Тёмный

Chino kidd ft Rich Mavoko - Mwakitale (Official Music Video) 

Chino Kidd
Подписаться 104 тыс.
Просмотров 1 млн
50% 1

Chino Kidd Featuring Rich Mavoko Perfomancing - {Mwakitale} Official Music Video . Producer by Spesso, (C) 2024 exclusively licensed Under (Waaman Gang). The Music Video was shot at Dar es salaam, Tanzania Directed by Visior Mufasa
Connect Digital Technician : Michael Charles Chali
/ digital_tanzania
Stream/Download Click here:ffm.to/mwakitale
Connect with Chino Kidd on Social Media :
/ chino_kidd7
/ chinokidd
www.facebook.c...
/ chinogreat
Listen to Chino Kidd on Digital Platform :
BoomPlay: www.boomplay.c...
Audio Mack : audiomack.com/...
MKITO: mkito.com/arti...
iTunes: / chino-kidd
Spotify: spotify.link/w...
Deezer: www.deezer.com...
Subscribes | View | Share on Channel Account : / @chinokidd
+For More Information Booking Chino :
Contact : +255712562397
Email : chinokidd06@gmail.com📩
#Chinokidd #Mwakitale
©2024 Chino Kidd All rights reserved.
Music in this video.
Learn more
Song
Mwakitale
Artist
Chino Kidd
Licensed to RU-vid

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,7 тыс.   
@King-bureslepro
@King-bureslepro 3 месяца назад
Waliokuja hapa kwaajili ya rich mavoko tujuane kwa like
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Rich noma
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Haijapotea
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Anajua sanaa
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Kipaji kikubwa
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Huo ni mwanzo tuu
@eliudmkumbwa5681
@eliudmkumbwa5681 3 месяца назад
Nimecherewa kidogo lakini nina imani ntapata like ata 10 tu kwaajili ya Richard Mavoko❤
@lowasaempapa
@lowasaempapa 3 месяца назад
Badosana❤❤❤❤
@arnesthomodric
@arnesthomodric 3 месяца назад
Welcome back mavoko❤❤
@geofreyalexander4027
@geofreyalexander4027 2 месяца назад
Like za matako yako
@eliudmkumbwa5681
@eliudmkumbwa5681 2 месяца назад
@@geofreyalexander4027 wivu wa Kishoga huo
@petermbogo8661
@petermbogo8661 Месяц назад
😂😂wanaboa hawa wa like af janaume Zima linaomba like ​@@geofreyalexander4027
@JumaYusuph-dv3ot
@JumaYusuph-dv3ot 3 месяца назад
Nakubalii... Nmechelewaa Ila Ndioo msinipee likes kweliiiii... 🤜🤛
@priscusaudifas9936
@priscusaudifas9936 3 месяца назад
kama unaamini Yesu anakupenda tujuane hapa ☺️
@farajaabia7667
@farajaabia7667 3 месяца назад
Wanaosema chino kakalishwaa like apa
@mudywaya328
@mudywaya328 3 месяца назад
😂 du hapomtiani
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Noma samaa
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Beat
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Anajua sanaa
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Mpangilio mzur
@Leroiacjay
@Leroiacjay 3 месяца назад
Rich mavoc APA Ana uwa kabisaaa kama unapenda muonekanatu wake tia like APA 👉
@ShababyJimibwa-j6i
@ShababyJimibwa-j6i 3 месяца назад
LIKE ZA RICHMAVOKO ZIKAE HAPAA❤❤
@ShababyJimibwa-j6i
@ShababyJimibwa-j6i 3 месяца назад
Limeendaa town hii
@ShababyJimibwa-j6i
@ShababyJimibwa-j6i 3 месяца назад
Ngomaa la motobsana
@ShababyJimibwa-j6i
@ShababyJimibwa-j6i 3 месяца назад
Mwakitaleeeee😂😂
@ShababyJimibwa-j6i
@ShababyJimibwa-j6i 3 месяца назад
Mwakitaleeeee❤
@ShababyJimibwa-j6i
@ShababyJimibwa-j6i 3 месяца назад
Uhaaaaaa🎉
@guchiiofficial254
@guchiiofficial254 3 месяца назад
Amapiano si amapiano kama haina chino wana man kaa mwabisha ninyimeni likes😂😂😂
@Teyga_the_Don
@Teyga_the_Don 3 месяца назад
Naomba like kwa Chino ft Rich ata like 100
@mudywaya328
@mudywaya328 3 месяца назад
💯
@NiyonkuruPatrick-po3gy
@NiyonkuruPatrick-po3gy 3 месяца назад
Tayali nimemaliza
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Umepata mzee
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Ngoma ni kali
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Like father like son
@man_mozu
@man_mozu 3 месяца назад
Kama umeAngalia zaìidi ya mala mbili gonga like kwa man mozu tz hiì ngoma ni kaliiiiiii❤❤mwakitare
@salumbaa7378
@salumbaa7378 3 месяца назад
mara mbili, ni maraa raa raa, na inaitwa mwakitale, kitale lee lee ila ngoma kali na ww ujue tofauti ya r na l…
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Wengine tunalala kesho
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Kijana wa simba
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Kijana wa marioo
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Kidlax
@ycmrpondis1537
@ycmrpondis1537 3 месяца назад
Mimi comment yang isiguswe😂😂
@Ontonelyn
@Ontonelyn 3 месяца назад
Sawa inaachwa 😅😢
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Noma sana
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Ngoma itasumbua
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Balaa zitoo
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Napenda sana
@MidofasyTz
@MidofasyTz 3 месяца назад
Chino kidd kama mnamkubari nipeni like zangu
@254yeezy8
@254yeezy8 3 месяца назад
Messi wa Bongo kauwa si mchezo. Wapi likes za Mavoko🎉
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Hatar sanaa
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Mess😅😅
@faithmaina8836
@faithmaina8836 3 месяца назад
Ngoma ikibamba sana hapa Kenya 🇰🇪🇰🇪tunasema Gotha Tena!!🔥🔥 Imekubalika Chino kidd to the worldd
@MosesKyaviro
@MosesKyaviro 3 месяца назад
Wa kwanza toka Congo DRC 🇨🇩 nipeni like zanguu ❤
@TIGERSHROFFTHIAGOSNIPERMUKAHER
@TIGERSHROFFTHIAGOSNIPERMUKAHER 3 месяца назад
Nous sommes là depuis longtemps
@morganmachairi2090
@morganmachairi2090 3 месяца назад
Mnyama kapatana na fundi.wapi likes za rich mavoko
@fullhdyj6615
@fullhdyj6615 3 месяца назад
Rich mavoko amerudi upyaaaa chino kid ngoma KALI sana like hapo kama umepokeea rich mavoko
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Vibe zaidi
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Kali sanaa
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Hakuna wa kumpinga
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Enjoy
@God12365
@God12365 3 месяца назад
I like it
@joshuamwamuye66
@joshuamwamuye66 3 месяца назад
Aisee chino ni mkali apewe like zake nikiwa pande za Kuwait apa wahindi wanatingisha vichwa kma nn na hawaelewi ata
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Good morning
@joshuamwamuye66
@joshuamwamuye66 3 месяца назад
Morning too
@Theanimal35
@Theanimal35 3 месяца назад
Daaaah brother @chino kazi unafanya Yani mungu akulinde sana akuongezee zaid ya hapo
@Theanimal35
@Theanimal35 3 месяца назад
Furaha yangu kumuona brother @bilioneakidd akirudi Kwa Kasi kubwa mungu awalinde sana
@Akili820
@Akili820 3 месяца назад
Ata kama nimechelewa kidogo aina shida kama una mkubali tu chino nipe like zangu hapa 🇨🇩🇨🇩☝️
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
More investment
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Noma sanaaaa
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
True story
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Badman
@Akili820
@Akili820 3 месяца назад
@@Jumaloke okay I love you so much
@RichMavoko-nx8cn
@RichMavoko-nx8cn 3 месяца назад
ila Rich mavoko wana vitu vyake, nipeni like zenu kutoka Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼
@junokizzyoficial
@junokizzyoficial 3 месяца назад
WANAO SEMA GOMA NI VIBE KALIIIIII..GONGA LIKE
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Sio popular
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Ngoma nakata ni sangula
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Mwakitalema
@JunokizzyTz-ph2ck
@JunokizzyTz-ph2ck 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@junokizzyoficial
@junokizzyoficial 3 месяца назад
🎉❤❤❤❤
@thomasmwaipale2621
@thomasmwaipale2621 2 месяца назад
Waliokuja kuangalia kwaajili ya #mwakitalema gonga like apa
@AUGENSYLIVAND-rq7hz
@AUGENSYLIVAND-rq7hz 3 месяца назад
Rich mavoko hutochuja nakubariki katika jina la yesu Amen 🙏🙏🙏🙏
@jebaboy
@jebaboy 3 месяца назад
Rich mavocco kunawashabikizako wanakuombea mpaka wanatoka machozi🙏🙏🎙️back🔥
@arafathswaleh
@arafathswaleh 3 месяца назад
Rich anajua zaidi hata ya Mond, tatizo Jamaa ni kipaji hajafosi
@CindyGrond
@CindyGrond 3 месяца назад
Mnavyo ambiwa richi mavoko ni mess wa mziki tanzania msiwe mnakataa
@vimboy-xb9sn
@vimboy-xb9sn 3 месяца назад
Kama mnamkubari Richi mavoko na chino kdd weka like Mimi apa vim boy nawaomba na mm mskilze Ngoma zangu🎉 nawapenda ❤❤❤
@Maady_is.
@Maady_is. 3 месяца назад
Sijajaa kutafuta like hapa nimekuja kusifia hili goma ni upupuuuuuuu nomaaaaaah ishuuuuuu,🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Noma sanaa
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Weeee hit song hii
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Kaimbe wewe upuuzi
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Kipaji kinaishi
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Kila jambo na muda wake
@lenny_DMA
@lenny_DMA 3 месяца назад
Rich mavoko is back baby🔥😁🚀 Naomba mkachukue nafasi yenu pale juu haraka sana🔥🙌
@lenny_DMA
@lenny_DMA 3 месяца назад
Mark this comment guys📌
@nshimirimanahussein
@nshimirimanahussein 3 месяца назад
Watching from burundi tumeikubali kazi chino wanaman kama unamkubali chino tupiya likes zako apa❤❤❤❤😂
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Noma sana
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Karibu sana
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Bongo mzee
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Noma
@Jumaloke
@Jumaloke 3 месяца назад
Anajua
@AnordSkamboka-o2x
@AnordSkamboka-o2x 3 месяца назад
Jamani sijawai pewa like
@husaynndasha1225
@husaynndasha1225 3 месяца назад
Bonge la dude🫡mwakitale ndio habari ya town🤞🤫
@BricedeDancer
@BricedeDancer 3 месяца назад
Tumelingoja sana aisee🎉 Chupaaa kali kinoma.. af Big up kwa Mwanetu Mavoko...waoneshe ndo umerudi
@KelvinAntony-pj6pu
@KelvinAntony-pj6pu 3 месяца назад
Kama unasema D UWEZO ni noma gonga like hapa au bado hamjamwona
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Anajua sana
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Noma ajipange
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Umri unaruhusu
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Chino mtoto
@Mgangafundi
@Mgangafundi 3 месяца назад
Hakuna matata
@IvanGabby
@IvanGabby 3 месяца назад
Ni fire 🔥 afu Tunashukuru kwa kutuamshia mavoko kwa midia👏👏
@BackstarSabiliZimba
@BackstarSabiliZimba 3 месяца назад
Am a Malawian Tanzanian come and kiss my comment 🎉..we love you here @Chinno-Kid Amapiano 🌟 Tz
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Baraka zote
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Sio baraka the prince
@God12365
@God12365 3 месяца назад
I like it
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Nice
@abdunnasser9580
@abdunnasser9580 3 месяца назад
Audio nikali video nikali sijui nisemeje naomba tu like zangu
@AllyNjoka-f6b
@AllyNjoka-f6b 3 месяца назад
Ally njoka kutoka ifakara Kibaoni tunakupenda Sana chino mwana wa pakaya
@abouskillskefea3413
@abouskillskefea3413 3 месяца назад
Huyu mavoko... Bado inabd wanaompiga pini waongeze yn wakija cku kumsahau basi tena... Mana kwenyewe chino kafichwa vby sanaaaaaaaaaaaa
@godfreynoel7802
@godfreynoel7802 3 месяца назад
Mess like mavoko aaachinooo
@IssaIssa-wc6nm
@IssaIssa-wc6nm 3 месяца назад
Kadri yasiku zinavyozidi kwenda dude linazidi kua tamu Sana 👏👏👐
@LilmmyCrazyfficial
@LilmmyCrazyfficial 3 месяца назад
💚WATU? WA MAANA SANA KBS ❤❤❤❤. MR MY G NA MR BINADAM KWENYE. TRACK MOJA. ALOOOOOH?🎉🎉🎉🎉
@seekertvonline4846
@seekertvonline4846 3 месяца назад
Comment yangu muiache ila alike pekee ambae anaona hili goma linaingia trending maana ni moto 🔥🔥🔥🔥
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Ahahaahhaaaa
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Mitaa yote
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Moto umewaka
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Hakuna kupinga
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Show ya kibabe
@JayBon01
@JayBon01 3 месяца назад
Wakwanza leo nipeni likes zangu
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Nimetia nanga
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Mlevi wa ngada
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Naungana na masela
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Nipelekwe jela
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Kwa sababu nakupenda
@Tasha199
@Tasha199 Месяц назад
Watching from 254 ❤mwakitale is my favourite right now🎉🎉🎉
@BramoMag
@BramoMag 3 месяца назад
Kama una kubari HII ngoma basi gonga like apa❤❤
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Noma
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Sana
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Balaa
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Mzuka
@nelsonsemwali8484
@nelsonsemwali8484 3 месяца назад
Sipangii mtu cha kukoment, lakini ukitoa maoni inakuwa safi zaidi. Ukiomba likes na kusema umekuwa wa kwanza wewe ni ng'ombe zaidi.
@dangerousboy-v9p
@dangerousboy-v9p 3 месяца назад
J'attends votre mention j'aime surtout les fans de Rich Mavoko
@castromendozaofficial2485
@castromendozaofficial2485 3 месяца назад
Riiiiccchhhyyyy!!!!.... underrated!!🚀🔥🔥🔥🔥
@ibrahimakimana
@ibrahimakimana 3 месяца назад
Mwakitale.Rich mavoko karudi tena
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz 3 месяца назад
Ila mavoco 🙌🙌🙌🙌 tulikumis Sana huu music WA bongo kwako ni salama kabisa🔥🔥🔥🔥
@NDAbrunce
@NDAbrunce 3 месяца назад
Wenye 😂😂piano zetu like hapa kwetu
@Chrissiradukunda
@Chrissiradukunda 3 месяца назад
This piano 2024 #mwakitale Big up sanaa my brother chino Wana Man 🇧🇮🇹🇿
@Viyboy-qr3du
@Viyboy-qr3du 3 месяца назад
Me wapili anko❤dog wa kagera nakubl sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Bless
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Shukran kaka
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Raha
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Furaha
@ammedizofficial1742
@ammedizofficial1742 3 месяца назад
Fan number moja wa chino kidd hapa Kenya ni Mimi....huyu chino anajua sana
@kichecheBurund
@kichecheBurund 3 месяца назад
Samahani nimekawiya Ila ndonimesha fika❤❤❤❤liké zangu naitaji
@RashidiBakari-vk9em
@RashidiBakari-vk9em 3 месяца назад
Brother nilikuwa nasubiri hiligoma litatoka lini na kukubali sana bro rich mavoko endelea kuachia vigongo vikali kutoka Kenya Nairobi
@reubendizsquaxh
@reubendizsquaxh 3 месяца назад
Video kali sanaa uwezo unaiieleza
@kassimamir219
@kassimamir219 2 месяца назад
Rich bado tunakujitaji Rudi mzee flavour hakuna kabisa sikuizi!!
@SitaniRongo
@SitaniRongo 3 месяца назад
Mbona mapema video 🎉🎉🎉
@legawayz6093
@legawayz6093 3 месяца назад
beat kari 🔥 wasanii wakali🔥 Director video🔥🔥 HIT SONG NEW VIBE 👏👏👏🎶😊🎧
@kalziidazamba2862
@kalziidazamba2862 3 месяца назад
Wapi likes zangu kutoka mozambique 🇲🇿 hakika hii ngoma imefika sehemu salama
@richardjackson1773
@richardjackson1773 3 месяца назад
Like za Messi wa bongo fravour hapa 🎉
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Enjoy
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Mziki mzuri
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Napenda sana
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Game limechangamka
@Trendingsong-tk6jp
@Trendingsong-tk6jp 3 месяца назад
Mwakitalema
@joshuamwamuye66
@joshuamwamuye66 3 месяца назад
Aisee chino ni mkali apewe like zake nikiwa pande za Kuwait apa wahindi wanatingisha vichwa kma nn na hawaelewi ata
@raynaahkidOg
@raynaahkidOg 3 месяца назад
From 🇳🇪🇳🇪🇳🇪 naitaji like hapa
@Mrspoilerg530
@Mrspoilerg530 3 месяца назад
Mwakitalema🎉🎉Likes kwa chino kidd👍
@mussamgande2530
@mussamgande2530 3 месяца назад
Oya hatari na nusu hiligoma rich mavoko ulikua wapi mzee MWAKITALE 😂😂😂 noma sana 💪💪
@FananiGrosper
@FananiGrosper 3 месяца назад
Aweeeee
@basekadavid2143
@basekadavid2143 3 месяца назад
Rich Mwamba kaenda wap mzee wangu🇧🇮💪💪
@NibarutaOdira-gj4kl
@NibarutaOdira-gj4kl 3 месяца назад
NIC from Burundi 🇧🇮🔥🔥🔥🔥 Bujumbura 🇧🇮🔥
@thevibeinternational5289
@thevibeinternational5289 3 месяца назад
Banger, Banger Tenaa, She my painkiller🎉🎉🎉 @Chino kidd ft @Rich Mavoko🎉🎉🎉
@MichaelMaguha
@MichaelMaguha 3 месяца назад
Mi ni lichi2❤
@clezbyoscar2045
@clezbyoscar2045 3 месяца назад
From Lusaka Zambia 🇿🇲🇿🇲 nipeni like zangu japo kuchelewa kiasi hiki😂😂
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 3 месяца назад
Ukiomba like wewe ni mwanamke mwanaume like za nini
@kingkagoprediction3248
@kingkagoprediction3248 3 месяца назад
Nimetia nangaaaaaa mleviii wa ngadaaaa afu wahutumiii mpira heshimaa pain killer🔥💯🔥
@kuzenzamusic4729
@kuzenzamusic4729 3 месяца назад
Jamaniiiiiiii Asi LIKE Mtu hapA nimeaidiwa Million 2 Please msi LIKE
@benjaminemanueli1650
@benjaminemanueli1650 3 месяца назад
Ligoma likali hatar sanaaaa , linatembea kwa jina la mwakitalema nouma sana big up kwa rich na chino wote mnaweza sanaaaa , wanaosema wanaweza gonga like kwangu hapo kwenye comment yangu.
@Ostica..Omie..junior
@Ostica..Omie..junior 3 месяца назад
Bonge ya ngoma..salute💞💕🤞
@ankochoka
@ankochoka 3 месяца назад
KAZI NZURI ANKO ZANGU 🔥🔥🔥🔥
@neaboy4032
@neaboy4032 3 месяца назад
Naomba like 100 kwa mavoko
@Viyboy-qr3du
@Viyboy-qr3du 3 месяца назад
Anko niko online angalia views wanavo ongezeka Kama maji video nailudia mala 10 ❤❤❤❤❤
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Trone😊
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Achino kidd
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Baluza baluza
@athumanimwalembe7210
@athumanimwalembe7210 3 месяца назад
Top 3 yangu ya wasanii wa bongo flavor wanaojua kuimba mavoko yumo 🔥🔥
@Officials-kay_tz
@Officials-kay_tz 3 месяца назад
Jamani chino anaweza kwenye piano ebu tia like hapa
@swedystar7970
@swedystar7970 3 месяца назад
Nakubali mziki wa chino
@WisdomJohn-hz6pq
@WisdomJohn-hz6pq 3 месяца назад
Ngoma ya kwendaaaa,mmetisha swaaana mazeee
@kennytv9077
@kennytv9077 3 месяца назад
Chino fans tujuane kwenye likes❤❤
@GeorgePiter-d5k
@GeorgePiter-d5k Месяц назад
Mavoko ni🔥🔥🔥
@SmartVicenzo
@SmartVicenzo 3 месяца назад
Kip it up Apo Kwa rich uwaga uwezo upo kweli
@AneyKalembo-b7c
@AneyKalembo-b7c 21 день назад
Ngoma hatariii penda sana rich mavoko😍😍😍😍
@Echo254_
@Echo254_ 3 месяца назад
Hakuna kupoa my brother 🔥🔥💯💯
@JumaNgalla-uy1cv
@JumaNgalla-uy1cv 3 месяца назад
Kaka echo waz for the love big up
@stevenmtalo4829
@stevenmtalo4829 Месяц назад
Viva Tanzania 🇹🇿🔥🥰 viva platnumz now we going to the globa 🦁 Simba the 1 and only
@Wizard910
@Wizard910 3 месяца назад
Nani kamuona Dee uwezo,leta comment Kama umemuona ❤❤
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Keep watching
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Good music
@God12365
@God12365 3 месяца назад
Inspiration
@MathayoJaphet
@MathayoJaphet 2 месяца назад
Rich bado yumo ni chuki tu za wanadamu big up sana
@bigparrevevo4062
@bigparrevevo4062 Месяц назад
Ukweli yeye ndio bongflavor
@vancoM1
@vancoM1 3 месяца назад
Umwaisa mwingi
@carlosn_tz
@carlosn_tz 3 месяца назад
Chino kaua sana maneno machachee lakini 🔥🔥🔥🔥🔥 hata Mavoko kaua vilevile
@evancejacob8507
@evancejacob8507 3 месяца назад
bonge la Dude rich kidd kaua mno humu ndani
@Mwanatanga
@Mwanatanga 3 месяца назад
Namuona Dee uwezoo dogo letu
@anastaziafrancis4078
@anastaziafrancis4078 3 месяца назад
Hili bomu ssa🔥🔥
@thomasodover923
@thomasodover923 3 месяца назад
Hatari mtoto wa mama Richard
@SalumMnyupe
@SalumMnyupe 3 месяца назад
Mzee wa chaka kwa chaka kambambia chino ((legend versus new hot upcoming))