Тёмный

Christina Shusho Feat. The Dreamers - Teta Nao (Official Music Video) 

Christina Shusho
Подписаться 821 тыс.
Просмотров 6 млн
50% 1

#ChristinaShusho #Gospel
(C) Relax Investment
Christina Shusho Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/christi...
Written & Performed by Christina Shusho
For Bookings: cshusho@gmail.com
Follow Christina Shusho on:
/ christinashusho​
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,3 тыс.   
@cshusho
@cshusho 2 года назад
Wimbo huu umetokana na uhalisia wa Maisha Yangu. Nafasi ya Mwanamke katika mapambano inahitaji bidii zaidi. Kila unapo jaribu utakutana na vikwazo vingi yote tu ili usipige hatua mbele. Kuna mengine niliweza kupigana Nayo lakini kwa Asilimia Kubwa ilibidi Mungu anitetee. Inawezekana na wewe unapitia kama ya kwangu au zaidi. Huu wimbo ni ujumbe wako. Barikiwa unapo tizama video hii. Zaburi 35:
@addyboytz109
@addyboytz109 2 года назад
asante sana dada
@seledikamata3717
@seledikamata3717 2 года назад
Amen
@rebekajmussa4864
@rebekajmussa4864 2 года назад
6dtyR
@jujujullie644
@jujujullie644 2 года назад
Ni kweli kabisa ,mwanamke hupitia mengi sana na pia mimi niliupenda huu wimbo sana,na kila mara nilipokuwa nahusikiliza nilipata nguvu zaidi na baraka tele ,marikiwa sana dada christina 😢
@tereziangasiwa2520
@tereziangasiwa2520 2 года назад
Amina,amina kubwa mungu akuweke unatuponya wengi na kutupa nguvu,mungu akuweke kwa ajili ya watu wake,barikiwa mnoooh🙏🙏
@allenkidulani7870
@allenkidulani7870 3 месяца назад
Listen to this song and read Psalm 35 when Fasting... Our God shall never let you be defeated.
@kevinokoth-xi2qt
@kevinokoth-xi2qt Месяц назад
I'm a Muslim but this Mama 🔥❤ mungu akweke insha'Allah
@kevinokoth-xi2qt
@kevinokoth-xi2qt Месяц назад
Any Kenyan here 2024
@giftedvince5035
@giftedvince5035 Месяц назад
Lazima tuwakilishe
@HappinessKillo-bd5ox
@HappinessKillo-bd5ox 4 месяца назад
Wakati mwingi tunapenda kulaumiana kuliko kuombeana, Mungu akushindie K Shusho, Amen.
@FranklinSainey
@FranklinSainey 5 месяцев назад
She's a good singer with an angelic voice... her songs mixed with her voice can bring God's to the dancing floor...
@faithmoraa5993
@faithmoraa5993 2 месяца назад
God is God of war, he will fight my enamy in Jesus name
@njerimary7853
@njerimary7853 10 месяцев назад
Teta nao wanao Teta nami ..upigane nao wanapigana nami 🙏
@sirdonyxsaphire
@sirdonyxsaphire 2 года назад
Heavenly Father I pray that you keep the person reading this alive, safe, healthy and financially blessed Amen
@nusramunini9650
@nusramunini9650 2 года назад
AMEEN 🙏
@EverlineMasha
@EverlineMasha 6 месяцев назад
Amen
@MartharMoranga-wp1lx
@MartharMoranga-wp1lx 3 месяца назад
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
@SimiyuJudith-vp1fz
@SimiyuJudith-vp1fz Год назад
If God is for us who can be against us. Yeye ni mtetezi wetu
@magbenny1416
@magbenny1416 2 года назад
It really amazes how Shusho has more Kenyan fans than Tanzania, keep lifting our souls with good music. Kenyans will always be behind you. God bless you
@styletablebyfaith2127
@styletablebyfaith2127 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿tupo wengi
@belindagiliard8977
@belindagiliard8977 2 года назад
You desperately running to her. And it's fine anyways
@naomyekaran8022
@naomyekaran8022 2 года назад
Imgn I dnt know which kind of music they want ❤️❤️❤️❤️
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 2 года назад
Kenyans like to be kimbelembele in everything no wonder your land doesn’t belong to you.
@judyadoyo8098
@judyadoyo8098 2 года назад
I guess Prophets are usually never recognized in their own country
@LLL3712
@LLL3712 2 года назад
Wapendeza Bwana wapendeza Bwana wapendeza.
@sophiajuma1173
@sophiajuma1173 Год назад
Wimbo huu ni Zaburi 35 nitetee Ee Bwana kupitia Zaburi hii ameen
@leticiakitonga3053
@leticiakitonga3053 2 года назад
Umenibariki mtumishi,maana Kuna watu wao Kama wamejizaa
@raphaelmmurithi
@raphaelmmurithi 2 года назад
Psalms 35:1-25 Contend, LORD, with those who contend with me; fight against those who fight against me. Take up shield and armor; arise and come to my aid. Brandish spear and javelin against those who pursue me. Say to me, “I am your salvation.” May those who seek my life be disgraced and put to shame; may those who plot my ruin be turned back in dismay. May they be like chaff before the wind, with the angel of the LORD driving them away; may their path be dark and slippery, with the angel of the LORD pursuing them. Since they hid their net for me without cause and without cause dug a pit for me, may ruin overtake them by surprise- may the net they hid entangle them, may they fall into the pit, to their ruin. AMEN
@newtonsimba7930
@newtonsimba7930 2 года назад
Amen.
@jamesonungaofficial743
@jamesonungaofficial743 2 года назад
Amen
@rebecatangson3621
@rebecatangson3621 2 года назад
Amen
@sarahmuhonja6530
@sarahmuhonja6530 2 года назад
Amen
@lyontheblessed8200
@lyontheblessed8200 2 года назад
Raph ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-O5Z1Ai6aZwA.html
@margaretmbugua6765
@margaretmbugua6765 2 месяца назад
Pigana nao wanaopigana nani ,thankul lord for this far 🙏
@Abuuu2
@Abuuu2 9 месяцев назад
2023 Kenyans have just gone crazy with shusho welcome home on 31st December ♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@benardoluoch4154
@benardoluoch4154 2 года назад
Bwana Yesu asifiwe...have been blessed by this song...Amen
@simonmndeme339
@simonmndeme339 2 года назад
Kwan watanzania hatuwap sapot waimbaj wet shushooooooooooooooo
@vivianikanzuakhura9945
@vivianikanzuakhura9945 2 года назад
Truth be told,I have been her fun since I was in high school,she can't sing in Spirit the way she used to.Look at her beginning,very beautiful.But todays,the world has entered her so much.Thats the truth
@amazingbeatrice9228
@amazingbeatrice9228 2 года назад
This has been my prayer psalm 35, loving it...... loving it!! Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mamaboys1047
@mamaboys1047 2 года назад
Blessings
@annemuthoni4136
@annemuthoni4136 2 года назад
And psalms 3:7
@sirpleasureb
@sirpleasureb 2 года назад
WACHENI KUSOMA MAANDIKO NUSU UMEFANYA KAMA VS 13,14.USHAWAHI FUNGA UKIOBEA ADUI YAKO APONE KAMA DAUDI.SOMA LUKA6:27,28,29.HAYA MAMBO MUNGU HATAKI.
@blackshinea.k.aruleboy7945
@blackshinea.k.aruleboy7945 2 года назад
Lovely ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-AsPKU9BMgLs.html
@user-wt8ly2cn2r
@user-wt8ly2cn2r Год назад
Ni wimbo ambao nausikiliza ck nzima.nitetee mungu wangu
@cynthiaimali1953
@cynthiaimali1953 2 года назад
Eh Bwana utete nao wanao teta nami (Oh Lord, contend with those who contend with me) Upigane nao, wanao pigana nami (Fight those who fight against me)(Repeat) Ushike ngao na kinga usimame, unisaidie (Take up your shield and armor, arise and come to my aid) Vuta we mkuki uwapige, wanaonifuatia (Brandish your spear against those who pursue me) Uambie nafsi yangu mimi ni wokovu wako (Say to me “I am your salvation”) Uwatoe mkuki uwapige, oh wanao nifuatia (Brandish your javelin, against those who pursue me) Uambie nafsi yangu “mimi ni wokovu wako” (Say to me “I am your salvation”)) Wananiuliza mambo nisiyoyajua (They question me on things I know nothing about) (Refrain) Waaibishwe wafedheheshwe (May they be disgraced and put to shame) Warudishwe nyuma, wanaotafuta nafsi yangu (May they be dismayed, those who plot my ruin) Wafadhaishwe, wawe kama makapi (May they be like chaff before the wind) Mbele yao pepo malaika wa Bwana waangushe chini (With the angel of the Lord driving them away) Wananilipa mabaya, badala ya mema (They repay me evil for good) Kutwa kucha waniwinda ili niteseke (All day long, they hunt me so that I suffer) Niko ndani yako niweke eh Mungu wangu (I am in you, preserve me, Oh my God) Ubavuni mwako nikumbatie, Jehova wangu (Embrace me to your side, my Jehovah) Mkononi mwako niweke, eh Mungu wangu (Hold me in your hands, Oh my God) Ubavuni mwako nikumbatie, Jehova wangu (Embrace me to your side, my Jehovah) (Refrain) Njia yao iwe giza na utelezi (May their path be dark and slippery) Malaika wa Bwana, akiwafuatia (With the angel of the Lord pursuing them) Uharibifu uwapate kwa ghafla (May ruin overtake them by surprise) Wa uharibifu waanguke ndani yake (May they fall into the pit they hid) Mimi bure wasinisemange, bure wasinibonge (That they may not speak against me in vain) Na uovu wao aloficha umnase mwenyewe (May the evil they hid, catch them) Bila sababu amenichimbia shimo nafsi yangu (Since without cause they dug a pit for me,) Mifupa yangu yote itasema (All my bones will exclaim) “Bwana ni nani aliye kama wewe?” (“Who is like you, Lord?”) Na nafsi yangu itamfurahia Bwana (Then my soul will rejoice in the Lord) Wapendeza, Bwana wapendeza (You are exalted, Lord be exalted) Eh Bwana wapendeza (Oh Lord, be exalted) Katika hili najua utatenda (In this I know you will do) Nitetee Bwana nitetee (Defend me Lord, defend me) Eh Bwana nitetee (Oh Lord, defend me) Katika hili najua utatenda (In this, I know you will do) (
@2rtgergrgrggyer246
@2rtgergrgrggyer246 Год назад
God bless you interpreting the song
@rosemaryse2632
@rosemaryse2632 9 месяцев назад
Thank you for the translate. God bless you.❤ 🇬🇦
@bilhawanjiku3770
@bilhawanjiku3770 6 месяцев назад
🎉 thanks for lyrics
@patrickjomoofficial7651
@patrickjomoofficial7651 Год назад
Wapendeza bwaza wapendeza nitetee bwana nitetee
@003Watch
@003Watch Год назад
Mungu ni mkubwa.....achia yeye vita zako atakukupigania
@gdggghh2052
@gdggghh2052 2 года назад
Mimii nii muisilm ilaa nimee itizamaa zaaidii yaaa 10💯💯💞💞💞💞💞😭😭💯💯
@PeterkenyaOfficial
@PeterkenyaOfficial 2 года назад
Road to 400K subscribers 😍😍Mob love from +254❤️✅.. Teta Nao 😭😭🙌..I was waiting for this 🙏.. Whoever is reading this wacha Bwana akakutetee🙏.. Love you mommy 💖
@carolineoketch5949
@carolineoketch5949 2 года назад
Ameen
@lyontheblessed8200
@lyontheblessed8200 2 года назад
Peter ke ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-O5Z1Ai6aZwA.html 🙏
@chepchirchirmiriam1542
@chepchirchirmiriam1542 10 месяцев назад
Ameeen
@benazirakinyi5797
@benazirakinyi5797 9 месяцев назад
Amen
@WINSLETOUMA-bd7lt
@WINSLETOUMA-bd7lt 6 месяцев назад
🙌🙌Acha Mungu atete na wanao teta nasi kwa hii comment katika jina la yesu 🙏🙏 Amen
@judyoduo9476
@judyoduo9476 Год назад
Mcha Mungu State House...Stress Free .....Arap Ruto
@winnieamanya1550
@winnieamanya1550 2 года назад
Bwana wapendeza ..nite Bwana nitetee...katika hili Najua utetenda 😭😭🤲... This song keeps me trusting and waiting upon the lord...Thank you Mama Christina 🙏
@jenniferlopezy3644
@jenniferlopezy3644 Год назад
Wimbo huu unanifindisha kitu na unanipa matuani makubwa sanaa
@immaculatenafula3305
@immaculatenafula3305 2 года назад
Jesus Hooyeeeeeee😘😘😘😘😘😘😘😘😘 Kama unampenda yesu sema Amen.Bless this woman of God.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SteveNyombo
@SteveNyombo Год назад
Mungu unisaidie wimbo uyu ni mambo ninayoyaishi
@NandwaHaggai
@NandwaHaggai 2 года назад
Much love💕💕 from +254🇰🇪🇰🇪 ....kazi safi...#ChristinaShusho.....#Gospel... #TetaNao...
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 Год назад
I don't understand Swahili language, ila huyu dada balaa namkubali sana yupo juu kinoma hii nyimbo iko poa sana aisee.
@evangelinemuhia6768
@evangelinemuhia6768 2 года назад
My best song ever. No weapon fashioned against me shall prosper. Teta nao Bwana Yesu. Najua Mimi ni mshindi.
@Meg7979
@Meg7979 6 месяцев назад
Eh Bwana nitetee. Teta nao wale wanaoteta na mimi.Pigana nao wale wanaopigana na mimi. Wanafuata nafsi yangu warudishe nyuma.Wasinifahamu kamwe.Nikumbatie na unifiche kwenye ubavu wako. Njia za maadui wangu ziwe za giza na utelezi tele.Nami nakuamini katika hili utatenda. Na ikawe hivyo.Amina.
@leonoraobiero7597
@leonoraobiero7597 Год назад
I'm in hard time my mum was diagnosed with ovarian cancer , and as I listen to this song I know God will fight for her and she will overcome that condition . Najua Mungu atatenda🙏
@ravineodhiambo53
@ravineodhiambo53 10 месяцев назад
This song is in a great song.
@ngaiflorida9328
@ngaiflorida9328 5 месяцев назад
Amen
@zakayokuria7639
@zakayokuria7639 Год назад
jesus christ as real blv him to have evalasting life...
@kelvincosma7393
@kelvincosma7393 2 года назад
Waliokubal hiii nyimb kwajil ya shusho tujuan
@lusianneworld6305
@lusianneworld6305 Год назад
I have listened to it more than thousand times
@melisamsangawale4391
@melisamsangawale4391 Год назад
Nipo
@priscakimburi-sl9ml
@priscakimburi-sl9ml Год назад
Kwanza nkikwazwa tu na watu naeka volume yote 😂😂😂😂😂😂😂
@fridahgatwiri1862
@fridahgatwiri1862 5 месяцев назад
I really love Shusho's songs, she picks her messages right from the bible n this is true evangelism, they never grow old, may God bless your talent n bless you so much my Sister #Christina Shusho.mimi penda wewe Sana.
@Geelittel870
@Geelittel870 2 года назад
Amina...bwana pigana nao wanoa pigana NAMI!
@esthermke
@esthermke 2 года назад
I just love how Christina supports talents. No wonder she keeps shining for Jesus. Go go Mama
@jamesonungaofficial743
@jamesonungaofficial743 2 года назад
Amen continue watching new songs on youtube just giggle James onunga songs subscribe and share with your friends God bless you
@Mudogo00
@Mudogo00 2 года назад
A servant of God is always a savant of God
@wamolo
@wamolo 2 года назад
😊😊
@user-wo4wi8rt5u
@user-wo4wi8rt5u Год назад
That is truth
@user-wo4wi8rt5u
@user-wo4wi8rt5u Год назад
That is truth 👌😘😗
@doctorharrietndalo8243
@doctorharrietndalo8243 Год назад
God listen to ma heart and answer ma tears uknow every plan they r planning foe me ... evil plan ..fight foe me
@bettyangwenyi1797
@bettyangwenyi1797 2 года назад
At the beginning, I thought that it's not right to wish evil on anyone, even an enemy, but as I watched, I learnt from this that it's ok to be real with God about my feelings; if someone has harmed me, instead of pretending everything os ok, I can cry out to God. Instead of taking revenge or taking matters into my hands, I can trust God to do it for me and to bring fairness, for his glory - He knows what to do, he shall do it, Jesus, I trust in you. Thank you dada Christina.
@TSAPARATV
@TSAPARATV 2 года назад
That's true dear Betty. Cast all your burdens to Jesus
@AnnoyedCatfish-bs3sy
@AnnoyedCatfish-bs3sy 8 месяцев назад
Huu wimbo naupenda san na hivo mna teta nao mlivyo uimba🎉❤❤
@ruthevelia5514
@ruthevelia5514 2 года назад
Kenya is your your second home,we really appreciate your great music, it's so uplifting and inspiring.. am so blessed 🙏🙏🙏🙏
@TSAPARATV
@TSAPARATV 2 года назад
It's a pity that my country Uganda 🇺🇬 didn't embrace Swahili like Ke and Tz. I taught myself Swahili and now am benefiting. Great music from sister Shusho
@kakisap
@kakisap 9 месяцев назад
Oh dear lord 🙏 teta na wanaoteta nami❤
@asikimosessimon5267
@asikimosessimon5267 Год назад
I'm from South Sudan. I don't speak good Kiswahili though but developed passion to learn the language, honestly the Holy Spirit has translated your songs to my soul. I'm blessed through 'em. I love you Shusho and God loves you more. I wish one day to meet you in person or pay us a visit come minister here in Juba. God bless you!!!🙏
@oscarmaulid5906
@oscarmaulid5906 2 года назад
Msanii pekee wa nyimbo za dini ninaekuelewa
@FrancisKNgigi
@FrancisKNgigi 2 года назад
Aki we love you shusho. God bless you... 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️🇹🇿
@ginahtanzania1754
@ginahtanzania1754 2 года назад
Mungu Baba Pigana nao wanaopigana nami
@anitagathoni
@anitagathoni 2 года назад
That means Christine shusho has expanded her territory. She has gone international!
@tashjohn254
@tashjohn254 2 года назад
Pastor Shusho zidi kubariki mwili wa Cristo
@annemuthoni4136
@annemuthoni4136 2 года назад
This is my prayer 🙏 every day.....mob love 💕💕🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Mitchy_Michelle
@Mitchy_Michelle Год назад
Bwana pigana nao wanao pigana nami teta nao wanao teta nami oh lord
@ruthpearl2439
@ruthpearl2439 2 года назад
Christina is an inspiration in my life. Her song "thamani ya wokovu wangu" led me to Christ. May God continue using her for His glory
@bagumamartinz696
@bagumamartinz696 2 года назад
Glory be to GOD
@remmygachanja127
@remmygachanja127 2 года назад
Amen may God bless her abundantly
@Shimruthie
@Shimruthie 2 года назад
Bwana teta na upigane nao wanao pigana nami. Love you Christina mama
@dewdrops5581
@dewdrops5581 2 года назад
2nd Pet 3:9 the Lord is not slow concerning his promises as some count slowness...... God will come through for you. Thanks for reminding us of Psalms 35🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️
@zawadichaz2042
@zawadichaz2042 2 года назад
Wimbo umenigusa sana huu ♥️
@shyfettymtunda1928
@shyfettymtunda1928 2 года назад
"wananilipa mabaya badala ya mema ". Teta nao eeh bwana!!!
@charlinesangany9607
@charlinesangany9607 2 года назад
Ma shusho a frappé encore. Much love from congo😗😗😗😙😙😙😙😙😚😍
@LucyMomanyi
@LucyMomanyi Год назад
Eeeh bwana utete nao wanao teta nami,bwan nitetee najua katika hili utatennda ,shusho Ni kama unaijua hali yangu ??mungu wangu wee wajua sababu. Kwann niyapitie haya ,nipiganie mungu🙏🙏🙏🙏❤💪
@annettecirru4555
@annettecirru4555 2 года назад
How she turns bible verses to songs..... Blessed
@Elizabeth-gr6ey
@Elizabeth-gr6ey Год назад
So cute mum
@user-do1ug7de3g
@user-do1ug7de3g Месяц назад
Huuuu wimbo uko juuu naupenda mmnoooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@reagansongbird
@reagansongbird 2 года назад
Shusho ooooooh my shusho,,,,such an expert in all you do😭,,,,greatness in its fullness ❤🇰🇪🇰🇪
@PharafiaNabulu-yt2gz
@PharafiaNabulu-yt2gz 2 месяца назад
Much love mum Shusho 😢😢 your songs always bless me
@doctorsk3512
@doctorsk3512 2 года назад
We love your songs God bless you DADA 🇰🇪🇰🇪
@NancyNekesa-nh6du
@NancyNekesa-nh6du 8 месяцев назад
Indeed God u brought shame to my enemies.me loughing again.u defend me and defeated them
@valarycelestine3347
@valarycelestine3347 2 года назад
Beautiful Christina Shusho ❤️🥰😍much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@triomphemulongo665
@triomphemulongo665 Год назад
Paka utatenda mu maisha yangu 😭😭
@gjunior4267
@gjunior4267 2 года назад
Christina Shusho never disappoints when she holds the mic 🎤, her work is always epic. Shalom
@Paulo-sd1bf
@Paulo-sd1bf Год назад
Wimbo mzuri umebeba maisha ambayo tunayaishi
@kevinchisaka8711
@kevinchisaka8711 2 года назад
Finally the video is out. Only Gods knows how much I love this masterpiece.
@rabbecanambeya5527
@rabbecanambeya5527 2 года назад
I love you mum bless you ❤❤❤❤❤❤
@mwalyaruth5439
@mwalyaruth5439 2 года назад
Samee
@commanderndugu906
@commanderndugu906 4 месяца назад
Teta na wanao teta NAMI,, sifa kwa mwenyezi Mungu siku zote amen
@hanneylumz
@hanneylumz 2 года назад
I do get great consolation on this song knowing that there is God a above fighting my battle, God bless you Christina Shusho.
@praiz_2548
@praiz_2548 2 года назад
Kiganjani mwako niweke mungu wangu
@sammuga7695
@sammuga7695 2 года назад
My favorite gospel singer one of our own 🇰🇪🇰🇪
@karembokitsao3090
@karembokitsao3090 2 года назад
Kweli pigina nao,wote wanaoteta nami,eeeeBwana
@danielmakau5131
@danielmakau5131 2 года назад
We Of the Kingdom we are shining and well Represented Here
@deborapraygod3124
@deborapraygod3124 2 года назад
Jamani ukiachana na kubarikiwa na nyimbo za dada christina bas nampenda sana huyu dada
@gracemikiara3081
@gracemikiara3081 2 года назад
This song has uplifted me, with my current situation.barikiwa Sana shusho, you are a blessing to many.
@kartelgizemc1590
@kartelgizemc1590 2 года назад
Ubarikiwe sana.. Fata nyao za Jennifer mgendi... Hana mambo mengi Mwisho wa kunukuu Nawapenda wote
@alexmwanthi2946
@alexmwanthi2946 2 года назад
Am so addicted to this song , I love love it
@giftedvince5035
@giftedvince5035 3 месяца назад
Mungu akulinde mama yetu
@evanaina8114
@evanaina8114 2 года назад
All the songs you dropped this year have really seen me through the toughest year yet. God bless you and may the Almighty's name be praised❤❤. They are all on repeat 💯
@olivebisimwafuraha7469
@olivebisimwafuraha7469 Год назад
Bnj
@olivebisimwafuraha7469
@olivebisimwafuraha7469 Год назад
Kkllkkllnjjjjk› ...........(m ne
@ETanga254
@ETanga254 2 года назад
kusema huu wimbo kwa nyimbo zote zako hii nyimbo imenitach ,I really like the song 🔥🔥
@sirelvice96
@sirelvice96 Год назад
My all time favourite Gospel Minister from childhood. Favour and more grace Ma'am.
@guelordmonijicholaraiya150
@guelordmonijicholaraiya150 2 года назад
Mimi nakupenda sana kwa kazi ya kukamilisha tena imani yetu kwa nyimbo,sauti ni safi.
@gracemwende6924
@gracemwende6924 2 года назад
Wow😭😭this song has inspired me ,to what am going through...May you God bless you abundantly Christian,,u have always been my role model,,and my hope is to meet you one day...mob love..May God continue rising you from glory to glory....
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 года назад
Ahsant Dada Christina shushu. Kunajambo limeingilia nyimbo za injili au tungoje chipukizi wengine!!
@josephlasiti9137
@josephlasiti9137 Год назад
We are here not only to listen your music's but to make sure that you the vessel of God has saw that the message your spreading has transformed us.🙏
@emillyvedastus1972
@emillyvedastus1972 2 года назад
Upigane nao wanaopigana nami Ee Bwana pigana nao ....
@faithwema2414
@faithwema2414 2 года назад
Keep it holy 🙏, my best gospel in east Africa,,,, your songs make me to be proud of myself to those who content and fight to me....! much love to you from 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪💯.
@NamawaSarah-gf3qm
@NamawaSarah-gf3qm Год назад
Kweli yii wimbi ena shangaza royo yangu,Mungu akumpe baraka.
@bisengobubasha
@bisengobubasha 2 года назад
One of my favorite songs. Mubarikiwe sana na Bwana
@lyontheblessed8200
@lyontheblessed8200 2 года назад
Bisengo ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-O5Z1Ai6aZwA.html
@lidus752
@lidus752 2 года назад
Ombi la moyo wangu...pigana nao Bwana😞 Nitetee 🙏🏽❤
@rozitahcaslah1648
@rozitahcaslah1648 2 года назад
This song really blesses me every day and gives me hope for life🙏🙏😭
@delphinemochoge5275
@delphinemochoge5275 3 месяца назад
Amen baba teta nao hapa nilipo🥲🇱🇧🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jmwenge32
@jmwenge32 2 года назад
This is one of my breakthrough songs...you lifted my soul so high until I made it against my enemies...be blessed mama...
@user-oq8wj1go6u
@user-oq8wj1go6u Год назад
Asante Sana, mum for massage to the world 🌹🌹🌹🌹💝
@nanacherry64
@nanacherry64 2 года назад
Powerful zaburi 35 Song 🎶 I love it 😍 TETA BWANA NA WANAOTETA NAMI !!!
@simonmayaka5426
@simonmayaka5426 2 года назад
Wapendeza Bwana Wapendeza... katika hili najua utatenda aaaah!