Тёмный

Chris Model - Sio Sawa ( Official Video ) 

Hance Richard
Подписаться 393
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@zomasamweli
@zomasamweli Год назад
Huu wimbo ni wa T.nock mellody ameurecod mwaka 2015 baada ya hapo mimi nikafanya nae collabo wimbo wangu unaitwa i miss you sasa nilishangaa sana kuona huyo chris madel ametolea video inapigwa east Africa tv
@daylightmushi2552
@daylightmushi2552 2 года назад
Jamni T.nock anaimba sana, namuombea kwa Mungu nyota yake ing'ae nayeye aonekane, aiwezekani msanii mkubwa ivi asiskike.
@sayatvsandiego6485
@sayatvsandiego6485 8 лет назад
Chris anaweza tena sana ,wapambe tuu naviroo vinauma, this song is original and classic
@sifatiiman
@sifatiiman 3 года назад
Wewe chirs model mbona wimbo wako wa pole moyo siupat naupenda sana jaman unapatikana wap huo wimbo
@ProdEizer
@ProdEizer 8 лет назад
Dogo huu wimbo kanda ya ziwa ni maarufu sana. Acha kubeba aibu aibu kwa kutumia kazi za watu. Kama wewe ni mwanaume imba live kwenye interview zako watu wakusikie sauti yako... Hujui kuimba nikiwahi kukusikia siku moja. Ngoja tusubiri wimbo ujao tusikie madudu. Sikiliza hata jingle ya beat hapo inasema over the classic music iko mwanza. Huyo producer uliemuandika hawez fanya kazi kali hii.
@blandinalawrence4597
@blandinalawrence4597 8 лет назад
Kazi nzuri mwenyewivu ajinyonge hongera chris model.
@bonetz8701
@bonetz8701 2 года назад
Ukajifanya kunizulumu Ila atakulipa mungu
@Lova_artist
@Lova_artist 3 года назад
Saf sana kaka
@mabalanjamba8968
@mabalanjamba8968 5 лет назад
Hongera dogo watu umewazid ndo wanakuonea wivu
@gorgonusshayo920
@gorgonusshayo920 3 года назад
Nmeipenda sana . 2021
@enoshgabriel8308
@enoshgabriel8308 8 лет назад
dogo anajiua bure nilimuona kwny hawavumk leo amekua T-Nock melody
@samdavid7540
@samdavid7540 8 лет назад
Nice bro keep going
@sadotijohnnyz6974
@sadotijohnnyz6974 8 лет назад
yan huyu msenge amechkua wimbo jinc ulivyo akapachika kwny video kwel huu n wizi wa kiwango cha lami khaaaa....nyimbo ya Tknock
@Darupdates
@Darupdates 8 лет назад
mziki mzuri
@kulusumusomba4780
@kulusumusomba4780 6 лет назад
Hatibu Jumbe jaman muachen atambe nawimbo wake uko vzr sn
@mbagumusic8690
@mbagumusic8690 5 лет назад
Jamani mziki mgumu msimseme sana
@hyacintakundy562
@hyacintakundy562 6 лет назад
Wimbo mzuri I don't care ni wako or not
@geofreyernest3437
@geofreyernest3437 8 лет назад
Pole DOGO HIYO KIKI YA MWENZIO TUNGA ZAKO
@Limbakale260
@Limbakale260 4 года назад
Mwenye hii nyimbo ni huyu dogo, aliwahi kuhojiwa na anamiliki studio pia ni producer siyo ya tknock
@gavanajoel5126
@gavanajoel5126 3 года назад
Awez andika wimbo Kama huo t nock
@rosemutisya2073
@rosemutisya2073 6 лет назад
Kali sana
@jimmieivan9780
@jimmieivan9780 6 лет назад
Wimbo umetulia chaliii angu
@irinepoul6228
@irinepoul6228 5 лет назад
wimbo mzur saut nzuri big up
@allymdoe8820
@allymdoe8820 6 лет назад
Gud song fundi
@eizerbitz6715
@eizerbitz6715 8 лет назад
dogo we fanya promo ila tengeneza njia ya mtu kutoka, utajiona mavi very soon... tutawaaimbisha live wote
@kukyeehdady4000
@kukyeehdady4000 4 года назад
Duuuuuuh jaman
@barakaweavernyajiego4421
@barakaweavernyajiego4421 8 лет назад
umezingwa dogo, andika wimbo wako,acha kukopy
@rockgenic3901
@rockgenic3901 8 лет назад
nyepis za muda huu inasemekana huyu dogo ni wamabatini mwanza na hiyo nyimbo t-nock mwenyewe ndo kaiuza dats y aongei chochote kuhusu hii nyimbo
@Limbakale260
@Limbakale260 4 года назад
Yaa
@sayatvsandiego6485
@sayatvsandiego6485 8 лет назад
this r songs that we need
@katurevo9943
@katurevo9943 8 лет назад
audio Tnock melody huyoo uyuu anaigizaa hapa au anaimbaa chris modal create ur own path acha kudandiaa
@clementmaingu8873
@clementmaingu8873 8 лет назад
Huyu ni t nock melody kabadili jina au ni mtu mwingine...
@zombiiUpdates
@zombiiUpdates Год назад
kura chuma ichoo
@jimmiejr11
@jimmiejr11 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣 Tumekutana hapa
@venusmalima3457
@venusmalima3457 6 лет назад
Tnock melody this is you're Song
@barakaweavernyajiego4421
@barakaweavernyajiego4421 8 лет назад
FollowT NOCK MELODY-_SAWA_(Prod Daydream_Over The Classic Music)ByFrankTzauploaded 1 year ago128 kbps359500837
@sayatvsandiego6485
@sayatvsandiego6485 8 лет назад
best
@godfreyprotaz1362
@godfreyprotaz1362 6 лет назад
Funding
@justinalawrence8761
@justinalawrence8761 8 лет назад
nyie mnaosema audio ni ya tknock MBNA watu wanadownload audio kwa Chris's model msikurupuke huyo tknock wenu ameuza nyimbo
@rockgenic3901
@rockgenic3901 8 лет назад
oya wimbo wa tnock umefanyika over the classic studio ipo nyakato mecco producer by day dream kama mtu anabisha ingia youtube search t-nock then sikiliza nyimbo alizofanya kisha compare na hiyo nyimbo ndo utajua ukweli na ndo kawafundisha akina barah dah prince na moe music kuimba sema ndo vile nyota yake bado ila dogo achana na huo wimbo sio wako we ni mwinzi na studio ndo young killer ngoma zake za kwanza kafanyia over the classic na producer dee clasic
@AlinanusweKasyele
@AlinanusweKasyele 8 лет назад
Mtu smart anaweka link ya hiyo nyimbo kama evidence! saying alone sio ishu...so kilichoibwa hapo ni Lyrics, Melody or Beat? be specific ueleweke! then hiyo nyimbo ilirekodiwa lini? is it copyrighted?.......sidhani kama ni sahihi kumchafua mtu ili kutafuta kick, that's not fair at all.
@ProdEizer
@ProdEizer 8 лет назад
+Alinanuswe Maclean me mmoja wa producers nilieshiriki kufanya audio hii. Pia h baba ni shahidi.. Ingia Google andika sawa by t knock utaona audio ilitoka lini..
@mwanukuzide_receiver
@mwanukuzide_receiver 8 лет назад
www.hulkshare.com/bundak/t-nock-sawa
@eizerbitz6715
@eizerbitz6715 8 лет назад
ACHA WIZI DOGO, UMEFANYA VIDEO WIMBO SIO WAKO. UKIBISHA TUNAKUFATILIA, WIMBO TUMEFANYA KWENYE STUDIO YETU MWANZA. MWENYE WIMBO ANAITWA T KNOCK.. USIWADANGANYE WATANZANIA KAMA WIMBO NI WAKO
@AlinanusweKasyele
@AlinanusweKasyele 8 лет назад
hiyo studio yenu inaitwaje? na huo wimbo mliufanya lini?
@deidrim86
@deidrim86 8 лет назад
Eizer huyu dogo cjui anakunywa nn huyu... Maana hata vichaa hawafanyi hivi...
@deidrim86
@deidrim86 8 лет назад
Eizer huyu dogo cjui anakunywa nn huyu... Maana hata vichaa hawafanyi hivi...
@AlinanusweKasyele
@AlinanusweKasyele 8 лет назад
Mtu smart anaweka link ya hiyo nyimbo kama evidence! saying alone sio ishu...so kilichoibwa hapo ni Lyrics, Melody or Beat? be specific, ueleweke! then hiyo nyimbo ilirekodiwa lini? is it copyrighted?.......sidhani kama ni sahihi kumchafua mtu ili kutafuta kick, that's not fair at all.
@eizerbitz6715
@eizerbitz6715 8 лет назад
www.johventuretz.com/2015/03/new-audio-t-nock-melody-sawa.html
@jimmieivan9780
@jimmieivan9780 6 лет назад
Sorry Napenda sana kushare link ktk magroup mbalimablikusambaza Napenda sana Chipukizi Wafike mbali Basi usisite Cheki Kwenye Contact 0744595475 Wasap Usisite Twende P1
@barakaweavernyajiego4421
@barakaweavernyajiego4421 8 лет назад
FollowT NOCK MELODY-_SAWA_(Prod Daydream_Over The Classic Music)ByFrankTzauploaded 1 year ago128 kbps359500837
Далее
Amini ,Magic,Ndelah  - Machale (Official Music Video)
3:44
3 лайфхака для УШМ
01:00
Просмотров 234 тыс.
Гаджет из даркнета 📦
00:45
Просмотров 174 тыс.
Dar es salaam - Momba
4:03
Просмотров 211 тыс.
b2k_-_Sio Sawa (official Audio)
3:00
Просмотров 44 тыс.
Future Jnl  -  KUBALI (Official Video HD)
3:51
Просмотров 107 тыс.
SAM WA UKWELI - KISIKI (Official Video)
3:52
Просмотров 3,8 млн
Neyba -  UJE (Official Music Video)
3:32
Просмотров 8 млн
Ben Pol - SAMBOIRA (Official Music Video)
5:04
Просмотров 1 млн
Zamzy Ft B2K -_- Wale wale [Official Video]
3:15
Просмотров 50 тыс.