Тёмный

Chino amjibu Marioo kwa style hii, aweka video hii kwenye page yake 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@HansChuma
@HansChuma 3 часа назад
Marioo dont stress brother you have money then him you have big Tarent then him sasa yann ww piga mzik tuone
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 3 часа назад
Wafrica tuna shida sana tunapenda mtu uliemsaidia akiamua kujitegemea huwa furaha yetu ni asifanikiwe😂
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 3 часа назад
BONGO BHNANA mtu anataka ukitoka kwake uteseke yaaani kama iliiandikwa apitie kwa mario ilitakiwa apite hapo OYA MUNGU ATOKI TANGA chini piga vibunda mzee
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 часа назад
Yani wanatakaga walambwe migu
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 3 часа назад
@@sonnyr1899 live mtu wa hivo me namchukiaga sana ni maana halisi ya roho mbaya
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 3 часа назад
🤣🤣🤣🤣wapo kama maex
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 3 часа назад
@@rosemahenge9071 watu wanaboa asee
@WetchiKhams
@WetchiKhams 3 часа назад
Imaginez kk😂😂
@PeninaAdam
@PeninaAdam 2 часа назад
We jishauwe kama mavoko tutakusahau Sasa hivi
@roybillionea509
@roybillionea509 Час назад
Alisema uchawi noti na yy alijikoki amekua boss sasa😅😅
@IssaMgawe
@IssaMgawe 2 часа назад
Maisha halisi ni rahisi sanaaaa jamani
@ibrahimjustine3771
@ibrahimjustine3771 3 часа назад
Huyu jamaa hela hana ni mbwembwe tuh😂
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 2 часа назад
Nimecheka😂😂
@IssaHaruna_oficial_channel
@IssaHaruna_oficial_channel 4 часа назад
Hii ndo kinachoyiweka tz down
@HammyBrown
@HammyBrown Час назад
Nacheka jinsi hawa watu wanavyoweza kwenda sawa na vichwa vya wa East African na Tz kwaumjula, but is business strategy
@LuluMideko
@LuluMideko 3 часа назад
Jamani kwani hii bifu itaisha lini Daah ilawasani 😢😂🙌
@AgustinoJoseph-jq7or
@AgustinoJoseph-jq7or 3 часа назад
Huwa mtu akikusaidia anataka akupeleke anavyo takaa utafkiria yey ndo mungu
@PeninaAdam
@PeninaAdam 2 часа назад
Muwe mnakumbuka mlikotoka ,marioo amenyamaza kimya ila ww KUTWA palata patala kila sehem ,ata kama marioo angekupiga ngumi enzi zako ni sawa tu mana alikuwa kama mwalimu wako
@BenjaSamson
@BenjaSamson 3 часа назад
Chino katoa wezake kafara anataka amtoe na Mario hayo simaisha Hamo rayvan lukamba sikwamba waliazia maisha kwadai mondi ila watu wanajua dai ndio kawatoa wakihojiwa wanajibu tunashukuru daimondi kwasapoti chino unashindwa hicho
@silverman6930
@silverman6930 4 часа назад
Domo the truth will be revealed
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 4 часа назад
Tuomba iwe ivi chino usijibu chochote
@Jaywiz-q
@Jaywiz-q Час назад
Kaka acha kumuongelea vibaya jamaa yako sasa akuwekee sumu ili afaidike na nini bro acha tabia ya kukunja brother maisha hayaendi ivyo😂
@odaxcontawa
@odaxcontawa 3 часа назад
😂😂hili ndio bifu sasa
@Shadia544
@Shadia544 2 часа назад
Chuki na roho mbayaaa 😳
@BenjaSamson
@BenjaSamson 3 часа назад
Jamani kwanini ukiulizwa kusema tu kama lukamba kwamba na mshukuru tu kwamba Mario
@AlliMohamed-q2y
@AlliMohamed-q2y 2 часа назад
Wewe anastres na wanaman atapitwa huyu marioo😂😂😂
@humbleshoal
@humbleshoal 27 минут назад
Kupitwa kwa kipi! Maksi?
@hubamwachome9769
@hubamwachome9769 3 часа назад
Nawatoe hio nyimbo tshachoka
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 3 часа назад
Mario ulikuwa wapi siku zote unazo dai alikuwekea sumu mbona hukuwai kusema unaona dogo anajipata unaanza umama sasa
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 3 часа назад
Bifu lakutengenezwa na huenda wote wanalielewa hili ila mafans ndio wapo taaban
@DamianCyprian
@DamianCyprian 3 часа назад
Miaka mitatu mziki wako utashuka ..nidham ndo Kila kitu
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 3 часа назад
Hawezi shuka bhna MUNGU hatoki kijijini kwenu bongo mtu anatka akitoka kwake ateseke akiona mtu hateseki visa vinaanza
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 3 часа назад
Kauli zinaonyesha kbs ww ni shahawa za shoga​@@FrankSamson-r6s
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 часа назад
Mungu ni baba yako
Далее
#kikakim
00:17
Просмотров 7 млн
Борщ в стиле высокой кухни!
00:57
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 7 млн
#kikakim
00:17
Просмотров 7 млн