Christian Bella Obama est ce que oyebi que duo na yo na Ali kiba ezalaka toujours très kitoko ! Kangama na ye aza garçon moko bien en plus azo yemba lingala très kitoko neti kinois
Wale Ambao Wamekesha Wakingoja Huu Moto🔥🔥Ambao Alikiba👑👑Ameua Sana,,,Kama Mimi Moses Norbert Makhulo Tujuane Hapo Chini👇👇Na Tafadhalini Subscribed To My RU-vid Channel
Kama nisingekuwa mukristo wa kweri ningezani kiba kanilisha dawa,maana kila ninapo sikia sauti yake nzuri nasimamisha Kwanza kazi zangu ili niisikie vizuri! Hongera Sana king na asante kwakunisaidia kuuaga mwaka Kwa mbwembwembwe!
Yan nashangaa hii ngoma iko namba 1 trending siku ya 5 leo haijafika 1M inamaana ya kwamba watu wanaview sana ila Kuna mchezo unafanyika Cha ajabu Jana ngoma ya darasa na harmonize ilikuwa namba moja trending na chaku ikawa namba 2 lakin leo ngoma ya darasa na harmonize ipo trending ya 6 na ngoma ya chaku viewers zimebanwa sana zinapanda kidogo kidogo ndy ujuwe Kuna watu wanaroh mbaya sana