Тёмный

Chris Mwahangila - Haki Yako Gospel Song 

CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Подписаться 561 тыс.
Просмотров 1,1 млн
50% 1

Chris Mwahangila presents his latest gospel song "Haki Yako".
Kwa Mawasiliano
+255 716620000
+255 756068844
GMAIL:chrismwahangila@gmail.com

Видеоклипы

Опубликовано:

 

16 янв 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 269   
@littlekono3176
@littlekono3176 4 месяца назад
I am a Ugandan from the Eastern Region from a tribe called Sabiny and More so I am Kalenjin and proud to be one. 🇺🇬🇺🇬 In the name of God, this guy is a genius why to say that is that I myself I have Muslim friends but in particular some of them feel blessed while listening to Christopher Mwangilar's songs, I pray that may our good Lord always inspire him to give us more beautiful songs like this🙏🙏
@masekete
@masekete 4 года назад
Hallelujah... Nani ako huku 2019…???weka like
@marylazaro7880
@marylazaro7880 4 года назад
Ameen barikiwa sana nimebarikiwa Sana
@kasukusumbu519
@kasukusumbu519 2 месяца назад
Mungu akisema anasema Hana mpinzani mille ubarikiwe sana Christophe mtumishi wa mungu
@jonhstefano848
@jonhstefano848 Год назад
Haki yangu iko kwa mungu hata Kama ikichelewa si Kati tamaa
@joshuakimwogo3045
@joshuakimwogo3045 Год назад
Mungu Anatosha ubalikiwe kwa Mungu kukutumia kupitia kwa Wimbo huu kueneza neno lake
@moureenchelule9418
@moureenchelule9418 2 года назад
this song is soo full on Gods message. Touches me to the core of my bones and Soul.. Teaches us to wait on the Lord even it seems impossible. Thank you Lord.
@DianahTaabu-tb4bo
@DianahTaabu-tb4bo 8 месяцев назад
Haki yangu ata ikikawia ipo siku nitaipata tu❤
@georgettemariamu4141
@georgettemariamu4141 3 года назад
Amen ubariki sana
@jacquelinemushi8145
@jacquelinemushi8145 5 лет назад
Kutakucha tu.Hakuna jaribu lisilo ma mwisho.Watu.Hawawezi kukuchafua daima mbele watakusafisha. Mungu ni mwema
@anamerykatto1897
@anamerykatto1897 4 года назад
Jacqueline Mushi amina
@annashirima2870
@annashirima2870 4 года назад
Hakika
@NyirandungutseAnneMarie
@NyirandungutseAnneMarie Месяц назад
Unajua kuimba vizuri msanii. Mungu aendelee kukutetea.
@gettymulama8642
@gettymulama8642 4 месяца назад
Wimbo huu ni mkuu sana hunibariki sana
@BukusuVibez
@BukusuVibez 3 года назад
Always in love with your Inspirational tunes
@fulahasilwimba3071
@fulahasilwimba3071 2 года назад
Hongera
@charleskyanga8611
@charleskyanga8611 3 года назад
My favorite EA gospel artist. All his music makes spiritual sense. Thanks brethren.
@luluwillams6307
@luluwillams6307 4 года назад
Huu wimbo nimkate wangu wakila siku
@injiliyasikuzamwisho3749
@injiliyasikuzamwisho3749 3 года назад
Baba piga kaziiiiiii Hata km itachelewaaaaaaaaaa utapata tuuuuu
@injiliyasikuzamwisho3749
@injiliyasikuzamwisho3749 3 года назад
Baba piga kaziiiiiii Hata km itachelewaaaaaaaaaa utapata tuuuuu
@injiliyasikuzamwisho3749
@injiliyasikuzamwisho3749 3 года назад
Kabisaaaa
@selestkilinda6395
@selestkilinda6395 2 месяца назад
Nyimbo safi sana na maombi. ❤
@christinaonyango6085
@christinaonyango6085 5 лет назад
Sichoki kusikiliza huu wimbo,umebarikiwa sana ,Mungu anakutumia sana kupitia manabii wake has a nabii Elia,endelea kusikia sauti ya Mungu usirudi nyuma mtumishi wa Mungu.
@christinaonyango6085
@christinaonyango6085 5 лет назад
@@christophermwahangilaofficial Amen mtumishi
@sitarikogabo637
@sitarikogabo637 5 лет назад
balikiwa sana wimbo mzuri sana nimeupenda
@bellyjoseph1442
@bellyjoseph1442 9 месяцев назад
Ce pour la premiere foi que je retrouvé ce super chançon, merci pour ce parole, mon Dieu te protecte
@cynthiashisiali
@cynthiashisiali Год назад
Thank. you God give New Bible nice songs
@mellenondieki6329
@mellenondieki6329 6 лет назад
Ashante,sana, Christopher, for the song, Haki yako hiko kwa mungu,this song,l really l appreciate, and l see sometimes is on my side, because l was selling omena,the small fish,on one of the market Kenya, people were laughing at me but this song reflected to my life,l really waited until l got my Haki yangu,from heavenly God now lam ln USA, as one of the Nurses,l bless God,to put me where lam today God is good then my enemies were ashamed for me being in America,through God,s miracles. Thanks mwangila Christopher, Nice song,be blessed with your family.
@titomkenya6789
@titomkenya6789 2 года назад
mtaratibu kwa ujumbe, hakika mungu anakutumia vyema
@rizikiconstellarbarawa296
@rizikiconstellarbarawa296 6 лет назад
nabarikiwa nikiwa Msa, May God award u a long life, uendelee kumtumikia
@barakamarmo8104
@barakamarmo8104 6 лет назад
Nice song! Umenitia nguvu za kusubiri baraka zangu kutoka kwa mungu! Ubarikiwe mtumishi wa mungu!
@obadiahbutabana7127
@obadiahbutabana7127 2 года назад
Mungu ambariki huyu muimbaji.
@annajackson8538
@annajackson8538 4 года назад
Napenda sana nyimbo zako kaka zinaujumbe mzuri na zinatia nguvu yaani uanjisikia kuinuka tena Mungu akubariki
@samgabriel6947
@samgabriel6947 4 года назад
Hujawah kiniangusha barikiwa sana
@gracekangendo3075
@gracekangendo3075 4 года назад
uzima wako uko bado kwa mungu
@rehemakaberege8119
@rehemakaberege8119 2 года назад
Hongera kwa nyimbo nzuri
@milcajkamanda8118
@milcajkamanda8118 Год назад
Mungu umenipigania vitu vikari n bado Niko kwa ajili Yako na mipango yako.nashukuru kwa Kila jambo na bado nasuburia makuu zaidi kutoka kwako.umenivusha na mengi Mungu.miaka yote naomba uendelee kunilinda na kunifungulia milango
@doanengineeringservices3545
@doanengineeringservices3545 3 года назад
2021. Haleluia! Nimebarikiwa na nyimbo zako sana
@user-cy1uz3vz6h
@user-cy1uz3vz6h 8 месяцев назад
Nyimbo zako zanipa Moyo Kwa hii safari Ya Maisha
@hakizandabatiza3068
@hakizandabatiza3068 5 лет назад
Na penda nyimbo iyi
@wilkisteregesa9013
@wilkisteregesa9013 6 лет назад
Amen haki yangu kwa mungu notaipata bora nifae silaha na mtandao aliotuwachia nami nitapokea kwa imani mtumishi mungu asidi kuinua huduma ndani yako 👏👏
@fillbetermagnusy7013
@fillbetermagnusy7013 6 лет назад
Mungu azidi kukuinua nyimbo zako ni baraka kwangu
@geophnzalika5118
@geophnzalika5118 3 года назад
Ameeen nimeamini usemalo
@heriethjuma6932
@heriethjuma6932 4 года назад
Amina mtumishi kwa ujumbe mzuri
@tracyasimwe6899
@tracyasimwe6899 Год назад
Yes petient from God is the best God bless you more
@hakizandabatiza3068
@hakizandabatiza3068 5 лет назад
Mungu aku bariki
@cominathamchomvu7520
@cominathamchomvu7520 4 года назад
Hata kama uck uwe mrefu najua kutakucha maana Mungu wangu yu nami ameeen
@hiwettesfai4970
@hiwettesfai4970 4 года назад
I don't understand what the message is but I like your song. I know it's spritual song. I worship God with you. Well God bless you Brother. Africa song is the best.
@amossimonkapama.6780
@amossimonkapama.6780 5 лет назад
Good Mwahangila nabarikiwa sana na wimbo huu Haki.
@rachellusamba8636
@rachellusamba8636 2 года назад
Staria tena baba wagu notre Dieu et vivant
@merryjonasani3452
@merryjonasani3452 6 лет назад
Haki yangu iko pale pale hata kama itachelewa nitaipata tu amen
@elizabathh6270
@elizabathh6270 3 года назад
@@christophermwahangilaofficial mungu akubariki sana,akuongezee nguvu na imani katika utukufu wake
@danielwanjala5943
@danielwanjala5943 5 лет назад
wimbo mzuri sana kakangu. umenijenga sana kiroho na kurudisha tumaini la maisha yangu
@barakamarmo8104
@barakamarmo8104 6 лет назад
Hata kama usiku utakuwa mrefu sana lazima asubuhi itafika! Nice song, hakuna jaribu lisilo na mlango wa kutokea!
@eliesaumbi1702
@eliesaumbi1702 4 года назад
Ni kweli
@zawadibukasa6243
@zawadibukasa6243 4 года назад
Kila nikiskiliza wimbo huu uwa nabarikiwa sana asante baba kwa wimbo MUNGU akuzidishiye Baraka baba🙏🙏
@tharcissekayumba3406
@tharcissekayumba3406 5 лет назад
Si longue soit la nuit, le soleil finira par apparaître , "mungu asifiwe sana"
@lilyrose4066
@lilyrose4066 4 года назад
Ubarikiwe sana bro Mungu baba yangu wa mbinguni aendelee kukutumia kwa viwango vya juu zaidi.
@elizabathh6270
@elizabathh6270 4 года назад
Ameeeen
@zakaliazefania1391
@zakaliazefania1391 5 лет назад
Umebarikiwa Christopher, usigeuke nyumaaaaa, kamweeeeeeeee.
@shadrackmasanja3314
@shadrackmasanja3314 3 года назад
Hata wakitu chafua Leo mbele watatu safishwa Hakiyangu iko pale pale napenda kuimba sikumoja nifikie kama wewe kaak ubarikiwe
@masigomhoja5182
@masigomhoja5182 5 лет назад
Kama unasikia wimbo unaimbwa kiswahili lakini kuna watu wanacomment kingereza gonga like twende sawa
@joachimjohnson7105
@joachimjohnson7105 4 года назад
NI KWA NEEMA TU
@lilyrose4066
@lilyrose4066 4 года назад
Ni utukufu tu.
@lenahoduor1599
@lenahoduor1599 4 года назад
Oh God locate my mother's siz
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 года назад
Si hiari ya mtu kutumia Lugha yeyote,Hata french sawa tu mie niko huku Canada kifaransa ndo Lugha kuu
@elizabathh6270
@elizabathh6270 3 года назад
@@joachimjohnson7105 ameeen
@martha7941
@martha7941 Год назад
Nimebarikiwa
@wilsonasunga2966
@wilsonasunga2966 4 месяца назад
Full sms,,, from JESUS
@dominikamwajombe5759
@dominikamwajombe5759 5 лет назад
Amina mtumishi ubarikiwe
@restitutamkachibogamelchia4895
@restitutamkachibogamelchia4895 4 года назад
unakonga moyo kaka barikiwa
@winniemwatsuma7167
@winniemwatsuma7167 5 лет назад
Amen Amen mtumishi wa Mungu barikiwa sana from kenya
@marymwangwale2381
@marymwangwale2381 6 лет назад
amina mungu akutie nguvu songa mbere ujumbe mzuri
@seattleswahiliradio
@seattleswahiliradio 6 лет назад
HAKI YAKO KWA MUNGU IKO/IPO PALEPALE. ujumbe wa nguvu mtumishi. Barikiwa sana!
@hennezasharon3769
@hennezasharon3769 5 лет назад
Wow Asante Sana Kaka Chris am so blessed by your songs nakombea Mungu azidi kukuinua na akutendee mema azidi kukupa kibali Siku zote barikiwa kakangu
@shideashidea5570
@shideashidea5570 5 лет назад
Aminaaaa
@elizabathh6270
@elizabathh6270 3 года назад
@@shideashidea5570 ameeen
@kelvinrexine6029
@kelvinrexine6029 3 года назад
Baraka Zangu Mikononi Mwa Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏
@elizabathh6270
@elizabathh6270 3 года назад
Ameeen
@osmundamasangula3356
@osmundamasangula3356 4 года назад
Nimebarikiwa sana Mungu azidi kukuinua
@mwawugangajedai4799
@mwawugangajedai4799 Год назад
Very sweat songs blessed and amazing.
@clivemusamba6578
@clivemusamba6578 3 года назад
GOD bless you man of God, continue blessing our spirit, your music is so powerful and iam blessd each day that passes, iam passing thru hard times in my life but each time i listen to your music iam encouraged to push hard in my life.
@mcmapendo5455
@mcmapendo5455 6 лет назад
Nabarikiwa sana mtumishi na nyimbo zako. Uzidi kuinuliwa
@elizabathh6270
@elizabathh6270 4 года назад
Haleluyaaaaa,hata kazi ya nyumba nakataliwa ,god very faithful🙌🙌🙌
@dianamumo1943
@dianamumo1943 6 лет назад
Kweli hata kama itachelewa nitaipata tu.amen
@kanisalacjctmaombiyakufung1925
Asante Yesu kwa kutupa mtumishi,Mungu Mubaraki na endelea kumLinda.amen.
@joelgitau6853
@joelgitau6853 4 года назад
I like that...true God can do everything,
@elizabathh6270
@elizabathh6270 4 года назад
Ameeen,he is powerful🙏🙏🙏🙏
@rehemamybabyburundi3174
@rehemamybabyburundi3174 3 года назад
Hallelujah
@wlkmwlkm53
@wlkmwlkm53 3 года назад
Kama unasikiza huu wimbo gonga like tukiendanga
@simeonbahaya4284
@simeonbahaya4284 6 лет назад
Mungu wa mbinguni akubariki na kukuwezesha uendeleye kuhubiri Injili kwa Nyimbo.
@josphinendunge5821
@josphinendunge5821 6 лет назад
Asante sana kwa nyimbo zako,mungu alikuchangua ili umtukuze ubarikiwe sana kaka ,nyimbo zako zanitia nguvu na kumfahamu mungu zaidi. ubarikiwe .
@lightnessukombozi7466
@lightnessukombozi7466 6 лет назад
ujumbe mzuri sana barikiwa na sana
@mwaipqlyusuph8939
@mwaipqlyusuph8939 6 лет назад
Kweli kaka mye mwenyewe nimeona haki iko palepale mungu kanitendea mengi naii naisubili itimie kwangu
@alinetuyisabe8849
@alinetuyisabe8849 5 лет назад
Huuu wimbo umenibariki sana kweri mungu awabariki sana sana tena sana endereyeni kuturetea nyingi mutalipwa namungu 👍👏👍👏👍👏🇧🇮
@elizabathh6270
@elizabathh6270 3 года назад
Ameeen,abarikiwe sana katika jina la yesu
@florencengaruiya8724
@florencengaruiya8724 Год назад
Your right to God's blessings is still intact, no matter how long they dealay they will surely come through, just wait upon Him
@luluwillams6307
@luluwillams6307 4 года назад
Ata watu kuchafue leo kesho watakusafisha tu hehehe amen
@simbayihamaundu3552
@simbayihamaundu3552 Год назад
Zambia 🇿🇲 proud of this song and many of your other musi
@simonikwelela1190
@simonikwelela1190 6 лет назад
ubarikiwe kwa wimbo ulio na mafundisho maziri yenye subila
@dazawadi1896
@dazawadi1896 2 года назад
J'aime beaucoup cette chanson 🥰 Amen ubarikiwe
@tharcissekayumba3406
@tharcissekayumba3406 5 лет назад
Mungu assifiwe Dana , na awabariki wasabi.
@chachadaudi5776
@chachadaudi5776 6 лет назад
MUNGU azidi kuwapigania waimbaji wote wa NYIMBO ZA INJILi kwakweli mnabariki watu
@elizabathh6270
@elizabathh6270 3 года назад
Haleluyaah
@milkahokechi5497
@milkahokechi5497 2 года назад
Ideally get blessed with ur songs.wacha mungu azidi kukuinua
@mellenondieki6329
@mellenondieki6329 6 лет назад
Infact you can reach university but you get ajob,will not able to feed,your children, l was really nangangana,hapa nambele,kutafuta,haki yangu,but mungu,saws,mercy on me,and get me to USA, l give opinon to young guys ,to be patient, haki,yenu,itangia,although going to be long,l went to good schools but life was hard to achieve good salary,now l enjoy with dollars, thanks to God,be blessed Chistopher,your song remains me alot,until l cry,good life comes from God,and good gifts,that is in the bible, James 1verse17Amen.send this two my message to Christopher mwangila Tanzania, Asome.
@elizabathh6270
@elizabathh6270 4 года назад
Ameeeeeeeeen,our greatful god 🙌🙌🙌🙌
@michaeldaniel5390
@michaeldaniel5390 3 года назад
naisuri haki kutoka kwake mwenyezi
@mozabitengeli8343
@mozabitengeli8343 Год назад
Ame ubarikiwe
@aggreyhemani7669
@aggreyhemani7669 6 лет назад
Mungu akubariki sana mtumishi nyimbo zako zinanibariki vilivyo.Aggrey.
@elizabathh6270
@elizabathh6270 3 года назад
Ameeen ameeen barikiwa 💝💝💝👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@rehemamohamedi5132
@rehemamohamedi5132 4 года назад
Amenitoa mbali YESU maisha yang yako mikonon kwake.. Asantee kwa kunitoa mikonon mwa Adui
@stelachengula7211
@stelachengula7211 4 года назад
hakika mungu ananipenda hii nyimbo imenibariki sana maana unapokutana na magum unaona kama mungu kakuacha mungu akubar
@ochiengzachary563
@ochiengzachary563 6 лет назад
cant stop repeating the song...be blessed brother
@paulinejoshua1567
@paulinejoshua1567 3 года назад
Barikiwa Sana
@emmyphilimon1848
@emmyphilimon1848 4 года назад
Amen kabisa MUNGU umenitoa mbalii
@jonathan6780
@jonathan6780 Год назад
A good song. God's love and Grace prevails always 🙏🙏🙏
@luthnicodemas3339
@luthnicodemas3339 6 лет назад
Asante kaka Christopha kwa kutu tia moyo yani sina chakusema but ubarikiwe sn na Mungu. Ni kweli haki ya mtu iko pale pale na Mungu hawezi poteza haki yakila mtu kikubwa ni uvumilivu tu. Barikiwa Mtumishi Chris
@neemagidion302
@neemagidion302 2 года назад
Amen! amen!
@edinakamwambi9032
@edinakamwambi9032 4 года назад
Nabarikiwa nyimbo zako mtumishi
@toyiecciba5114
@toyiecciba5114 4 года назад
Is the way God doesn't lie.Wait for and you Will see your goodness;Amen!
@ridaghaddar8234
@ridaghaddar8234 4 года назад
Amina nasubiri mimi yesu nashunga
@alineniyonkuru6660
@alineniyonkuru6660 6 лет назад
Haki ya Mungu ipo kabisa kwawaliyowake barikiwa
@gloryjane4147
@gloryjane4147 4 года назад
Hakika. Barikiwa 2019🇹🇿 gonga like km unakubali nyimbo zake hapa
@masilitengule8013
@masilitengule8013 3 года назад
Bwana awe nawe
@user-gc1mv1ls5v
@user-gc1mv1ls5v 6 лет назад
That's true my God blessed u mtumishi wa mungu kazi nzuri unatia wengi moyo
@bettyblessed436
@bettyblessed436 5 лет назад
I really like the song nimerudia mara Tatu be blessed man of God
@elizabathh6270
@elizabathh6270 4 года назад
🙌🙌🙌🙌
Далее
Chris Mwahangila - Neno La Mungu Gospel Song
7:24
Просмотров 3,9 млн
The Best Of Christopher Mwahangila Songs 2021
1:35:00
Turning trash into triumph, one can at a time!
00:18
Просмотров 2,3 млн
Christopher Mwahangila New Album Vol 5
46:46
Просмотров 211 тыс.
Hudumia | Christopher Mwahangila | Official Video
5:06
SHAMAN - Премия МУЗ-ТВ 2024
4:36
Просмотров 405 тыс.
БОЛЬШЕ НЕ ВАЦОК
1:43
Просмотров 1 млн
Асфальт
2:51
Просмотров 278 тыс.