Тёмный

CHEGE : DIAMOND PLATNUMZ, KAUMIA , MAGENDO 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 161 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 343   
@cleverphd7158
@cleverphd7158 5 лет назад
Sijawaigi kuikosa Ni my favourite kuanzia episode ya kwanza adi ya 9 bado nipo kazi nzuri 1.Young Killer 2.Giggy Money 3.Country Boy 4.Lulu Diva 5.Dude 6.Master Jay 7.Romy Jones 8.Mkude Simba 9.Chege Chigunda Zote kali nashindwa kuchagua my favourite ni ipi
@pendokihongosi48
@pendokihongosi48 4 года назад
Clever phd umemsahau Joseph kusaga
@bintymwaliwanga565
@bintymwaliwanga565 5 лет назад
Gigy money Country boy Lulu diva Dude Mester Jey Young killer Romy Jon's Mkude Simba Chege
@jamesthadeo3091
@jamesthadeo3091 5 лет назад
Mbon young killer hujamuandik
@bintymwaliwanga565
@bintymwaliwanga565 5 лет назад
@@jamesthadeo3091 kweli?
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
@@jamesthadeo3091 kamuandika
@hamadsaidy8752
@hamadsaidy8752 5 лет назад
Wew noma
@hadijamsham375
@hadijamsham375 5 лет назад
Cyo Change ni Chege
@calvinsanga721
@calvinsanga721 5 лет назад
Gonga like apa kama umeham na jonijooo kutokaa now you know mpkaaa THE BARTENDER
@kamalujafary
@kamalujafary 5 лет назад
Jonijooooo tuko pamoja Sana since upo mwenyewe had sasa wasafi TV
@issaalli4597
@issaalli4597 5 лет назад
Na mimi leo nimewahi daah! Babaako wahuni sio watu wazuri
@karlosorden5571
@karlosorden5571 5 лет назад
Daaah! wahuni sio watu wazuri aiseee chege umetisha Jonijoo The bartender wauwe.
@kwelashabani8214
@kwelashabani8214 5 лет назад
Fire #show
@asmannyangusu5141
@asmannyangusu5141 5 лет назад
my name is asman i am from burundi but i live danemark.. nataka niwone colabo song chege juma nature and mh temba
@leahjoram7693
@leahjoram7693 5 лет назад
Huyu Jamaa namkubali sana Kwanza sauti yake kwa kweli Chenge hunifanya niharibikiwe....nakupenda Chege
@ezekielmanyesela3846
@ezekielmanyesela3846 5 лет назад
Uharibikiwe 😂😂😂
@leahjoram7693
@leahjoram7693 5 лет назад
@@ezekielmanyesela3846 jamani na feel mbaya... Hisia zangu zote zipo kwa sauti yake
@hasamlawatv9790
@hasamlawatv9790 5 лет назад
Nakubali mzee
@karlmarxkisofero1209
@karlmarxkisofero1209 5 лет назад
Tuliotoka kuangalia bongo dar es salam na kuja huku tupo wapi
@janeeliah2111
@janeeliah2111 5 лет назад
karlmarx kisofero umejuaje,mpk nimevheka
@happyngoho449
@happyngoho449 5 лет назад
tupo pamoja
@karlmarxkisofero1209
@karlmarxkisofero1209 5 лет назад
@@janeeliah2111 lazma nijue
@karlmarxkisofero1209
@karlmarxkisofero1209 5 лет назад
@@happyngoho449 yea
@barakajulias618
@barakajulias618 5 лет назад
Pamoja sana
@ramiaomary4277
@ramiaomary4277 5 лет назад
Jonijoo mungu kakupa kipaji kaza brother kwa neema tutafika ukitoka kwa wasanii ,ingia kwa komedy ,# Pierre konk malizia na wana siasa
@munashabani1376
@munashabani1376 5 лет назад
Chege Ana chekesha furaha tuu
@willymashaka648
@willymashaka648 5 лет назад
nakubari sana show yako mzee iko poa toka ulivo anza na young killer mbaka leo chege sijawai kosa yn ila mzee ningeomba juma 4 iyo mlete fidi q mzee tunaomba
@official_kigonela5123
@official_kigonela5123 5 лет назад
jonijoooo iv hiki kipindi ni lini na lini
@frankleo7247
@frankleo7247 5 лет назад
P~funk z best sound enginer never seen n bongo...@anastahir eshima kubwa apa bongo...upo sahih chege
@aminamgaya7511
@aminamgaya7511 5 лет назад
Duhh aise nomaaaaaa sanaaaa
@mayamohamad710
@mayamohamad710 5 лет назад
Nimo mieeee nice work
@maryamammar1488
@maryamammar1488 5 лет назад
Hongera Chege💕💕💕
@mussatendeli6909
@mussatendeli6909 5 лет назад
Kuna sehemu mmetundanganya tu ni kitu mlichokuwa mnakijua kabisaa ila poa tu
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 5 лет назад
Jonijooooo lini utamwita diamond 🔶 jmn
@justincareen8564
@justincareen8564 5 лет назад
rehema shafi hiyo siku inabidi na iwe angarau kwa saa 2 sio nusu saa
@tuly_tulive_tv_online_0140
@tuly_tulive_tv_online_0140 5 лет назад
Eti lini
@fatyqueen346
@fatyqueen346 4 года назад
Amwite boss wake kabisa
@shalubidullah1580
@shalubidullah1580 5 лет назад
kwaiyo chege muda wote huo mziki miaka kumi na uchafu ukashindwa subuscribe laki moja kweli maisha sio fea kabisa.
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 5 лет назад
Shalubi Dullah Kwani miaka ya 2004-2010. Bongo kulikuwa na matumizi makubwa ya youtube? Kama hakukuwa ndio maana ili kuwa ni ngumu kuwa na subscribers!!
@shalubidullah1580
@shalubidullah1580 5 лет назад
hata kam kwaiyo unataka uniambie tokea afungue akaunti ya you tube ajafikisha miaka tano au saba
@yakwako2354
@yakwako2354 5 лет назад
Tatizo ni skendo tu, ukiwa na matukio unaweza kufikisha hata m 1
@alhabibnachoaly3018
@alhabibnachoaly3018 5 лет назад
kufuli nene wauni xio wtu wazuri big 👆 up wasafi jonijoo unatukosha nacho fro🇶🇦🇶🇦🇶🇦qatar
@morinedavis646
@morinedavis646 5 лет назад
waun cio watu babaakoooo
@paschalpius9245
@paschalpius9245 5 лет назад
Thanks wcb
@daudiemmanuel451
@daudiemmanuel451 5 лет назад
Hii show nilikuwa ninaisubilia kwa hamu sana kwa next artist, Baba ako oyooooooooooo. the Bartender
@enocksilungwe2720
@enocksilungwe2720 5 лет назад
Babako
@hamzambasha8577
@hamzambasha8577 5 лет назад
Namkubali Sana hyu jamaa Yuko real 👊👊👊
@jumabakili1994
@jumabakili1994 5 лет назад
Daaaah babaakoo mbona majina ya wagen yako hatuyaoni vzur
@brendafranklin5002
@brendafranklin5002 5 лет назад
Jmn mie nampenda chege anavyochekaga tu
@hemediplatnumz5285
@hemediplatnumz5285 5 лет назад
lucker broo
@adammichael7964
@adammichael7964 5 лет назад
Nakubali hii kipindi sana Babaako unanifanya niwe happy namaswali kwa wasanii,one day napenda nimwone kingi Mondi nawengineo
@athumanimrope3611
@athumanimrope3611 5 лет назад
Na hiyo "no way" wangapi wanaisikia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rahmaramadhan2476
@rahmaramadhan2476 5 лет назад
Yaani mi nampendaga uyu chege jamani Atari toka 99 nilikua adi namuotaga usingizini natamani ata kuonananae sina njia ya kumpata
@thehuntervevothehuntervevo7703
Utamuona tu one day
@ibrahimkanuto3514
@ibrahimkanuto3514 4 года назад
Unataka akupekemyue
@rahmaramadhan2476
@rahmaramadhan2476 4 года назад
Ibrahim ushazoea kupekenyuliwa wewe ndio unaona kila MTU anataka kupekenyua mm nampenda kimziki tu Malaya Wa kiume wewe nasijui kama siongei na shoga apa sio kwa wivu iwo
@abumoyo840
@abumoyo840 5 лет назад
Babaa akoo
@lacheeselady7523
@lacheeselady7523 5 лет назад
Hongereni for dis revolution in de industry lkn bwana hilo goli hapo sio sawa bwana watu nje wanaangalia kweli una switch kushika goli tuendelee ku improve vitu vdogovdogo kama hvyo and we good
@hassanmaganga1544
@hassanmaganga1544 5 лет назад
Nakukubali sana chege
@lifestyletv4338
@lifestyletv4338 5 лет назад
Nakubal jonijo mbunifu unajifanya unaongea huku unafanya fanya usaf au unatafuta kitu iv kumbe idea tu
@ommyp7rajaa415
@ommyp7rajaa415 5 лет назад
Jonijo ee mfundishe marther hiyo kazi kiukweli mna pendeza
@abdallahomary7733
@abdallahomary7733 5 лет назад
Mie namuangaliaga martha tu humu 😂😂😂😂
@enmanuelljohn4288
@enmanuelljohn4288 5 лет назад
Hahahajhahahahaaaaaaa we kiboko
@abdallahomary7733
@abdallahomary7733 5 лет назад
@@enmanuelljohn4288 hamna namna kaka nataka nipange safari ya kwenda kumuona live pale 😂😂
@munashabani1376
@munashabani1376 5 лет назад
Ongera Sana chege kwa tuzo
@sammyimbo8333
@sammyimbo8333 5 лет назад
Chege unajua kweli kujibu maswali
@maryamammar1488
@maryamammar1488 5 лет назад
The Bartender 💥💥💥💙
@lazarogabrielmalinjanga9495
@lazarogabrielmalinjanga9495 5 лет назад
Nakubali Broo #jonijo
@zebdayleonard8599
@zebdayleonard8599 5 лет назад
Ishi nae hyo jon joo bana Kwel wahun sio wat wazr
@awilooisso1345
@awilooisso1345 5 лет назад
Platnumz lini
@gsix1280
@gsix1280 5 лет назад
Jonijoo kisomi bro
@salimkulwa109
@salimkulwa109 5 лет назад
Babaakooo atal ww jonijooo nakukubali cna
@bernardlumori8241
@bernardlumori8241 5 лет назад
Wahuni sowatu wazur
@fatmahassan4387
@fatmahassan4387 5 лет назад
Hata diwani wangu wamtaa smjui 😁😁😁😁😁😁😁
@jacquelinejohn7312
@jacquelinejohn7312 5 лет назад
Wa3 jmn leo
@razakihassani8048
@razakihassani8048 5 лет назад
Wa 7 comment hatari fireee
@MuslimChannelTZ
@MuslimChannelTZ 5 лет назад
Respect my blood chege chigunda
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 5 лет назад
jinsi tulivyo.....
@ommyp7rajaa415
@ommyp7rajaa415 5 лет назад
Nipo p1 na bar tender sanaa
@yusuphdeogratius1036
@yusuphdeogratius1036 5 лет назад
Wahuni siyo watu wazuri nazidi kukuelewa san jonijo show konk
@gsix1280
@gsix1280 5 лет назад
Chege brain smart
@bernardbutahe2613
@bernardbutahe2613 5 лет назад
weka like twende sawa kama unamkubalib chege mtoto wa mama saidi #mwanayumba
@saidahj2543
@saidahj2543 5 лет назад
Wakati wa maswali mastaa yaani hawafahamu nchi yao
@kizazijeuri3562
@kizazijeuri3562 5 лет назад
milion 11
@husseindyamwale7951
@husseindyamwale7951 5 лет назад
Mbayaaa ikonoma
@sarahhamisi2070
@sarahhamisi2070 5 лет назад
chege/ sauti" adim
@masterjkhamiss4007
@masterjkhamiss4007 5 лет назад
Kipind kimetulia sana
@angelitajmbuya9390
@angelitajmbuya9390 5 лет назад
Ila maswali yako broo nomaaa 😘😘😘 ila nakukubali
@mariyammuhammed8745
@mariyammuhammed8745 5 лет назад
Nikiambiwa nichague msanii mmoja namchagua Chege napenda sana sauti yake
@aminarashid6286
@aminarashid6286 5 лет назад
Penda sana chege haring wala nn
@shabanmohammed8235
@shabanmohammed8235 5 лет назад
Woyooiooo nishawahi kaka yenu
@yasinjumanne9209
@yasinjumanne9209 5 лет назад
Nomaaa snaAaaaaaa
@paulmkai2043
@paulmkai2043 5 лет назад
@jonijo unajua kwanini kidole cha pete ni kidole cha nne kutoka kidole gumba..?
@bongohoodtv8387
@bongohoodtv8387 5 лет назад
Nani Apendi Hii TABIA Ya waomba Likes
@tonestisakwe368
@tonestisakwe368 5 лет назад
BongoHood Tv wanakera kinyama cjui wanapelekaga wapi
@joycejohn7754
@joycejohn7754 5 лет назад
BongoHood Tv inakera sana sjui wanazhtaj zanin
@bongohoodtv8387
@bongohoodtv8387 5 лет назад
@@joycejohn7754 hahahha ni shida
@DIweni
@DIweni 5 лет назад
Mimi
@robertdaud9894
@robertdaud9894 5 лет назад
Spendi pia
@snowwhite4670
@snowwhite4670 5 лет назад
Uhakikaaaa
@bravoothegreat3115
@bravoothegreat3115 5 лет назад
aliyegundua chege kaanza kulewa gonga like
@islamsadiki2381
@islamsadiki2381 5 лет назад
bravoo the great
@joesimba
@joesimba 5 лет назад
• country boy (m) • young killer (m) • gigy money (f) • lulu diva (f) • dude (m) • master jay (m) • Romy Jones (m) • mkude simba (m) • CHEGE CHIGUNDA (M) M: 77.8% F: 22.2% ....so far
@emmanuelhsofunnymausylvest6636
Chege ashaanza kulewa,Hiyo si juice itakuwa pombe
@mustafahaji7112
@mustafahaji7112 5 лет назад
Babaakoooooo wahuni sio watu wazuri wakivaaa breti prufu so tunawashuti kichwani chege hatari😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lameckntahondi8073
@lameckntahondi8073 5 лет назад
Wasita Ku comments,,, baba akooo
@deboss5935
@deboss5935 5 лет назад
Chege kweli mswahili... Nmekubali kk sio poa aseee
@onjenikatindasa7315
@onjenikatindasa7315 5 лет назад
#the bar tender....#
@mgayatz1659
@mgayatz1659 5 лет назад
Afu hii tabia ya kujidai mnakunywa juice kumbe pombe
@fadhilishayo1739
@fadhilishayo1739 5 лет назад
New song #kazaliwa frm #Fadhili shayo
@ommybrain9607
@ommybrain9607 5 лет назад
Chege kaumiza mitupiooooooooo sana
@ramatoni7394
@ramatoni7394 5 лет назад
nakubali kazi
@peterlucas8919
@peterlucas8919 5 лет назад
Wakwanza leo jmn naombeni like sijawahi pata hata kumi2!!!
@sahalexcha3036
@sahalexcha3036 5 лет назад
~CHEGE~ _chigunda_ *chalii* ya *KIGOMA* *sanaaaaaaaaaa*
@ratmusa9814
@ratmusa9814 5 лет назад
Nampendag xn uyu kaka
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 лет назад
Chege duh amna kitu eti hawezi kum-promote GB....... Kaona apa sjui kitu acha nikatae kijanja ila show la kibabe
@hassanmangale2323
@hassanmangale2323 5 лет назад
Babaakoo
@salehgoldberg7237
@salehgoldberg7237 5 лет назад
Kiarabu chake kinaitwa Darussalam ambayo maana yake ni bandari salama ... so chegge yuko sahihi unafeli jonijoo
@ibrahimualipazi6197
@ibrahimualipazi6197 5 лет назад
Kiarab cha wapi hko brooo maana ya Darul cyo bandari
@bifuhaseleman995
@bifuhaseleman995 5 лет назад
Baabaakoooo wahuni so watu wazr, show lock
@clintonmkinga3633
@clintonmkinga3633 5 лет назад
Hatali sana
@ahmedali0333
@ahmedali0333 5 лет назад
Babaaaaaaakoooo huwaga hurembiiiii😅😅😅 big up wasafi tv✌
@hassanhussein3160
@hassanhussein3160 5 лет назад
Babaako wahuni cyo wa2wazurii #this ha we do
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 лет назад
Shoo y kibabe cn ila matha unakuwag unafanya kaz au unasikilizaga shoo
@yusuphmussa6589
@yusuphmussa6589 5 лет назад
baba ako
@abuuabuuamed5366
@abuuabuuamed5366 5 лет назад
Baba ako wauni sio watu kabisa
@betinhomersollucas7206
@betinhomersollucas7206 5 лет назад
nakipenda sana kipindi salute kwa joonijo
@swabrinyawale8126
@swabrinyawale8126 5 лет назад
Nani aliegundua kma chege ni yanga. like kma zote
@abuuzitto7507
@abuuzitto7507 5 лет назад
oyoooo leo nimewahi kumi bora nipe like kam nimekuwah
@aminahmachoty8652
@aminahmachoty8652 5 лет назад
Anaye mkubali chege kama mm tujuane kwa like
@reginaphilimon782
@reginaphilimon782 5 лет назад
country boy. young killer gigy money lulu diva dude master j Romy jons mkude simba chege
@thehuntervevothehuntervevo7703
Kwa mara ya kwanza nakitazama napia nimekielew,Tembelea TheHunterVEVO
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 лет назад
Hongereni sana Show tamu kweli,
Далее
Salamu TMK - Mfuko Official Video
4:34
Просмотров 1,2 млн
Churchill Show S05 Episode 10 With Alikiba
12:59
Просмотров 399 тыс.
IDRISS SULTAN : NIMEIBIWA BEGI, MILIONI 8 / HAJI MANARA
33:11