Тёмный

CHEMSHA HIVI MAHARAGE YAWE MATAMU KILA WAKATI 

Foodlovers Tz
Подписаться 52 тыс.
Просмотров 969 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 274   
@estreliabarasa5412
@estreliabarasa5412 2 месяца назад
The book of psalms has given me incredible testimonies, reading psalms daily of which most are embedded in my memory has become helpful to declare them. Thank you for explaining this psalms 103 blessings 🙌 🙏
@berniceshiru1245
@berniceshiru1245 Месяц назад
Waoo Lynn God bless you for bringing This woman of God she have incredible teachings. Her reference to the Bible ❤❤
@joniajohn4716
@joniajohn4716 11 месяцев назад
Wow a Ahsante sana Ila next time please subiria yapoe kwamza kisha ndio uweke kwenye plastic containers hasa kama hizi zenye ubora wa kawaida. Inasaidia kuepuka maradhi ya muda mrefu hasa cancer One ❤
@annmwangi9542
@annmwangi9542 11 месяцев назад
Kuna kitu kinafahamika kama video editing, hawezi kuonyesha mpaka ikipoa na ni RU-vid Short
@BimJuma
@BimJuma 9 месяцев назад
U
@MaryKavete-zq2hc
@MaryKavete-zq2hc 3 месяца назад
Hiyo mchachai ni nini??
@ceciliajameson6314
@ceciliajameson6314 2 месяца назад
Lemon grass​@@MaryKavete-zq2hc
@matildamati9222
@matildamati9222 2 месяца назад
😮😮​@@MaryKavete-zq2hc
@tuchiethebest4163
@tuchiethebest4163 Год назад
Nimejipatia ujuzi mpya, asante sana kipenz
@mwanamkulumpimbita8932
@mwanamkulumpimbita8932 11 месяцев назад
Woow pishi jipya Ahsante
@mourineachieng2263
@mourineachieng2263 11 месяцев назад
Wooow thanks dear Next time will try this
@HawaAhmed-yj8wo
@HawaAhmed-yj8wo 6 месяцев назад
Nilijaribu ila sikupenda harufu ya mchaichai kwenye maharage
@JescarKavishe
@JescarKavishe Год назад
Ntajaribu ya kula mwenyewe kabla ya kumpikia kijana wangu 😂😂
@Userog254
@Userog254 11 месяцев назад
Kabla hujampkia mtoto wa mtu
@nasraniko-mr2lv
@nasraniko-mr2lv 11 месяцев назад
😅😅😅😅😅
@BigZhumbe
@BigZhumbe 11 месяцев назад
Mishangazi msamehe vijana wawajengee wazazi kwanza 😂
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 11 месяцев назад
​@@BigZhumbe😂
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 11 месяцев назад
Uone kama yana faa au hayafai Ndio umpikie kijana
@k.brati1738
@k.brati1738 11 месяцев назад
I Love Maharage na wali Wa kuchemsha na parachichi wacha tu
@carlosmzena548
@carlosmzena548 9 месяцев назад
Parachichi 😋
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 3 месяца назад
Asante kwa elimu
@allyhassan7522
@allyhassan7522 2 месяца назад
Kwa neno rahisi ni kwamba unapenda Kujamba
@Healthy_mind0
@Healthy_mind0 21 день назад
Mate yannidondoka.😋
@AshimweAmina
@AshimweAmina 19 дней назад
​@@allyhassan7522😅😅😅😅😅
@ommyjh8225
@ommyjh8225 14 часов назад
Baada ya kuyaweka kwenye container inatakiwa kuwekwa kwenye fridge ama freezer?
@MercyKangethe-fz7zo
@MercyKangethe-fz7zo 4 месяца назад
What is that green little bundle you dropped into the beans. English name please.
@verotutayo3749
@verotutayo3749 4 месяца назад
Lemon grass
@vero57
@vero57 3 месяца назад
Asante dada , hii safi sanaa
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 3 месяца назад
Ninzuri,ila nimesikiliz kwa mtabibu mmoja,mchaichai hautakiwi kuchemshia kwenye chai inaleta matatizo moja wapo Figo,sijui kwa maharage ni vipi,asante
@KIM-xl6zs
@KIM-xl6zs 11 месяцев назад
What is that green thing you put after the onion
@shufaaesala3511
@shufaaesala3511 11 месяцев назад
Lemon grass
@estermwinuka1397
@estermwinuka1397 Год назад
Kwenye sufuria na mkaa sijui itakuaje🙆‍♀️🙆‍♀️
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
Ndio inakua nzr hasa kuliko pressure coker kuliko gesi kuliko hta jiko la umeme test ya chakula hasa unaipata kwenye kupikia kuni au mkaaa
@ZeZengoKUKUFURUSA
@ZeZengoKUKUFURUSA Год назад
Nzuri nimeipenda hizo conterna zinapatikana wapi
@NestorNzohabwanayo-hx3ov
@NestorNzohabwanayo-hx3ov 11 месяцев назад
Asante sana naaamini♥️♥️🍅⛱️🏖️🌺🙏🍞🌹
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 11 месяцев назад
​@@ZeZengoKUKUFURUSAhuendagi sokoni? Mbona vinapatikana kwa wamachinga😢
@Pathro_Cavosia
@Pathro_Cavosia 11 месяцев назад
Marage yatanuka chai 😂
@lilianmnyanyi1854
@lilianmnyanyi1854 11 месяцев назад
Nimejaribu ladha ni ileile amna kilicho badilika😢
@magiehermess9949
@magiehermess9949 11 месяцев назад
Mmm
@Kalssambabo-gv6uh
@Kalssambabo-gv6uh 11 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅 mmh radha siya chai chai
@ASHAKARAMA-lb1tn
@ASHAKARAMA-lb1tn 11 месяцев назад
😅😅😅😅😅
@Kalssambabo-gv6uh
@Kalssambabo-gv6uh 11 месяцев назад
@@ASHAKARAMA-lb1tn 😂😂
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 11 месяцев назад
Hahaha nyieeee kaaa Ndio msemee tusifnue ambao hatujajaribu ila ladha hupatika siku ya kwnza zijazo na kukaa kwa frj hutoka ladha
@NaomiChebet-z8s
@NaomiChebet-z8s 11 месяцев назад
It's looking good food and nice
@pjp5164
@pjp5164 11 месяцев назад
Wow. Ntajaribu hii
@GraceJimmy-c5j
@GraceJimmy-c5j Месяц назад
Kwan ukiweka kitunguu na mchai yanaiva haraka ukitumia sufuria la kawaida ?
@illuminatacornelius
@illuminatacornelius 3 месяца назад
Asante kwa recipe ya kuweka mchaichai.will try tomorrow 😋maharage day.
@COLESTINAALCHARD
@COLESTINAALCHARD 3 месяца назад
Asante sana na mi nitapika pia , pishi ili nimelipenda.
@JosephineDominick
@JosephineDominick Месяц назад
Xhukrani kwa elimu ya Upishi mpya wa maharage,
@lyimoej7198
@lyimoej7198 11 месяцев назад
Hizo kucha🤮, too unhygienic for food programmes. Zikate please ili presentation iwe nzuri.
@bettyauma349
@bettyauma349 11 месяцев назад
Exactly, i don't know who told this generation that artifice nails is beautiful.
@Fgldesigns
@Fgldesigns 11 месяцев назад
​@@bettyauma349They continued to believe lol!
@wilkistermbaria9427
@wilkistermbaria9427 11 месяцев назад
You are so observant 😂😂😂kucha umezionaje wakati akili yote iko kwa maandalizi ya maharagwe,lol😂😂😂😂
@shkorinabowey7958
@shkorinabowey7958 11 месяцев назад
Bulshite!!! she is actually much hygienic than me I am a chefe in Australia she is so clean and her nail is clean too just appreciate the job she showed us !!!
@matts6894
@matts6894 11 месяцев назад
​@@wilkistermbaria9427maharage 😅
@musaliaeugene7975
@musaliaeugene7975 2 месяца назад
Wow
@MaggyAnn-u4m
@MaggyAnn-u4m 11 месяцев назад
What name of this green ingredients
@salimali-dd3if
@salimali-dd3if 11 месяцев назад
Lemon grass
@zainabumwandime6324
@zainabumwandime6324 11 месяцев назад
Where will I get it
@philywanja6210
@philywanja6210 11 месяцев назад
Mchaichai is lemon grass
@Zeinabmea
@Zeinabmea 4 месяца назад
No
@Bornlatty
@Bornlatty 4 месяца назад
​@@Zeinabmea yes it's lemon grass
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 месяцев назад
Mh mazur kama oman wanapendaga kuwekaga kutunguu kizina yanakuwa yananukia
@JacksonRaphael-i7h
@JacksonRaphael-i7h Год назад
Heshima kwako nimeipenda hii
@ummuammar5069
@ummuammar5069 Месяц назад
So kitunguu.na mchai chai ni kwa sababu ya harufu tu haina usaidizi mwengne
@StellaSamweli
@StellaSamweli 3 месяца назад
Kwa tunaopikia mkaa je inafaa
@muniraahmed8208
@muniraahmed8208 11 месяцев назад
Dada naomba kujua hio mchaichai inasaidia harufu tu ama inatoa gas na kitu pia ni hivo?
@vianakibuko5194
@vianakibuko5194 10 месяцев назад
Ikiwa unahitaji kiungo Cha kutoa gas tumia carrot ,dada yetu huku anafanya tangazo la pressure cooker 😂😂
@sallymmbando5608
@sallymmbando5608 5 месяцев назад
Asante kwa kuuiza swali la msingi dear
@musiimentamoreen8
@musiimentamoreen8 11 месяцев назад
So am not alone who passed through this life of being here and there and i have been judging my self all along thinking am bad person wow Lynn thank you so much for letting me know am not bad person it's God's plan to let's pass this situation am strong now i will never judge my self again it happens to other people 😊
@AsiaAlly-u6u
@AsiaAlly-u6u 6 месяцев назад
Asante My dear
@shakirahnantongo2200
@shakirahnantongo2200 11 месяцев назад
Wow ❤❤❤
@Fundi12345
@Fundi12345 11 месяцев назад
Chibngapi hiyo ya ukubwa gan?
@susankabugo1456
@susankabugo1456 11 месяцев назад
What is that green coils name?
@NaimaAbdul-y5l
@NaimaAbdul-y5l 11 месяцев назад
Kisubi😊
@ibrahimelisha6842
@ibrahimelisha6842 10 месяцев назад
Wewwe umeweka tangazo la KUUZA PRESURE COOKER😂😂😂😂😂😂😂 SIO LA KUPIKA MAHARAGE CHANDE
@MS.independent8934
@MS.independent8934 11 месяцев назад
Maharage ya mbeya 🔥🔥😂😂
@ezramasha7478
@ezramasha7478 20 часов назад
hiyo sufuria niya stima ama?
@naominogbia7617
@naominogbia7617 11 месяцев назад
But Amy l’abusa ina nipendezasana Nita pata malagi oyo wapi émue N’Djamena na île m’ayant N’Djamena nininakuwa sa tchayi ni citronnelle ou bien ni kintu kiengine
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 11 месяцев назад
Huyu atakua mburundi tu....kifrench hicho
@jamirahlove8374
@jamirahlove8374 11 месяцев назад
Refrigerator food please African stop jt 2 days jts okay ilove how u cooked with smell grass in ug we call kisubi tea
@matts6894
@matts6894 11 месяцев назад
Chai chai ni nini kwa kimombo?
@wanjikumuriithi2820
@wanjikumuriithi2820 11 месяцев назад
Hivi kuweka kitunguu na mchaichai itapunguza gas kwenye maharagwe?
@jonathanhellen1
@jonathanhellen1 11 месяцев назад
Carrot inapunguza gas. Chemshia halafu itoe yakiiva
@delvaleslie2644
@delvaleslie2644 11 месяцев назад
I cant like share or good comment..i dont know this language bye wish u luck
@moureenatieno7267
@moureenatieno7267 8 месяцев назад
So hakuna kukaanga?
@LutagishaMahindi
@LutagishaMahindi 3 месяца назад
I like you
@ButatiButati
@ButatiButati 9 месяцев назад
Bei gan ila niyaumeme
@Emmymajula5838
@Emmymajula5838 10 месяцев назад
Ambao tuna majiko ya mkaa
@Salafina1
@Salafina1 6 месяцев назад
Hello, hiyo sufuria inapatikana duka gani? Naomba address. Asante
@meddeck
@meddeck Месяц назад
Mchaichai ndio nini in engrich tafazali?
@فاتنهفنو-ث8ج
@فاتنهفنو-ث8ج 3 месяца назад
Pressure cooker unauz kias gn
@Shishinaya1554
@Shishinaya1554 11 месяцев назад
Mchaichai ni nini?
@valenakomba7686
@valenakomba7686 9 месяцев назад
acha uwongo wewe hayo maharage si yatanuka mchaichi tuu. unapika na mizizi ya mchaichai siyo majani
@AmeamaniChumu
@AmeamaniChumu 11 месяцев назад
mupo wapi
@TeacherBeatrice_
@TeacherBeatrice_ Месяц назад
Mchaichai ni lemon grass?
@justoemmanuelmachibya3847
@justoemmanuelmachibya3847 2 месяца назад
Bei
@maryamkhamis2338
@maryamkhamis2338 20 дней назад
Asante 🌹
@bettymwangi4092
@bettymwangi4092 11 месяцев назад
What's chaichai?
@johnsonadamkangabya9279
@johnsonadamkangabya9279 4 месяца назад
Nahitaji moja
@johnsonadamkangabya9279
@johnsonadamkangabya9279 4 месяца назад
Niko mbeya
@johnmamba682
@johnmamba682 11 месяцев назад
Inakuwaje Kama ni jiko la mkaa na sufuria ya kawada? Na baada ya hapo viungo vinavyofuata ni viungo gani???
@BethiGody
@BethiGody 4 месяца назад
Nilishajaribu lakin skuona tofaut yoyte mm yalikua kawaida tu😂😂😂
@CharlesKanani-e7i
@CharlesKanani-e7i 12 дней назад
Asante sana kutufunza
@irenewandimi1012
@irenewandimi1012 4 месяца назад
Mchaichai ni nini .... asking on behave of 95%
@LanzyLadrose
@LanzyLadrose 4 месяца назад
I need Tanzania wife to make me this kind of food ❤😊
@veveveve5517
@veveveve5517 11 месяцев назад
Asante dada
@sophietrina5205
@sophietrina5205 11 месяцев назад
Wat does lemon grass n onion do to those beans
@africanqueen6198
@africanqueen6198 11 месяцев назад
Kuna mtu atajamba sana
@susankabugo1456
@susankabugo1456 11 месяцев назад
Kunyamba😂😂😂😂
@Sozo_inc
@Sozo_inc 11 месяцев назад
Hapa ulitumia maharagwe gani - yellow beans au regular kidney beans?
@RahmaHoussein-p4s
@RahmaHoussein-p4s 3 месяца назад
Niunge
@abdulmauya4874
@abdulmauya4874 2 месяца назад
Mapishi ya kisasa na Biashara ya vifaa..
@MalikiaAbdallah-q9m
@MalikiaAbdallah-q9m 23 дня назад
Tunashukuru kwa kutufaamisha mungu akubaliki
@titostrings3108
@titostrings3108 11 месяцев назад
What is mchaichai😂😂guys
@SamirTajir
@SamirTajir 25 дней назад
Vichaichai ni?
@julieryatim7802
@julieryatim7802 11 месяцев назад
I smell cooked beans up to here. Wow
@JohariPius
@JohariPius 11 месяцев назад
Nahitaji naipataje
@eunicembugua6929
@eunicembugua6929 11 месяцев назад
Thank you what is that about for the chai
@ashishamohammed7562
@ashishamohammed7562 7 месяцев назад
@urasafelisi6847
@urasafelisi6847 11 месяцев назад
Wekeni no za cm tuweze kuwapata
@musiimentamoreen8
@musiimentamoreen8 11 месяцев назад
Apo kwa exam i feel her pain by then it's not easy weee😢😢
@caroltony7107
@caroltony7107 11 месяцев назад
How much pressure cook
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 2 месяца назад
Mashallaah ❤❤❤
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 11 месяцев назад
Hiyo ni lemon grass?! Ama mchai chai ndio gani?!
@blessingjacob7928
@blessingjacob7928 11 месяцев назад
Ndio lemon grass
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 11 месяцев назад
Asante sana,ntaitafuta hiyo
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 11 месяцев назад
​@@blessingjacob7928thank you ❤
@carolmaasondege1372
@carolmaasondege1372 11 месяцев назад
yes😊
@AnnShila-h4b
@AnnShila-h4b 11 месяцев назад
Very good Lakini, mchaichai ni nini?
@ajamipaulinecindyrellah8346
@ajamipaulinecindyrellah8346 4 месяца назад
Viombo Gitonga ama
@RevinaPastoryBirungo
@RevinaPastoryBirungo 11 месяцев назад
Woow I had missed you❤
@JacklineJackson-r4l
@JacklineJackson-r4l 8 месяцев назад
Mjembe ya kutumia
@MozaIsyaka
@MozaIsyaka 11 месяцев назад
Asanteni sana mama
@HidayaMaulidi
@HidayaMaulidi 5 месяцев назад
Shingapi hiyo
@alhamdullilla5108
@alhamdullilla5108 11 месяцев назад
Muchai chai tenaa😢😢😢
@franciskavyega280
@franciskavyega280 2 месяца назад
Ok
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 11 месяцев назад
Haiwi Sumu?!🤫
@MwaleWaGitau
@MwaleWaGitau 11 месяцев назад
Ni maharagwe au maharage 😅
@lyndambulayi2743
@lyndambulayi2743 11 месяцев назад
Please dada ile tshayi inasahidiya nini 🙏????
@gladyswanjiru3083
@gladyswanjiru3083 11 месяцев назад
Mchaichai ndio nini jamani
@FloraMaimu
@FloraMaimu 8 месяцев назад
😢naipate hiyo presha
@ngoshasuzi
@ngoshasuzi 7 месяцев назад
Maharage ya kwenye friji huwa yanarojeka sn siku ya kuyala
@gloriajustine
@gloriajustine 7 месяцев назад
Sijui kwa nn yanakuwa kama uji ad siyataman kuyapika...afu hayawi matamu tena
@ElizabethSalum
@ElizabethSalum Месяц назад
Duu dada noma nakupend❤
@Ilham-v6i
@Ilham-v6i 10 месяцев назад
Mapishi huna
@lucynguru3632
@lucynguru3632 11 месяцев назад
Chai chai ni nini hasa??
@floradaudi1786
@floradaudi1786 10 месяцев назад
Wow! ngoja nimpikie kijana wa mama mkwe😅
Далее
Jinsi ya kupika supu ya ngo’mbe (Beef soup )
9:23
Просмотров 579 тыс.
Airpod Through Glass Trick! 😱 #shorts
00:19
Просмотров 2,3 млн
#kikakim
00:10
Просмотров 14 млн
У КОТЯТ ОТКРЫЛИСЬ ГЛАЗКИ#cat
00:26
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
Просмотров 117 тыс.
MAANDAZI YA BIASHARA MATAMU SANA NA LAINI‼️
8:26
Просмотров 444 тыс.
VISHETI { VIKOKOTO } VITAMU PIKA HIVI KWA URAHISI.
5:13
JINSI YA KUPIKA TAMBI TAMU/MAPISHI MBALIMBALI YA TAMBI
17:50