYAMULENGE, Bali ni WANYARWANDA. Usidanganye watu.
@petermunanka3827
@petermunanka3827 Год назад
Unatoa mimacho bule unatumia nguvu kubwa mno kutengeneza uongo hakunakabila la wanyamlenge wanyamlenge ni watusi waliotokea rwanda kuja Kongo kutafuta ardhi ya ufugaji na kilimo baada ya kuzaliana wakashindwa kuludi kwao
@salehedrc3356
@salehedrc3356 2 года назад
Hatari sana.Una sema mai mai ina tumiwa?. Kwani Una fahamu watu hawatambuwi?. Nyie Mna tumiwa na rwanda ila mwisho wa yote hali ita kuwa ngumu kwenu. Msubiri mtaona
@user-yl3be9ix4y
@user-yl3be9ix4y 6 месяцев назад
Kibembe michezo ambao ndio utamaduni sana nikirwanda lugha ndio kabila masai huongea lugha yao jambo mnajivunasana hiyo ilileta shida ng'ombezenu kuharibisha mashamba blla kuheshim wenzao
@mwambamubarikiwenamunguwet8302
@mwambamubarikiwenamunguwet8302 3 года назад
Pastor olobi verite ba congolais tozala na bomoko mpo tobongisa congo na biso Monguna nabizo ayebani totelema bisonyoso tobundisa Monguna banyamulenge na babembe na bafurelo banyindu tolimbisana tozala na bomoko.
@shukurumsebaloli
@shukurumsebaloli 2 года назад
Awa watu sisi atukuwakatahaga ila mambo waliyo anzaga kutufanyiya ndio ilio sababisha sisi kuwa chukia nawanajuwa hivyo kwaiyo wakubali tu kuwa wao niwageni ili waruhusiwe kuhishi kwahamani
@johnrutagonya9020
@johnrutagonya9020 2 года назад
Nibora wapigane kuliko kuwa wageni na kupoteza nchi yao.
@user-ec4wh2hr7i
@user-ec4wh2hr7i 3 года назад
Vizuri kujuwa kama Kagame hapende Wanyamulenge. Kama hapende Wanyamulenge hawezi gupenfa Wafurero.
@peterday7528
@peterday7528 3 года назад
No, musijidanganye munyamulenge ni mututsi na Kagame, Museveni wote ni watutsi. Walikwa na siri ya tutsiland lakini Kagame anataka akamate yote. Muwangalie vizuri hawa wanilotics wako cancers mu Africa kutoka huko Somalia, Ethiopia ect
@nzeyimanaambari9754
@nzeyimanaambari9754 Год назад
Jee hiyo lugha mmeitowa wapi mbona warega wabembe ,washi hawazungumzi kinyarwanda jee kuna mshi ao mrega rwanda ao mvira mbona hatuoni makabilahayo rwanda
@modestebasson5387
@modestebasson5387 2 года назад
Muko wapumbafu sana siyo munyamule apana wana itwa wa nyerwanda mulenge nimulima wabafulero uko wapumbafu
@Kkon6916
@Kkon6916 6 месяцев назад
😂Banyamulenge na Ruanda😂😂 kongo no😂😂na ruanda 😢😂😢😅
@christophemalipe5636
@christophemalipe5636 8 месяцев назад
Rwanda.mulifikz mu 1959
@misheckkasaka9631
@misheckkasaka9631 Год назад
Kumbe wapasta hawana oga kusema uwongo?haunahayakabisa kanisa unayoishimamiya unawafudisha uongo
@rushimishaprince6335
@rushimishaprince6335 2 года назад
Uyumusaza ndamukuda kbs
@Buduwe
@Buduwe 3 года назад
Asante sana kwa iyi message
@rajabumakelele2216
@rajabumakelele2216 2 года назад
Jambo mimi ni Rajabu nilitakakuuliza mzeeivi mbonakabilazenyekutajwakwakongo kabilalaohalitajwi ? Jee waliwezakuwasahau?aoje.nambona kwakongo wanajenga sehemuzote na hawa jaweza kubomolewa nyumbazao? Aponinikinachoendelea?
@Fistel.S
@Fistel.S 3 года назад
Mwakoze cyane guhindura invugo mukavuga swahili 🙏🙌🏽🙌🏽🙏🤝
@peterday7528
@peterday7528 3 года назад
Swahili yenyewe haiwageuzi wakongomani.... cyenye unapanda ndicho UNAVUNA. Munyamulenge akajivuna sawa sawa kila mututsi. Wengi wkaamuwa kusaidia watutsi wenzao huko Uganda kisha watutsi wakakamata power RWANDA. watutsi kutoka fasi mbali mbali yaaani, mnataka ile TUTSI-LAND. Mulishagunduliwa msijari
@gilbertrwiza4953
@gilbertrwiza4953 3 года назад
Ibi nibyiza cyaane kubela na batulanyi baanyu bose nktwe mkitanzania tunvise ibibazo vyaanyu
@mzaliwaseif7079
@mzaliwaseif7079 Год назад
Tatizo lenu ni UONGO ndo unaowaponza, nyie ni wa Tutsi wenye asili ya Rwanda Kwa miaka mmeishi Congo unastaili kuwa wa Congo kweli Aina haja ya fake name ( mulenge ) just be proud of yourself guys. Eti Rwanda inatumikisha wa bembe na wa fuliro 😂😂😂. Pendeni Congo na muhisahau Rwanda hapo ndipo mta enjoy life.
@user-yl3be9ix4y
@user-yl3be9ix4y 6 месяцев назад
Tunakupata lugha unaongea inasikilizika ila unaonyesha ni mcongo una asili ya rwanda ni ukoo sawa masai asili sudani nanyi somalia kwanini muongee kinyarwanda kuliko kivira ao kirega
@mikerugigana6894
@mikerugigana6894 3 года назад
Mumese kamwe. Njyewe nemera ko muri abanyecongo.Ariko ikibazo cya intégration kiracyabakurikirana.Reba ukuntu igiswahili kiri kubananira kuberako mwanze kubana n abandi banyecongo mukiheza...
@emizotv1591
@emizotv1591 3 года назад
Nkawe koko uzi byo uriko uvuga kweli?nonese igiswahili urikunenga wewe wovuga iki cavugiwe aha? No sense🤔
@aimablenkurunziza7984
@aimablenkurunziza7984 3 года назад
Igiswahili nicyiza cyane niwewe utakizi kabisa
@fidele3426
@fidele3426 3 года назад
Uri rugigana koko
@Frd646
@Frd646 3 года назад
Fikiriya tena wewe hujui chenye unasema
@patm8251
@patm8251 3 года назад
Uzarebe icyo sobuja Kajangara yavuze ejobundi ubwo president wa Tanzania yabasuraga.
@lameckouragan3358
@lameckouragan3358 Год назад
Swali fupi, ikiwa Mnyamulenge si Mnyarwanda. Kwanini waongee lugha kinyarwanda kama lugha yao ya asili?
@nshimiyehussein3622
@nshimiyehussein3622 3 года назад
Shukhurani sana kuleta pasteur tena
@lugambagentil7410
@lugambagentil7410 2 года назад
Mlifikiya wapi mkiwa natoka inchi gani ?
@peterkaseke10
@peterkaseke10 2 года назад
Wewe pastor apana kufanya wacongomani vipovu mulitokaka Rwanda na luga yenu ya kinywarwanda.
@osbornmusafiri627
@osbornmusafiri627 3 года назад
Nawapenda sana 1 africa channel
@jumaisaac9127
@jumaisaac9127 2 года назад
Wewe ni mwongo , kwanini humwogopi Mwenyenzi Mungu? Taharifa na historia zote unazotoa nakusema si za kweli. Eti mchungaji !
@KavungoSokoni
@KavungoSokoni 9 месяцев назад
Nyinyi tunawajuwa kwamba munaji ficha ndani yakanisa wakatimuna rohombaya kama shetani Lionel napuwandefu rwande pepomuchafu naukome kusema wewe nimu congomani pumbavu
@peterkaseke10
@peterkaseke10 2 года назад
Wewe pastor sematu sisi wanyarwanda.
@scarfacetonymotanaornelas4112
@scarfacetonymotanaornelas4112 3 года назад
Scarface Tony Monatna 👍🏻
@gilbertrwiza4953
@gilbertrwiza4953 3 года назад
Ethinics kwa kiswahii ni jamii
@sebatakanemasika3125
@sebatakanemasika3125 3 года назад
Huyu munyamulenge ako hanasema huogo kwakuwa hawa wlikukuja 1959 hawa ni watusi wa rwanda washa uhogo
@elishalugano5679
@elishalugano5679 2 года назад
Wachana na uongo wewe pastor ! Pastor muongo nyinyi amutaingia mbinguni juu ya hii ujinga uenu na uongo wenu ! Nyinyi ni wa 🇷🇼 nyote . muko mnaomba Mungu mauaji amuachi ? Bado mungali na shikilia Jina la Mungu ? Tupeni iyo ma Bibilia zenu juu akuna aja ya kuendelea na kushikilia Jina la Mungu na nyinyi bado ni wezi muko mnataka kuiba inchi ya watu na zi yanu.
@danielbiyago7549
@danielbiyago7549 3 года назад
Kama hatuajua mzungu tungali tunakufa. Mnasema for ni yeye. Flamini hamjuwe hile pesa za kununuwa msasi anazitosha wali. Tupunguze Trumbo na tusitegemee wazungu.
@importanceleadership
@importanceleadership 3 года назад
Tuzakomeza dutegera ibiganiro byanyu. Dukeneye impinduka. Urakoze
@innocentkimazi3178
@innocentkimazi3178 3 года назад
Ukunda camera
@kingsonmurekezi83
@kingsonmurekezi83 3 года назад
Dunia haiwezi kusikia upuuzi kama huu wa kijinga
@peterday7528
@peterday7528 3 года назад
Asante SANA. Hawa wajinja muwatambuwe. Watutsi.... kabila ya mizozano. Uno Rwanda. Ona Somalia, ona Ethiopia. Bantous people mkuwe macho
@rugarekashasha8196
@rugarekashasha8196 Год назад
Nyukabeshye, nta bwoko bwa Banyamurenge. Turi abanyarwanda barazwi neza ko turi abanyarwanda. Reka kuba injiji kuki twakwitwa izina ry'umusozi kandi igihugu cyacu ni u Rwanda. Wiyita umushumba, uriumwungere cyangwa umuyobozi w'itorero? Turi impunzi xiva mu rwanda, tuba muri kongo ariko ntabwo turi ubwoko bwa kongo muri congo ni ubuhe bwoko bw'abanyekongo burwanira ubutaka muri iki gihe? Turwanira kubona ubutaka bwa congo kuko tudafite umugabane, dufite inkware kuri santimetero y'ubutaka bwa congo.
@sebatakanemasika3125
@sebatakanemasika3125 3 года назад
Hawa walikuwa wakimbizi kwa kwali washa kudaganya watu
@bonfilsmugabe9315
@bonfilsmugabe9315 3 года назад
Unakubaliwa na wengi pastor seba Endelea kuongea ukweli namungu akulinde
@pioneertv9463
@pioneertv9463 2 года назад
Sasa ilikuje Lugha zifanane kama wanyamuenge hawakutoka Rwanda mbona Lugha ni ni same
@johnrutagonya9020
@johnrutagonya9020 2 года назад
Kwahiyo wewe ni mfaransa au muingereza kwakuwa unaongea hizo luga
@RaWiJr94
@RaWiJr94 3 года назад
Hopefully the Bembe,and Bafuliro communities will finally realise that they dived into the water for which they really don't know its depth
@someaafrika.3379
@someaafrika.3379 3 года назад
You are probably confused
@RaWiJr94
@RaWiJr94 3 года назад
@@someaafrika.3379 in which way? The bafulito and the Bembe are working closely with Rwandan gov to kill Banyamulenge
@nikowabantu6216
@nikowabantu6216 3 года назад
@@RaWiJr94 who lied to you buddy Your brother Kagame helped y’all to kill innocent Congolese Now it’s time for y’all to pay us back
@RaWiJr94
@RaWiJr94 3 года назад
@@nikowabantu6216 in which way are we paying you back? Banyamulenge militiamen were impartial in both Congolese wars,we shouldn't be responsible for Kagame's killings. We just deal with who provokes us.
@omkalo4
@omkalo4 2 года назад
This pastor as many banyarwanda is a big liar: He can not provide, even, one document to back-up the rubish that he's stating. To answer him with scientific proof, I refer him to: MULENGE SPEAK: ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-rB-StMG3FF8.html
@drctv2349
@drctv2349 3 года назад
Hapo sawa ndungu sisi wote tusimame imara tupiganiye haki yetu
@abonoiskika4103
@abonoiskika4103 3 года назад
Ndugu yangu haki mume itafuta vibaya sana sababu sisi sote tuko inje ya inji tunafahamu jisi haki ya tafutwa asheni uwongo .
@umugaboudakanjaindimi6443
@umugaboudakanjaindimi6443 3 года назад
Turashimye kukiganiro ciza rwose
@mikerugigana6894
@mikerugigana6894 3 года назад
Abanyamulenge ikibazo yanyu ni uko mwanze kuba intégrés muri Zaire.Benshi murimwe biyumva ko ari abatutsi bigatuma fpr ibakoresha mu interets zabo.mwebwe mwariheje mwanga gushyingirana n abandi banyecongo.Muri merci hari abagitekereza kuvana Kivu kuri Congo Mazetier mukayigira igihugu cyanyu nkaho ari mwe gusa mutuye Kivu.Guca Congo mwo ibice byerekana ko mutariyumva nk abanyecongo
@lebonnakitumba8625
@lebonnakitumba8625 2 года назад
Kwa nini ninyi hamupendaki kuzungumuza ukwelimunapenda uwongo ninyi ni wanyarwanda siyo wanyamulenge acha kudanganya mu congo tuko na 450 tribu hakuna munyarwanda ama munyamulenge
@abonoiskika4103
@abonoiskika4103 3 года назад
Ndugu pastor wewe nimukali kwakujuhudiya uongo kwa ajili ya Congo
@danielamurikamala8156
@danielamurikamala8156 Год назад
😅😅😅😅😅😅😅
@twirwaneholocaldefense4192
@twirwaneholocaldefense4192 3 года назад
Aka FPR,RCD na Mahoro Kashobotse🤣🤣 byose mutangiye kubimenyekanisha muri East Africa.
@bisetsamoise-bc8du
@bisetsamoise-bc8du Год назад
Olimusiru musajagwe sirimu yekutawanya
@pierrerwanfizi2960
@pierrerwanfizi2960 3 года назад
Can you kindly do research about who is nilotics and who is not.
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 2 года назад
Unatufumbua macho sisi mwana Afrika mashariki🇹🇿
@sikitu8957
@sikitu8957 2 года назад
Anawadanganya huyo
@youfledorkayumba7905
@youfledorkayumba7905 2 года назад
Ni mwongo huyo, alisoma tu historia ya Congo, na mambo mengine anayoyasema ni ya uwongo, wanataka kuleta génocide inchini Congo kama walivyo ifanya Rwanda.
@omkalo4
@omkalo4 2 года назад
Huyu jamaa kama wanyarwanda wengi, ni mwongo mkubwa: Hawezi kutoa hata document moja ya kuunga mkono uongo anao usema. Kuna nyaraka nyingi na nyaraka zinazothibitisha kwamba ninyi ni wa tutsi mlio toka Rwanda. Mfano thesis ya Depelchin, Utafiti wa G. Weis, na hata archives za wakoloni. Ili kumjibu kwa uthibitisho wa kisayansi, na wasii mujifunze kwa kuangalia: MULENGE SPEAK: ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-rB-StMG3FF8.html
@ritza3452
@ritza3452 3 года назад
Una sema wongo(mensonges).
@peterday7528
@peterday7528 3 года назад
Mtutsi=munyamulenge kutoka Rwanda. Muache kudanganya watu.... wewe mwenyewe pastor ulishasema kwamba ulikuwa mu intelligence ya Kagame/Rwandan Patriotic Front) rpf) huko Kigali Rwanda... Tena ulishasema kuwa mulisaidia rpf kuvamia Congo na kazi ya wanyamulenge ilikuwa kusaidia rpf kuwawua wahutu refugees. Cha mzuri rpf iliwadanganya kwamba itawasaidia mkamate power Kinshasa na Kagame akawageuka. Hivi mututsi munyamulenge anakosa cha kufanya na munapigaisha kujigeuza wakongomani. La mwisho, mlisahau kwamba mpenda tuwili kamoja kanamponyoka. Karma nfiyo itwafikia... wakunywadamu!!!!
@elishalugano5679
@elishalugano5679 2 года назад
Muko na lahana nyiynyi ma nyoka
@charlesjuif7657
@charlesjuif7657 2 года назад
If all the Rwandese come go back to Rwanda and Congo will have peace Please nyamulenge go back home Rwanda
@johnrutagonya9020
@johnrutagonya9020 2 года назад
If they go back to Rwanda, they will go with these worthy of East Congo....cause East Congo belong to them.
@mulengenews8205
@mulengenews8205 3 года назад
Ikiganiro ciza cane
@mugishadenny22
@mugishadenny22 3 года назад
Tukopamoja kbs hapo nisawa mumesonga mbele tukonyumayenu kilamutu wa congo mashariki asikiye ukweli wamambo nawatambue adui wawo vizuri. Kiswahili ya congo nihiyo 🇨🇩
@Antipasmsabaha123
@Antipasmsabaha123 2 года назад
Hao ndo wa baya wa mchi
@lugambagentil7410
@lugambagentil7410 2 года назад
Uko pastar gani wewe ukose kisema uongo ?mlitoka wapi ?
@jumaisaac9127
@jumaisaac9127 2 года назад
Acha ujinga wewe,ni sheria ya wapi inayoruhusu mwananchi halali kuomba ardhi katika inchi yake?
@pierrerwanfizi2960
@pierrerwanfizi2960 3 года назад
Kushites and hamites are in rwanda ,ethiopia Somali, Burundi, Western uganda,....They taught wrong history about the nomades in Africa
@maximusfrancois5004
@maximusfrancois5004 3 года назад
Seba kweli ww mungu akatupa mtu mwenye maono Makali Sana. Kweli ww utasaidia Sana mungu akuwezeshe.
@chaka11
@chaka11 3 года назад
Utazi iyo ava ntamenya niyo aja abanyamurenge mutarareka ubugambanyi mukorera bene wanyu nta mahoro muzobona.
@nijenahageraaugustin5895
@nijenahageraaugustin5895 2 года назад
uongo mtupu hakuna ukweli unaongea, danganya hao hao wasiyojuwa history ya Kongo
@fidelesibo7506
@fidelesibo7506 3 года назад
Good to change language
@someaafrika.3379
@someaafrika.3379 3 года назад
Mnaumwa wazimu
@amanimanase8799
@amanimanase8799 2 года назад
Sasa nyie mnasema niwacongomani mbona mnjenga nyumba zenu rwanda 🇷🇼 hamjengi 🇨🇩?ulisha wahi kuona mtu anajenga kwajirani anaocha kwao?nyie niwa nyarwanda
@desiremutabazi3319
@desiremutabazi3319 2 года назад
Hhhhhhh wabembe wamejenga wapi Wafurero wamejenga wapi 😂😂😂
@chaka11
@chaka11 3 года назад
Biranshimisha iyo Abanyamurenge rwose bavuga ko atari abatutsi 😀 sha iki cyo kizabagora kabisa mugende mwihinduze uko amasura naho ubundi haha
@nyandikira
@nyandikira 3 года назад
Bashake ubateraho amajigo ... gusa nabonye abenshi ariko basigaye basa nk uyu uneye hano.
@chaka11
@chaka11 3 года назад
@@nyandikira haha
@francoisemurekatete3175
@francoisemurekatete3175 2 года назад
Kuvuga UBUSA WICAYE KU BUNDI!
@semakumijean811
@semakumijean811 3 года назад
Ok
@gamalielgasore7438
@gamalielgasore7438 3 года назад
Shukrani tena hongera kwakufafanua zaidi mambo kamahaya
@lebonnakitumba8625
@lebonnakitumba8625 2 года назад
Iyo uwongo yako itakupeleka kuzimu sema jina ya mfalme wenyu kila Kabila likonamfalme wao semawakwenyu sasa tu mujuwe ?
@abdalaabdala7906
@abdalaabdala7906 2 года назад
Origineyenu nibañyarwanda
@dieudonnematungototo9857
@dieudonnematungototo9857 3 года назад
Uzusha nukourinimunyavyurakabisa
@twagirayezudevid8587
@twagirayezudevid8587 3 года назад
Tunawashukuru nynyiwazarendo wapiganiya haki yetu
@Sam-ro2on
@Sam-ro2on 2 года назад
Kuongeya tu kunaonyesha wewe si mkongo
@immaculeeshaka8710
@immaculeeshaka8710 3 года назад
Wewe ndakwemera
@nsengiyumvasankara3322
@nsengiyumvasankara3322 3 года назад
Ire Ni kweri
@patm8251
@patm8251 3 года назад
Ile ni kweli
@zoeherbalmedecine8396
@zoeherbalmedecine8396 3 года назад
.
@etiennemuhire8572
@etiennemuhire8572 3 года назад
Suis pour avec vous past
@user-sc4vp2dm1c
@user-sc4vp2dm1c 2 месяца назад
Tu es vraiment un faux pasteur !!!
@FrauFischer05
@FrauFischer05 3 года назад
*Mindset y'abanyekongo irihasi muri rusange ariko aba banyamurenge bo bongeraho n'ubugoryi byo kutamenya amateka yabo. Utazi iyava ntamenya iyo ajya. Kwiyita ubwoko mu gihugu kitabemera nabyo muzabizira. Ururimi muvuga ni Ikinyarwanda, nta rurimi rw'ikinyamurenge rubaho mu ndimi isi ifite*
@maheraramadhani3178
@maheraramadhani3178 2 года назад
Kama wewe ni mucongomani kweli, kwa nini munazusha vita ili muipinduwe nchi yenu, inamanisha wewe siyo mucongomani. Mbona kabila zingine hazija wahi kuzusha vita kama ninyi.
@FrauFischer05
@FrauFischer05 2 года назад
@@innocentshukran9676Ese waba uzi impamvu muri source za information mu bushakashatsi harimo kutifashisha Wikipedia?. So be aware of where you search.
@solosalim3963
@solosalim3963 3 года назад
wacia kuita paster, ni mgahidi kabambi, muongo, devil, alakini neno la mungu litamgonga badai!
@estherkabebe4307
@estherkabebe4307 3 года назад
ndugu unasomanga Bible ama?? Nehemia ali pigania kabila lake musi confuse mambo nani aliwambia pastor hafai kutetea watu wake open your eyes ma friend
Далее
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
Wife habit 😂 #shorts
00:16
Просмотров 55 млн
SIRI YA VITA YA URUSI NA UKRAINE KINABII.
11:32
Просмотров 17 тыс.
Tom Swarbrick’s takedown of ‘racist’ rioter | LBC
10:13