Ziiki Media's latest home production #Wiper is here, sung by Chege Chigunda featuring Roma, produced by Mr. T Touch.
Stream on:
Smart URL: backl.ink/3790...
Tidal: listen.tidal.c...
Google Play: play.google.co...
Amazon Music: music.amazon.c...
iTunes: / wiper-feat-roma-single
Apple Music: music.apple.co...
Spotify: open.spotify.co...
Deezer: www.deezer.com/...
Channel Managed & Marketed by Ziiki Media!!
Subscribe us for unlimited entertainment
/ mziikitube
Let's connect on social media:
Facebook: / mziiki
Twitter: / mziiki
Instagram: / mziiki
Song Lyrics:
Intro:
Here's another one
Wiper x10
Chrous:
Starehe kila kukicha, ayayayayaya
Yani starehe ni kila kukicha, ayayayayaya
Aah eeh, kama wiper
Aah eeh, kama wiper
Aah eeh, kama wiper
Verse 1; Chege
Kwenye beat mi napita kama babylon
Niko chicha mita mia mbele mi sioni
Hizi hisia za ki-Ras toka magetoni
Nimesizi mpaka bebe kali sizioni
Kwani mko wapi si tuko huku tunakula starehe
Vua mpaka shati kwa mizuka kupanda tuchonge kiparty (just like that)
Tukitimba kaa mbali we, kaa mbali eh eh eh
Tukiwaka kaa mbali we, eeh (chicha) eh eh eh eh eh eh
Chrous:
Starehe kila kukicha, ayayayayaya
Yani starehe ni kila kukicha, ayayayayaya
Aah eeh, kama wiper
Aah eeh, kama wiper
Aah eeh, kama wiper
Verse 2: ROMA
Ukishafika umri wa balehe ndio wakati wa starehe
So macho kwenye calendar tunacheki tarehe za mshahara
kisha tuianze sherehe, love kama wavuta sigara sio chuki kama wyre
wanalaana kama hawana wazazi hawa watoto
na leo wamekutana na mvunja nazi kwa ugoko
ukidaka pisi kanyaga, si mafisi hatunaga
akishatupanda ibilisi hatuchagui pa kumwaga
yani aah eeh, kama wiper
ni Roma na baba Jada yani shaaaa kama wiper
madem nawazoom zoom nawalenga kama sniper
wakimwaga sum tu wanajua mi ndo titan
sa ona nishawaka waka na bado mapema nasaka saka
sioni baby naona tu masinema na takataka
na muwe na siku njema nishalewa nyaka nyaka
Chrous:
Starehe kila kukicha, ayayayayaya
Yani starehe ni kila kukicha, ayayayayaya
Aah eeh, kama wiper
Aah eeh, kama wiper
Aah eeh, kama wiper
Wiper eeh, Wiper aah
Kabla hujaniwasha najiwasha kama lighter
Wiper eeh, Wiper aah
Toto kali, ndinga kali tena laki titan
Shawty, come close to me
Shawty, njoo niplease na me
Shawty, shika glass ya wine
Shawty, yani kuku na maini
Chrous:
Starehe kila kukicha, ayayayayaya
Yani starehe ni kila kukicha, ayayayayaya
Aah eeh, kama wiper
Aah eeh, kama wiper
Aah eeh, kama wiper
#Wiper #Chege #Roma #ZiikiMedia
2 сен 2019