This album is such a full package!! Naamini itanitoa chini na kuniweka juu, itanipa maono mpya...sisi ni wale majibu ya rehema, sisi ni wale matokeo ya rehema💯💯💯acha ninyweshe ngamia zangu miyee rehemani mwa Mungu, Rebecca hakujua wale ngamia kumbe watakuwa wake tuu. God bless you Shusho & Masika
You too are super gifted and anointed as well. It's on repeat mode hitting big even without a video. Sisi ni wale majibu ya rehema - bible says the Lord directs the steps of the righteous eeeish nanyuesha ngamia zangu.